Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
laini 3
laiti 6
lake 110
lakini 1234
lako 43
lamaanisha 2
lameki 1
Frequency    [«  »]
1477 yesu
1473 watu
1440 ni
1234 lakini
1170 katika
1087 mtu
1086 kama

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

lakini

1-500 | 501-1000 | 1001-1234

     Book, Chapter, Verse
501 John 7 41 | wakasema, "Huyu ndiye Kristo!" Lakini wengine walisema, "Je, yawezekana 502 John 7 44 | walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.~ 503 John 7 49 | 49 Lakini umati huu haujui Sheria 504 John 8 1 | 1 lakini Yesu akaenda kwenye mlima 505 John 8 6 | wapate kisa cha kumshtaki. Lakini Yesu akainama chini, akaandika 506 John 8 14 | nilikotoka na ninakokwenda. Lakini ninyi hamjui nilikotoka 507 John 8 15 | kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.~ 508 John 8 21 | zangu nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. 509 John 8 26 | kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule aliyenituma ni kweli; 510 John 8 35 | makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu.~ 511 John 8 38 | yale aliyonionyesha Baba, lakini ninyi mwafanya yale aliyowaambieni 512 John 8 47 | husikiliza maneno ya Mungu. Lakini ninyi hamsikilizi kwa sababu 513 John 8 49 | mimi namheshimu Baba yangu, lakini ninyi hamniheshimu.~ 514 John 8 55 | Ninyi hamjapata kumjua, lakini mimi namjua. Na, nikisema 515 John 8 59 | wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka 516 John 9 9 | La! Ila anafanana naye." Lakini huyo aliyekuwa kipofu akasema, " 517 John 9 16 | hashiki sheria ya Sabato." Lakini wengine wakasema, "Mtu mwenye 518 John 9 21 | 21 Lakini amepataje kuona, hatujui; 519 John 9 25 | mwenye dhambi mimi sijui. Lakini kitu kimoja najua: Nilikuwa 520 John 9 28 | 28 Lakini wao wakamtukana wakisema, " 521 John 9 29 | kwamba Mungu alisema na Mose, lakini mtu huyu hatujui ametoka 522 John 9 30 | Ninyi hamjui ametoka wapi, lakini amenifumbua macho yangu!~ 523 John 9 41 | vipofu, hamngekuwa na hatia; lakini sasa ninyi mwasema: `Sisi 524 John 10 2 | 2 Lakini anayeingia kwa kupitia mlangoni, 525 John 10 6 | Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka 526 John 10 25 | akawajibu, "Nimewaambieni, lakini hamsadiki. Kazi ninazozifanya 527 John 10 26 | 26 Lakini ninyi hamsadiki kwa sababu 528 John 10 38 | 38 Lakini ikiwa ninazifanya, hata 529 John 10 39 | Wakajaribu tena kumkamata lakini akachopoka mikononi mwao.~ 530 John 10 41 | hakufanya ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane aliyosema 531 John 11 10 | 10 Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa 532 John 11 11 | Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini mimi nitakwenda kumwamsha."~ 533 John 11 15 | 15 Lakini nafurahi kwa ajili yenu 534 John 11 20 | anakuja, akaenda kumlaki; lakini Maria alibaki nyumbani.~ 535 John 11 22 | 22 Lakini najua kwamba hata sasa chochote 536 John 11 37 | 37 Lakini baadhi yao wakasema, "Je, 537 John 11 42 | kwamba unanisikiliza daima. Lakini nimesema hayo kwa ajili 538 John 11 46 | 46 Lakini baadhi yao walikwenda kwa 539 John 12 7 | 7 Lakini Yesu akasema, "Msimsumbue 540 John 12 8 | Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote." 541 John 12 16 | hawakuelewa mambo hayo, lakini Yesu alipokwisha tukuzwa, 542 John 12 27 | usiruhusu saa hii inifikie`? Lakini ndiyo maana nimekuja - ili 543 John 12 30 | 30 Lakini Yesu akawaambia, "Sauti 544 John 12 42 | Wayahudi walimwamini Yesu. Lakini kwa sababu ya Mafarisayo, 545 John 12 47 | Anayeyasikia maneno yangu lakini hayashiki mimi sitamhukumu; 546 John 13 7 | Huelewi sasa ninachofanya lakini utaelewa baadaye."~ 547 John 13 10 | mwili wote. Ninyi mmetakata, lakini si nyote."~ 548 John 13 11 | alisema: "Ninyi mmetakata, lakini si nyote.")~ 549 John 13 18 | nawajua wale niliowachagua. Lakini lazima yatimie Maandiko 550 John 13 28 | 28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale 551 John 13 33 | muda mfupi tu. Mtanitafuta, lakini sasa nawaambieni yale niliyowaambia 552 John 13 36 | Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye."