Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
kaskazini-magharibi 1
kasoro 1
kati 150
katika 1170
katikati 17
kavu 14
kawaida 22
Frequency    [«  »]
1473 watu
1440 ni
1234 lakini
1170 katika
1087 mtu
1086 kama
1007 basi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

katika

1-500 | 501-1000 | 1001-1170

     Book, Chapter, Verse
501 Acts 9 17 | Anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. Kisha akaweka 502 Acts 9 20 | 20 Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni 503 Acts 9 31 | kanisa likawa na amani popote katika Yudea, Galilaya, na Samaria. 504 Acts 9 31 | Samaria. Lilijengwa na kukua katika kumcha Bwana, na kuongezeka 505 Acts 9 37 | wakauosha mwili wake, wakauzika katika chumba ghorofani.~ 506 Acts 9 39 | Alipofika alipelekwa ghorofani katika kile chumba. Huko wajane 507 Acts 10 3 | tisa mchana, aliona dhahiri katika maono malaika wa Mungu akiingia 508 Acts 10 37 | mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia 509 Acts 10 39 | wa mambo yote aliyotenda katika nchi ya Wayahudi na katika 510 Acts 10 39 | katika nchi ya Wayahudi na katika Yerusalemu. Walimuua kwa 511 Acts 11 23 | na kuwahimiza wote wadumu katika uaminifu wao kwa Bwana.~ 512 Acts 11 28 | kwamba kutakuwa na njaa kubwa katika nchi yote (Njaa hiyo ilitokea 513 Acts 12 7 | minyororo ikaanguka kutoka katika mikono yake.~ 514 Acts 12 10 | wakatoka nje. Wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule 515 Acts 12 11 | malaika wake akaniokoa kutoka katika mkono wa Herode na kutoka 516 Acts 12 11 | mkono wa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa 517 Acts 12 21 | amevaa mavazi rasmi na kuketi katika kiti cha kifalme aliwahutubia 518 Acts 13 1 | 1 Katika kanisa la Antiokia kulikuwa 519 Acts 13 5 | walihubiri neno la Mungu katika masunagogi ya Kiyahudi. 520 Acts 13 13 | meli wakaenda hadi Perga katika Pamfulia; lakini Yohane ( 521 Acts 13 15 | 15 Baada ya masomo katika kitabu cha Sheria ya Mose 522 Acts 13 15 | kitabu cha Sheria ya Mose na katika maandiko ya manabii, wakuu 523 Acts 13 32 | wafu. Kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: `Wewe ni 524 Acts 13 35 | 35 Naam, na katika sehemu nyingine za zaburi 525 Acts 13 42 | Barnaba walipokuwa wanatoka katika ile sunagogi, wale watu 526 Acts 13 44 | iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza 527 Acts 13 49 | Bwana likaenea kila mahali katika sehemu ile.~ 528 Acts 13 50 | Barnaba, wakawafukuza kutoka katika eneo lao.~ 529 Acts 13 51 | wakayakung`uta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha 530 Acts 14 1 | Paulo na Barnaba walikwenda katika sunagogi la Wayahudi wakaongea 531 Acts 14 2 | walichochea na kutia chuki katika mioyo ya watu wa mataifa 532 Acts 14 6 | Derbe, miji ya Lukaonia, na katika sehemu za jirani,~ 533 Acts 14 11 | Kilukaonia: "Miungu imetujia katika sura za binadamu!"~ 534 Acts 14 14 | mavazi yao na kukimbilia katika lile kundi la watu wakisema 535 Acts 14 22 | kuwatia moyo wabaki imara katika imani. Wakawaambia, "Ni 536 Acts 14 22 | lazima sisi sote tupitie katika taabu nyingi ili tuingie 537 Acts 14 22 | taabu nyingi ili tuingie katika ufalme wa Mungu."~ 538 Acts 14 23 | 23 Waliteua wazee katika kila kanisa kwa ajili ya 539 Acts 14 24 | 24 Baada ya kupitia katika nchi ya Pisidia, walifika 540 Acts 14 27 | mengine mlango wa kuingia katika imani.