Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 27 | 27 Ni nani miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi sana
2 Matt 7 9 | Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba
3 Matt 9 4 | nini mnawaza mabaya mioyoni mwenu?~
4 Matt 10 9 | 9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala
5 Matt 10 14 | yakung`uteni mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao.~
6 Matt 11 29 | nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.~
7 Matt 18 19 | nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani
8 Matt 23 11 | 11 Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.
9 Mark 2 8 | Mbona mnawaza hivyo mioyoni mwenu?~
10 Mark 6 11 | kuyakung`uta mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao."~
11 Luke 5 22 | akawauliza, "Mnawaza nini mioyoni mwenu?~
12 Luke 6 38 | Naam, mtapokea mikononi mwenu kipimo kilichojaa, kikashindiliwa
13 Luke 9 5 | kung`uteni mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao."~
14 Luke 14 28 | maana, ni nani miongoni mwenu ambaye akitaka kujenga mnara
15 Luke 21 14 | Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla
16 Luke 24 38 | mnakuwa na mashaka mioyoni mwenu?~
17 John 5 43 | kwa Mungu haumo mioyoni mwenu.~
18 John 8 7 | asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga
19 John 14 1 | aliwaambia, "Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini
20 John 16 6 | hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu.~
21 John 16 22 | nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu
22 Acts 2 23 | kwamba Yesu angetiwa mikononi mwenu; nanyi mkamuua kwa kuwaachia
23 Acts 6 3 | zetu, chagueni miongoni mwenu watu saba wenye sifa njema,
24 Acts 15 7 | kunichagua mimi miongoni mwenu niihubiri Habari Njema,
25 Acts 20 20 | kuwahubiria hadharani na nyumbani mwenu na kuwafundisha chochote
26 Acts 20 30 | 30 Hata kutoka miongoni mwenu watatokea watu ambao watasema
27 1Cor 1 14 | sikumbatiza mtu yeyote miongoni mwenu isipokuwa tu Krispo na Gayo.~
28 1Cor 3 18 | Msijidanganye! Mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima
29 1Cor 5 1 | kwamba kuna uzinzi miongoni mwenu; tena ni uzinzi mbaya ambao
30 1Cor 5 2 | hicho aondolewe miongoni mwenu.~
31 1Cor 6 5 | hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha
32 1Cor 11 19 | tofauti ziweko miongoni mwenu, ili wale walio thabiti
33 1Cor 16 3 | mtakaowachagua miongoni mwenu wapeleke barua na zawadi
34 2Cor 7 2 | Tunaomba mtupe nafasi mioyoni mwenu! Hatujamkosea mtu yeyote,
35 2Cor 8 6 | huduma hii ya upendo miongoni mwenu.~
36 2Cor 10 15 | imani yenu itazidi miongoni mwenu kufuatana na kipimo alichotuwekea
37 2Cor 12 12 | mtume yalifanyika miongoni mwenu kwa uvumilivu wote.~
38 2Cor 13 3 | yake yafanya kazi miongoni mwenu.~
39 Gala 4 6 | amemtuma Roho wa Mwanae mioyoni mwenu, Roho ambaye hulia "Aba,"
40 Gala 6 13 | kujivunia alama hiyo mwilini mwenu.~
41 Ephe 3 17 | naye Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani. Namwomba mpate
42 Ephe 4 29 | yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe
43 Ephe 5 3 | visitajwe kamwe miongoni mwenu.~
44 Ephe 5 19 | zaburi kwa shukrani mioyoni mwenu.~
45 Ephe 6 14 | uwe kama ukanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi
46 Ephe 6 15 | amani iwe kama viatu miguuni mwenu.~
47 Ephe 6 16 | daima kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale
48 Colo 3 8 | yasitoke kamwe vinywani mwenu.~
49 Colo 3 15 | ya Kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo ninyi
50 Colo 3 16 | mwimbieni Mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.~
51 1The 2 9 | kwa mtu yeyote miongoni mwenu.~
52 1The 3 3 | imani ya mtu yeyote miongoni mwenu isije ikafifia kwa sababu
53 1The 3 5 | yote tuliyofanya miongoni mwenu imepotea bure!~
54 Hebr 3 12 | akawako yeyote miongoni mwenu aliye na moyo mbaya hivyo
55 Hebr 3 13 | ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na
56 Hebr 4 11 | asiwepo yeyote miongoni mwenu atakayeshindwa, kama walivyofanya
57 Hebr 12 16 | Jihadharini ili miongoni mwenu pasiwe na mtu mwasherati
58 James 1 21| ujumbe uliopandwa mioyoni mwenu, ambao waweza kuziokoa nafsi
59 James 3 13| hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aonyeshe jambo hilo
60 James 5 13| pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? Anapaswa
61 1Pet 3 15 | Kristo kama Bwana mioyoni mwenu. Muwe tayari kumjibu yeyote
62 1Pet 4 15 | Asiwepo mtu yeyote miongoni mwenu ambaye anapaswa kuteseka
63 2Pet 1 19 | asubuhi utakapong`ara mioyoni mwenu.~
64 2Pet 3 1 | kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo
65 1Joh 2 24 | tangu mwanzo na ukae mioyoni mwenu. Kama ujumbe huo mliousikia
66 Rev 2 15 | hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho
|