Book, Chapter, Verse
1 Matt 25 16 | akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano.~
2 Matt 25 17 | aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.~
3 Matt 25 20 | amechukua zile talanta tano faida, akamwambia, `Bwana, ulinikabidhi
4 Matt 25 20 | pana talanta tano zaidi faida niliyopata.`~
5 Matt 25 22 | akaja, akatoa talanta mbili faida, akisema, `Bwana, ulinikabidhi
6 Matt 25 22 | Chukua talanta mbili zaidi faida niliyopata.`~
7 Matt 25 27 | ningelichukua mtaji wangu na faida yake!~
8 Matt 25 30 | kuhusu huyu mtumishi asiye na faida, mtupeni nje gizani! Huko
9 Mark 8 36 | 36 Je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu
10 Luke 9 25 | 25 Je, kuna faida gani mtu kuupata utajiri
11 Luke 17 10 | Sisi ni watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa
12 Luke 19 15 | kujua kila mmoja amepata faida gani.~
13 Luke 19 16 | akatokea, akasema: `Mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara kumi
14 Luke 19 18 | akaja, akasema: `Mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara tano
15 Luke 19 23 | nami ningeichukua pamoja na faida baada ya kurudi kwangu?`~
16 Luke 19 24 | fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.`~
17 Luke 19 25 | Lakini Mheshimiwa, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!`~
18 Acts 19 24 | hiyo iliwapatia mafundi faida kubwa.~
19 Roma 3 1 | wengine? Au kutahiriwa kuna faida gani?~
20 Roma 3 2 | 2 Naam, iko faida kwa kila upande. Kwanza,
21 Roma 6 21 | 21 Sasa, mlipata faida gani siku zile kutokana
22 Roma 6 22 | mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu,
23 Roma 9 3 | nami! Kama ingekuwa kwa faida yao, ningekuwa radhi kulaaniwa
24 Roma 11 28 | adui wa Mungu, lakini kwa faida yenu nyinyi watu wa mataifa.
25 Roma 13 4 | Mungu anayefanya kazi kwa faida yako. Lakini ukifanya mabaya,
26 1Cor 7 35 | 35 Nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa kuwawekeeni
27 1Cor 9 11 | jambo kubwa tukichuma kwenu faida ya kidunia?~
28 1Cor 10 24 | 24 Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida
29 1Cor 10 24 | faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake.~
30 1Cor 10 33 | kila njia, bila kutafuta faida yangu mwenyewe ila faida
31 1Cor 10 33 | faida yangu mwenyewe ila faida ya wote, wapate kuokolewa.~~ ~
32 1Cor 11 17 | yaleta hasara zaidi kuliko faida.~
33 1Cor 12 7 | hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote.~
34 1Cor 13 5 | upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana
35 2Cor 4 15 | 15 Yote haya ni kwa faida yenu; ili kama vile neema
36 2Cor 5 13 | zetu timamu, hiyo ni kwa faida yenu.~
37 2Cor 12 15 | mimi mwenyewe kabisa, kwa faida ya roho zenu. Je, mtanipenda
38 Ephe 3 2 | alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu.~
39 Colo 1 25 | Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni
40 1Tim 4 8 | 8 Mazoezi ya mwili yana faida yake, lakini mazoezi ya
41 1Tim 4 8 | lakini mazoezi ya kiroho yana faida za kila namna, maana yanatuahidia
42 1Tim 6 2 | zaidi, maana hao wanaopata faida kutokana na kazi yao ni
43 Titus 1 11| kwa nia mbaya ya kupata faida ya fedha.~
44 Titus 3 9 | Sheria. Mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.~
45 Hebr 6 7 | mara, na kuotesha mimea ya faida kwa mkulima.~
46 Hebr 6 8 | ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu
47 Hebr 11 26 | kwa ajili ya Masiha kuna faida kubwa zaidi kuliko utajiri
48 Hebr 12 10 | anatuadhibu kwa ajili ya faida yetu wenyewe, tupate kuushiriki
49 Hebr 13 17 | huzuni, na hiyo haitakuwa na faida kwenu.~
50 James 2 14| 14 Ndugu zangu, kuna faida gani mtu kusema ana imani,
51 James 4 13| tukifanya biashara na kupata faida."~
52 1Pet 1 12 | hiyo kazi yao haikuwa kwa faida yao wenyewe, bali kwa ajili
53 1Pet 4 10 | alichojaliwa na Mungu kwa faida ya wengine, kama vile uwakili
54 2Pet 1 8 | kuwa watendaji na kupata faida katika kumjua Bwana wetu
55 2Pet 2 3 | tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni hadithi
56 2Pet 2 15 | ambaye alipendelea kupata faida kwa kufanya udanganyifu,~
57 Jude 1 4 | miongoni mwetu, watu ambao, kwa faida ya maisha yao mabaya, wanaupotosha
58 Rev 18 14 | Wafanyabiashara wanamwambia: "Faida yote uliyotazamia imetoweka,
|