~ 541 Acts 15 21 | Mose yamekuwa yakihubiriwa katika kila mji na kusomwa katika 542 Acts 15 21 | katika kila mji na kusomwa katika masunagogi yote kila siku 543 Acts 15 24 | yao, wakaitia mioyo yenu katika wasiwasi. Lakini wamefanya 544 Acts 15 36 | tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri 545 Acts 15 38 | Pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.~ 546 Acts 15 41 | 41 Katika safari hiyo alipitia Siria 547 Acts 16 4 | 4 Walipokuwa wanapita katika ile miji waliwapa watu yale 548 Acts 16 5 | makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini 549 Acts 16 12 | koloni la Waroma. Tulikaa katika mji huo siku kadhaa.~ 550 Acts 16 20 | Wayahudi na wanafanya fujo katika mji wetu.~ 551 Acts 16 24 | hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa 552 Acts 16 39 | ndani waliwaomba watoke katika mji ule.~ 553 Acts 17 10 | walipofika huko, walikwenda katika sunagogi la Wayahudi.~ 554 Acts 17 17 | wengine waliomcha Mungu katika sunagogi; na kila siku alikuwa 555 Acts 17 23 | Sababu yenyewe ni kwamba katika pitapita yangu niliangalia 556 Acts 17 24 | mbingu na nchi; yeye hakai katika hekalu zilizojengwa na watu.~ 557 Acts 18 4 | Sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta 558 Acts 18 9 | Bwana alimwambia Paulo katika maono: "Usiogope, endelea 559 Acts 18 19 | Priskila na Akula, akaenda katika sunagogi, akajadiliana na 560 Acts 19 8 | mitatu Paulo alikuwa akienda katika sunagogi, akawa na majadiliano 561 Acts 19 9 | anazungumza nao kila siku katika jumba la masomo la Turano.~ 562 Acts 19 26 | hapa Efeso, ila pia kote katika Asia. Yeye amewashawishi 563 Acts 19 33 | ajitokeze mbele, baadhi ya watu katika ule umati walidhani kuwa 564 Acts 19 39 | matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali.~ 565 Acts 20 8 | 8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, 566 Acts 20 23 | Mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo 567 Acts 21 3 | tukaelekea Siria. Tulitia nanga katika mji wa Tiro ambapo ile meli 568 Acts 21 24 | 24 Jiunge nao katika ibada ya kujitakasa, ukalipe 569 Acts 21 27 | Wayahudi waliokuwa wametoka katika mkoa wa Asia walimwona Paulo 570 Acts 21 34 | 34 Wengine katika lile kundi la watu walikuwa 571 Acts 21 39 | Myahudi, mzaliwa wa Tarso katika Kilikia; mimi ni raia wa 572 Acts 22 3 | Myahudi, mzaliwa wa Tarso katika Kilikia. Lakini nililelewa 573 Acts 22 19 | yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni 574 Acts 23 9 | Hatuoni chochote kilicho kiovu katika mtu huyu; huenda ikawa kwamba 575 Acts 23 11 | Jipe moyo! Umenishuhudia katika Yerusalemu, utafanya vivyo 576 Acts 24 12 | nikichochea watu Hekaluni wala katika masunagogi yao, wala mahali 577 Acts 24 12 | wala mahali pengine popote katika mji huo.~ 578 Acts 24 14 | mambo yote yaliyoandikwa katika vitabu vya Sheria na manabii.~ 579 Acts 25 11 | Lakini kama hakuna ukweli katika mashtaka waliyotoa watu 580 Acts 25 23 | Bernike walifika kwa shangwe katika ukumbi wa mkutano wakiwa 581 Acts 26 5 | chenye siasa kali zaidi katika dini yetu, yaani kikundi 582 Acts 26 11 | nyingi niliwafanya waadhibiwe katika masunagogi yote nikiwashurutisha 583 Acts 26 18 | watoke gizani na kuingia katika mwanga; watoke katika utawala 584 Acts 26 18 | kuingia katika mwanga; watoke katika utawala wa Shetani, wamgeukie 585 Acts 26 24 | 24 Paulo alipofika hapa katika kujitetea kwake, Festo alisema 586 Acts 27 1 | aliyekuwa ofisa wa jeshi katika kikosi kiitwacho "Kikosi 587 Acts 27 3 | Kesho yake tulitia nanga katika bandari ya Sidoni. Yulio 588 Acts 27 27 | tunakokotwa huku na huku katika bahari ya Adria. Karibu 589 Acts 27 33 | kumi na nne sasa mmekuwa katika mashaka na bila kula; hamjala 590 Acts 27 37 | mbili na sabini na sita katika meli.