Book, Chapter, Verse
1 Matt 13 21 | sababu ya ujumbe huo, anakata tamaa mara.~
2 Mark 4 17 | hilo neno mara wanakata tamaa.~
3 Mark 4 19 | ulimwengu huu, anasa za mali na tamaa za kila namna huwaingia
4 Luke 8 13 | na wanapojaribiwa hukata tamaa.~
5 Luke 12 15 | Jihadharini na kila aina ya tamaa; maana uzima wa mtu hautegemei
6 Luke 18 1 | kusali daima bila kukata tamaa.~
7 John 8 44 | na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. Yeye alikuwa
8 Roma 1 24 | Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana
9 Roma 1 26 | Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. Hata wanawake wanabadili
10 Roma 1 27 | mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume wanafanyiana
11 Roma 6 12 | ambayo hufa, na hivyo kuzitii tamaa zake.~
12 Roma 7 5 | tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na Sheria,
13 Roma 7 8 | ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. Maana,
14 Roma 13 14 | lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.~ ~ ~~ ~
15 1Cor 7 9 | zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.~
16 1Cor 7 36 | wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye
17 1Cor 7 37 | kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya
18 1Cor 12 31 | 31 Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu
19 2Cor 2 7 | akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa.~
20 2Cor 4 8 | mashaka, lakini hatukati tamaa;~
21 2Cor 12 21 | hawakujutia huo uchafu, tamaa zao mbaya na uzinzi waliokuwa
22 Gala 5 13 | kisingizio cha kutawaliwa na tamaa za kidunia; ila mnapaswa
23 Gala 5 16 | Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia.~
24 Gala 5 17 | 17 Maana, tamaa za kidunia hupingana na
25 Gala 5 17 | matakwa ya Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili
26 Gala 5 24 | na mawazo yake mabaya na tamaa zake.~
27 Gala 6 8 | 8 Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo
28 Ephe 2 3 | wao; tuliishi kufuatana na tamaa zetu za kidunia na kufanya
29 Ephe 4 22 | uliokuwa unaangamizwa kwa tamaa zake danganyifu.~
30 Colo 2 23 | haifai chochote kuzuia tamaa za mwili.~ ~~ ~
31 Colo 3 5 | uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni
32 Colo 3 8 | mambo haya yote: hasira, tamaa, uovu; kufuru au maneno
33 Colo 3 21 | wenu, la sivyo watakata tamaa.~
34 1The 4 5 | 5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa
35 1Tim 3 8 | wanywaji mno wa divai au wenye tamaa ya fedha;~
36 1Tim 5 11 | wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi
37 1Tim 6 9 | kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu,
38 2Tim 2 22 | 22 Jiepushe na tamaa za ujana, fuata uadilifu,
39 2Tim 3 2 | watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno,
40 2Tim 3 6 | na ambao wanaongozwa na tamaa za kila aina;~
41 2Tim 4 3 | ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia
42 Titus 2 12| kuachana na uovu wote na tamaa za kidunia; tuwe na kiasi,
43 Titus 3 3 | wapotovu. Tulikuwa watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. Tuliishi
44 Hebr 12 3 | msife moyo, wala msikate tamaa.~
45 James 1 14| anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya.~
46 James 1 15| 15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo
47 James 4 1 | yanatoka wapi? Hutoka katika tamaa zenu mbaya ambazo hupigana
48 James 4 3 | mnaomba ili mpate kutosheleza tamaa zenu.~
49 1Pet 1 14 | msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati
50 1Pet 2 11 | hapa duniani! Achaneni na tamaa za mwili ambazo hupingana
51 1Pet 4 2 | matakwa ya Mungu, si na tamaa za kibinadamu.~
52 1Pet 5 2 | Fanyeni kazi hiyo si kwa tamaa ya fedha, bali kwa moyo
53 2Pet 1 4 | hizo mpate kuziepa kabisa tamaa mbaya zilizomo duniani,
54 2Pet 2 3 | 3 Kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida
55 2Pet 2 10 | 10 hasa wale wanaofuata tamaa mbaya za mwili na kupuuza
56 2Pet 2 14 | Mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. Wapo chini ya laana
57 2Pet 2 18 | yasiyo na maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega
58 2Pet 3 3 | mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki
59 Jude 1 16 | kuwalaumu watu wengine. Hufuata tamaa zao mbaya, hujigamba na
60 Jude 1 18 | watakaowadhihaki ninyi, watu wafuatao tamaa zao mbaya."~
61 Jude 1 19 | mafarakano, watu wanaotawaliwa na tamaa zao za kidunia, watu wasio
62 Jude 1 23 | ambayo yamechafuliwa na tamaa zao mbaya.~
|