Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 14| na mama yake, akaondoka usiku, akaenda Misri.~
2 Matt 4 2 | siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.~
3 Matt 14 25| 25 Usiku, karibu na mapambazuko,
4 Matt 25 6 | 6 Usiku wa manane kukawa na kelele: `
5 Matt 26 31| Kisha Yesu akawaambia, "Usiku huu wa leo, ninyi nyote
6 Matt 26 34| akamwambia, "Kweli nakwambia, usiku huu kabla jogoo hajawika,
7 Matt 28 13| Wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba sisi tukiwa tumelala.`~
8 Mark 4 27| 27 Usiku hulala, mchana yu macho
9 Mark 5 5 | 5 Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani
10 Mark 13 35| lini; huenda ikawa jioni, usiku wa manane, alfajiri au asubuhi.~
11 Mark 14 30| akamwambia, "Kweli nakwambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika
12 Luke 2 8 | walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.~
13 Luke 2 37| Hekaluni akifunga na kusali usiku na mchana.~
14 Luke 5 5 | tumejitahidi kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu,
15 Luke 6 12| mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akimwomba Mungu.~
16 Luke 11 5 | anaye rafiki, akaenda kwake usiku wa manane, akamwambia: `
17 Luke 12 20| akamwambia: `Mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa.
18 Luke 12 38| wanakesha hata ikiwa atarudi usiku wa manane au alfajiri.~
19 Luke 17 34| 34 Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala
20 Luke 18 7 | ambao wanamlilia mchana na usiku? Je, atakawia kuwasikiliza?~
21 Luke 21 37| akifundisha watu Hekaluni; lakini usiku alikuwa akienda katika mlima
22 Luke 24 29| nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia." Basi, akaingia
23 John 3 2 | Siku moja alimwendea Yesu usiku, akamwambia, "Rabi, tunajua
24 John 9 4 | yule aliyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi
25 John 11 10| 10 Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga
26 John 13 30| akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku.~
27 John 19 39| alikuwa amemwendea Yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko
28 John 21 3 | wakapanda mashua, lakini usiku huo hawakupata chochote.~
29 Acts 4 3 | waliwatia nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka
30 Acts 5 19| 19 Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua
31 Acts 9 24| alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango
32 Acts 9 25| 25 Lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua,
33 Acts 10 23| akawapa mahali pa kulala usiku ule. Kesho yake, Petro alianza
34 Acts 12 6 | 6 Usiku, kabla ya siku ile ambayo
35 Acts 16 9 | 9 Usiku huo, Paulo aliona ono ambalo
36 Acts 16 25| 25 Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila
37 Acts 16 33| aliwachukua saa ileile ya usiku akawasafisha majeraha yao,
38 Acts 17 10| 10 Usiku, wale ndugu waliwahimiza
39 Acts 18 9 | 9 Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo
40 Acts 20 7 | kuendelea kuongea nao hadi usiku wa manane.~
41 Acts 20 31| kwa muda wa miaka mitatu, usiku na mchana, sikuchoka kumwonya
42 Acts 23 11| 11 Usiku uliofuata, Bwana alisimama
43 Acts 23 23| kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.~
44 Acts 23 31| walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri.~
45 Acts 26 7 | Mungu kwa dhati mchana na usiku. Mheshimiwa mfalme, Wayahudi
46 Acts 27 23| 23 Kwa maana jana usiku malaika wa yule Mungu ambaye
47 Acts 27 27| 27 Usiku wa siku ya kumi na nne,
48 Acts 27 27| bahari ya Adria. Karibu na usiku wa manane wanamaji walijihisi
49 Roma 13 12| 12 Usiku unakwisha na mchana unakaribia.
50 1Cor 11 23| niliyowaachieni: kwamba, usiku ule Bwana Yesu aliotolewa,
51 2Cor 11 25| baharini, na humo nikakesha usiku kucha na kushinda mchana
52 1The 2 9 | tulifanya kazi mchana na usiku kusudi tusiwe mzigo kwa
53 1The 3 10| Tunazidi kumwomba Mungu usiku na mchana kwa moyo wetu
54 1The 5 2 | itakuja kama mwizi ajavyo usiku.~
55 1The 5 5 | mchana. Sisi si watu wa usiku, wala wa giza.~
56 1The 5 7 | 7 Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.~
57 1The 5 7 | usiku, na walevi hulewa usiku.~
58 2The 3 8 | bidii na taabu mchana na usiku ili tusiwe mzigo kwa mtu
59 1Tim 5 5 | kusali na kumwomba msaada usiku na mchana.~
60 2Tim 1 4 | machozi yako na ninatamani usiku na mchana kukuona, ili nijazwe
61 Hebr 13 17| wao huchunga roho zenu usiku na mchana, na watatoa ripoti
62 Rev 4 8 | vimejaa macho, ndani na nje. Usiku na mchana, bila kupumzika
63 Rev 7 15 | Humtumikia Mungu mchana na usiku katika Hekalu lake; naye
64 Rev 8 12 | kadhalika na theluthi moja ya usiku.~
65 Rev 12 10 | mbele ya Mungu akiwashtaki usiku na mchana, sasa ametupwa
66 Rev 14 11 | hawatakuwa na nafuu yoyote usiku na mchana."~
67 Rev 20 10 | nao watateswa mchana na usiku, milele na milele.~
68 Rev 21 25 | wote; maana hakutakuwa na usiku humo.~
69 Rev 22 5 | 5 Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji
|