Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 20 | usiogope kumchukua Maria awe mke wako, maana amekuwa
2 Matt 18 17 | kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua
3 Matt 20 26 | kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;~
4 Matt 20 27 | kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.~
5 Matt 23 11 | miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.
6 Mark 9 35 | anayetaka kuwa wa kwanza lazima awe wa mwisho na kuwa mtumishi
7 Mark 10 43 | kuwa mkuu kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.~
8 Mark 10 44 | Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.~
9 Mark 13 34 | akamwambia mlinzi wa mlango awe macho.~
10 Luke 22 26 | mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye
11 Luke 22 26 | na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi.~
12 John 3 15 | 15 ili kila anayemwamini awe na uzima wa milele.~
13 John 3 16 | amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.~
14 John 6 40 | amwonaye Mwana na kumwamini awe na uzima wa milele; nami
15 John 8 7 | dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe."~
16 Acts 7 10 | Misri, hata Farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba
17 Acts 7 35 | Mungu alimtuma Mose huyo awe kiongozi na mkombozi.~
18 Acts 9 15 | tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze
19 Acts 10 42 | ndiye aliyeteuliwa na Mungu awe Mwamuzi wa wazima na wafu.~
20 Acts 12 20 | wakafaulu kwanza kumpata Blasto awe upande wao. Blasto alikuwa
21 Acts 13 21 | wa kabila la Benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka
22 Acts 24 23 | Paulo kizuizini, lakini awe na uhuru kiasi, na rafiki
23 Roma 3 25 | Yesu kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu
24 Roma 8 29 | kufanana na Mwanae, ili Mwana awe wa kwanza miongoni mwa ndugu
25 Roma 9 18 | na akipenda kumfanya mtu awe mkaidi, hufanya hivyo.~
26 Roma 13 14 | 14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie
27 Roma 15 33 | aliye chanzo cha amani na awe nanyi nyote! Amina!~ ~~ ~
28 1Cor 1 30 | Mungu amemfanya Kristo awe hekima yetu; kwa njia yake
29 1Cor 3 10 | anajenga. Basi, kila mmoja awe mwangalifu jinsi anavyojenga
30 1Cor 3 18 | mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa
31 1Cor 7 2 | basi, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na
32 1Cor 7 2 | mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.~
33 1Cor 10 22 | tunataka kumfanya Bwana awe na wivu? Mnadhani tuna nguvu
34 1Cor 14 26 | atoe mafundisho, mwingine awe na ufunuo kutoka kwa Mungu,
35 2Cor 5 5 | naye ametupa Roho wake awe dhamana ya yote aliyotuwekea.~
36 2Cor 8 19 | amechaguliwa na makanisa awe mwenzetu safarini wakati
37 Gala 5 10 | yeyote huyo anayewavurugeni - awe nani au nani - hakika ataadhibiwa.~
38 Ephe 6 8 | mtu mwenye kutenda mema, awe mtumwa au mtu huru, atapokea
39 Colo 1 18 | aliyefufuliwa kutoka wafu, ili awe na nafasi ya kwanza katika
40 2The 3 16 | zote kwa kila namna. Bwana awe nanyi nyote.~
41 1Tim 3 2 | kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa
42 1Tim 3 2 | asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye
43 1Tim 3 2 | anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na
44 1Tim 3 2 | na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;~
45 1Tim 3 3 | mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe
46 1Tim 3 4 | 4 anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema
47 1Tim 3 7 | 7 Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya
48 1Tim 3 12 | Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye
49 1Tim 5 9 | hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja
50 1Tim 5 10 | 10 na awe mwenye sifa nzuri: aliyewalea
51 1Tim 6 6 | Kweli dini humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka
52 2Tim 3 17 | mtu anayemtumikia Mungu awe mkamilifu, na tayari kabisa
53 2Tim 4 22 | 22 Bwana awe nawe rohoni mwako. Nawatakieni
54 Hebr 2 17 | 17 Ndiyo maana ilimbidi awe kama ndugu zake kwa kila
55 Hebr 2 17 | zake kwa kila namna, ili awe Kuhani Mkuu wao aliye mwaminifu
56 Hebr 3 1 | Yesu ambaye Mungu alimtuma awe Kuhani Mkuu wa imani tunayoiungama.~
57 Hebr 8 3 | Kuhani Mkuu wetu lazima pia awe na kitu cha kutolea.~
58 James 1 19| jambo hili! Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia lakini
59 1Joh 4 10 | alitupenda hata akamtuma Mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi
60 1Joh 4 14 | kwamba Baba alimtuma Mwanae awe Mwokozi wa ulimwengu.~
|