Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
uoga 9
uondolewe 1
uone 2
uongo 67
uongoze 1
uongozi 6
uongozwe 1
Frequency    [«  »]
67 kutokana
67 miguu
67 pilato
67 uongo
67 yakobo
66 40
66 haki

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

uongo

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 7 15 | Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana 2 Matt 15 19 | uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.~ 3 Matt 19 18 | usiibe, usitoe ushahidi wa uongo,~ 4 Matt 24 11 | Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi.~ 5 Matt 24 24 | watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya 6 Matt 24 24 | Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa 7 Matt 26 59 | lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumwua,~ 8 Matt 26 60 | walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja mashahidi 9 Matt 27 64 | kuwaambia watu kwamba amefufuka. Uongo huu wa mwisho utakuwa mbaya 10 Mark 10 19 | Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Usidanganye; Waheshimu 11 Mark 13 22 | watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya 12 Mark 13 22 | Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, 13 Mark 14 56 | wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi 14 Mark 14 57 | walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:~ 15 Luke 3 14 | wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara 16 Luke 6 26 | waliwafanyia manabii wa uongo vivyo hivyo.~ 17 Luke 18 20 | usiibe; usitoe ushahidi wa uongo; waheshimu baba yako na 18 John 8 44 | ndani yake. Kila asemapo uongo, husema kutokana na hali 19 John 8 44 | yeye ni mwongo na baba wa uongo.~ 20 Acts 6 13 | Walileta Barazani mashahidi wa uongo ambao walisema, "Mtu huyu 21 Acts 20 30 | ambao watasema mambo ya uongo ili kuwapotosha watu na 22 Acts 21 25 | kilichotambikiwa miungu ya uongo, wasinywe damu, wasile nyama 23 Roma 1 25 | ukweli juu ya Mungu kwa uongo; wanaheshimu na kuabudu 24 Roma 9 1 | nimeungana na Kristo nami sisemi uongo. Dhamiri yangu ikiongozwa 25 1Cor 15 15 | sisi tungekuwa mashahidi wa uongo mbele ya Mungu, maana tulisema 26 2Cor 6 16 | uhusiano gani na sanamu za uongo? Maana sisi ni hekalu la 27 2Cor 10 4 | Tunaharibu hoja zote za uongo,~ 28 2Cor 11 3 | yule nyoka kwa hila zake za uongo alimdanganya Hawa, fikira 29 2Cor 11 13 | Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi wadanganyifu 30 2Cor 11 26 | hatari kutoka kwa ndugu wa uongo~ 31 2Cor 11 31 | yeye anajua kwamba sisemi uongo.~ 32 Gala 1 20 | ninayowaandikieni, Mungu anajua; sisemi uongo.~ 33 Gala 2 4 | kulikuwa na ndugu wengine wa uongo waliotaka atahiriwe. Watu 34 Ephe 4 25 | 25 Kwa hiyo, acheni uongo. Kila mmoja anapaswa kumwambia 35 Colo 2 4 | mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia 36 Colo 2 18 | anasisitiza juu ya unyenyekevu wa uongo na ibada kwa malaika. Mtu 37 Colo 2 23 | wenyewe, unyenyekevu wa uongo na kuutendea mwili kwa ukali; 38 Colo 3 9 | 9 Msiambiane uongo, kwani ninyi mmekwisha vua 39 1The 2 3 | kwenu si jambo linalotegemea uongo au nia mbaya; wala hatupendi 40 2The 2 9 | ya miujiza na maajabu ya uongo,~ 41 2The 2 11 | nguvu ya upotovu, wauamini uongo.~ 42 1Tim 1 3 | wanaofundisha mafundisho ya uongo. Wakomeshe watu hao.~ 43 1Tim 1 10 | watu, waongo, na wanaoapa uongo au wanaofanya chochote ambacho 44 1Tim 2 7 | ukweli. Nasema ukweli; sisemi uongo!~ 45 2Tim 4 4 | ukweli, watageukia hadithi za uongo.~ 46 Titus 1 2 | milele. Mungu ambaye hasemi uongo, alituahidia uzima huo kabla 47 Titus 1 12| alisema: "Wakrete, husema uongo daima; ni kama wanyama wabaya, 48 Hebr 6 18 | hivyo Mungu hawezi kusema uongo. Kwa hiyo sisi tuliokimbilia 49 James 3 14| basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli.~ 50 1Pet 2 1 | Basi, acheni uovu wote; uongo, unafiki, wivu na maneno 51 1Pet 3 10 | mabaya na kuacha kusema uongo.~ 52 2Pet 2 1 | 1 Palitokea manabii wa uongo kati ya watu, na vivyo hivyo 53 2Pet 2 1 | na vivyo hivyo walimu wa uongo watatokea kati yenu. Watu 54 2Pet 2 3 | kwa kuwaambieni hadithi za uongo. Lakini kwa muda mrefu sasa 55 2Pet 2 11 | zaidi kuliko hao walimu wa uongo, hawawashtaki na kuwatukana 56 1Joh 1 6 | gizani, tutakuwa tumesema uongo kwa maneno na matendo.~ 57 1Joh 2 21 | mnaujua; na pia mnajua kwamba uongo wowote haupatikani katika 58 1Joh 2 27 | yake ni ya kweli, si ya uongo. Basi shikeni mafundisho 59 1Joh 4 1 | Maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.~ 60 1Joh 4 4 | washinda hao manabii wa uongo; maana Roho aliye ndani 61 1Joh 4 6 | Roho wa ukweli na roho wa uongo.~ 62 3Joh 1 10 | maneno mabaya anayotutolea na uongo anaosema juu yetu. Isitoshe, 63 Rev 16 13 | kinywani mwa yule nabii wa uongo.~ 64 Rev 19 20 | mateka, pamoja na nabii wa uongo aliyekuwa akifanya miujiza 65 Rev 20 10 | mnyama na yule nabii wa uongo, nao watateswa mchana na 66 Rev 21 27 | mambo ya kuchukiza au ya uongo hataingia humo. Ni wale 67 Rev 22 15 | na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License