Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
laini 3
laiti 6
lake 110
lakini 1234
lako 43
lamaanisha 2
lameki 1
Frequency    [«  »]
1477 yesu
1473 watu
1440 ni
1234 lakini
1170 katika
1087 mtu
1086 kama

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

lakini

1-500 | 501-1000 | 1001-1234

     Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 18 | alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama 2 Matt 1 25 | 25 Lakini hakumjua kamwe kimwili hata 3 Matt 2 22 | 22 Lakini Yosefu aliposikia kwamba 4 Matt 3 7 | 7 Lakini alipowaona Mafarisayo wengi 5 Matt 3 11 | kuonyesha kwamba mmetubu. Lakini yule anayekuja baada yangu 6 Matt 3 14 | 14 Lakini Yohane alijaribu kumzuia 7 Matt 3 15 | 15 Lakini Yesu akamjibu, "Acha tu 8 Matt 5 13 | Ninyi ni chumvi ya dunia! Lakini chumvi ikipoteza ladha yake 9 Matt 5 19 | katika Ufalme wa mbiguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha 10 Matt 5 22 | 22 Lakini mimi nawaambieni, yeyote 11 Matt 5 28 | 28 Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama 12 Matt 5 32 | 32 Lakini mimi nawaambieni, anayempa 13 Matt 5 34 | 34 Lakini mimi nawaambieni, msiape 14 Matt 5 39 | 39 Lakini mimi nawaambieni, usimlipize 15 Matt 5 44 | 44 Lakini mimi nawaambieni, wapendeni 16 Matt 6 3 | 3 Lakini wewe unapomsaidia maskini, 17 Matt 6 6 | 6 Lakini wewe unaposali, ingia chumbani 18 Matt 6 13 | Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.`* 19 Matt 6 15 | 15 Lakini msipowasamehe watu makosa 20 Matt 6 17 | 17 Wewe lakini unapofunga, paka kichwa 21 Matt 6 23 | 23 Lakini ikiwa jicho lako ni bovu, 22 Matt 6 29 | 29 Lakini nawaambieni, hata Solomoni 23 Matt 7 14 | 14 Lakini njia inayoongoza kwenye 24 Matt 7 15 | wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu 25 Matt 7 25 | na kuipiga nyumba hiyo. Lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa 26 Matt 7 26 | 26 "Lakini yeyote anayesikia maneno 27 Matt 8 8 | uingie nyumbani mwangu. Lakini sema tu neno, na mtumishi 28 Matt 8 12 | 12 Lakini wale ambao wangalipaswa 29 Matt 8 20 | mapango, na ndege wana viota; lakini Mwana wa Mtu hana mahali 30 Matt 8 22 | 22 Lakini Yesu akamwambia, "Nifuate! 31 Matt 9 15 | yupo pamoja nao? La hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana 32 Matt 9 18 | yangu amekufa sasa hivi. Lakini, tafadhali njoo umwekee 33 Matt 9 31 | 31 Lakini wao wakaondoka, wakaeneza 34 Matt 9 34 | 34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, " 35 Matt 9 37 | wake, "Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache.~ 36 Matt 10 13 | yenu itakaa pamoja nao. Lakini ikiwa hawaipokei, basi amani 37 Matt 10 22 | kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, 38 Matt 10 28 | Msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. Afadhali 39 Matt 10 29 | wawili huuzwa kwa senti tano. Lakini hata mmoja wao haanguki 40 Matt 10 30 | 30 Lakini kwa upande wenu, hata nywele 41 Matt 10 33 | 33 Lakini yeyote atakayenikana hadharani, 42 Matt 10 39 | maisha yake, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake 43 Matt 11 8 | 8 Lakini mlikwenda kuona nini? Mlikwenda 44 Matt 11 17 | 17 `Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza; tumeimba nyimbo 45 Matt 11 17 | tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!`~ 46 Matt 11 24 | 24 Lakini nawaambieni, Siku ya hukumu 47 Matt 12 5 | huivunja Sheria Hekaluni, lakini hawafikiriwi kuwa na hatia?~ 48 Matt 12 11 | 11 Lakini Yesu akawaambia, "Tuseme 49 Matt 12 15 | 15 Lakini Yesu alipojua jambo hilo, 50 Matt 12 24 | 24 Lakini Mafarisayo waliposikia hayo, 51 Matt 12 28 | 28 Lakini ikiwa ninawafukuza pepo 52 Matt 12 31 | dhambi na kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya 53 Matt 12 32 | Mwana wa Mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga 54 Matt 12 44 | nyumbani kwangu nilikotoka.` Lakini anaporudi na kuikuta tupu, 55 Matt 12 48 | 48 Lakini Yesu akamjibu mtu huyo, " 56 Matt 13 8 | 8 Lakini nyingine zilianguka penye 57 Matt 13 11 | siri za Ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa.~ 58 Matt 13 12 | atapewa na kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata 59 Matt 13 13 | mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini 60 Matt 13 13 | lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.