~ 591 Acts 28 3 | joto la moto, nyoka akatoka katika kuni akamnasa Paulo mkononi 592 Acts 28 9 | tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.~ 593 Acts 28 12 | 12 Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa 594 Acts 28 30 | miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye 595 Roma 1 2 | kwa njia ya manabii wake katika Maandiko Matakatifu.~ 596 Roma 1 9 | ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Habari Njema ya 597 Roma 1 10 | 10 daima katika sala zangu. Namwomba Mungu 598 Roma 1 28 | kumtambua Mungu, Mungu amewaacha katika fikira zao potovu, wakafanya 599 Roma 1 30 | na majivuno; hodari sana katika kutenda mabaya, na hawawatii 600 Roma 2 20 | wale wasiokomaa bado. Unayo katika Sheria picha kamili ya elimu 601 Roma 2 22 | unajitajirisha kwa kuiba katika nyumba za miungu.~ 602 Roma 3 4 | maneno yako ni ya haki; na katika hukumu, wewe hushinda."~ 603 Roma 4 8 | Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu."~ 604 Roma 5 2 | imani yetu, yeye ametuleta katika hali hii ya neema ya Mungu 605 Roma 5 3 | tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba taabu 606 Roma 5 9 | dhahiri zaidi kwamba atatuokoa katika ghadhabu ya Mungu.~ 607 Roma 5 11 | hayo tu, ila tunafurahi pia katika Mungu kwa njia ya Bwana 608 Roma 5 12 | kifo. Hivyo kifo kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu, 609 Roma 5 13 | lakini dhambi haiwekwi katika kumbukumbu bila sheria.~ 610 Roma 5 17 | kuwa waadilifu, watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mmoja, 611 Roma 6 1 | basi? Je, twendelee kubaki katika dhambi ili neema ya Mungu 612 Roma 6 2 | tutaendeleaje kuishi tena katika dhambi?~ 613 Roma 6 5 | kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo 614 Roma 6 7 | aliyekufa, amenasuliwa kutoka katika nguvu ya dhambi.~ 615 Roma 6 10 | sasa anaishi maisha yake katika umoja na Mungu.~ 616 Roma 6 11 | dhambi, lakini kama mnaoishi katika umoja na Mungu kwa njia 617 Roma 6 23 | Mungu ni uzima wa milele katika kuungana na Kristo Yesu, 618 Roma 7 5 | na Sheria, zilifanya kazi katika miili yetu, na kuchuma pato 619 Roma 7 22 | 22 Ndani kabisa katika moyo wangu naifurahia sheria 620 Roma 7 24 | Nani atakayeniokoa kutoka katika mwili huu unaonipeleka kifoni?~ 621 Roma 8 1 | hakuna hukumu kwa wale ambao katika maisha yao wameungana na 622 Roma 8 2 | Yesu imenikomboa kutoka katika sheria ya dhambi na kifo.~ 623 Roma 8 20 | maana, viumbe viliwekwa katika hali ya kutojiweza kabisa, 624 Roma 8 21 | navyo vitaokolewa kutoka katika utumwa wa uharibifu, vishiriki 625 Roma 8 26 | kadhalika, naye Roho anatusaidia katika udhaifu wetu. Maana hatujui 626 Roma 8 28 | 28 Tunajua kwamba, katika mambo yote, Mungu hufanya 627 Roma 8 37 | 37 Lakini, katika mambo haya yote, tumepata 628 Roma 9 5 | ubinadamu wake, ametoka katika ukoo wao. Mungu atawalaye 629 Roma 9 25 | 25 Maana ndivyo asemavyo katika kitabu cha Hosea: "Wale 630 Roma 11 22 | kwako wewe ikiwa utaendelea katika wema wake; la sivyo, nawe 631 Roma 11 24 | mmeondolewa huko, mkapandikizwa katika mzeituni bustanini mahali 632 Roma 11 24 | zaidi kwao kupandikizwa tena katika mti huohuo wao.~ 633 Roma 11 32 | Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili wapate kuwahurumia 634 Roma 12 11 | 11 Msilegee katika bidii, muwe wachangamfu 635 Roma 12 11 | muwe wachangamfu rohoni katika kumtumikia Bwana.~ 636 Roma 12 12 | wenye furaha; muwe na saburi katika shida na kusali daima.