Book, Chapter, Verse
1 Matt 11 19| inathibitishwa kuwa njema kutokana na matendo yake."~
2 Matt 12 34| waovu? Maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.~
3 Mark 12 44| 44 Maana wote walitoa kutokana na ziada ya mali zao, lakini
4 Luke 6 44| 44 Watu huutambua mti kutokana na matunda yake. Ni wazi
5 Luke 6 45| mwake, kwa maana mtu huongea kutokana na yale yaliyojaa moyoni
6 Luke 13 11| kwa miaka kumi na minane kutokana na pepo aliyekuwa amempagaa.
7 Luke 16 9 | nawaambieni, jifanyieni marafiki kutokana na mali ya dunia, ili zitakapowaishieni,
8 Luke 19 22| akamwambia: `Nakuhukumu kutokana na msemo wako, ewe mtumishi
9 Luke 21 4 | wote wametoa sadaka zao kutokana na ziada ya mali zao, lakini
10 Luke 21 25| dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi ya
11 John 1 16| 16 Kutokana na ukamilifu wake sisi tumepokea
12 John 4 6 | kisima cha Yakobo, naye Yesu, kutokana na uchovu wa safari, akaketi
13 John 4 38| lakini ninyi mnafaidika kutokana na jasho lao."~
14 John 6 66| 66 Kutokana na hayo, wengi wa wafuasi
15 John 8 44| Kila asemapo uongo, husema kutokana na hali yake ya maumbile,
16 John 17 20| nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.~
17 Acts 1 18| kwa zile fedha alizopata kutokana na kitendo chake kiovu.
18 Acts 5 3 | sehemu ya fedha ulizopata kutokana na lile shamba?~
19 Acts 11 19| 19 Kutokana na mateso yaliyotokea wakati
20 Acts 13 23| 23 Kutokana na ukoo wake mtu huyu, Mungu,
21 Acts 16 24| 24 Kutokana na maagizo hayo, huyo askari
22 Acts 17 26| 26 Kutokana na mtu mmoja aliumba mataifa
23 Acts 19 40| kushtakiwa kwa kusababisha ghasia kutokana na vituko vya leo. Ghasia
24 Acts 20 19| na matatizo yaliyonipata kutokana na mipango ya hila ya Wayahudi.~
25 Acts 22 11| 11 Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza
26 Acts 28 9 | 9 Kutokana na tukio hilo, wagonjwa
27 Roma 1 20| wanaweza kuyajua mambo hayo kutokana na vitu hivyo alivyoumba
28 Roma 4 2 | alikubaliwa kuwa mwadilifu kutokana na matendo yake, basi, anacho
29 Roma 4 20| ya Mungu; alipata nguvu kutokana na imani, akamtukuza Mungu.~
30 Roma 6 21| mlipata faida gani siku zile kutokana na mambo yale ambayo mnayaonea
31 Roma 8 31| 31 Kutokana na hayo, tuseme nini zaidi?
32 Roma 9 8 | Mungu, bali wale waliozaliwa kutokana na ahadi ya Mungu ndio watakaoitwa
33 Roma 11 11| wakaangamia kabisa? Hata kidogo! Kutokana na kosa lao ukombozi umewajia
34 Roma 11 30| sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao.~
35 Roma 11 31| 31 Hali kadhalika, kutokana na huruma mliyojaliwa ninyi,
36 Roma 12 3 | 3 Kutokana na neema aliyonijalia Mungu,
37 Roma 15 4 | ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo
38 Roma 15 13| awajazeni furaha yote na amani kutokana na imani yenu; tumaini lenu
39 1Cor 4 6 | yangu, ni kielelezo kwenu: kutokana na mfano wangu mimi na Apolo
40 1Cor 7 26| 26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani
41 1Cor 9 14| Njema wapate riziki zao kutokana nayo.~
42 2Cor 1 11| neema tutakazokuwa tumepata kutokana na maombi ya watu wengi
43 2Cor 7 13| kwa furaha aliyokuwa nayo kutokana na jinsi mlivyomchangamsha
44 2Cor 8 9 | maskini kwa ajili yenu, ili kutokana na umaskini wake, awatajirishe.~
45 2Cor 9 13| 13 Kutokana na uthibitisho unaoonyeshwa
46 Gala 1 2 | Mimi nimepata kuwa mtume si kutokana na mamlaka ya binadamu,
47 Gala 4 23| mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.~
48 Gala 4 28| ninyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa
49 Gala 5 10| 10 Kutokana na kuungana kwetu na Bwana,
50 Ephe 2 15| zake na kanuni zake, ili kutokana na jamii hizo mbili aumbe
51 Ephe 3 1 | 1 Kutokana na hayo, mimi Paulo, mfungwa
52 1The 1 8 | 8 Maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa
53 1Tim 6 2 | maana hao wanaopata faida kutokana na kazi yao ni waumini ambao
54 Phil 1 14| kwani wema wako unapaswa kutokana na hiari yako wewe mwenyewe
55 Hebr 7 11| 11 Kutokana na ukuhani wa Walawi, watu
56 Hebr 7 22| 22 Basi, kutokana na tofauti hii, Yesu amekuwa
57 Hebr 9 8 | 8 Kutokana na taratibu hizo Roho Mtakatifu
58 Hebr 9 14| itatutakasa dhamiri zetu kutokana na matendo yaletayo kifo,
59 Hebr 11 7 | yeye pamoja na jamaa yake. Kutokana na hayo ulimwengu ulihukumiwa,
60 1Pet 3 4 | Bali, uzuri wenu unapaswa kutokana na hali ya ndani ya utu
61 2Pet 2 12| kuchinjwa! Wataangamizwa kutokana na uharibifu wao wenyewe,~
62 Rev 8 11 | machungu; watu wengi wakafa kutokana na maji hayo, kwa sababu
63 Rev 13 10 | lazima watauawa kwa upanga. Kutokana na hayo ni lazima watu wa
64 Rev 14 12 | 12 Kutokana na hayo, ni lazima watu
65 Rev 18 3 | wafanyabiashara wa dunia wametajirika kutokana na anasa zake zisizo na
66 Rev 18 15 | Wafanya biashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali
67 Rev 18 19 | zisafirizo baharini walitajirika kutokana na utajiri wake. Kwa muda
|