~ 61 Matt 13 14 | Isaya: `Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; Kutazama mtatazama, 62 Matt 13 14 | hamtaelewa; Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.~ 63 Matt 13 16 | 16 "Lakini heri yenu ninyi, maana macho 64 Matt 13 21 | 21 Lakini haumwingii na kuwa na mizizi 65 Matt 13 22 | mtu asikiaye huo ujumbe, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu 66 Matt 13 25 | 25 Lakini watu wakiwa wamelala, adui 67 Matt 13 30 | mafungumafungu ya kuchomwa. Lakini ngano ikusanyeni mkaiweke 68 Matt 13 32 | ndogo kuliko mbegu zote, lakini ikishaota huwa kubwa kuliko 69 Matt 13 38 | wale ambao Ufalme ni wao. Lakini yale magugu ni wale watu 70 Matt 13 57 | wakawa na mashaka naye. Lakini Yesu akawaambia, "Nabii 71 Matt 14 5 | Herode alitaka kumwua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu 72 Matt 14 9 | 9 Mfalme alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo 73 Matt 14 13 | mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata habari, wakamfuata 74 Matt 14 17 | 17 Lakini wao wakamwambia, "Tunayo 75 Matt 14 24 | karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama 76 Matt 14 30 | 30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, 77 Matt 15 5 | 5 Lakini ninyi mwafundisha ati mtu 78 Matt 15 5 | nacho baba au mama yake, lakini akasema: `Kitu hiki nimemtolea 79 Matt 15 8 | huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali 80 Matt 15 13 | 13 Lakini yeye akawajibu, "Kila mmea 81 Matt 15 18 | 18 Lakini yale yatokayo kinywani hutoka 82 Matt 15 20 | ndiyo yanayomtia mtu najisi. Lakini kula chakula bila kunawa 83 Matt 15 23 | 23 Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi, 84 Matt 15 27 | Ni kweli, Mheshimiwa; lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka 85 Matt 16 2 | 2 Lakini Yesu akawajibu, "Wakati 86 Matt 16 3 | majira kwa kuangalia anga, lakini kutambua dalili za nyakati 87 Matt 16 4 | uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote 88 Matt 16 7 | 7 Lakini wao wakawa wanajadiliana: " 89 Matt 16 23 | 23 Lakini Yesu akageuka, akamwambia 90 Matt 16 26 | 26 lakini mtu anayeyapoteza maisha 91 Matt 17 12 | 12 Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha 92 Matt 17 16 | Nilimleta kwa wanafunzi wako lakini hawakuweza kumponya."~ 93 Matt 17 23 | 23 Watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa." 94 Matt 17 27 | 27 Lakini kusudi tusiwakwaze, nenda 95 Matt 18 7 | hivyo ni lazima vitokee lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.~ 96 Matt 18 28 | 28 "Lakini huyo mtumishi akaondoka, 97 Matt 18 30 | 30 Lakini yeye hakutaka, bali alimtia 98 Matt 19 7 | 7 Lakini wao wakamwuliza, "Kwa nini 99 Matt 19 9 | 9 Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. 100 Matt 19 13 | awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.~ 101 Matt 19 26 | jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana."~ 102 Matt 19 30 | 30 Lakini walio wa kwanza watakuwa 103 Matt 20 10 | wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja 104 Matt 20 19 | apigwe viboko na kusulubiwa; lakini siku ya tatu atafufuliwa."~ 105 Matt 20 23 | mtakunywa kikombe changu, lakini kuketi kulia au kushoto 106 Matt 20 26 | 26 Lakini kwenu isiwe hivyo, ila yeyote 107 Matt 20 31 | na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti: " 108 Matt 21 13 | itaitwa nyumba ya sala.` Lakini ninyi mmeifanya kuwa pango 109 Matt 21 19 | kando ya njia, akauendea; lakini aliukuta hauma chochote 110 Matt 21 25 | mbinguni ama kwa watu?" Lakini wakajadiliana wao kwa wao 111 Matt 21 29 | kijana akamwambia, `Sitaki!` Lakini baadaye akabadili nia, akaenda 112 Matt 21 30 | naye akamjibu, `Naam baba!` Lakini hakwenda kazini.~ 113 Matt 21 32 | kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na waasherati 114 Matt 21 38 | 38 Lakini wale wakulima walipomwona 115 Matt 21 46 | njia ya kumtia nguvuni, lakini waliwaogopa watu kwa sababu 116 Matt 22 3 | walioalikwa waje arusini, lakini ~walioalikwa hawakutaka 117 Matt 22 5 | 5 Lakini wao hawakujali, wakaenda 118 Matt 22 8 | arusi iko tayari ~kweli, lakini walioalikwa hawakustahili. ~ 119 Matt 22 12 | hapa bila vazi la arusi?