Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
tauni 2
tawala 2
tawi 8
tayari 71
taz 3
tazama 22
tazameni 21
Frequency    [«  »]
71 39
71 huruma
71 kule
71 tayari
71 yaani
70 mali
70 miongoni

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

tayari

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 10| 10 Basi, shoka liko tayari kuikata mizizi ya miti; 2 Matt 10 11| tafuteni humo mtu yeyote aliye tayari kuwakaribisheni, na kaeni 3 Matt 20 23| watapewa wale waliowekewa tayari na Baba yangu."~ 4 Matt 22 4 | walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng' 5 Matt 22 4 | wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.> ~ 6 Matt 22 8 | wake: <Karamu ya arusi iko tayari ~kweli, lakini walioalikwa 7 Matt 24 44| Kwa hiyo, nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana wa Mtu 8 Matt 25 10| wale wanawali waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika 9 Matt 26 41| katika majaribu. Roho i tayari lakini mwili ni dhaifu."~ 10 Luke 3 9 | sasa hivi shoka limewekwa tayari kukata mizizi ya miti. Kila 11 Luke 9 62| Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia 12 Luke 12 35| 35 "Muwe tayari! Jifungeni mkanda kiunoni, 13 Luke 12 40| 40 Nanyi, kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja 14 Luke 12 47| bwana wake lakini hajiweki tayari kufanya anavyotakiwa, atapigwa 15 Luke 12 49| laiti ungekuwa umewaka tayari!~ 16 Luke 14 17| walioalikwa, `Njoni, kila kitu ni tayari.`~ 17 Luke 17 8 | Nitayarishie chakula, ujifunge tayari kunitumikia mpaka nitakapomaliza 18 Luke 22 33| akamjibu, "Bwana, mimi niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani, 19 John 4 35| yatazameni mashamba; mazao yako tayari kuvunwa.~ 20 John 5 36| kuangaza, nanyi mlikuwa tayari kufurahia mwanga huo kwa 21 John 13 37| siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa ajili yako!"~ 22 John 13 38| 38 Yesu akajibu, "Je, uko tayari kweli kufa kwa ajili yangu? 23 Acts 4 26| Wafalme wa dunia walijiweka tayari, na watawala walikutana 24 Acts 8 27| 27 Basi, Filipo akajiweka tayari, akaanza safari. Wakati 25 Acts 18 14| uhalifu au uovu ningekuwa tayari kuwasikilizeni.~ 26 Acts 21 13| wangu kwa machozi? Niko tayari siyo tu kutiwa ndani kule 27 Acts 21 31| 31 Walikuwa tayari kumuua, lakini habari zilimfikia 28 Acts 22 29| Wale watu ambao walikuwa tayari kumchunguza Paulo walitoweka 29 Acts 23 15| kamili zaidi juu yake. Tuko tayari kumuua hata kabla hajafika 30 Acts 23 21| zaidi ya arobaini walio tayari kumvamia. Wameapa kutokula 31 Acts 23 21| watakapokuwa wamemuua. Sasa wako tayari, wanangojea tu uamuzi wako."~ 32 Acts 23 23| wawili akawaambia, "Wekeni tayari askari mia mbili, wapanda 33 Acts 23 23| mikuki, waende Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu 34 Roma 8 24| anayetumaini kile ambacho tayari anakiona?~ 35 1Cor 3 2 | chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko 36 1Cor 3 2 | kukipokea. Hata sasa hamko tayari.~ 37 1Cor 14 8 | taratibu zake, nani atajiweka tayari kwa vita?~ 38 2Cor 2 9 | yalikuwa kutaka kujua kama mko tayari kutii katika kila jambo.~ 39 2Cor 6 8 | 8 Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, 40 2Cor 7 11| kuogopa, mna bidii na mko tayari kuona kwamba haki yatekelezwa. 41 2Cor 7 15| jinsi ninyi nyote mlivyo tayari kutii, na jinsi mlivyomkaribisha 42 2Cor 9 2 | Ndugu zetu wa Akaya wako tayari tangu mwaka jana." Hivyo, 43 2Cor 9 3 | maneno matupu, na kwamba mko tayari kabisa na msaada wenu kama 44 2Cor 9 4 | pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika - 45 2Cor 9 5 | kuja kwenu, wapate kuweka tayari zawadi yenu kubwa mliyoahidi; 46 2Cor 10 6 | katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.~ 47 2Cor 12 14| 14 Sasa niko tayari kabisa kuja kwenu mara ya 48 1The 2 8 | Tuliwapenda ninyi sana hata tukawa tayari kuwashirikisha si tu Habari 49 1Tim 6 18| na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali 50 2Tim 2 21| anamfaa Bwana wake na yupo tayari kwa kila kazi njema.~ 51 2Tim 3 17| Mungu awe mkamilifu, na tayari kabisa kufanya kila tendo 52 2Tim 4 3 | ambayo masikio yao yako tayari kusikia.~ 53 Titus 3 1| mamlaka, kuwatii na kuwa tayari kwa kila namna kutenda mambo 54 Hebr 5 12| 12 Sasa mngalipaswa kuwa tayari walimu, lakini mnahitaji 55 Hebr 10 7 | nikasema: `Niko hapa ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako kama 56 Hebr 10 9 | akasema: "Niko hapa, ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako." Hivyo 57 James 4 2| na kwa vile hamvipati mko tayari kuua; mwatamani sana kupata 58 James 5 5| ya anasa. Mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.~ 59 James 5 9| Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.~ 60 1Pet 1 5 | ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa mwishoni mwa 61 1Pet 1 13| 13 Kwa hiyo, basi, muwe tayari kabisa kwa nia, na kukesha. 62 1Pet 3 15| Bwana mioyoni mwenu. Muwe tayari kumjibu yeyote atakayewaulizeni 63 1Pet 4 5 | hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu wazima na wafu!~ 64 2Pet 2 3 | mrefu sasa Hakimu wao yu tayari, na Mwangamizi wao yu macho!~ 65 1Joh 4 3 | kwamba anakuja, na sasa tayari amekwisha wasili ulimwenguni!~ 66 Rev 8 6 | tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo. ic~ 67 Rev 9 7 | walikuwa kama farasi waliowekwa tayari kwa vita. Juu ya vichwa 68 Rev 12 4 | karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara 69 Rev 12 11 | yao kuwa kitu sana, wakawa tayari kufa.~ 70 Rev 19 7 | umefika, na bibi arusi yuko tayari.~ 71 Rev 21 2 | kama bibi arusi aliyepambwa tayari kukutana na mumewe.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License