Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
hukulikana 1
hukumdanganya 1
hukumiwa 2
hukumu 64
hukunionyesha 1
hukunipa 1
hukunisalimu 1
Frequency    [«  »]
66 mwenu
65 watumishi
64 daudi
64 hukumu
64 mbaya
64 mbili
64 mengi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

hukumu

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 7 22 | wataniambia Siku ile ya hukumu: `Bwana, Bwana! kwa jina 2 Matt 10 15 | Kweli nawaambieni, Siku ya hukumu mji huo utapata adhabu kubwa 3 Matt 11 22 | hivyo nawaambieni, Siku ya hukumu, ninyi mtapata adhabu kubwa 4 Matt 11 24 | Lakini nawaambieni, Siku ya hukumu itakuwa nafuu zaidi kwa 5 Matt 12 18 | juu yake, naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifa yote.~ 6 Matt 12 20 | hatauzima, mpaka atakapoifanya hukumu ya haki itawale.~ 7 Matt 12 36 | Basi, nawaambieni, Siku ya hukumu watu watapaswa kujibu juu 8 Matt 12 41 | Ninewi watatokea siku ya hukumu, nao watakihukumu kizazi 9 Matt 23 33 | wenye sumu! Mnawezaje kuiepa hukumu ya moto ~wa Jehanamu? ~ 10 Matt 27 19 | alipokuwa amekaa katika kiti cha hukumu, mke wake akampelekea ujumbe: " 11 Mark 12 40 | kusali sala ndefu. Siku ya hukumu watapata adhabu kali!"~ 12 Luke 10 14 | 14 Hata hivyo, Siku ya Hukumu ninyi mtapata adhabu kubwa 13 Luke 20 47 | sala ndefu. Hao watapata hukumu kali zaidi!"~ ~~ ~ 14 John 3 19 | 19 Na hukumu yenyewe ndiyo hii: Mwanga 15 John 5 23 | yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,~ 16 John 5 31 | wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka 17 John 5 31 | ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu 18 John 7 24 | mambo kwa nje tu; toeni hukumu ya haki."~ 19 John 8 16 | 16 Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu 20 John 9 39 | nimekuja ulimwenguni kutoa hukumu, kusudi wasioona wapate 21 John 16 8 | kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya Mungu.~ 22 John 16 11 | 11 kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu 23 John 19 13 | akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo: "Sakafu 24 Acts 24 22 | hiyo. Akawaambia, "Nitatoa hukumu juu ya kesi hiyo wakati 25 Acts 24 25 | kiasi na juu ya siku ya hukumu inayokuja, Felisi aliogopa, 26 Acts 25 10 | ndipo ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua vizuri, 27 Roma 2 2 | 2 Tunajua kwamba hukumu ya Mungu kwa wale wanaofanya 28 Roma 2 2 | wanaofanya mambo kama hayo ni hukumu ya haki.~ 29 Roma 2 3 | unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya Mungu?~ 30 Roma 2 5 | ambayo ghadhabu ya Mungu na hukumu zake za haki vitadhihirishwa.~ 31 Roma 3 4 | yako ni ya haki; na katika hukumu, wewe hushinda."~ 32 Roma 3 19 | ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya Mungu.~ 33 Roma 5 16 | mtu mmoja, Mungu alitoa hukumu; lakini baada ya makosa 34 Roma 5 18 | la mtu mmoja lilivyoleta hukumu kwa binadamu wote, kadhalika 35 Roma 8 1 | 1 Kwa hiyo, sasa hakuna hukumu kwa wale ambao katika maisha 36 Roma 9 28 | Bwana ataitekeleza upesi hukumu yake kamili juu ya ulimwengu 37 Roma 13 2 | wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe,~ 38 Roma 14 10 | tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.~ 39 1Cor 11 29 | Bwana, anakula na kunywa hukumu yake yeye mwenyewe.~ 40 1Cor 11 34 | kukutana kwenu kusisababishe hukumu. Lakini, kuhusu yale mambo 41 2Cor 3 9 | katika huduma ile iliyoleta hukumu, ni wazi kwamba huduma ile 42 2Cor 5 10 | tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja 43 2The 1 5 | yote yanathibitisha kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki, na 44 1Tim 5 24 | nazo zawatangulia kwenye hukumu; lakini dhambi za wengine 45 2Tim 4 17 | tena nikaokolewa katika hukumu ya kifo kama kinywani mwa 46 Hebr 6 2 | mikono; ufufuo wa wafu na hukumu ya milele.~ 47 Hebr 9 27 | kisha husimama mbele ya hukumu ya Mungu,~ 48 Hebr 10 27 | ni kungojea tu kwa hofu hukumu ya Mungu na moto mkali utakaowaangamiza 49 James 2 13| Lakini huruma hushinda hukumu.~ 50 James 3 1 | mjuavyo, sisi walimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine.~ 51 1Pet 4 17 | 17 Wakati wa hukumu umefika, na hukumu hiyo 52 1Pet 4 17 | Wakati wa hukumu umefika, na hukumu hiyo inaanza na watu wake 53 1Pet 4 17 | wake Mungu mwenyewe. Ikiwa hukumu hiyo inaanzia kwetu sisi, 54 2Pet 2 4 | wamefungwa wakingojea Siku ile ya Hukumu.~ 55 2Pet 2 9 | adhabu hadi Siku ile ya hukumu,~ 56 1Joh 4 17 | kuwa na ujasiri Siku ile ya Hukumu; kwani maisha yetu hapa 57 Jude 1 4 | yalikwisha bashiri tangu awali hukumu inayowangojea watu hao.~ 58 Jude 1 7 | kinyume cha maumbile, wakapewa hukumu ya moto wa milele, iwe onyo 59 Jude 1 15 | 15 kutoa hukumu juu ya binadamu wote, kuwahukumu 60 Rev 14 7 | Maana saa imefika ya kutoa hukumu yake. Mwabuduni yeye aliyeumba 61 Rev 16 5 | Wewe ni mwenye haki katika hukumu hii uliyotoa.~ 62 Rev 16 7 | Bwana Mungu Mwenye Uwezo! Hukumu zako ni za kweli na haki!"~ 63 Rev 19 2 | 2 Maana hukumu yake ni ya kweli na ya haki. 64 Rev 20 4 | hao walipewa mamlaka ya hukumu. Niliona pia roho za wale


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License