> ~Lakini yeye akakaa kimya. ~ 120 Matt 22 14 | kusema, "Wengi wamealikwa, lakini wachache ~wameteuliwa." ~ 121 Matt 22 18 | 18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, 122 Matt 22 31 | 31 Lakini kuhusu suala la wafu kufufuka, 123 Matt 23 3 | chochote watakachowaambieni. Lakini ~msiyaige matendo yao, maana 124 Matt 23 4 | kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha 125 Matt 23 8 | 8 Lakini ninyi msiitwe kamwe <Mwalimu,> 126 Matt 23 16 | Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, 127 Matt 23 18 | akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa ~kwa zawadi iliyowekwa 128 Matt 23 24 | Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia! ~\il 5 ~ 129 Matt 23 25 | kikombe na bakuli kwa nje, lakini ndani mnaacha kumejaa vitu 130 Matt 23 27 | yanaonekana kuwa mazuri, ~lakini ndani yamejaa mifupa ya 131 Matt 23 28 | watu kwa nje kuwa wema, lakini ~kwa ndani mmejaa unafiki 132 Matt 23 37 | vyake chini ya mabawa ~yake, lakini hukutaka. ~ 133 Matt 24 6 | vita na fununu za vita; lakini msifadhaike, maana hayo 134 Matt 24 6 | hayo hayana budi kutokea, lakini mwisho wenyewe ungali bado.~ 135 Matt 24 13 | 13 Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, 136 Matt 24 22 | yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa kwa 137 Matt 24 35 | mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita 138 Matt 24 36 | 36 "Lakini, juu ya siku au saa hiyo, 139 Matt 24 43 | 43 Lakini kumbukeni jambo hili: kama 140 Matt 24 48 | 48 Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea 141 Matt 25 3 | wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.~ 142 Matt 25 4 | 4 Lakini wale wenye busara walichukua 143 Matt 25 9 | 9 Lakini wale wenye busara wakawaambia, ` 144 Matt 25 12 | 12 Lakini yeye akawajibu, `Nawaambieni 145 Matt 25 18 | 18 Lakini yule aliyekabidhiwa talanta 146 Matt 25 24 | 24 "Lakini yule aliyekabidhiwa talanta 147 Matt 25 29 | atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata 148 Matt 25 46 | kwenye adhabu ya milele, lakini wale waadilifu watakwenda 149 Matt 26 5 | 5 Lakini wakaamua jambo hilo lisifanyike 150 Matt 26 11 | mnao daima pamoja nanyi, lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi 151 Matt 26 24 | Maandiko Matakatifu yasemavyo, lakini ole wake mtu yule atakayemsaliti 152 Matt 26 32 | 32 Lakini baada ya kufufuka kwangu, 153 Matt 26 39 | hiki cha mateso kinipite; lakini isiwe nitakavyo mimi, ila 154 Matt 26 41 | majaribu. Roho i tayari lakini mwili ni dhaifu."~ 155 Matt 26 54 | 54 Lakini yatatimiaje Maandiko Matakatifu 156 Matt 26 56 | 56 Lakini haya yote yametendeka ili 157 Matt 26 60 | 60 lakini hawakupata ushahidi wowote, 158 Matt 26 63 | 63 Lakini Yesu akakaa kimya. Kuhani 159 Matt 26 64 | akamwambia, "Wewe umesema! Lakini nawaambieni, tangu sasa 160 Matt 27 4 | mtu asiye na hatia auawe." Lakini wao wakasema, "Yatuhusu 161 Matt 27 12 | 12 Lakini makuhani wakuu na wazee 162 Matt 27 14 | 14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno 163 Matt 27 20 | 20 Lakini makuhani wakuu na wazee 164 Matt 27 26 | Baraba kutoka gerezani, lakini akamtoa Yesu asulubiwe.~ 165 Matt 27 34 | mchanganyiko wa divai na nyongo. Lakini Yesu alipoonja akakataa 166 Matt 27 42 | 42 "Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! 167 Matt 27 47 | 47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia 168 Matt 28 5 | 5 Lakini yule malaika akawaambia 169 Mark 1 8 | Mimi ninawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho 170 Mark 1 34 | aliwafukuza pepo wengi, lakini hakuwaruhusu kusema kitu 171 Mark 1 45 | 45 Lakini huyo mtu akaenda, akaanza 172 Mark 2 18 | wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?"~ 173 Mark 2 20 | 20 Lakini wakati utafika ambapo bwana 174 Mark 2 26 | wameruhusiwa kula mikate hiyo. Lakini Daudi aliila, tena akawapa 175 Mark 3 4 | kuokoa maisha au kuua?" Lakini wao hawakusema neno.~ 176 Mark 3 12 | 12 Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali 177 Mark 3 29 | 29 lakini anayesema mabaya dhidi ya 178 Mark 4 11 | siri ya Utawala wa Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa 179 Mark 4 12 | 12 ili, `Watazame kweli, lakini wasione. Wasikie kweli, 180 Mark 4 12 | wasione. Wasikie kweli, lakini wasielewe. La sivyo, wangemgeukia 181 Mark 4 15 | Hawa hulisikia hilo neno lakini mara Shetani huja na kuliondoa 182 Mark 4 17 | 17 Lakini haliwaingii na kuwa na mizizi 183 Mark 4 19 | 19 lakini wasiwasi wa ulimwengu huu, 184 Mark 4 20 | 20 Lakini wengine ni kama zile mbegu 185 Mark 4 32 | 32 Lakini ikisha pandwa, huota na 186 Mark 4 34 | chochote bila kutumia mifano; lakini alipokuwa pamoja na wanafunzi 187 Mark 5 4 | walimfunga kwa pingu na minyororo lakini kila mara aliweza kuikata 188 Mark 5 19 | 19 Lakini Yesu akamkatalia. Badala 189 Mark 5 32 | 32 Lakini Yesu akaendelea kutazama 190 Mark 5 36 | 36 Lakini, bila kujali walichosema, 191 Mark 5 40 | 40 Lakini wao wakamcheka. Basi, akawaondoa 192 Mark 6 9 | 9 Vaeni viatu lakini msivae kanzu mbili."