~ 637 Roma 12 13 | Wasaidieni watu wa Mungu katika mahitaji yao; wapokeeni 638 Roma 13 1 | anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka 639 Roma 13 9 | na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: "Mpende jirani 640 Roma 13 11 | hayo, ninyi mnajua tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati 641 Roma 14 13 | au kumsababisha aanguke katika dhambi.~ 642 Roma 14 14 | 14 Katika kuungana na Bwana Yesu, 643 Roma 14 20 | ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.~ 644 Roma 14 22 | wako. Heri mtu yule ambaye, katika kujiamulia la kufanya, haipingi 645 Roma 14 23 | msimamo wa kitendo chake haumo katika imani. Na, chochote kisicho 646 Roma 14 23 | chochote kisicho na msingi wake katika imani ni dhambi.~ ~ ~~ ~ 647 Roma 15 1 | 1 Sisi tulio imara katika imani tunapaswa kuwasaidia 648 Roma 15 2 | ili huyo apate kujijenga katika imani.~ 649 Roma 15 12 | Isaya asema: "Atatokea mtu katika ukoo wa Yese, naye atawatawala 650 Roma 15 15 | nimewaandikia hapa na pale katika barua hii bila woga, nipate 651 Roma 15 27 | pia kuwahudumia Wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.~ 652 Roma 16 1 | Foibe ambaye ni mtumishi katika kanisa la Kenkrea.~ 653 Roma 16 3 | Akula, wafanyakazi wenzangu katika utumishi wa Kristo Yesu.~ 654 Roma 16 5 | Epaineto ambaye ni kwa kwanza katika mkoa wa Asia kumwamini Kristo.~ 655 Roma 16 8 | kwa Ampliato, rafiki yangu katika kuungana na Bwana.~ 656 Roma 16 9 | Urbano, mfanyakazi mwenzangu katika utumishi wa Kristo; salamu 657 Roma 16 12 | Trufosa wanaofanya kazi katika utumishi wa Bwana, na rafiki 658 Roma 16 13 | Nisalimieni Rufo, mtu hodari sana katika kazi ya Bwana, na mama yake 659 Roma 16 19 | Nawatakeni muwe na hekima katika mambo mema, na bila hatia 660 Roma 16 22 | ninayeandika barua hii nawasalimuni katika Bwana.~ 661 Roma 16 25 | Yeye anaweza kuwaimarisheni katika ile Habari Njema niliyohubiri 662 Roma 16 25 | ujumbe wa Yesu Kristo, na katika ile siri iliyofunuliwa na 663 1Cor 1 2 | Ninyi mmefanywa watakatifu katika kuungana na Kristo Yesu, 664 1Cor 1 5 | na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu 665 1Cor 1 10 | Yesu Kristo: pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko 666 1Cor 1 18 | kipumbavu kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea, lakini 667 1Cor 1 18 | lakini kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo 668 1Cor 2 6 | wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa kupotea.~ 669 1Cor 3 1 | kidunia, kama watoto wachanga katika maisha ya Kikristo.~ 670 1Cor 3 19 | Mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja wao."~ 671 1Cor 4 10 | lakini ninyi ni wenye busara katika kuungana na Kristo! Sisi 672 1Cor 4 15 | kama mnao maelfu ya walezi katika maisha yenu ya Kikristo, 673 1Cor 4 15 | yenu ni mmoja tu, kwani katika maisha ya Kikristo mimi 674 1Cor 4 17 | wangu mpenzi na mwaminifu katika Bwana. Atawakumbusheni njia 675 1Cor 4 17 | Atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuishi maisha ya Kikristo; 676 1Cor 4 17 | ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.~ 677 1Cor 5 9 | 9 Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane 678 1Cor 5 12 | hampaswi kuwahukumu wale walio katika jamii yenu ninyi wenyewe?~ 679 1Cor 6 2 | hamstahili kuhukumu hata katika mambo madogo?~ 680 1Cor 8 9 | na imani dhaifu waanguke katika dhambi.~ 681 1Cor 8 13 | nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.