Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
danganyifu 2
danieli 1
dari 2
daudi 64
dawa 1
debe 2
dekapoli 3
Frequency    [«  »]
66 haki
66 mwenu
65 watumishi
64 daudi
64 hukumu
64 mbaya
64 mbili

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

daudi

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 1 | Kristo alikuwa mzawa wa Daudi, mzawa wa Abrahamu. Hii 2 Matt 1 6 | naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni ( 3 Matt 1 6 | Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake 4 Matt 1 17| vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu 5 Matt 1 17| vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa 6 Matt 1 20| akamwambia, "Yosefu, mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria 7 Matt 9 27| wakipiga kelele, "Mwana wa Daudi, utuhurumie!"~ 8 Matt 12 3 | Je, hamjasoma alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati 9 Matt 12 23| ikawa huyu ndiye Mwana wa Daudi?"~ 10 Matt 15 22| sauti: "Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, nionee huruma! Binti yangu 11 Matt 20 30| sauti: "Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, utuhurumie!"~ 12 Matt 20 31| sauti: "Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, utuhurumie!"~ 13 Matt 21 9 | sauti: "Hosana Mwana wa Daudi! Abarikiwe huyo ajaye kwa 14 Matt 21 15| wakisema: "Sifa kwa Mwana wa Daudi," wakakasirika.~ 15 Matt 22 40| mbili." ~ Kuhusu Mwana wa Daudi ~\r ~\is (Marko 12:35-37; 16 Matt 22 42| wa nani?" ~Wakamjibu, "Wa Daudi." ~ 17 Matt 22 43| nguvu ya Roho ~Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana 18 Matt 22 45| 45 Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo <Bwana,> 19 Mark 2 25| juu ya kile alichofanya Daudi wakati alipohitaji chakula? 20 Mark 2 26| kula mikate hiyo. Lakini Daudi aliila, tena akawapa na 21 Mark 10 47| kupaaza sauti, "Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!"~ 22 Mark 10 48| kupaaza sauti, "Mwana wa Daudi, nihurumie!"~ 23 Mark 11 10| Ufalme ujao wa baba yetu Daudi. Hosana juu mbinguni!"~ 24 Mark 12 35| kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?~ 25 Mark 12 36| 36 Daudi mwenyewe akiongozwa na Roho 26 Mark 12 37| 37 "Daudi mwenyewe anamwita Kristo 27 Luke 1 27| lake Yosefu, wa ukoo wa Daudi.~ 28 Luke 1 32| Mungu atampa kiti cha mfalme Daudi, babu yake.~ 29 Luke 1 69| Mwokozi shujaa, mzawa wa Daudi mtumishi wake.~ 30 Luke 2 4 | alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi alikwenda mjini Bethlehemu 31 Luke 2 4 | Yuda alikozaliwa Mfalme Daudi.~ 32 Luke 2 11| maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili 33 Luke 3 31| mwana wa Nathani, mwana wa Daudi,~ 34 Luke 6 3 | hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati 35 Luke 18 38| akisema, "Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!"~ 36 Luke 18 39| kupaza sauti: "Mwana wa Daudi, nihurumie;"~ 37 Luke 20 41| kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?~ 38 Luke 20 42| 42 Maana Daudi mwenyewe anasema katika 39 Luke 20 44| 44 Ikiwa Daudi anamwita yeye, `Bwana,` 40 John 7 42| Kristo atatoka katika ukoo wa Daudi, na atazaliwa Bethlehemu, 41 John 7 42| atazaliwa Bethlehemu, mji wa Daudi!"`~ 42 Acts 1 16| Mtakatifu, kwa maneno ya Daudi, alibashiri habari za Yuda 43 Acts 2 25| 25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ` 44 Acts 2 29| juu ya mambo yaliyompata Daudi, babu yetu. Yeye alikufa, 45 Acts 2 30| 30 Lakini kwa vile Daudi alikuwa nabii, alijua kuwa 46 Acts 2 31| 31 Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa 47 Acts 2 34| 34 Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka 48 Acts 4 25| mtumishi wako, babu yetu Daudi, aseme kwa nguvu ya Roho 49 Acts 7 45| lilikaa mpaka nyakati za Daudi.~ 50 Acts 7 46| 46 Daudi alipata upendeleo kwa Mungu, 51 Acts 13 22| kumwondoa Saulo, Mungu alimteua Daudi kuwa mfalme wao. Mungu alionyesha 52 Acts 13 22| kwake akisema: `Nimemwona Daudi mtoto wa Yese; ni mtu anayepatana 53 Acts 13 34| za kweli nilizomwahidia Daudi.`~ 54 Acts 13 36| 36 Sasa, Daudi mwenyewe alitimiza mapenzi 55 Acts 15 16| Nitaijenga tena ile nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitayatengeneza 56 Roma 1 3 | ubinadamu wake, alikuwa mzawa wa Daudi;~ 57 Roma 4 6 | 6 Naye Daudi asema hivi juu ya furaha 58 Roma 11 9 | 9 Naye Daudi anasema: "Karamu zao na 59 2Tim 2 8 | wafu, aliyekuwa wa ukoo wa Daudi, kama isemavyo Habari Njema 60 Hebr 4 7 | hiyo siku kwa maneno ya Daudi katika Maandiko yaliyokwisha 61 Hebr 11 32| Baraki, Samsoni, Yeftha, Daudi, Samweli na manabii.~ 62 Rev 3 7 | ambaye anao ule ufunguo wa Daudi, na ambaye hufungua na hakuna 63 Rev 5 5 | Yuda, mjukuu maarufu wa Daudi, ameshinda. Yeye anaweza 64 Rev 22 16 | Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Mimi ni nyota angavu ya


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License