~ 553 John 14 17 | hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini ninyi mnamjua kwa sababu 554 John 14 19 | ulimwengu hautaniona tena, lakini ninyi mtaniona; na kwa kuwa 555 John 14 26 | 26 lakini Msaidizi, Roho Mtakatifu, 556 John 14 31 | 31 lakini ulimwengu unapaswa kujua 557 John 15 15 | anachofanya bwana wake. Lakini mimi nimewaita ninyi rafiki, 558 John 15 19 | ungaliwapenda ninyi kama watu wake. Lakini kwa vile ninyi si wa ulimwengu, 559 John 15 21 | 21 Lakini hayo yote watawatendeeni 560 John 15 22 | wasingalikuwa na hatia; lakini sasa hawawezi kujitetea 561 John 15 24 | wasingalikuwa na hatia; lakini sasa wameona niliyoyafanya 562 John 16 5 | 5 Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; 563 John 16 7 | 7 Lakini, nawaambieni ukweli: afadhali 564 John 16 7 | Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda, basi, nitamtuma 565 John 16 13 | 13 Lakini atakapokuja huyo Roho wa 566 John 16 20 | ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi: mtaona 567 John 16 20 | utafurahi: mtaona huzuni lakini huzuni yenu itageuka kuwa 568 John 16 21 | saa ya maumivu imefika; lakini akisha jifungua hayakumbuki 569 John 16 22 | Ninyi pia mna huzuni sasa; lakini nitawajieni tena, nanyi 570 John 16 25 | mambo hayo kwa mafumbo. Lakini wakati utakuja ambapo sitasema 571 John 16 32 | nitaachwa peke yangu. Kumbe, lakini mimi siko peke yangu, maana 572 John 16 33 | Ulimwenguni mtapata masumbuko; lakini jipeni moyo! Mimi nimeushinda 573 John 17 11 | simo tena ulimwenguni, lakini wao wamo ulimwenguni. Baba 574 John 17 25 | Mwema! Ulimwengu haukujui, lakini mimi nakujua. Hawa nao wanajua 575 John 18 16 | 16 Lakini Petro alikuwa amesimama 576 John 18 23 | vibaya, onyesha huo ubaya; lakini ikiwa nimesema vema, mbona 577 John 18 36 | nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini sasa ufalme wangu si wa 578 John 18 39 | 39 Lakini, mnayo desturi kwamba mimi 579 John 19 9 | Yesu, "Umetoka wapi wewe?" Lakini Yesu hakumjibu neno.~ 580 John 19 12 | anatafuta njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi wakapiga kelele: " 581 John 19 33 | 33 Lakini walipomfikia Yesu waliona 582 John 19 34 | 34 Lakini askari mmoja alimtoboa ubavuni 583 John 19 38 | alikuwa mfuasi wa Yesu, lakini kwa siri, maana aliwaogopa 584 John 20 4 | 4 Wote wawili walikimbia lakini yule mwanafunzi mwingine 585 John 20 5 | kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.~ 586 John 20 14 | akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.~ 587 John 20 17 | sijakwenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: 588 John 20 26 | Milango ilikuwa imefungwa, lakini Yesu akaja, akasimama kati 589 John 20 29 | yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini."~ 590 John 20 31 | 31 Lakini hizi zimeandikwa ili mpate 591 John 21 3 | wakaenda, wakapanda mashua, lakini usiku huo hawakupata chochote.~ 592 John 21 4 | alisimama kando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakujua kwamba 593 John 21 6 | samaki." Basi, wakatupa wavu lakini sasa hawakuweza kuuvuta 594 John 21 8 | 8 Lakini wale wanafunzi wengine walikuja 595 John 21 18 | kwenda kokote ulikotaka. Lakini utakapokuwa mzee utanyosha 596 John 21 23 | kwamba mwanafunzi huyo hafi. Lakini Yesu hakumwambia kwamba 597 Acts 1 5 | Yohane alibatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache, ninyi 598 Acts 1 7 | 7 Lakini Yesu akawaambia, "Nyakati 599 Acts 1 8 | 8 Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni 600 Acts 2 13 | 13 Lakini wengine wakawadhihaki wakisema, " 601 Acts 2 14 | 14 Lakini Petro alisimama pamoja na 602 Acts 2 24 | 24 Lakini Mungu alimfufua kutoka wafu 603 Acts 2 30 | 30 Lakini kwa vile Daudi alikuwa nabii, 604 Acts 2 46 | pamoja kila siku Hekaluni. Lakini wakati wa kumega mkate, 605 Acts 3 6 | Sina fedha wala dhahabu lakini kile nilicho nacho nitakupa. 606 Acts 3 14 | Alikuwa mtakatifu na mwema; lakini ninyi mlimkataa, mkataka 607 Acts 3 15 | ambaye ni chanzo cha uzima. Lakini Mungu alimfufua, na sisi 608 Acts 3 18 | 18 Lakini ndivyo Mungu alivyotimiza 609 Acts 4 4 | 4 Lakini wengi kati ya wale waliosikia 610 Acts 4 10 | ambaye ninyi mlimsulubisha, lakini Mungu akamfufua kutoka wafu.