~ 193 Mark 6 16 | 16 Lakini Herode alipopata habari 194 Mark 6 16 | Yohane! Nilimkata kichwa, lakini amefufuka."~ 195 Mark 6 26 | Mfalme akahuzunika sana, lakini kwa sababu ya kiapo chake, 196 Mark 6 33 | 33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, 197 Mark 6 37 | 37 Lakini Yesu akawaambia, "Wapeni 198 Mark 6 49 | 49 Lakini walimwona akitembea juu 199 Mark 7 6 | huniheshimu kwa maneno matupu, lakini mioyoni mwao wako mbali 200 Mark 7 11 | 11 Lakini ninyi mwafundisha, `Kama 201 Mark 7 11 | nacho baba au mama yake, lakini akasema kwamba kitu hicho 202 Mark 7 15 | chaweza kumtia mtu najisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu 203 Mark 7 24 | moja na hakutaka mtu ajue; lakini hakuweza kujificha.~ 204 Mark 7 28 | 28 Lakini huyo mama akasema, "Sawa, 205 Mark 7 28 | mama akasema, "Sawa, Bwana, lakini hata mbwa walio chini ya 206 Mark 7 36 | wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo 207 Mark 8 33 | 33 Lakini Yesu akageuka, akawatazama 208 Mark 8 35 | yake mwenyewe, atayapoteza, lakini mtu atakayepoteza maisha 209 Mark 9 8 | wanafunzi hao wakatazama tena, lakini hawakumwona mtu mwingine, 210 Mark 9 10 | Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao 211 Mark 9 13 | 13 Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha 212 Mark 9 18 | wanafunzi wako wamtoe huyo pepo lakini hawakuweza."~ 213 Mark 9 24 | akalia kwa sauti, "Naamini! Lakini imani yangu haitoshi, nisaidie!"~ 214 Mark 9 27 | 27 Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, 215 Mark 9 31 | kwa watu ambao watamuua; lakini siku ya tatu baada ya kuuawa 216 Mark 9 34 | 34 Lakini wao wakanyamaza, maana njiani 217 Mark 9 39 | 39 Lakini Yesu akasema, "Msimkataze, 218 Mark 9 50 | 50 Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa 219 Mark 10 6 | 6 Lakini tangu kuumbwa ulimwengu, 220 Mark 10 13 | watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.~ 221 Mark 10 27 | Kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa Mungu si hivyo, maana 222 Mark 10 31 | 31 Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa 223 Mark 10 40 | 40 Lakini ni nani atakayeketi kulia 224 Mark 10 43 | 43 Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka 225 Mark 10 48 | walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaaza sauti, " 226 Mark 11 11 | akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile ilikwisha kuwa 227 Mark 11 17 | ajili ya mataifa yote!` Lakini ninyi mmeifanya kuwa pango 228 Mark 11 18 | kutafuta njia ya kumwangamiza. Lakini walimwogopa kwa sababu umati 229 Mark 11 29 | 29 Lakini Yesu akawaambia, "Nitawaulizeni 230 Mark 12 7 | 7 Lakini hao wakulima wakaambiana, ` 231 Mark 12 12 | walijaribu kumtia nguvuni, lakini waliogopa umati wa watu. 232 Mark 12 14 | cheo cha mtu si kitu kwako, lakini wafundisha ukweli kuhusu 233 Mark 12 15 | 15 Lakini Yesu alijua unafiki wao, 234 Mark 12 26 | 26 Lakini kuhusu kufufuliwa kwa wafu, 235 Mark 12 44 | kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, 236 Mark 13 7 | Mambo hayo lazima yatokee, lakini mwisho wenyewe ungali bado.~ 237 Mark 13 9 | 9 "Lakini ninyi jihadharini. Maana 238 Mark 13 10 | 10 Lakini lazima kwanza Habari Njema 239 Mark 13 13 | kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho 240 Mark 13 20 | binadamu ambaye angeokolewa. Lakini kwa ajili ya wateule wake, 241 Mark 13 23 | 23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi 242 Mark 13 31 | Mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita 243 Mark 13 32 | 32 "Lakini hakuna mtu ajuaye siku au 244 Mark 14 2 | 2 Lakini walisema, "Tusimtie nguvuni 245 Mark 14 6 | 6 Lakini Yesu akawaambia, "Mwacheni; 246 Mark 14 7 | wakati wowote mnaopenda. Lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi 247 Mark 14 21 | Matakatifu yanavyosema juu yake; lakini, ole wake mtu yule anayemsaliti 248 Mark 14 28 | 28 Lakini nikisha fufuka, nitawatangulieni 249 Mark 14 31 | 31 Lakini Petro akasisitiza, "Hata 250 Mark 14 36 | Uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, 251 Mark 14 38 | majaribu. Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu."~ 252 Mark 14 49 | Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu 253 Mark 14 52 | 52 Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia 254 Mark 14 55 | kumshtaki Yesu wapate kumwua, lakini hawakupata.~ 255 Mark 14 56 | ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.~ 256 Mark 14 59 | 59 Lakini hata hivyo, ushahidi wao 257 Mark 14 61 | 61 Lakini yeye akakaa kimya; hakusema 258 Mark 14 68 | 68 Lakini Petro akakana, "Sijui, wala 259 Mark 14 71 | 71 Lakini Petro akaanza kulaani na 260 Mark 15 5 | 5 Lakini Yesu hakujibu neno, hata 261 Mark 15 11 | 11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea 262 Mark 15 14 | 14 Lakini Pilato akawauliza, "Kwa 263 Mark 15 14 | nini! Amefanya kosa gani?" Lakini wao wakazidi kupaaza sauti, " 264 Mark 15 23 | iliyochanganywa na manemane, lakini yeye akaikataa.~ 265 Mark 15 31 | wakisema, "Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi!~ 266 Mark 16 4 | 4 Lakini walipotazama, waliona jiwe 267 Mark 16 6 | 6 Lakini huyo kijana akawaambia, " 268 Mark 16 11 | 11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu 269 Luke 1 7 | 7 Lakini hawakuwa wamejaliwa watoto 270 Luke 1 13 | 13 Lakini malaika akamwambia, "Zakariya, 271 Luke 1 22 | alikuwa ameona maono Hekaluni. Lakini akawa anawapa ishara kwa 272 Luke 1 60 | 60 Lakini mama yake akasema, "La, 273 Luke 2 19 | 19 Lakini Maria aliyaweka na kuyatafakari 274 Luke 2 43 | safari ya kurudi makwao, lakini Yesu alibaki Yerusalemu 275 Luke 2 50 | 50 Lakini wazazi wake hawakuelewa 276 Luke 3 9 | 9 Lakini, sasa hivi shoka limewekwa 277 Luke 3 16 | Mimi ninawabatiza kwa maji, lakini anakuja mwenye uwezo zaidi 278 Luke 3 19 | 19 Lakini Yohane alimgombeza Herode, 279 Luke 4 12 | 12 Lakini Yesu akamjibu, "Imeandikwa: ` 280 Luke 4 25 | 25 Lakini, sikilizeni! Kweli kulikuwa 281 Luke 4 30 | 30 Lakini Yesu akapita katikati yao, 282 Luke 4 35 | 35 Lakini Yesu akamkemea huyo pepo 283 Luke 4 41 | Wewe u Mwana wa Mungu!" Lakini Yesu akawakemea, wala hakuwaruhusu 284 Luke 4 43 | 43 Lakini yeye akawaambia, "Ninapaswa 285 Luke 5 5 | kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema, nitatupa 286 Luke 5 15 | 15 Lakini habari za Yesu zilizidi 287 Luke 5 16 | 16 Lakini yeye alikwenda zake mahali 288 Luke 5 19 | 19 Lakini kwa sababu ya wingi wa watu, 289 Luke 5 31 | afya hawahitaji daktari, lakini wanaomhitaji ni wale walio 290 Luke 5 33 | Mafarisayo hufanya vivyo hivyo. Lakini wafuasi wako hula na kunywa."~ 291 Luke 5 35 | 35 Lakini wakati utafika ambapo bwana 292 Luke 6 8 | 8 Lakini Yesu alijua mawazo yao, 293 Luke 6 11 | 11 Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana 294 Luke 6 24 | 24 Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri, 295 Luke 6 27 | 27 "Lakini nawaambieni ninyi mnaonisikiliza: 296 Luke 6 40 | hamshindi mwalimu wake, lakini kila mwanafunzi akisha hitimu 297 Luke 6 48 | maji ukaipiga nyumba ile, lakini haukuweza kuitikisa, kwa 298 Luke 6 49 | 49 Lakini yeyote anayesikia maneno 299 Luke 6 49 | anayesikia maneno yangu lakini asifanye chochote, huyo 300 Luke 7 30 | 30 Lakini Mafarisayo na walimu wa 301 Luke 7 32 | kingine: `Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeomboleza, 302 Luke 7 32 | hamkucheza! Tumeomboleza, lakini hamkulia!`~ 303 Luke 7 44 | maji ya kunawa miguu yangu; lakini mwanamke huyu ameniosha 304 Luke 7 45 | hukunisalimu kwa kunibusu, lakini huyu mwanamke tangu nilipoingia 305 Luke 7 46 | kunipaka mafuta kichwani, lakini huyu mwanamke amefanya hivyo 306 Luke 8 10 | siri za Ufalme wa Mungu, lakini hao wengine sivyo; ila hao 307 Luke 8 14 | wale wanaosikia lile neno, lakini muda si muda, wanapokwenda 308 Luke 8 16 | chombo au kuiweka mvunguni. Lakini huiweka juu ya kinara ili 309 Luke 8 18 | aliye na kitu ataongezewa, lakini yule asiye na kitu, hata 310 Luke 8 19 | ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa 311 Luke 8 21 | 21 Lakini Yesu akawaambia watu wote, " 312 Luke 8 25 | Iko wapi imani yenu?" Lakini wao walishangaa na kuogopa 313 Luke 8 29 | kwa minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo 314 Luke 8 38 | akamsihi aende pamoja naye. Lakini Yesu hakumruhusu, bali akamwambia,~ 315 Luke 8 46 | 46 Lakini Yesu akasema, "Kuna mtu 316 Luke 8 52 | kuomboleza kwa ajili yake. Lakini Yesu akawaambia, "Msilie, 317 Luke 8 54 | 54 Lakini Yesu akamshika mkono akasema, " 318 Luke 9 9 | 9 Lakini Herode akasema, "Huyo Yohane 319 Luke 9 11 | 11 Lakini wale watu walipojua alikokwenda, 320 Luke 9 13 | 13 Lakini Yesu akawaambia, "Wapeni 321 Luke 9 22 | walimu wa Sheria; atauawa, lakini siku ya tatu atafufuliwa."