~ ~~ ~ 682 1Cor 9 5 | ruhusa kumchukua mke Mkristo katika ziara zetu, kama vile wafanyavyo 683 1Cor 9 9 | 9 Imeandikwa katika Sheria ya Mose: "Usimfunge 684 1Cor 9 24 | 24 Je, hamjui kwamba katika uwanja wa michezo, ingawa 685 1Cor 9 27 | mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi 686 1Cor 10 2 | 2 Wote walibatizwa katika umoja na Mose kwa lile wingu 687 1Cor 10 21 | pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya Bwana na katika 688 1Cor 10 21 | katika meza ya Bwana na katika meza ya pepo.~ 689 1Cor 12 6 | anayewezesha kazi zote katika wote.~ 690 1Cor 12 13 | tumebatizwa kwa Roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote 691 1Cor 12 18 | alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.~ 692 1Cor 12 24 | mwenyewe ameuweka mwili katika mpango, akakipa heshima 693 1Cor 12 25 | ili kusiweko na utengano katika mwili bali viungo vyote 694 1Cor 12 28 | 28 Mungu ameweka katika kanisa: kwanza mitume, pili 695 1Cor 13 12 | sasa ni kama tu sura hafifu katika kioo, lakini hapo baadaye 696 1Cor 14 16 | atawezaje mtu wa kawaida aliye katika mkutano kuitikia sala yako 697 1Cor 14 19 | 19 Lakini katika mikutano ya waumini napendelea 698 1Cor 14 20 | Ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. Kuhusu uovu 699 1Cor 14 20 | kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe 700 1Cor 14 21 | 21 Imeandikwa katika Sheria: "Bwana asema hivi: ` 701 1Cor 14 34 | 34 Kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa 702 1Cor 14 34 | Mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. Hawana 703 1Cor 14 35 | aibu kwa mwanamke kusema katika mikutano ya waumini.~ 704 1Cor 15 17 | ni ya bure; mngali bado katika dhambi zenu.~ 705 1Cor 15 19 | 19 Kama matumaini yetu katika Kristo yanahusu tu maisha 706 1Cor 15 20 | limbuko lao wale waliolala katika kifo.~ 707 1Cor 15 27 | dhahiri kwamba Mungu haingii katika kundi hilo la vitu, maana 708 1Cor 15 31 | Fahari niliyo nayo juu yenu katika kuungana na Kristo Yesu 709 1Cor 15 42 | mwili huzikwa ardhini ukiwa katika hali ya kuharibika, lakini 710 1Cor 15 42 | kuharibika, lakini hufufuliwa katika hali ya kutoharibika.~ 711 1Cor 15 43 | 43 Huzikwa katika hali duni, hufufuliwa katika 712 1Cor 15 43 | katika hali duni, hufufuliwa katika hali tukufu; huzikwa katika 713 1Cor 15 43 | katika hali tukufu; huzikwa katika hali dhaifu, hufufuliwa 714 1Cor 15 52 | itakapolia, wafu watafufuliwa katika hali ya kutoweza kufa tena, 715 1Cor 15 56 | dhambi hupata nguvu yake katika Sheria.~ 716 1Cor 15 58 | Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba 717 1Cor 15 58 | mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa Bwana haitapotea 718 1Cor 16 13 | Kesheni, simameni imara katika imani, muwe hodari na wenye 719 1Cor 16 15 | kuipokea imani ya Kikristo katika Akaya, na wamejitolea kuwatumikia 720 1Cor 16 19 | mwao wanawasalimuni sana katika Bwana.~ 721 1Cor 16 24 | Mapendo yangu yawe kwenu katika kuungana na Kristo Yesu.~ 722 2Cor 1 1 | wote wa Mungu kila mahali katika Akaya.~ 723 2Cor 1 4 | 4 Yeye hutufariji sisi katika taabu zetu zote, ili nasi 724 2Cor 1 4 | tupate kuwafariji wengine katika kila taabu kwa faraja hiyohiyo 725 2Cor 1 10 | 10 Yeye alituokoa katika hatari kubwa ya kifo, na 726 2Cor 1 14 | fulani tu. Tunajua kwamba katika ile Siku ya Bwana Yesu mtaweza 727 2Cor 1 21 | kutuimarisha sisi na ninyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka 728 2Cor 1 24 | imani yenu; ninyi mko imara katika imani yenu. Wajibu wetu 729 2Cor 2 4 | Nilipowaandikia hapo awali katika hali ya huzuni na sikitiko 730 2Cor 2 9 | kujua kama mko tayari kutii katika kila jambo.