~ 611 Acts 4 14 | 14 Lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa 612 Acts 4 17 | 17 Lakini ili tupate kuzuia jambo 613 Acts 4 19 | 19 Lakini Petro na Yohane wakawajibu, " 614 Acts 4 29 | 29 Lakini sasa, ee Bwana, angalia 615 Acts 5 2 | 2 Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania 616 Acts 5 19 | 19 Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua 617 Acts 5 22 | 22 Lakini hao watumishi walipofika 618 Acts 5 23 | walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta 619 Acts 5 26 | walikwenda Hekaluni, akawaleta. Lakini hawakuwakamata kwa kutumia 620 Acts 5 34 | 34 Lakini Mfarisayo mmoja aitwaye 621 Acts 5 36 | mia nne wakajiunga naye. Lakini aliuawa, kisha wafuasi wake 622 Acts 5 37 | aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi 623 Acts 5 39 | 39 Lakini kama imeanzishwa na Mungu, 624 Acts 6 4 | 4 Sisi, lakini, tutashughulika na sala 625 Acts 6 9 | 9 Lakini watu fulani wakatokea ili 626 Acts 6 10 | 10 Lakini hawakuweza kumshinda kwa 627 Acts 7 7 | 7 Lakini mimi nitalihukumu taifa 628 Acts 7 9 | wakamuuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,~ 629 Acts 7 25 | angemtumia yeye kuwakomboa, lakini hawakuelewa hivyo.)~ 630 Acts 7 31 | akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia sauti ya Bwana:~ 631 Acts 7 39 | 39 "Lakini yeye ndiye babu zetu waliyemkataa 632 Acts 7 42 | 42 Lakini Mungu aliondoka kati yao, 633 Acts 7 47 | 47 Lakini Solomoni ndiye aliyemjengea 634 Acts 7 53 | iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii."~ 635 Acts 7 55 | 55 Lakini Stefano akiwa amejawa na 636 Acts 8 12 | 12 Lakini walipouamini ujumbe wa Filipo 637 Acts 8 20 | 20 Lakini Petro akamjibu, "Potelea 638 Acts 8 39 | Mwethiopia hakumwona tena; lakini akaendelea na safari yake 639 Acts 9 3 | 3 Lakini alipokuwa njiani karibu 640 Acts 9 6 | 6 Lakini simama sasa, uingie mjini 641 Acts 9 7 | kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.~ 642 Acts 9 13 | 13 Lakini Anania akajibu, "Bwana, 643 Acts 9 15 | 15 Lakini Bwana akamwambia, "Nenda 644 Acts 9 24 | 24 Lakini Saulo alipata habari ya 645 Acts 9 25 | 25 Lakini wakati wa usiku wanafunzi 646 Acts 9 26 | kujiunga na wale wanafunzi. Lakini wote walimwogopa, na hawakuweza 647 Acts 9 29 | Wayahudi wasemao Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.~ 648 Acts 10 9 | watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika Yopa, Petro 649 Acts 10 26 | 26 Lakini Petro alimwinua, akamwambia, " 650 Acts 10 28 | watu wa mataifa mengine. Lakini Mungu amenijulisha nisimfikirie 651 Acts 10 40 | 40 lakini Mungu alimfufua siku ya 652 Acts 11 8 | 8 Lakini mimi nikasema: `La, Bwana; 653 Acts 11 16 | Yohane alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa kwa Roho 654 Acts 11 20 | 20 Lakini baadhi ya waumini waliotoka 655 Acts 12 9 | 9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa 656 Acts 12 15 | msichana, "Una wazimu!" Lakini yeye akasisitiza kwamba 657 Acts 12 19 | Herode aliamuru ufanywe msako lakini hawakuweza kumpata. Hivyo 658 Acts 12 20 | watu wa Tiro na Sidoni. Lakini wao walimpelekea wajumbe. 659 Acts 13 8 | 8 Lakini huyo mchawi Elima (kama 660 Acts 13 13 | hadi Perga katika Pamfulia; lakini Yohane (Marko) aliwaacha, 661 Acts 13 14 | 14 Lakini wao waliendelea na safari 662 Acts 13 30 | 30 Lakini Mungu alimfufua kutoka wafu.~ 663 Acts 13 37 | 37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua 664 Acts 13 45 | 45 Lakini Wayahudi walipoliona hilo 665 Acts 13 46 | liwafikieni ninyi kwanza; lakini kwa kuwa mmelikataa na kujiona 666 Acts 13 50 | 50 Lakini Wayahudi waliwachochea wanawake 667 Acts 13 52 | 52 Lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa 668 Acts 14 2 | 2 Lakini Wayahudi wengine waliokataa 669 Acts 14 19 | 19 Lakini Wayahudi kadhaa walikuja 670 Acts 14 20 | 20 Lakini waumini walipokusanyika 671 Acts 15 5 | 5 Lakini waumini wengine waliokuwa 672 Acts 15 24 | mioyo yenu katika wasiwasi. Lakini wamefanya hivyo bila ya 673 Acts 15 38 | 38 Lakini Paulo hakupendelea kumchukua 674 Acts 16 1 | mfuasi, alikuwa Myahudi; lakini baba yake alikuwa Mgiriki.~ 675 Acts 16 7 | kuingia mkoani Bithunia, lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu.