Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
gadi 1
galatia 6
galatians 1
galilaya 67
galio 3
gamalieli 2
gani 97
Frequency    [«  »]
69 usiku
68 furaha
68 hekaluni
67 galilaya
67 kutokana
67 miguu
67 pilato

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

galilaya

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 22| alikwenda katika mkoa wa Galilaya,~ 2 Matt 3 13| Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, 3 Matt 4 12| ametiwa gerezani alikwenda Galilaya.~ 4 Matt 4 15| ng`ambo ya mto Yordani, Galilaya nchi ya watu wa Mataifa!~ 5 Matt 4 18| anatembea kando ya ziwa Galilaya, aliwaona ndugu wawili wavuvi; 6 Matt 4 23| anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi 7 Matt 4 25| Makundi mengi ya watu kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea 8 Matt 15 29| hapo akaenda kando ya ziwa Galilaya, akapanda mlimani, akaketi.~ 9 Matt 17 22| 22 Walipokuwa pamoja huko Galilaya, Yesu aliwaambia, "Mwana 10 Matt 19 1 | kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda katika mkoa wa 11 Matt 21 11| Nazareti katika mkoa wa Galilaya."~ 12 Matt 26 32| kwangu, nitawatangulieni Galilaya."~ 13 Matt 26 69| ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya."~ 14 Matt 27 55| waliomfuata Yesu kutoka Galilaya wakimtumikia.~ 15 Matt 28 7 | sasa anawatangulieni kule Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi 16 Matt 28 10| mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, na huko wataniona."~ 17 Matt 28 16| kumi na mmoja walikwenda Galilaya kwenye ule mlima aliowaagiza 18 Mark 1 9 | kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika 19 Mark 1 14| gerezani, Yesu alikwenda Galilaya, akahubiri Habari Njema 20 Mark 1 16| Alipokuwa anapita kando ya ziwa Galilaya, aliwaona wavuvi wawili: 21 Mark 1 28| mahali katika wilaya ya Galilaya.~ 22 Mark 1 39| Basi, akaenda kila mahali Galilaya akihubiri katika masunagogi 23 Mark 6 21| majemadari na viongozi wa Galilaya.~ 24 Mark 7 31| akapitia Sidoni, akafika ziwa Galilaya kwa kupitia nchi ya Dekapoli.~ 25 Mark 9 30| safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue 26 Mark 14 28| fufuka, nitawatangulieni kule Galilaya."~ 27 Mark 15 41| walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa 28 Mark 16 7 | kwamba anawatangulieni kule Galilaya. Huko mtamwona kama alivyowaambieni."~ 29 Luke 1 26| mji uitwao Nazareti huko Galilaya,~ 30 Luke 2 4 | kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya. Kwa kuwa alikuwa wa jamaa 31 Luke 2 39| makwao Nazareti, mkoani Galilaya.~ 32 Luke 3 1 | alikuwa mkuu wa mkoa wa Galilaya, na Filipo, ndugu yake, 33 Luke 4 14| 14 Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho 34 Luke 4 31| Kafarnaumu katika mkoa wa Galilaya, akawa anawafundisha watu 35 Luke 5 17| kutoka katika kila kijiji cha Galilaya, Yudea na Yerusalemu, walikuwa 36 Luke 8 26| Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ng`ambo ya ziwa.~ 37 Luke 13 1 | wakamweleza Yesu juu ya watu wa Galilaya ambao Pilato alikuwa amewaua 38 Luke 17 11| mipakani mwa Samaria na Galilaya.~ 39 Luke 22 59| alikuwa pamoja naye; ametoka Galilaya ati."~ 40 Luke 23 5 | nchi yote ya Yudea; alianza Galilaya, na sasa yuko hapa."~ 41 Luke 23 6 | mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?"~ 42 Luke 23 49| walioandamana naye kutoka Galilaya, walisimama kwa mbali kutazama 43 Luke 23 55| walioandamana na Yesu kutoka Galilaya walimfuata Yosefu, wakaliona 44 Luke 24 6 | aliyowaambieni alipokuwa kule Galilaya:~ 45 John 1 43| yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, 46 John 2 1 | arusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo,~ 47 John 2 11| hii ya kwanza huko Kana, Galilaya, akaonyesha utukufu wake; 48 John 4 3 | hayo, alitoka Yudea akarudi Galilaya;~ 49 John 4 43| aliondoka hapo, akaenda Galilaya.~ 50 John 4 45| 45 Basi, alipofika Galilaya, Wagalilaya wengi walimkaribisha. 51 John 4 46| huko mjini Kana, mkoani Galilaya, mahali alipogeuza maji 52 John 4 47| ametoka Yudea na kufika Galilaya, alimwendea akamwomba aende 53 John 4 54| alipokuwa anatoka Yudea kwenda Galilaya.~ ~ ~~ ~ 54 John 6 1 | hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au Ziwa Tiberia).~ 55 John 7 1 | alikuwa akitembea katika Galilaya. Hakutaka kutembea mkoani 56 John 7 9 | hayo kisha akabaki huko Galilaya.~ 57 John 7 41| yawezekana Kristo akatoka Galilaya?~ 58 John 7 52| wakamjibu, "Je, wewe pia umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko 59 John 7 52| Matakatifu nawe utaona kwamba Galilaya hakutoki kamwe nabii!" [[[~ 60 John 12 21| mwenyeji wa Bethsaida katika Galilaya, wakasema, "Mheshimiwa, 61 John 21 2 | Nathanieli mwenyeji wa Kana Galilaya, wana wawili wa Zebedayo 62 Acts 1 11| wakasema, "Enyi wananchi wa Galilaya! Mbona mnasimama mkitazama 63 Acts 2 7 | wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?~ 64 Acts 5 37| kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. Huyu naye, aliwavuta watu 65 Acts 9 31| amani popote katika Yudea, Galilaya, na Samaria. Lilijengwa 66 Acts 10 37| yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri 67 Acts 13 31| waliofuatana naye kutoka Galilaya mpaka Yerusalemu. Hao ndio


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License