Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mbao 2
mbatia 1
mbatizaji 20
mbaya 64
mbegu 41
mbele 275
mbichi 1
Frequency    [«  »]
65 watumishi
64 daudi
64 hukumu
64 mbaya
64 mbili
64 mengi
63 aitwaye

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mbaya

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 39 | nawaambieni, usimlipize kisasi mtu mbaya. Mtu akikupiga kofi shavu 2 Matt 7 17 | huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.~ 3 Matt 7 18 | matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema.~ 4 Matt 11 20 | hawakutaka kubadili nia zao mbaya:~ 5 Matt 12 33 | yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa 6 Matt 12 35 | hazina yake njema; na mtu mbaya hutoa mambo mabaya katika 7 Matt 12 35 | mabaya katika hazina yake mbaya.~ 8 Matt 12 45 | hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya kuliko hapo mwanzo. Ndivyo 9 Matt 18 32 | akamwambia, `Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe 10 Matt 24 48 | 48 Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea moyoni: `Bwana 11 Matt 27 64 | Uongo huu wa mwisho utakuwa mbaya kuliko ule wa awali."~ 12 Mark 5 26 | bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.~ 13 Luke 3 5 | palipopindika patanyooshwa, njia mbaya zitatengenezwa.~ 14 Luke 6 43 | matunda mabaya, wala mti mbaya hauzai matunda mazuri.~ 15 Luke 6 45 | iliyo moyoni mwake; na mtu mbaya hutoa yaliyo mabaya katika 16 Luke 6 45 | yaliyo mabaya katika hazina mbaya iliyo moyoni mwake, kwa 17 Luke 11 26 | hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko pale mwanzo."~ 18 Luke 16 11 | si hamjawa waaminifu mali mbaya za dunia, ni nani atakayewakabidhi 19 Luke 18 6 | jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya.~ 20 Luke 19 22 | msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi ni mtu 21 Acts 19 15 | 15 Lakini pepo mbaya aliwajibu, "Ninamfahamu 22 Acts 20 3 | walikuwa wanamfanyia mpango mbaya; hivyo aliamua kurudi kwa 23 Roma 1 18 | binadamu ambao kwa njia zao mbaya wanaupinga ukweli usijulikane.~ 24 Roma 1 24 | amewaacha wafuate tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana 25 Roma 1 26 | amewaacha wafuate tamaa mbaya. Hata wanawake wanabadili 26 Roma 1 29 | ugomvi, udanganyifu na nia mbaya; husengenya,~ 27 Roma 7 5 | tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na Sheria, 28 Roma 7 8 | kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. Maana, bila 29 Roma 7 13 | kikamilifu jinsi ilivyo mbaya mno.~ 30 1Cor 5 1 | miongoni mwenu; tena ni uzinzi mbaya ambao haujapata kuwako hata 31 1Cor 15 33 | 33 Msidanganyike! Urafiki mbaya huharibu tabia njema.~ 32 2Cor 12 21 | hawakujutia huo uchafu, tamaa zao mbaya na uzinzi waliokuwa wamefanya.~ ~~ ~ 33 Gala 1 4 | kutuokoa katika ulimwengu huu mbaya wa sasa.~ 34 Ephe 2 2 | mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa 35 Ephe 5 16 | mlio nao maana siku hizi ni mbaya.~ 36 Ephe 6 11 | Mungu mpate kuzipinga mbinu mbaya za Ibilisi.~ 37 Colo 3 5 | uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na 38 1The 2 3 | linalotegemea uongo au nia mbaya; wala hatupendi kumdanganya 39 1The 4 5 | 5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine 40 1Tim 5 8 | huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.~ 41 1Tim 6 4 | wivu, ugomvi, matusi, shuku mbaya,~ 42 1Tim 6 9 | katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta 43 Titus 1 11| wanafanya hivyo kwa nia mbaya ya kupata faida ya fedha.~ 44 Hebr 3 12 | miongoni mwenu aliye na moyo mbaya hivyo na asiyeamini hata 45 Hebr 10 22 | mioyo iliyotakaswa dhamiri mbaya, na kwa miili iliyosafishwa 46 James 1 14| na kunaswa na tamaa zake mbaya.~ 47 James 2 4 | wenu haujatokana na fikira mbaya?~ 48 James 4 1 | Hutoka katika tamaa zenu mbaya ambazo hupigana daima ndani 49 James 4 3 | kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya; mnaomba ili mpate kutosheleza 50 1Pet 1 14 | kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa 51 2Pet 1 4 | mpate kuziepa kabisa tamaa mbaya zilizomo duniani, na mpate 52 2Pet 2 2 | watazifuata hizo njia zao mbaya, kwa sababu yao, wengine 53 2Pet 2 3 | 3 Kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni 54 2Pet 2 7 | alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.~ 55 2Pet 2 10 | hasa wale wanaofuata tamaa mbaya za mwili na kupuuza mamlaka. 56 2Pet 2 18 | maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega wale 57 2Pet 2 20 | upotovu huo, hali yao itakuwa mbaya zaidi kuliko awali.~ 58 2Pet 3 3 | inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki ninyi~ 59 1Joh 2 16 | vyote vya ulimwengu-tamaa mbaya za mwili, vitu wanavyoviona 60 3Joh 1 11 | Mpenzi wangu, usifuate mfano mbaya, bali mfano mwema. Kila 61 Jude 1 16 | wengine. Hufuata tamaa zao mbaya, hujigamba na kuwasifu watu 62 Jude 1 18 | watu wafuatao tamaa zao mbaya."~ 63 Jude 1 23 | yamechafuliwa na tamaa zao mbaya.~ 64 Rev 3 3 | uyatii na ubadili nia yako mbaya. Usipokesha nitakujia ghafla


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License