Book, Chapter, Verse
1 Matt 27 62| 62 Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio,
2 Mark 7 2 | mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa.~
3 Mark 7 11| kwamba kitu hicho ni Korbani (yaani ni zawadi kwa Mungu),~
4 Mark 12 6 | Alibakiwa bado na mtu mmoja, yaani mwanawe mpendwa. Mwishowe
5 Mark 15 42| ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.~
6 Luke 12 1 | na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.~
7 John 1 38| Nao wakamjibu, "Rabi (yaani Mwalimu), unakaa wapi?"~
8 John 1 42| maana yake ni Petro, yaani, "Mwamba.")~
9 John 1 45| waliandika habari zake, yaani Yesu Mwana wa Yosefu, kutoka
10 John 8 41| haramu! Tunaye baba mmoja tu, yaani Mungu."~
11 John 20 16| kwa Kiebrania, "Raboni" (yaani "Mwalimu").~
12 Acts 2 33| Baba ile zawadi aliyoahidi yaani Roho Mtakatifu; na mnachoona
13 Acts 5 21| waliita mkutano wa Baraza kuu, yaani halmashauri yote ya wazee
14 Acts 7 12| aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende huko Misri
15 Acts 10 41| wachagua wawe mashahidi wake, yaani sisi tuliokula na kunywa
16 Acts 19 4 | alikuwa anakuja baada yake, yaani Yesu."~
17 Acts 20 24| aliyonipa Bwana Yesu niifanye, yaani nitangaze Habari Njema ya
18 Acts 26 5 | zaidi katika dini yetu, yaani kikundi cha Mafarisayo.~
19 Acts 26 23| 23 yaani ilimpasa Kristo ateseke
20 Roma 2 29| aliye Myahudi kwa ndani, yaani yule ambaye ametahiriwa
21 Roma 5 15| kwa fadhili ya mtu mmoja, yaani Yesu Kristo, Mungu amewazidishia
22 Roma 5 17| alichokifanya yule mtu mmoja, yaani Yesu Kristo, ni bora zaidi.
23 Roma 5 17| kwa njia ya huyo mmoja, yaani Yesu Kristo.~
24 Roma 7 19| 19 Yaani, badala ya kufanya lile
25 Roma 8 15| tunaweza kumwita Mungu, "Aba," yaani "Baba!"~
26 Roma 8 28| pamoja na wote wampendao, yaani wale aliowaita kufuatana
27 Roma 9 10| mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.~
28 Roma 10 6 | atapanda mpaka mbinguni?` (yaani, kumleta Kristo chini);~
29 Roma 10 7 | atashuka mpaka Kuzimu` (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa
30 1Cor 1 21| wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.~
31 1Cor 3 11| ya ule uliokwisha wekwa, yaani Yesu Kristo.~
32 1Cor 9 20| Myahudi ili niwapate Wayahudi; yaani, ingawa mimi siko chini
33 2Cor 5 1 | tunaishi sasa hapa duniani, yaani mwili wetu, itakapong`olewa,
34 Gala 2 9 | wakatushika sisi mkono, yaani Barnaba na mimi, iwe ishara
35 Gala 3 16| hayasemi: "Na wazawa wake," yaani wengi, bali yasema, "Na
36 Gala 3 16| yasema, "Na mzawa wake," yaani mmoja, naye ndiye Kristo.~
37 Gala 4 6 | Roho ambaye hulia "Aba," yaani "Baba."~
38 Ephe 1 7 | Kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.
39 Ephe 1 13| mliusikia ujumbe wa kweli yaani Habari Njema iliyowaletea
40 Ephe 4 22| mwenendo wenu wa awali, yaani ule utu wenu wa kale uliokuwa
41 Ephe 6 2 | ambayo imeongezewa ahadi, yaani,~
42 Colo 1 5 | Wakati ujumbe ule wa kweli, yaani Habari Njema, ilipowafikieni
43 Colo 1 14| njia yake tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.~
44 Colo 1 18| ni kichwa cha mwili wake, yaani kanisa; yeye ni chanzo cha
45 Colo 1 24| kwa ajili ya mwili wake, yaani kanisa.~
46 Hebr 2 5 | wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea
47 Hebr 2 8 | kuwa mtawala wa vitu vyote yaani bila kuacha hata kimoja.
48 Hebr 7 5 | ya kumi kutoka kwa watu, yaani ndugu zao, ingawaje nao
49 Hebr 7 8 | anayepokea sehemu ya kumi, yaani Melkisedeki, anasemekana
50 Hebr 8 2 | Mahali Patakatifu sana, yaani ndani ya ile hema ya kweli
51 Hebr 9 11| isiyofanywa kwa mikono ya watu, yaani isiyo ya ulimwengu huu ulioumbwa.~
52 Hebr 10 20| uzima kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.~
53 Hebr 11 16| wanataka nchi iliyo bora zaidi, yaani nchi ya mbinguni. Ndiyo
54 Hebr 11 40| bora zaidi kwa ajili yetu; yaani wao wangeufikia ukamilifu
55 Hebr 13 15| Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa na midomo
56 1Pet 1 11| mazingira ya tukio hilo, yaani wakati alioudokezea Roho
57 1Pet 3 20| hicho ni watu wachache tu, yaani watu wanane, waliookolewa
58 1Pet 4 14| lamaanisha kwamba Roho mtukufu, yaani Roho wa Mungu, anakaa juu
59 2Pet 3 6 | 6 na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu,
60 Rev 2 26 | uleule nilioupokea kwa Baba: yaani, watayatawala mataifa kwa
61 Rev 3 12 | jina la mji wa Mungu wangu, yaani Yerusalemu mpya, mji ambao
62 Rev 9 11 | kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani mwangamizi.~
63 Rev 9 18 | waliuawa kwa mabaa hayo matatu yaani, moto, moshi na kiberiti,
64 Rev 12 17 | wazawa wengine wa huyo mama, yaani wote wanaotii amri za Mungu
65 Rev 13 17 | mtu aliyetiwa alama hiyo, yaani jina la yule mnyama au tarakimu
66 Rev 14 12 | ni lazima watu wa Mungu, yaani watu wanaotii amri ya Mungu
67 Rev 17 17 | kutekeleza shabaha yake, yaani kwa kukubaliana wao kwa
68 Rev 20 2 | lile joka - nyoka wa kale, yaani Ibilisi au Shetani - akalifunga
69 Rev 20 8 | yaliyotawanyika kila mahali duniani, yaani Gogu na Magogu. Shetani
70 Rev 20 12 | Halafu kitabu kingine, yaani kitabu cha uzima, kikafunguliwa
71 Rev 22 2 | kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake
|