~ 676 Acts 16 28 | 28 Lakini Paulo akaita kwa sauti kubwa: " 677 Acts 16 37 | 37 Lakini Paulo alimjibu, "Ati nini? 678 Acts 17 5 | 5 Lakini Wayahudi wakaona wivu; wakawakodi 679 Acts 17 6 | 6 Lakini hawakuwapata na hivyo walimburuta 680 Acts 17 13 | 13 Lakini, Wayahudi wa Thesalonika 681 Acts 17 14 | wakamsindikiza haraka aende pwani lakini Sila na Timotheo walibaki 682 Acts 17 27 | yapate kumfikia. Hata hivyo lakini, Mungu hayuko mbali na kila 683 Acts 17 30 | watu walipokuwa wajinga. Lakini sasa, anaamuru watu wote 684 Acts 17 32 | wengine wao waliangua kicheko; lakini wengine walisema, "Tunataka 685 Acts 17 34 | 34 Lakini watu kadhaa waliandamana 686 Acts 18 8 | 8 Lakini Krispo, mkuu wa sunagogi, 687 Acts 18 12 | 12 Lakini wakati Galio alipokuwa mkuu 688 Acts 18 15 | 15 Lakini kama ni shauri la ubishi 689 Acts 18 17 | palepale mbele ya mahakama. Lakini Galio hakujali kitendo hicho 690 Acts 18 20 | akae nao muda mrefu zaidi, lakini hakupenda.~ 691 Acts 19 9 | 9 Lakini wengine walikuwa wakaidi, 692 Acts 19 15 | 15 Lakini pepo mbaya aliwajibu, "Ninamfahamu 693 Acts 19 15 | Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini ninyi ni nani?"~ 694 Acts 19 30 | kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.~ 695 Acts 19 34 | 34 Lakini walipotambua kuwa yeye ni 696 Acts 20 10 | 10 Lakini Paulo alishuka chini, akainama, 697 Acts 20 24 | 24 Lakini, siuthamini uhai wangu kuwa 698 Acts 20 25 | nikiuhubiri Ufalme wa Mungu. Sasa lakini, najua hakuna hata mmoja 699 Acts 21 5 | 5 Lakini muda wetu ulipokwisha tuliondoka. 700 Acts 21 13 | 13 Lakini yeye alijibu, "Mnataka kufanya 701 Acts 21 31 | Walikuwa tayari kumuua, lakini habari zilimfikia mkuu wa 702 Acts 22 3 | wa Tarso katika Kilikia. Lakini nililelewa papa hapa mjini 703 Acts 22 9 | wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule 704 Acts 22 22 | watu walikuwa wanamsikiza, lakini aliposema maneno haya, walianza 705 Acts 22 25 | 25 Lakini walipokwisha mfunga ili 706 Acts 22 28 | kubwa." Paulo akasema, "Lakini mimi ni raia wa Roma kwa 707 Acts 23 8 | malaika, na roho nazo hazipo. Lakini Mafarisayo husadiki hayo 708 Acts 23 16 | 16 Lakini mtoto wa kiume wa dada yake 709 Acts 23 21 | 21 Lakini wewe usikubali kwa maana 710 Acts 24 4 | 4 Lakini, bila kupoteza wakati wako 711 Acts 24 19 | 19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine 712 Acts 24 23 | amweke Paulo kizuizini, lakini awe na uhuru kiasi, na rafiki 713 Acts 24 25 | 25 Lakini wakati Paulo alipoanza kuongea 714 Acts 25 4 | 4 Lakini Festo alijibu, "Paulo atabaki 715 Acts 25 11 | kusamehewa adhabu hiyo. Lakini kama hakuna ukweli katika 716 Acts 25 16 | 16 Lakini mimi niliwajibu kwamba si 717 Acts 25 18 | Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu 718 Acts 25 19 | aitwaye Yesu ambaye alikufa, lakini Paulo anashikilia kwamba 719 Acts 25 21 | 21 Lakini Paulo alikata rufani, akaomba 720 Acts 25 25 | 25 Lakini mimi sikuona kuwa alikuwa 721 Acts 25 25 | astahili kupewa adhabu ya kifo. Lakini, kwa vile Paulo mwenyewe 722 Acts 26 22 | 22 Lakini Mungu alinisaidia; na hivyo 723 Acts 26 25 | 25 Lakini Paulo akasema, "Sina wazimu 724 Acts 26 29 | kuwa kama nilivyo mimi, lakini bila hii minyororo."~ 725 Acts 27 4 | huko tuliendelea na safari, lakini kwa kuwa upepo ulikuwa unavuma 726 Acts 27 11 | 11 Lakini yule ofisa alivutiwa zaidi 727 Acts 27 14 | 14 Lakini haukupita muda, upepo mkali 728 Acts 27 22 | 22 Lakini sasa ninawaombeni muwe na 729 Acts 27 26 | 26 Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni 730 Acts 27 31 | 31 Lakini Paulo alimwambia yule ofisa 731 Acts 27 41 | 41 Lakini walifika mahali ambapo mikondo 732 Acts 27 43 | 43 Lakini kwa vile yule ofisajeshi 733 Acts 28 5 | 5 Lakini Paulo alikikung`utia kile 734 Acts 28 19 | 19 Lakini Wayahudi wengine walipinga 735 Acts 28 22 | 22 Lakini tunafikiri inafaa tusikie 736 Acts 28 24 | walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.~ 737 Acts 28 26 | ukawaambie: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, 738 Acts 28 26 | hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.~ 739 Roma 1 13 | nilikusudia kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. Ningependa 740 Roma 1 21 | Ingawa wanajua kuna Mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, 741 Roma 2 3 | 3 Lakini wewe, rafiki, unayewahukumu 742 Roma 2 5 | 5 Lakini unao ugumu na ukaidi wa 743 Roma 2 8 | 8 Lakini wale wengine wenye ubinafsi, 744 Roma 2 10 | 10 Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima 745 Roma 2 14 | mengine hawana Sheria ya Mose; lakini kila wanapotimiza matakwa 746 Roma 2 21 | Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.