Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
fungwa 1
fununu 2
fupi 4
furaha 68
furahi 2
furahini 13
fursa 9
Frequency    [«  »]
69 alisema
69 mafundisho
69 usiku
68 furaha
68 hekaluni
67 galilaya
67 kutokana

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

furaha

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 13 20 | huo na mara akaupokea kwa furaha.~ 2 Matt 28 8 | 8 Wakiwa wenye hofu na furaha kubwa, hao wanawake walitoka 3 Mark 4 16 | hilo neno hulipokea kwa furaha.~ 4 Mark 12 37 | ulikuwa ukimsikiliza kwa furaha.~ 5 Luke 1 14 | 14 Utakuwa na furaha kubwa na watu wengi watashangilia 6 Luke 1 44 | tumboni mwangu aliruka kwa furaha.~ 7 Luke 2 10 | Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu kwa watu wote.~ 8 Luke 6 21 | maana baadaye mtacheka kwa furaha.~ 9 Luke 6 25 | wenu ninyi mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza 10 Luke 8 13 | lile neno hulipokea kwa furaha. Hata hivyo, kama zile mbegu, 11 Luke 10 17 | wawili walirudi wamejaa furaha, wakisema, "Bwana, hata 12 Luke 13 17 | watu wengine wote wakajaa furaha kwa sababu ya mambo yote 13 Luke 15 5 | Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha.~ 14 Luke 15 7 | ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu 15 Luke 19 6 | haraka, akamkaribisha kwa furaha.~ 16 Luke 24 41 | kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, 17 Luke 24 52 | wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa:~ 18 John 3 29 | bwana arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.~ 19 John 15 11 | Nimewaambieni mambo haya ili furaha yangu ikae ndani yenu, na 20 John 15 11 | yangu ikae ndani yenu, na furaha yenu ikamilike.~ 21 John 16 20 | huzuni yenu itageuka kuwa furaha.~ 22 John 16 21 | maumivu hayo kwa sababu ya furaha kwamba mtu amezaliwa duniani.~ 23 John 16 22 | nitawajieni tena, nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha 24 John 16 22 | furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa 25 John 16 24 | Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.~ 26 John 17 13 | waweze kushiriki kikamilifu furaha yangu.~ 27 Acts 2 26 | nilipiga vigelegele vya furaha. Mwili wangu utakaa katika 28 Acts 2 28 | kuwako kwako kwanijaza furaha!`~ 29 Acts 2 46 | wakakishiriki chakula hicho kwa furaha na moyo mkunjufu.~ 30 Acts 5 41 | halmashauri wakiwa wamejaa furaha, kwani walistahili kuaibishwa 31 Acts 8 8 | 8 Kukawa na furaha kubwa katika mji ule.~ 32 Acts 8 39 | safari yake akiwa amejaa furaha.~ 33 Acts 13 52 | wafuasi walikuwa wamejaa furaha na Roho Mtakatifu.~ ~ ~~ ~ 34 Acts 14 17 | chakula na kuijaza mioyo yenu furaha."~ 35 Acts 24 3 | Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani 36 Roma 4 6 | Daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu ambaye Mungu amemkubali 37 Roma 12 8 | huruma na afanye hivyo kwa furaha.~ 38 Roma 12 12 | lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi katika shida 39 Roma 14 17 | kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu.~ 40 Roma 15 13 | wa matumaini, awajazeni furaha yote na amani kutokana na 41 Roma 15 32 | nitaweza kuja kwenu na moyo wa furaha, nikapumzike pamoja nanyi.~ 42 Roma 16 19 | hivyo mmekuwa sababu ya furaha yangu. Nawatakeni muwe na 43 2Cor 1 24 | kazi pamoja kwa ajili ya furaha yenu.~ 44 2Cor 2 3 | ambao ndio mngepaswa kuwa furaha yangu. Nina hakika kwamba, 45 2Cor 7 13 | Tito alitufurahisha kwa furaha aliyokuwa nayo kutokana 46 2Cor 8 2 | walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa hivi hata 47 2Cor 9 7 | humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.~ 48 Gala 4 15 | 15 Mlikuwa wenye furaha; sasa kumetokea nini? Naapa 49 Gala 5 22 | kuongozwa na Roho ni mapendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, 50 Colo 1 12 | 12 Na kwa furaha, mshukuruni Baba aliyewawezesha 51 1The 1 6 | mliupokea ujumbe huo kwa furaha itokayo kwa Roho Mtakatifu.~ 52 1The 2 19 | ninyi ndio tumaini letu na furaha yetu.~ 53 1The 2 20 | ninyi ni utukufu wetu na furaha yetu!~ ~ ~~ ~ 54 1The 3 9 | ajili yenu. Tunamshukuru kwa furaha tuliyo nayo mbele yake kwa 55 2Tim 1 4 | mchana kukuona, ili nijazwe furaha. ~ 56 Phil 1 7 | upendo wako yameniletea furaha kubwa na kunipa moyo sana! 57 Hebr 1 9 | amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko wenzako."~ 58 Hebr 10 34 | mali yenu mlistahimili kwa furaha, maana mlijua kwamba mnayo 59 Hebr 12 2 | ataikamilisha. Kwa ajili ya furaha iliyokuwa inamngojea, yeye 60 Hebr 13 17 | mkiwatii watafanya kazi zao kwa furaha, la sivyo, watazifanya kwa 61 James 1 2 | 2 Ndugu zangu, muwe na furaha mnapopatwa na majaribu mbalimbali,~ 62 James 4 9 | chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.~ 63 James 5 13| kusali. Je, yuko mwenye furaha? Anapaswa kuimba nyimbo 64 1Pet 1 8 | sasa. Hivyo, mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka,~ 65 1Pet 4 13 | Kristo ili mweze kuwa na furaha tele wakati utukufu wake 66 2Pet 2 13 | ambayo wameyasababisha. Furaha yao ni kufanya, tena mchana 67 1Joh 1 4 | ninyi mambo haya kusudi furaha yetu ikamilike.~ 68 2Joh 1 12 | kuzungumza nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ikamilike.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License