~ 322 Luke 9 24 | yake mwenyewe, atayapoteza; lakini atakayeyapoteza maisha yake 323 Luke 9 40 | wanafunzi wako wamfukuze, lakini hawakuweza."~ 324 Luke 9 42 | chini na kumtia kifafa. Lakini Yesu akamkemea yule pepo 325 Luke 9 45 | 45 Lakini wao hawakuelewa maana ya 326 Luke 9 50 | 50 Lakini Yesu akamwambia, "Msimkataze; 327 Luke 9 53 | 53 Lakini wenyeji wa hapo hawakutaka 328 Luke 9 55 | 55 Lakini yeye akawageukia, akawakemea.* 329 Luke 9 58 | mapango, na ndege wana viota; lakini Mwana wa Mtu hana mahali 330 Luke 9 59 | mtu mwingine, "Nifuate." Lakini huyo akasema, "Bwana, niruhusu 331 Luke 9 61 | akamwambia, "Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage 332 Luke 10 2 | Akawaambia, "Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache. Kwa 333 Luke 10 10 | 10 Lakini mkiingia katika mji wowote, 334 Luke 10 11 | yetu tunawakung`utieni. Lakini, jueni kwamba Ufalme wa 335 Luke 10 29 | 29 Lakini yeye akitaka kujihakikishia 336 Luke 10 33 | 33 Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa 337 Luke 10 40 | 40 Lakini Martha alikuwa anashughulika 338 Luke 10 41 | 41 Lakini Bwana akamjibu, "Martha, 339 Luke 11 8 | sababu yeye ni rafiki yake, lakini, kwa sababu ya huyo mtu 340 Luke 11 15 | 15 Lakini baadhi ya watu hao wakasema, " 341 Luke 11 17 | 17 Lakini yeye, akiwa anayajua mawazo 342 Luke 11 20 | 20 Lakini ikiwa ninawafukuza pepo 343 Luke 11 22 | 22 Lakini akija mwenye nguvu zaidi 344 Luke 11 28 | 28 Lakini Yesu akasema, "Lakini heri 345 Luke 11 28 | 28 Lakini Yesu akasema, "Lakini heri zaidi wale wanaolisikia 346 Luke 11 29 | kiovu. Kinataka ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote 347 Luke 11 39 | kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na 348 Luke 11 42 | 42 "Lakini ole wenu Mafarisayo, kwa 349 Luke 11 49 | Nitawapelekea manabii na mitume, lakini watawaua baadhi yao, na 350 Luke 12 6 | kwa senti kumi, au sivyo? Lakini mbele ya Mungu hasahauliki 351 Luke 12 7 | 7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu 352 Luke 12 9 | 9 Lakini, mtu yeyote anayenikana 353 Luke 12 10 | Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu 354 Luke 12 20 | 20 Lakini Mungu akamwambia: `Mpumbavu 355 Luke 12 21 | kwa ajili yake mwenyewe, lakini si tajiri mbele ya Mungu."~ 356 Luke 12 28 | 28 Lakini, kama Mungu hulivika vizuri 357 Luke 12 45 | 45 Lakini, kama mtumishi huyo atafikiri 358 Luke 12 47 | anajua matakwa ya bwana wake lakini hajiweki tayari kufanya 359 Luke 12 48 | 48 Lakini yule afanyaye yanayostahili 360 Luke 13 3 | Nawaambieni hakika sivyo; lakini nanyi, hali kadhalika, msipotubu, 361 Luke 13 5 | 5 Nawaambieni sivyo; lakini nanyi msipotubu, mtaangamia 362 Luke 13 6 | akitaka kuchuma matunda yake, lakini akaukuta haujazaa hata tunda 363 Luke 13 8 | 8 Lakini naye akamjibu: `Bwana, tuuache 364 Luke 13 14 | 14 Lakini mkuu wa sunagogi alikasirika 365 Luke 13 14 | mkaponywe magonjwa yenu; lakini msije siku ya Sabato."~ 366 Luke 13 17 | wapinzani wake waliona aibu lakini watu wengine wote wakajaa 367 Luke 13 24 | wengi watajaribu kuingia lakini hawataweza.~ 368 Luke 13 25 | Bwana, tufungulie mlango.` Lakini yeye atawajibu: `Sijui mmetoka 369 Luke 13 27 | 27 Lakini yeye atasema: `Sijui ninyi 370 Luke 13 28 | katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!~ 371 Luke 13 34 | vyake chini ya mabawa yake, Lakini wewe umekataa.~ 372 Luke 14 4 | 4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu 373 Luke 14 18 | 18 Lakini wote, kwa namna moja, wakaanza 374 Luke 14 22 | yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.`~ 375 Luke 14 30 | Mtu huyu alianza kujenga, lakini hakumalizia.