~ 731 2Cor 2 14 | Mungu anayetuongoza daima katika msafara wa ushindi wa Kristo. 732 2Cor 2 16 | basi, awezaye kushiriki katika kazi ya namna hiyo?~ 733 2Cor 3 9 | basi, kulikuwa na utukufu katika huduma ile iliyoleta hukumu, 734 2Cor 3 18 | hazikufunikwa, twaonyesha kama katika kioo, utukufu wa Bwana; 735 2Cor 4 6 | utukufu wa Mungu uangazao katika uso wa Kristo.~ 736 2Cor 4 10 | wake Yesu pia udhihirike katika miili yetu.~ 737 2Cor 4 11 | 11 Naam, katika maisha yetu yote tunakabiliwa 738 2Cor 4 11 | uzima wake Yesu udhihirike katika miili yetu inayokufa.~ 739 2Cor 5 2 | 2 Na sasa, katika hali hii, tunaugua, tukitazamia 740 2Cor 5 4 | 4 Tukiwa bado katika hema hii ya duniani, tunalia 741 2Cor 5 6 | daima. Tunajua kwamba kuishi katika mwili huu tu ni kukaa mbali 742 2Cor 6 3 | tusiwe na lawama yoyote katika utumishi wetu, hatupendi 743 2Cor 7 4 | naona fahari kubwa juu yenu! Katika taabu zetu nimepata kitulizo 744 2Cor 7 14 | nimewasifu sana mbele yake, na katika jambo hilo sikudanganyika. 745 2Cor 7 16 | kuwategemea ninyi kabisa katika kila jambo.~~ ~ 746 2Cor 8 4 | wapewe nafasi ya kushiriki katika huduma hii ya kuwasaidia 747 2Cor 8 7 | tunatazamia muwe wakarimu katika huduma hii ya upendo.~ 748 2Cor 8 14 | ziada, wawasaidie ninyi katika mahitaji yenu, na hivyo 749 2Cor 8 18 | ndugu mmoja ambaye sifa zake katika kueneza Habari Njema zimeenea 750 2Cor 8 18 | kueneza Habari Njema zimeenea katika makanisa yote.~ 751 2Cor 9 8 | na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.~ 752 2Cor 10 4 | Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za 753 2Cor 10 6 | 6 Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari 754 2Cor 10 8 | 8 Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule 755 2Cor 10 11 | tofauti ya yale tunayoandika katika barua wakati tuko mbali, 756 2Cor 10 13 | kujivuna huko kutabaki katika kile kipimo cha kazi aliyotukabidhi 757 2Cor 10 14 | 14 Na kwa vile ninyi mu katika mipaka hiyo, hatukuipita 758 2Cor 10 16 | tutaweza kuihubiri Habari Njema katika nchi nyingine, mbali nanyi; 759 2Cor 11 10 | kujivunia jambo hilo popote katika Akaya.~ 760 2Cor 11 27 | nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.~ 761 2Cor 11 33 | niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka 762 2Cor 12 2 | iliyopita alinyakuliwa mpaka katika mbingu ya tatu. (Sijui kama 763 2Cor 12 9 | wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu." Basi, ni radhi 764 2Cor 12 20 | nitakapokuja kwenu nitawakuta katika hali nisiyopenda, nami itanilazimu 765 2Cor 12 20 | nisiyopenda, nami itanilazimu kuwa katika hali msiyoipenda. Naogopa 766 Gala 1 4 | Baba, ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu mbaya wa sasa.~ 767 Gala 1 14 | wananchi wenzangu wa rika langu katika kuizingatia dini ya Kiyahudi, 768 Gala 1 21 | 21 Baadaye nilikwenda katika tarafa za Siria na Kilikia.~ 769 Gala 2 2 | na ufunuo alionipa Mungu. Katika kikao cha faragha niliwaeleza 770 Gala 2 4 | kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika kuungana na Kristo Yesu, 771 Gala 2 6 | hawakuwa na kitu cha kuongeza katika Habari hii Njema kama niihubirivyo.~ 772 Gala 2 13 | Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo hiki cha unafiki, 773 Gala 2 17 | 17 Sasa, ikiwa katika kutafuta kukubaliwa kuwa 774 Gala 2 20 | naishi kwa imani, imani katika Mwana wa Mungu aliyenipenda 775 Gala 3 8 | Abrahamu Habari Njema: "Katika wewe mataifa yote yatabarikiwa."