Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
paulo 226
pazia 6
pazuri 3
peke 62
pekee 20
pelegi 1
peleka 1
Frequency    [«  »]
62 hakika
62 hekalu
62 nyingine
62 peke
62 tamaa
61 hai
61 ishara

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

peke

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 10 | wako na kumtumikia yeye peke yake."`~ 2 Matt 12 4 | hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.~ 3 Matt 14 13 | akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata 4 Matt 14 23 | kuwaaga, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, 5 Matt 14 23 | jioni, yeye alikuwa huko peke yake,~ 6 Matt 17 1 | Yohane nduguye, akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu.~ 7 Matt 17 8 | hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.~ 8 Matt 18 15 | mwendee ukamwonye mkiwa ninyi peke yenu. Akikusikia utakuwa 9 Matt 24 36 | mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake ndiye ajuaye.~ 10 Mark 2 7 | kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake."~ 11 Mark 2 26 | Mkuu. Na ni makuhani tu peke yao waliokuwa wameruhusiwa 12 Mark 4 10 | 10 Yesu alipokuwa peke yake, baadhi ya wale waliomsikia 13 Mark 4 34 | pamoja na wanafunzi wake peke yao alikuwa akiwafafanulia 14 Mark 6 31 | Yesu akawaambia, "Twendeni peke yetu mahali pa faragha kula 15 Mark 6 32 | 32 Basi, Wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda 16 Mark 6 47 | katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.~ 17 Mark 9 2 | Yohane juu ya mlima mrefu peke yao. Huko, Yesu akageuka 18 Mark 9 8 | hawakumwona mtu mwingine, ila Yesu peke yake pamoja nao.~ 19 Mark 10 18 | Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.~ 20 Mark 12 29 | Bwana Mungu wetu ndiye peke yake Bwana.~ 21 Mark 13 32 | mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye.~ 22 Luke 4 8 | wako, na utamtumikia yeye peke yake."`~ 23 Luke 5 21 | kusamehe dhambi ila Mungu peke yake!"~ 24 Luke 6 4 | Kisheria, ni makuhani tu peke yao ndio walioruhusiwa kula 25 Luke 9 10 | Yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.~ 26 Luke 9 18 | moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake 27 Luke 9 36 | kusikika, Yesu alionekana akiwa peke yake. Wanafunzi walikaa 28 Luke 10 40 | yangu ameniacha nishughulike peke yangu? Mwambie basi, anisaidie."~ 29 Luke 18 19 | Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.~ 30 Luke 24 18 | akamjibu, "Je, wewe ni mgeni peke yako Yerusalemu ambaye hujui 31 John 5 20 | Mwana hawezi kufanya kitu peke yake; anaweza tu kufanya 32 John 5 45 | kutoka kwake yeye aliye peke yake Mungu?~ 33 John 6 15 | akaondoka tena, akaenda mlimani peke yake. ic~ 34 John 6 22 | walikuwa wamekwenda zao peke yao.~ 35 John 6 63 | ndiye atiaye uzima; binadamu peke yake hawezi. Maneno niliyowaambieni 36 John 8 9 | wakitanguliwa na wazee. Yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama 37 John 8 16 | haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma 38 John 8 29 | pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima 39 John 15 4 | ndani yenu. Tawi haliwezi peke yake kuzaa matunda lisipokaa 40 John 16 32 | mtu kwake, nami nitaachwa peke yangu. Kumbe, lakini mimi 41 John 16 32 | Kumbe, lakini mimi siko peke yangu, maana Baba yu pamoja 42 John 17 3 | huu: kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na 43 John 20 7 | kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.~ 44 Acts 12 10 | malaika akamwacha Petro peke yake.~ 45 Acts 28 16 | Paulo aliruhusiwa kukaa peke yake pamoja na askari mmoja 46 Roma 8 23 | 23 Wala si hivyo viumbe peke yake, bali hata sisi tulio 47 Roma 11 3 | madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka 48 Roma 16 27 | 27 Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe 49 1Cor 14 36 | kwamba limewajieni ninyi peke yenu?~ 50 Colo 4 11 | waliokwisha pokea imani, hawa tu peke yao, ndio wanaofanya kazi 51 1The 3 1 | tuliamua kubaki kule Athene peke yetu,~ 52 1Tim 5 16 | kuwatunza wajane wale waliobaki peke yao kabisa.~ 53 1Tim 6 16 | 16 Yeye peke yake anaishi milele, katika 54 2Tim 4 11 | 11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja 55 Hebr 9 7 | 7 Lakini kuhani Mkuu peke yake ndiye anayeingia katika 56 James 2 17| 17 Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.~ 57 James 2 24| matendo yake na si kwa imani peke yake.~ 58 James 4 12| 12 Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka 59 James 4 12| Sheria na kuhukumu. Ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na 60 Jude 1 4 | kumkana Yesu Kristo aliye peke yake kiongozi na Bwana wetu. 61 Jude 1 25 | 25 kwake yeye aliye peke yake Mungu, Mkombozi wetu, 62 Rev 15 4 | asiyelitukuza jina lako? Wewe peke yako ni Mtakatifu. Mataifa


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License