~ 747 Roma 2 25 | maana kama ukiitii Sheria. Lakini kama unaivunja Sheria, basi, 748 Roma 3 3 | 3 Lakini itakuwaje iwapo baadhi yao 749 Roma 3 5 | 5 Lakini, ikiwa uovu wetu unathibitisha 750 Roma 3 21 | 21 Lakini sasa, njia ya Mungu ya kuwakubali 751 Roma 3 24 | 24 Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, 752 Roma 3 26 | 26 lakini sasa, wakati huu, anazikabili 753 Roma 4 5 | 5 Lakini mtu asiyetegemea matendo 754 Roma 4 12 | baba wa wale waliotahiriwa; lakini si kwa kuwa wametahiriwa, 755 Roma 4 15 | Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna Sheria, haiwezekani 756 Roma 4 19 | wa karibu miaka mia moja, lakini imani yake haikufifia ingawa 757 Roma 5 8 | 8 Lakini Mungu amethibitisha kwamba 758 Roma 5 13 | dhambi ilikuwako ulimwenguni; lakini dhambi haiwekwi katika kumbukumbu 759 Roma 5 14 | 14 Lakini tangu wakati wa Adamu mpaka 760 Roma 5 15 | 15 Lakini ipo tofauti: neema ya Mungu 761 Roma 5 16 | mmoja, Mungu alitoa hukumu; lakini baada ya makosa ya watu 762 Roma 5 17 | sababu ya huyo mtu mmoja; lakini, ni dhahiri zaidi kwamba 763 Roma 5 20 | kuongezeka kwa uhalifu; lakini pale dhambi ilipoongezeka, 764 Roma 6 11 | kuwa mmekufa kuhusu dhambi, lakini kama mnaoishi katika umoja 765 Roma 6 17 | watumwa wa dhambi zamani, sasa lakini - namshukuru Mungu - mmetii 766 Roma 6 22 | 22 Lakini sasa, mmekwisha kombolewa 767 Roma 6 23 | mshahara wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa Mungu ni 768 Roma 7 2 | wote mumewe anapokuw hai; lakini mumewe akifa, hiyo sheria 769 Roma 7 3 | yungali hai, ataitwa mzinzi; lakini mumewe akifa, mwanamke huyo 770 Roma 7 6 | 6 Lakini sasa tumekuwa huru kutoka 771 Roma 7 7 | ni dhambi? Hata kidogo! Lakini bila Sheria, mimi nisingalijua 772 Roma 7 9 | nilikuwa hai mbali na Sheria; lakini amri ilipokuja, dhambi ilifufuka,~ 773 Roma 7 14 | kwamba Sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi 774 Roma 7 21 | ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo 775 Roma 7 23 | 23 Lakini naona kwamba kuna sheria 776 Roma 8 5 | hutawaliwa na fikira za mwili. Lakini wale wanaoishi kufuatana 777 Roma 8 9 | 9 Lakini ninyi hamuishi kufuatana 778 Roma 8 10 | 10 Lakini kama Kristo yumo ndani yenu, 779 Roma 8 12 | ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na 780 Roma 8 13 | kibinadamu, hakika mtakufa. Lakini, kama kwa njia ya Roho mnayaua 781 Roma 8 24 | hayo sisi tumekombolewa; lakini tumaini halina maana ikiwa 782 Roma 8 26 | hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe anatuombea 783 Roma 8 37 | 37 Lakini, katika mambo haya yote, 784 Roma 9 11 | 11 Lakini, ili Mungu aonekane kwamba 785 Roma 9 13 | yasemavyo: "Yakobo nilimpenda, lakini Esau nilimchukia."~ 786 Roma 9 20 | 20 Lakini, ewe binadamu, u nani hata 787 Roma 10 2 | bidii ya kumtafuta Mungu; lakini bidii hiyo haikujengwa juu 788 Roma 10 6 | 6 Lakini, kuhusu kukubaliwa kuwa 789 Roma 10 16 | 16 Lakini wote hawakuipokea hiyo Habari 790 Roma 10 18 | 18 Lakini nauliza: je, hawakuusikia 791 Roma 10 21 | 21 Lakini kuhusu Israeli anasema: " 792 Roma 11 7 | walichokuwa wanakitafuta; lakini wote walioteuliwa walikipata. 793 Roma 11 19 | 19 Lakini utasema: "Matawi yalikatwa 794 Roma 11 20 | unasimama kwa imani yako. Lakini usijivune; ila uwe na tahadhari.~ 795 Roma 11 24 | tawi la mzeituni mwitu, lakini mmeondolewa huko, mkapandikizwa 796 Roma 11 24 | ambapo kwa asili si penu. Lakini, Wayahudi kwa asili ni kama 797 Roma 11 28 | wamekuwa adui wa Mungu, lakini kwa faida yenu nyinyi watu 798 Roma 11 28 | nyinyi watu wa mataifa. Lakini, kwa kuwa waliteuliwa, bado 799 Roma 11 30 | mlikuwa mmemwasi Mungu, lakini sasa mmepata huruma yake 800 Roma 13 4 | anayefanya kazi kwa faida yako. Lakini ukifanya mabaya, basi, huna 801 Roma 14 1 | kwenu mtu aliye dhaifu, lakini msibishane naye juu ya mawazo 802 Roma 14 2 | inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake 803 Roma 14 14 | kilicho najisi kwa asili yake; lakini, mtu akidhani kwamba kitu 804 Roma 14 20 | Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho 805 Roma 14 23 | 23 Lakini mtu anayeona shaka juu ya 806 Roma 15 15 | 15 Lakini nimewaandikia hapa na pale 807 Roma 15 23 | 23 Lakini maadam sasa nimemaliza kazi 808 Roma 15 25 | 25 Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia 809 Roma 15 27 | wameamua kufanya hivyo; lakini, kwa kweli, hilo ni jukumu 810 Roma 16 26 | 26 Lakini, sasa ukweli huo umefunuliwa 811 1Cor 1 16 | nilibatiza pia jamaa ya Stefana; lakini zaidi ya hawa, sidhani kama 812 1Cor 1 18 | katika mkumbo wa kupotea, lakini kwetu sisi tulio katika 813 1Cor 1 23 | 23 lakini sisi tunamhubiri Kristo 814 1Cor 1 24 | 24 lakini kwa wale walioitwa, Wayahudi 815 1Cor 2 6 | wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, 816 1Cor 2 9 | 9 Lakini, ni kama yasemavyo Maandiko 817 1Cor 2 15 | 15 Lakini mtu aliye na huyo Roho anaweza 818 1Cor 2 16 | Nani awezaye kumshauri?" Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.~ ~~ ~ 819 1Cor 3 6 | Apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.~ 820 1Cor 3 15 | 15 lakini kama alichojenga kitaunguzwa, 821 1Cor 3 15 | basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe ataokolewa 822 1Cor 3 23 | 23 Lakini ninyi ni wa Kristo naye 823 1Cor 4 4 | hainishtaki kwa jambo lolote, lakini hiyo haionyeshi kwamba sina 824 1Cor 4 10 | wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi ni wenye busara katika 825 1Cor 4 19 | 19 Lakini, Bwana akipenda, nitakuja 826 1Cor 6 8 | 8 Lakini, badala yake, ninyi ndio 827 1Cor 6 11 | Baadhi yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa 828 1Cor 6 12 | kila kitu ni halali." Sawa; lakini si kila kitu kinafaa. Nakubali 829 1Cor 6 12 | kila kitu ni halali kwangu lakini sitaki kutawaliwa na kitu 830 1Cor 6 13 | ajili ya chakula." Sawa; lakini Mungu ataviharibu vyote 831 1Cor 6 17 | 17 Lakini aliyejiunga na Bwana huwa 832 1Cor 6 18 | zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi 833 1Cor 7 2 | 2 lakini kwa sababu ya hatari ya 834 1Cor 7 7 | wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mmoja anacho kipaji 835 1Cor 7 11 | 11 lakini kama akiachana naye, basi 836 1Cor 7 21 | ulipoitwa? Sawa, usijali; lakini ukipata fursa ya kuwa huru, 837 1Cor 7 25 | sina amri kutoka kwa Bwana; lakini natoa maoni yangu mimi ambaye 838 1Cor 7 28 | 28 Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda 839 1Cor 7 28 | na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate 840 1Cor 7 34 | mwili na roho kwa Bwana. Lakini mwanamke aliyeolewa hujishughulisha 841 1Cor 7 37 | 37 Lakini kama huyo mwanamume akiamua 842 1Cor 7 39 | muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo 843 1Cor 7 40 | 40 Lakini, nionavyo mimi, atakuwa 844 1Cor 8 1 | kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu 845 1Cor 8 1 | huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga.~ 846 1Cor 8 3 | 3 Lakini anayempenda Mungu huyo anajulikana 847 1Cor 8 7 | 7 Lakini, si kila mtu anao ujuzi 848 1Cor 8 8 | 8 Lakini chakula hakiwezi kutupeleka 849 1Cor 8 9 | 9 Lakini, jihadharini: huu uhuru 850 1Cor 9 2 | watu wengine mimi si mtume, lakini walau kwenu ninyi mimi ni 851 1Cor 9 12 | hatuna haki zaidi kuliko hao? Lakini, sisi hatukuitumia haki 852 1Cor 9 15 | 15 Lakini, mimi sikutumia hata mojawapo 853 1Cor 9 17 | basi, ningetazamia malipo; lakini maadam naifanya ikiwa ni 854 1Cor 9 25 | wajipatie taji iharibikayo! Lakini sisi twafanya hivyo tupate 855 1Cor 10 23 | 23 Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote 856 1Cor 10 23 | vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.~ 857 1Cor 10 28 | 28 Lakini mtu akiwaambieni: "Chakula 858 1Cor 11 3 | 3 Lakini napenda pia mjue kwamba 859 1Cor 11 6 | afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa 860 1Cor 11 7 | cha utukufu wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu 861 1Cor 11 15 | 15 lakini kwa mwanamke kuwa na nywele 862 1Cor 11 20 | 20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula chakula 863 1Cor 11 32 | 32 Lakini tunapohukumiwa na Bwana, 864 1Cor 11 34 | kwenu kusisababishe hukumu. Lakini, kuhusu yale mambo mengine, 865 1Cor 12 4 | kiroho ni vya namna nyingi, lakini Roho avitoaye ni mmoja.~ 866 1Cor 12 5 | namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.~ 867 1Cor 12 6 | kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha 868 1Cor 12 18 | 18 Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga 869 1Cor 12 20 | sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja.~ 870 1Cor 13 1 | watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa 871 1Cor 13 2 | nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si 872 1Cor 13 10 | 10 Lakini kile kilicho kikamilifu 873 1Cor 13 11 | kitoto, nilifikiri kitoto. Lakini sasa, maadam mimi ni mtu 874 1Cor 13 12 | sura hafifu katika kioo, lakini hapo baadaye tutaona uso 875 1Cor 13 12 | ninajua kiasi fulani tu, lakini hapo baadaye nitajua yote 876 1Cor 13 13 | imani, tumaini na upendo; lakini lililo kuu kupita yote ni 877 1Cor 14 3 | 3 Lakini mwenye kipaji cha kutangaza 878 1Cor 14 4 | ngeni anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza 879 1Cor 14 5 | nyote mseme kwa lugha ngeni lakini ningependelea hasa muwe 880 1Cor 14 11 | 11 Lakini ikiwa mimi sifahamu maana 881 1Cor 14 14 | roho yangu ndiyo inayosali, lakini akili yangu hubaki bure.~ 882 1Cor 14 17 | yaweza kweli kuwa bora, lakini huyo mwingine haitamfaidia.~ 883 1Cor 14 19 | 19 Lakini katika mikutano ya waumini 884 1Cor 14 20 | muwe kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima 885 1Cor 14 22 | ajili ya wale wasioamini; lakini kipaji cha kutangaza ujumbe 886 1Cor 14 24 | 24 Lakini, wote wakiwa wanautangaza 887 1Cor 14 28 | 28 Lakini kama hakuna awezaye kufafanua, 888 1Cor 14 38 | 38 Lakini mtu asiyetambua hayo, basi, 889 1Cor 14 39 | kutangaza ujumbe wa Mungu; lakini msimkataze mtu kusema kwa 890 1Cor 14 40 | 40 Lakini yote yafanyike kwa heshima 891 1Cor 15 6 | wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.~ 892 1Cor 15 10 | 10 Lakini, kwa neema yake Mungu, nimekuwa 893 1Cor 15 11 | 11 Lakini hata hivyo, iwe wao ndio 894 1Cor 15 20 | 20 Lakini ukweli ni kwamba Kristo 895 1Cor 15 23 | 23 Lakini kila mmoja kwa mpango wake: 896 1Cor 15 27 | vyote chini ya miguu yake." Lakini, Maandiko yanaposema: "Vitu 897 1Cor 15 28 | 28 Lakini vitu vyote vitakapowekwa 898 1Cor 15 35 | 35 Lakini mtu anaweza kuuliza: "Wafu 899 1Cor 15 42 | katika hali ya kuharibika, lakini hufufuliwa katika hali ya 900 1Cor 15 45 | alikuwa kiumbe mwenye uhai;" lakini adamu wa mwisho ni Roho 901 1Cor 15 46 | 46 Lakini unaotangulia kuwako si ule 902 1Cor 15 57 | 57 Lakini tumshukuru Mungu anayetupatia 903 1Cor 16 8 | 8 Lakini nitabaki hapa Efeso mpaka 904 1Cor 16 12 | pamoja na ndugu wengine, lakini hapendelei kabisa kuja sasa 905 2Cor 2 13 | 13 Lakini nilifadhaika sana kwa kutomkuta 906 2Cor 2 14 | 14 Lakini, shukrani kwa Mungu anayetuongoza 907 2Cor 2 16 | wanaopotea, harufu hiyo ni kifo; lakini kwa wale wanaookolewa, harufu 908 2Cor 3 6 | iliyoandikwa huleta kifo, lakini Roho huleta uzima.~ 909 2Cor 3 14 | 14 Lakini akili zao zilipumbazwa. 910 2Cor 3 16 | 16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, 911 2Cor 4 8 | 8 Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata 912 2Cor 4 8 | hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;~ 913 2Cor 4 9 | 9 twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na 914 2Cor 4 12 | yetu kifo kinafanya kazi, lakini ndani yenu uhai unafanya 915 2Cor 4 16 | maumbile yetu ya nje yataoza, lakini kwa ndani tunafanywa wapya 916 2Cor 4 17 | kidogo, tena ya muda tu: lakini itatupatia utukufu upitao 917 2Cor 4 18 | vinavyoonekana ni vya muda tu; lakini vile visivyoonekana ni vya 918 2Cor 5 8 | 8 Lakini tuko imara na tungependelea 919 2Cor 5 9 | 9 Lakini jambo la maana zaidi, tunataka 920 2Cor 5 21 | Kristo hakuwa na dhambi, lakini Mungu alimfanya ahusike 921 2Cor 6 9 | kwa wote, kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni wazima 922 2Cor 6 10 | ingawa tu maskini hohehahe, lakini twatajirisha watu wengi; 923 2Cor 7 6 | 6 Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime 924 2Cor 7 8 | barua hiyo iliwatia huzuni lakini kwa muda.~ 925 2Cor 7 10 | hakuna sababu ya kujuta. Lakini huzuni ya kidunia huleta 926 2Cor 8 2 | walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa 927 2Cor 8 8 | 8 Siwapi ninyi amri, lakini nataka tu kuonyesha jinsi 928 2Cor 8 21 | vema, si tu mbele ya Bwana, lakini pia mbele ya watu.~ 929 2Cor 8 23 | kazi pamoja kwa ajili yenu; lakini kuhusu hawa ndugu zetu wengine, 930 2Cor 10 1 | mpole nikiwa pamoja nanyi, lakini mkali wakati nikiwa mbali 931 2Cor 10 3 | Kweli tunaishi duniani, lakini hatupigani vita kidunia.