~ 776 Gala 3 10 | kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria, yuko 777 Gala 3 13 | Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya Sheria kwa kujitwalia 778 Gala 3 26 | mmekuwa watoto wa Mungu katika kuungana na Kristo.~ 779 Gala 3 28 | mwanamke. Nyote ni kitu kimoja katika kuungana na Kristo Yesu.~ 780 Gala 4 18 | daima kuwahangaikia wengine katika mambo mema, na si tu wakati 781 Gala 4 22 | 22 Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu kwamba 782 Gala 5 14 | Maana Sheria yote hutimizwa katika kushika amri hii moja: " 783 Gala 5 21 | hawatakuwa na nafasi yao katika ufalme wa Mungu.~ 784 Gala 6 8 | 8 Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna 785 Gala 6 8 | uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna kutoka kwa 786 Ephe 1 1 | huko Efeso, mlio waaminifu katika kuungana na Kristo Yesu.~ 787 Ephe 1 3 | wetu Yesu Kristo! Maana, katika kuungana na Kristo ametubariki 788 Ephe 1 4 | Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe 789 Ephe 1 6 | sababu ya neema yake tukufu katika Mwanae mpenzi!~ 790 Ephe 1 11 | watu wake kwa mapenzi yake katika kuungana na Kristo, kufuatana 791 Ephe 1 16 | ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu~ 792 Ephe 1 21 | kila cheo kiwezacho kutajwa katika ulimwengu huu na katika 793 Ephe 1 21 | katika ulimwengu huu na katika ulimwengu ujao.~ 794 Ephe 2 7 | aliyotujalia kwa ukarimu katika kuungana kwetu na Kristo 795 Ephe 2 12 | hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. 796 Ephe 2 15 | mbili aumbe jamii moja mpya katika umoja naye na hivyo kuleta 797 Ephe 2 18 | tunaweza kumwendea Baba katika Roho mmoja.~ 798 Ephe 2 22 | 22 Katika kuungana naye, ninyi pia 799 Ephe 3 6 | sehemu yao pamoja na Wayahudi katika zile baraka za Mungu; wao 800 Ephe 3 12 | 12 Basi, katika kuungana na Kristo, na kwa 801 Ephe 3 12 | Kristo, na kwa njia ya imani katika Kristo, sisi tunathubutu 802 Ephe 3 17 | kuwa na mzizi na msingi katika mapendo~ 803 Ephe 3 21 | kwake Mungu uwe utukufu katika kanisa na katika Kristo 804 Ephe 3 21 | utukufu katika kanisa na katika Kristo Yesu, nyakati zote, 805 Ephe 4 6 | juu ya wote, afanya kazi katika yote na yuko katika yote.~ 806 Ephe 4 6 | kazi katika yote na yuko katika yote.~ 807 Ephe 4 15 | wa mapendo tutakua zidi katika kila jambo kulingana na 808 Ephe 4 16 | wote hukua na kujijenga katika upendo.~ 809 Ephe 4 19 | hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa 810 Ephe 4 21 | mkafundishwa ukweli ulivyo katika Yesu.~ 811 Ephe 4 23 | Jirekebisheni upya rohoni na katika fikira zenu.~ 812 Ephe 4 24 | Mungu na ambayo hujionyesha katika maisha ya kweli ya uadilifu 813 Ephe 5 5 | hiyo hataambulia chochote katika Utawala wa Kristo na wa 814 Ephe 5 8 | gizani, lakini sasa ninyi mko katika mwanga kwa kuungana na Bwana. 815 Ephe 5 11 | 11 Msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza 816 Ephe 5 13 | mambo yale yanayotendwa katika mwanga, ukweli wake hudhihirishwa;~ 817 Ephe 5 24 | wake wawatii waume zao katika mambo yote.~ 818 Ephe 5 26 | kulifanya safi kwa kuliosha katika maji,~ 819 Ephe 5 32 | Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona 820 Ephe 6 4 | watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya 821 Ephe 6 10 | Hatimaye, nawatakeni muwe imara katika kuungana na Bwana na kwa 822 Ephe 6 20 | ili niweze kuwa hodari katika kuitangaza kama inipasavyo.~ 823 Colo 1 2 | Kolosai, ndugu zetu waaminifu katika kuungana na Kristo. Tunawatakieni 824 Colo 1 4 | tumesikia juu ya imani yenu katika Kristo Yesu na juu ya upendo 825 Colo 1 10 | matendo mema na mtazidi kukua katika kumjua Mungu.