`~ 376 Luke 14 34 | 34 "Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa 377 Luke 15 22 | 22 Lakini baba yake akawaambia watumishi 378 Luke 15 24 | mzima alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana.` Wakaanza 379 Luke 15 29 | 29 Lakini yeye akamjibu: `Kumbuka! 380 Luke 15 30 | 30 Lakini mtoto wako huyu aliyekula 381 Luke 15 32 | mzima; alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana."`~ ~ ~~ ~ 382 Luke 16 14 | 14 Lakini Mafarisayo waliposikia hayo, 383 Luke 16 15 | mnajifanya wema mbele ya watu, lakini Mungu anaijua mioyo yenu. 384 Luke 16 17 | 17 Lakini ni rahisi zaidi mbingu na 385 Luke 16 25 | 25 Lakini Abrahamu akamjibu: `Kumbuka 386 Luke 16 25 | Lazaro akapokea mabaya. Sasa lakini, yeye anatulizwa, nawe unateswa.~ 387 Luke 16 29 | 29 Lakini Abrahamu akamwambia: `Ndugu 388 Luke 16 30 | 30 Lakini yeye akasema: `Sivyo baba 389 Luke 17 1 | vinavyosababisha dhambi; lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.~ 390 Luke 17 22 | ya siku za Mwana wa Mtu, lakini hamtaiona.~ 391 Luke 17 25 | 25 Lakini kabla ya hayo, itambidi 392 Luke 17 29 | 29 Lakini siku ile Loti alipoondoka 393 Luke 18 4 | hakupenda kumtetea huyo mjane; lakini, mwishowe akajisemea: `Ingawa 394 Luke 18 5 | 5 lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, 395 Luke 18 13 | 13 Lakini yule mtoza ushuru, akiwa 396 Luke 18 14 | nyumbani akiwa amesamehewa. Lakini yule mwingine, sivyo. Kwa 397 Luke 18 16 | 16 Lakini Yesu akawaita kwake akisema: " 398 Luke 18 23 | 23 Lakini huyo mtu aliposikia hayo, 399 Luke 18 33 | Watampiga mijeledi, watamuua; lakini siku ya tatu atafufuka."~ 400 Luke 18 34 | 34 Lakini wao hawakuelewa hata kidogo 401 Luke 18 39 | wakamkemea wakimwambia anyamaze; lakini yeye akazidi kupaza sauti: " 402 Luke 19 3 | kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, 403 Luke 19 8 | 8 Lakini Zakayo akasimama akamwambia 404 Luke 19 14 | 14 Lakini wananchi wenzake walimchukia 405 Luke 19 25 | 25 Nao wakamwambia: `Lakini Mheshimiwa, huyo ana faida 406 Luke 19 26 | atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata 407 Luke 19 42 | hii yale yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni 408 Luke 19 46 | itakuwa nyumba ya sala`; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango 409 Luke 19 48 | 48 lakini hawakuwa na la kufanya, 410 Luke 20 5 | 5 Lakini wao wakajadiliana hivi: " 411 Luke 20 10 | matunda ya shamba la mizabibu. Lakini wale wakulima wakampiga 412 Luke 20 11 | tena mtumishi mwingine; lakini wao wakampiga huyo vilevile 413 Luke 20 17 | 17 Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, " 414 Luke 20 35 | 35 lakini wale ambao Mungu atawawezesha 415 Luke 20 37 | 37 Lakini, kwamba kuna kufufuka kutoka 416 Luke 21 4 | kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, 417 Luke 21 8 | Wakati ule umekaribia`. Lakini ninyi msiwafuate!~ 418 Luke 21 9 | lazima hayo yatokee kwanza, lakini mwisho wa yote, bado."~ 419 Luke 21 12 | 12 Lakini kabla ya kutokea hayo yote, 420 Luke 21 18 | 18 Lakini, hata unywele mmoja wa vichwa 421 Luke 21 33 | Mbingu na dunia vitapita, lakini maneno yangu hayatapita.~ 422 Luke 21 37 | akifundisha watu Hekaluni; lakini usiku alikuwa akienda katika 423 Luke 22 2 | wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu.~ 424 Luke 22 21 | 21 "Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti 425 Luke 22 22 | kuuawa kama ilivyopangwa, lakini ole wake mtu anayemsaliti."~ 426 Luke 22 26 | 26 Lakini isiwe hivyo kati yenu; bali, 427 Luke 22 32 | 32 Lakini mimi nimekuombea ili imani 428 Luke 22 36 | 36 Naye akawaambia, "Lakini sasa, yule aliye na mfuko 429 Luke 22 48 | 48 Lakini Yesu akamwambia, "Yuda! 430 Luke 22 53 | Hekaluni hamkunitia nguvuni. Lakini, huu ndio wakati wenu hasa, 431 Luke 22 57 | 57 Lakini Petro akakana akisema, " 432 Luke 22 58 | akasema, "Wewe ni mmoja wao." Lakini Petro akajibu "Bwana we; 433 Luke 22 60 | 60 Lakini Petro akasema, "Bwana wee; 434 Luke 22 67 | Je, wewe ndiwe Kristo?" Lakini Yesu akawaambia, "Hata kama 435 Luke 22 69 | 69 Lakini tangu sasa, Mwana wa Mtu 436 Luke 23 5 | 5 Lakini wao wakasisitiza wakisema: " 437 Luke 23 9 | maswali mengi kwa muda mrefu, lakini Yesu hakumjibu neno.