Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 35| ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa Yerusalemu, maana
2 Matt 14 13| walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.~
3 Matt 15 30| wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye Yesu akawaponya.~
4 Matt 18 8 | ukiwa na mikono miwili na miguu yako miwili.~
5 Matt 22 13| akawaambia watumishi, <Mfungeni miguu na mikono ~mkamtupe nje
6 Matt 22 44| niwaweke adui zako chini ya miguu yako.> ~\m ~
7 Matt 28 9 | magoti mbele yake, wakashika miguu yake.~
8 Mark 5 22| Yesu, akajitupa mbele ya miguu yake,~
9 Mark 7 25| akajitupa chini mbele ya miguu yake.~
10 Mark 9 45| mguu mmoja, kuliko kuwa na miguu yote miwili na kutupwa katika
11 Mark 12 36| nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako."`~
12 Luke 7 38| Akaja, akasimama karibu na miguu yake Yesu, akilia, na machozi
13 Luke 7 38| Huyo mwanamke akaipangusa miguu ya Yesu kwa nywele zake.
14 Luke 7 44| hukunipa maji ya kunawa miguu yangu; lakini mwanamke huyu
15 Luke 7 44| mwanamke huyu ameniosha miguu yangu kwa machozi yake na
16 Luke 7 45| nilipoingia hapa amekuwa akiibusu miguu yangu.~
17 Luke 7 46| hivyo kwa kunipaka mafuta miguu yangu.~
18 Luke 10 11| wenu yaliyoshikamana na miguu yetu tunawakung`utieni.
19 Luke 17 16| Akajitupa chini mbele ya miguu ya Yesu huku akimshukuru.
20 Luke 20 43| zako kama kiti cha kuwekea miguu yako.`~
21 Luke 24 39| 39 Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi
22 Luke 24 40| akawaonyesha mikono na miguu.~
23 John 11 44| nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa.
24 John 12 3 | thamani kubwa, akampaka Yesu miguu na kuipangusa kwa nywele
25 John 13 5 | kuwaosha wanafunzi wake miguu na kuipangusa kwa kile kitambaa
26 John 13 6 | Bwana, wewe utaniosha miguu mimi?"~
27 John 13 8 | akamwambia, "Wewe hutaniosha miguu kamwe!" Yesu akamjibu, "
28 John 13 9 | akamwambia, "Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono yangu
29 John 13 10| lazima ya kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata
30 John 13 12| 12 Alipokwisha waosha miguu na kuvaa tena vazi lake,
31 John 13 14| Mwalimu, nimewaosha ninyi miguu, nanyi pia mnapaswa kuoshana
32 John 13 14| nanyi pia mnapaswa kuoshana miguu.~
33 John 19 31| Wayahudi walimwomba Pilato miguu ya hao waliosulubiwa ivunjwe
34 John 19 32| askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na
35 John 19 33| kufa, na hivyo hawakumvunja miguu.~
36 Acts 2 35| zako kibao cha kukanyagia miguu yako.`~
37 Acts 3 7 | kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata
38 Acts 5 10| Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana
39 Acts 7 49| kiti changu cha kuwekea miguu.~
40 Acts 10 12| ya wanyama: wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao
41 Acts 11 6 | makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni,
42 Acts 13 51| mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda
43 Acts 14 8 | ambaye alikuwa amelemaa miguu tangu kuzaliwa, na alikuwa
44 Acts 14 10| kubwa, "Simama wima kwa miguu yako!" Huyo mtu aliyelemaa
45 Acts 16 24| kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.~
46 Acts 16 29| ndani, akajitupa mbele ya miguu ya Paulo na Sila huku akitetemeka
47 Acts 21 11| Paulo, akajifunga mikono na miguu, akasema "Roho Mtakatifu
48 Acts 23 32| 32 Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha
49 Roma 3 15| 15 Miguu yao iko mbioni kumwaga damu,~
50 Roma 16 20| kumponda Shetani chini ya miguu yenu. Neema ya Bwana wetu
51 1Cor 12 21| kichwa hakiwezi kuiambia miguu: "Siwahitaji ninyi."~
52 1Cor 15 25| zake na kuwaweka chini ya miguu yake.~
53 1Cor 15 27| ameweka vitu vyote chini ya miguu yake." Lakini, Maandiko
54 1Cor 15 27| vyote vimewekwa chini ya miguu yake avitawale" ni dhahiri
55 Ephe 1 22| ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa
56 1Tim 5 10| nyumbani kwake, aliyewaosha miguu watu wa Mungu, aliyewasaidia
57 Hebr 1 13| niwaweke adui zako chini ya miguu yako."~
58 Hebr 2 8 | ukaweka kila kitu chini ya miguu yake, avitawale." Yasemwa
59 Hebr 10 13| watakapowekwa kama kibao chini ya miguu yake.~
60 Rev 1 15 | 15 miguu yake iling`aa kama shaba
61 Rev 1 17 | tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini
62 Rev 2 18 | yametameta kama moto, na miguu yake inang`aa kama shaba
63 Rev 10 1 | wake ulikuwa kama jua, na miguu yake ilikuwa kama moto.~
64 Rev 12 1 | aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi
65 Rev 13 2 | niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake ilikuwa kama ya dubu,
66 Rev 19 10 | nikaanguka kifudifudi mbele ya miguu yake nikataka kumwabudu.
67 Rev 22 8 | nikajitupa chini mbele ya miguu ya huyo malaika aliyenionyesha
|