~ 932 2Cor 10 10 | na zenye maneno mazito, lakini yeye mwenyewe anapokuwa 933 2Cor 10 13 | 13 Lakini sisi hatutajivuna kupita 934 2Cor 10 17 | 17 Lakini kama yasemavyo Maandiko: " 935 2Cor 11 2 | 2 Ninawaoneeni wivu lakini ni wivu wa Mungu; maana 936 2Cor 11 3 | 3 Lakini naogopa kwamba, kama vile 937 2Cor 11 6 | Labda sina ufasaha wa lugha, lakini elimu ninayo; jambo hili 938 2Cor 11 16 | asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama mkifikiri hivyo, basi, 939 2Cor 11 21 | tulikuwa dhaifu. Iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu 940 2Cor 11 33 | 33 Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa 941 2Cor 12 1 | Nitajivuna basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono 942 2Cor 12 3 | alinyakuliwa mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko 943 2Cor 12 6 | ningekuwa nasema ukweli mtupu. Lakini sitajivuna; sipendi mtu 944 2Cor 12 7 | 7 Lakini, kusudi mambo haya makuu 945 2Cor 12 9 | 9 Lakini akaniambia: "Neema yangu 946 2Cor 12 11 | Nimekuwa kama mpumbavu, lakini, ninyi mmenilazimisha kuwa 947 2Cor 12 16 | kwamba sikuwa mzigo kwenu. Lakini labda mtu mwingine atasema: " 948 2Cor 12 19 | tukijitetea wenyewe mbele yenu! Lakini, tunasema mambo haya mbele 949 2Cor 12 21 | wa wale waliotenda dhambi lakini hawakujutia huo uchafu, 950 2Cor 13 4 | alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa 951 2Cor 13 4 | dhaifu kwa kuungana naye lakini tutaishi naye kwa uwezo 952 2Cor 13 6 | 6 Lakini natumaini kwamba ninyi mnajua 953 2Cor 13 7 | Mungu msifanye uovu wowote, lakini si kusudi tuonekane kama 954 2Cor 13 9 | Tunafurahi kwamba sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; kwa hiyo 955 Gala 1 7 | 7 Lakini hakuna "Habari Njema" nyingine. 956 Gala 1 8 | 8 Lakini, hata kama mmoja wetu au 957 Gala 1 15 | 15 Lakini Mungu, kwa neema yake, alikuwa 958 Gala 1 19 | 19 Lakini sikuwaona mitume wengine 959 Gala 2 3 | 3 Lakini, hata mwenzangu Tito, ambaye 960 Gala 2 6 | 6 Lakini watu hawa wanaosemekana 961 Gala 2 10 | 10 Wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke 962 Gala 2 11 | 11 Lakini Kefa alipofika Antiokia 963 Gala 2 12 | watu wa mataifa mengine. Lakini, baada ya hao watu kufika, 964 Gala 2 16 | 16 Lakini, tunajua kwa hakika kwamba 965 Gala 2 18 | 18 Lakini ikiwa ninajenga tena kile 966 Gala 2 20 | 20 na sasa naishi, lakini si mimi tena, bali Kristo 967 Gala 3 10 | 10 Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza 968 Gala 3 12 | 12 Lakini Sheria haitegemei imani, 969 Gala 3 18 | tena ahadi ya Mungu. Kumbe, lakini Mungu alimkirimia Abrahamu 970 Gala 3 22 | 22 Lakini sivyo; Maandiko Matakatifu 971 Gala 4 4 | 4 Lakini wakati ule maalumu ulipotimia, 972 Gala 4 9 | 9 Lakini sasa, kwa vile mnamjua Mungu, 973 Gala 4 14 | mlishawishiwa kufanya hivyo; lakini mlinipokea kama malaika 974 Gala 4 17 | wengine wanawahangaikia ninyi, lakini nia zao si njema. Wanataka 975 Gala 4 23 | alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa mwanamke huru alizaliwa 976 Gala 4 26 | 26 Lakini Yerusalemu ya juu mbinguni 977 Gala 4 29 | 29 Lakini kama vile siku zile yule 978 Gala 4 30 | 30 Lakini Maandiko Matakatifu yasemaje? 979 Gala 5 5 | 5 Kwa upande wetu, lakini, sisi tunatumaini kwamba 980 Gala 5 13 | mliitwa muwe watu huru. Lakini uhuru huo usiwe kisingizio 981 Gala 5 15 | 15 Lakini ikiwa mtaumana na kutafunana 982 Gala 5 22 | 22 Lakini matokeo ya kuongozwa na 983 Gala 6 1 | mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, 984 Gala 6 4 | 4 Lakini kila mmoja na aupime vizuri 985 Gala 6 8 | atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna 986 Gala 6 14 | 14 Lakini mimi sitajivunia kamwe chochote 987 Ephe 2 4 | 4 Lakini Mungu ni mwenye huruma nyingi. 988 Ephe 2 13 | 13 Lakini sasa, kwa kuungana na Kristo 989 Ephe 3 5 | hawakujulishwa siri hiyo; lakini sasa Mungu amewajulisha 990 Ephe 3 8 | kuliko watu wote wa Mungu; lakini amenijalia neema yake, ili 991 Ephe 4 20 | 20 Lakini ninyi hamkujifunza hivyo 992 Ephe 5 8 | Zamani ninyi mlikuwa gizani, lakini sasa ninyi mko katika mwanga 993 Ephe 5 13 | 13 Lakini mambo yale yanayotendwa 994 Ephe 5 33 | 33 Lakini yanawahusu ninyi pia: kila 995 Colo 1 22 | 22 Lakini sasa, kwa kifo cha Mwanae 996 Colo 1 23 | 23 Mnapaswa, lakini kuendelea kuwa imara na 997 Colo 1 26 | binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake.~ 998 Colo 2 5 | niko mbali nanyi kwa mwili, lakini niko pamoja nanyi kwa roho, 999 Colo 2 11 | Kristo ninyi mlitahiriwa, lakini si kwa tohara ifanywayo 1000 Colo 2 13 | watu wa mataifa mengine. Lakini Mungu amewapa ninyi uzima


1-500 | 501-1000 | 1001-1234

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License