~ 438 Luke 23 18 | 18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: " 439 Luke 23 21 | 21 lakini wao wakapiga kelele: "Msulubishe, 440 Luke 23 23 | 23 Lakini wao wakazidi kupiga kelele 441 Luke 23 40 | 40 Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea 442 Luke 23 41 | malipo ya yale tuliyotenda. Lakini mtu huyu hakufanya chochote 443 Luke 24 12 | 12 Lakini Petro alitoka, akaenda mbio 444 Luke 24 16 | 16 Walimwona kwa macho, lakini hawakumtambua.~ 445 Luke 24 21 | 21 Lakini sisi tulitumaini kwamba 446 Luke 24 29 | 29 lakini wao wakamsihi wakisema, " 447 Luke 24 31 | yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao.~ 448 Luke 24 38 | 38 Lakini yeye akawaambia, "Kwa nini 449 Luke 24 49 | ambaye Baba aliahidi kumtuma, lakini ngojeni huku mjini mpaka 450 John 1 10 | yake ulimwengu uliumbwa, lakini ulimwengu haukumtambua.~ 451 John 1 12 | 12 Lakini wale wote waliompokea na 452 John 1 17 | Sheria kwa njia ya Mose, lakini neema na kweli vimekuja 453 John 1 26 | Mimi nabatiza kwa maji, lakini yuko mmoja kati yenu, msiyemjua 454 John 1 27 | Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata kumfungua 455 John 1 31 | Mimi mwenyewe sikumfahamu, lakini nimekuja kubatiza kwa maji 456 John 1 33 | 33 Mimi sikumjua, lakini yule aliyenituma nikabatize 457 John 2 9 | Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota 458 John 2 10 | tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri 459 John 2 21 | 21 Lakini Yesu alikuwa anaongea juu 460 John 2 24 | 24 Lakini Yesu hakuwa na imani nao 461 John 3 6 | kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho.~ 462 John 3 8 | upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. 463 John 3 11 | kushuhudia tuliyoyaona, lakini ninyi hamkubali ujumbe wetu.~ 464 John 3 19 | Mwanga umekuja ulimwenguni lakini watu wakapenda giza kuliko 465 John 3 21 | 21 Lakini mwenye kuuzingatia ukweli 466 John 3 28 | nilisema: `Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!`~ 467 John 3 29 | Bibiarusi ni wake bwanaarusi, lakini rafiki yake bwana arusi, 468 John 3 31 | huongea mambo ya kidunia. Lakini anayekuja kutoka mbinguni 469 John 3 32 | aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe 470 John 3 33 | 33 Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe 471 John 4 2 | 2 Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa 472 John 4 9 | 9 Lakini huyo mwanamke akamwambia, " 473 John 4 14 | 14 Lakini atakayekunywa maji nitakayompa 474 John 4 20 | waliabudu juu ya mlima huu, lakini ninyi mwasema kwamba mahali 475 John 4 22 | mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, 476 John 4 23 | 23 Lakini wakati unakuja, tena umekwisha 477 John 4 27 | kuona anaongea na mwanamke. Lakini hakuna mtu aliyesema: "Unataka 478 John 4 32 | 32 Lakini Yesu akawaambia, "Mimi ninacho 479 John 4 35 | wakati wa mavuno utafika!` Lakini mimi nawaambieni, yatazameni 480 John 4 38 | wengine walifanya kazi, lakini ninyi mnafaidika kutokana 481 John 5 12 | 11 Lakini yeye akawaambia, "Yule mtu 482 John 5 14 | 13 Lakini yeye hakumjua huyo mtu aliyemponya, 483 John 5 33 | 32 Lakini yuko mwingine ambaye hutoa 484 John 5 35 | nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate 485 John 5 37 | 36 Lakini mimi nina ushahidi juu yangu 486 John 5 43 | 42 Lakini nawajua ninyi, najua kwamba 487 John 5 44 | kwa mamlaka ya Baba yangu, lakini hamnipokei; bali mtu mwingine 488 John 5 48 | 47 Lakini hamuyaamini yale aliyoandika, 489 John 6 9 | shayiri na samaki wawili; lakini hivi vyatosha nini kwa watu 490 John 6 36 | 36 Lakini niliwaambieni kwamba ingawa 491 John 6 49 | walikula mana kule jangwani, lakini walikufa.~ 492 John 7 6 | wangu ufaao haujafika bado. Lakini kwenu ninyi kila wakati 493 John 7 7 | hauwezi kuwachukia ninyi, lakini mimi wanichukia kwa sababu 494 John 7 10 | sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali 495 John 7 18 | anatafuta sifa yake mwenyewe; lakini anayetafuta sifa ya yule 496 John 7 27 | atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu 497 John 7 29 | 29 Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka 498 John 7 30 | wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu 499 John 7 34 | 34 Mtanitafuta lakini hamtaniona, maana pale nitakapokuwa 500 John 7 36 | anaposema: `Mtanitafuta lakini hamtanipata, na mahali nitakapokuwa


1-500 | 501-1000 | 1001-1234

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License