Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
azoto 1
b 1
baada 199
baadaye 58
baadhi 78
baalamu 1
baali 1
Frequency    [«  »]
59 sabato
59 wakamwambia
58 akamwuliza
58 baadaye
58 enzi
58 faida
58 jiwe

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

baadaye

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 15 17 | kinywani huenda tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?~ 2 Matt 21 29 | akamwambia, `Sitaki!` Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya 3 Matt 25 11 | 11 Baadaye wale wanawali wengine wakaja, 4 Matt 26 73 | 73 Baadaye kidogo, watu waliokuwa pale 5 Mark 2 15 | 15 Baadaye, Yesu alikuwa amekaa mezani, 6 Mark 7 19 | moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?" (Kwa 7 Mark 14 70 | 70 Petro akakana tena. Baadaye kidogo, watu waliokuwa wamesimama 8 Mark 16 12 | 12 Baadaye Yesu aliwatokea wanafunzi 9 Luke 1 24 | 24 Baadaye Elisabeti mkewe akapata 10 Luke 1 39 | 39 Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda 11 Luke 2 21 | 21 Siku nane baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto 12 Luke 6 16 | na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.~ 13 Luke 6 21 | mnaosikia njaa sasa, maana baadaye mtashiba. Heri ninyi mnaolia 14 Luke 6 21 | ninyi mnaolia sasa, maana baadaye mtacheka kwa furaha.~ 15 Luke 6 25 | ninyi mnaoshiba sasa, maana baadaye mtasikia njaa. Ole wenu 16 Luke 6 25 | mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza na kulia.~ 17 Luke 7 11 | 11 Baadaye kidogo Yesu alikwenda katika 18 Luke 10 17 | 17 Baadaye, wale sabini na wawili walirudi 19 Luke 10 25 | 25 Baadaye mwalimu mmoja wa Sheria 20 Luke 14 22 | 22 Baadaye, mtumishi huyo akasema: ` 21 Luke 20 29 | Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto.~ 22 Luke 22 58 | 58 Baadaye kidogo, mtu mwingine akamwona 23 Luke 22 59 | 59 Kama saa moja baadaye, mtu mwingine akasisitiza, " 24 John 5 15 | 14 Basi, baadaye Yesu alimkuta huyo aliyeponywa 25 John 13 7 | ninachofanya lakini utaelewa baadaye."~ 26 John 13 36 | sasa, lakini utanifuata baadaye."~ 27 Acts 1 15 | 15 Siku chache baadaye, kulikuwa na mkutano wa 28 Acts 5 37 | 37 Tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa 29 Acts 6 1 | 1 Baadaye, idadi ya wanafunzi ilipokuwa 30 Acts 25 13 | 13 Siku chache baadaye, mfalme Agripa na Bernike 31 Acts 27 28 | kina cha mita arobaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita 32 Roma 4 11 | 11 Abrahamu alitahiriwa baadaye, na kutahiriwa huko kulikuwa 33 Roma 5 14 | cha yule ambaye atakuja baadaye.~ 34 Roma 8 38 | sasa, wala yatakayotokea baadaye; wala mamlaka;~ 35 1Cor 3 22 | kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.~ 36 1Cor 13 12 | katika kioo, lakini hapo baadaye tutaona uso kwa uso. Sasa 37 1Cor 13 12 | kiasi fulani tu, lakini hapo baadaye nitajua yote kikamilifu, 38 1Cor 15 5 | kwamba alimtokea Kefa, na baadaye aliwatokea wale kumi na 39 1Cor 15 7 | 7 Baadaye alimtokea Yakobo kisha akawatokea 40 1Cor 15 37 | mmea mzima ambao hutokea baadaye.~ 41 Gala 1 21 | 21 Baadaye nilikwenda katika tarafa 42 Gala 3 17 | miaka mia nne na thelathini baadaye, haiwezi kulitangua hilo 43 Ephe 2 7 | kuonyesha kwa watu wa nyakati za baadaye, ukuu wa neema yake aliyotujalia 44 1The 2 17 | kwa roho. Kitambo kifupi baadaye, tulishikwa na hamu kubwa 45 1Tim 1 16 | mfano kwa wale wote ambao baadaye watamwamini na kupokea uzima 46 1Tim 4 1 | waziwazi kwamba siku za baadaye watu wengine wataitupilia 47 1Tim 5 24 | za wengine huonekana tu baadaye.~ 48 Hebr 3 5 | ambayo Mungu atayasema hapo baadaye.~ 49 Hebr 4 7 | inaitwa "Leo". Miaka mingi baadaye Mungu alisema juu ya hiyo 50 Hebr 4 8 | pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine.~ 51 Hebr 11 7 | na Mungu juu ya mambo ya baadaye ambayo hakuweza kuyaona 52 Hebr 11 20 | wapate baraka zitakazokuja baadaye.~ 53 Hebr 11 26 | alikuwa anatazamia tuzo la baadaye.~ 54 James 1 25| kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu 55 2Pet 2 12 | akili, ambao huzaliwa na baadaye hukamatwa na kuchinjwa! 56 Jude 1 5 | katika nchi ya Misri, lakini baadaye aliwaangamiza wale ambao 57 Rev 1 19 | sasa na yale yatakayotukia baadaye.~ 58 Rev 4 1 | nitakuonyesha mambo yatakayotukia baadaye."~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License