~ 826 Colo 1 12 | ninyi kuwa na sehemu yenu katika mambo yale Mungu aliyowawekea 827 Colo 1 12 | Mungu aliyowawekea watu wake katika utawala wa mwanga.~ 828 Colo 1 13 | 13 Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta 829 Colo 1 13 | ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi,~ 830 Colo 1 18 | awe na nafasi ya kwanza katika vitu vyote.~ 831 Colo 1 23 | kuendelea kuwa imara na thabiti katika imani hiyo, na msikubali 832 Colo 1 24 | kile kilichopungua bado katika mateso ya Kristo kwa ajili 833 Colo 1 28 | ya Mungu akiwa amekomaa katika kuungana na Kristo.~ 834 Colo 2 2 | ifarijiwe na kuvutwa pamoja katika upendo, ili wajazwe uthabiti 835 Colo 2 5 | kamili mnaosimama nao pamoja katika imani yenu kwa Kristo.~ 836 Colo 2 6 | kuwa Bwana, basi, ishini katika muungano naye.~ 837 Colo 2 7 | kujijenga juu yake na kuwa imara katika imani yenu kama mlivyofundishwa. 838 Colo 2 9 | Maana, ndani yake Kristo katika ubinadamu wake, umo ukamilifu 839 Colo 2 10 | nanyi mmepewa uzima kamili katika kuungana naye. Yeye yuko 840 Colo 2 11 | 11 Katika kuungana na Kristo ninyi 841 Colo 2 11 | inahusikana na kukombolewa kutoka katika utu wa dhambi.~ 842 Colo 2 12 | mlizikwa pamoja na Kristo, na katika ubatizo, mlifufuliwa pia 843 Colo 2 12 | pamoja naye kwa imani yenu katika nguvu ya Mungu ambaye alimfufua 844 Colo 2 15 | kwa kuwaburuta kama mateka katika msafara wa ushindi wake.~ 845 Colo 2 23 | yaonekana kuwa ya hekima katika namna ya ibada ya kujitakia 846 Colo 3 3 | umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.~ 847 Colo 3 4 | mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.~ 848 Colo 3 11 | 11 Katika hali hii, hakuna tena tofauti 849 Colo 3 11 | Kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.~ 850 Colo 3 14 | upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili.~ 851 Colo 3 15 | ajili hiyo ninyi mmeitwa katika mwili huo mmoja. Tena muwe 852 Colo 3 22 | watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati 853 Colo 4 2 | 2 Dumuni katika sala, na mnaposali muwe 854 Colo 4 5 | 5 Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, 855 Colo 4 7 | mwaminifu na mtumishi mwenzetu katika kazi ya Bwana, atawapeni 856 Colo 4 12 | mkomae na kuwa thabiti kabisa katika mambo yote anayotaka Mungu.~ 857 1The 1 2 | nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu.~ 858 1The 1 3 | bidii, na jinsi tumaini lenu katika Bwana wetu Yesu Kristo lilivyo 859 1The 1 10 | wafu, na ambaye anatuokoa katika ghadhabu ya Mungu inayokuja.~ ~~ ~ 860 1The 3 2 | mwenzetu kwa ajili ya Mungu katika kuhubiri Habari Njema ya 861 1The 3 7 | imani yenu zimetutia moyo katika taabu na mateso yetu yote,~ 862 1The 3 8 | ikiwa ninyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.~ 863 1The 3 10 | kurekebisha chochote kilichopungua katika imani yenu.~ 864 1The 4 7 | maisha ya zinaa, bali tuishi katika utakatifu.~ 865 1The 4 10 | ndugu zenu wote kila mahali katika Makedonia. Basi, ndugu tunawaombeni 866 1The 4 17 | tutakusanywa pamoja nao katika mawingu kumlaki Bwana hewani. 867 1The 5 5 | Ninyi nyote ni watu mnaoishi katika mwanga, watu wa mchana. 868 1The 5 18 | 18 na muwe na shukrani katika kila hali. Hayo ndiyo anayotaka 869 1The 5 18 | ndiyo anayotaka Mungu kwenu katika kuungana kwenu na Kristo 870 2The 1 4 | maana sisi tunajivunia ninyi katika makanisa ya Mungu. Tunaona 871 2The 1 4 | mnavyoendelea kuamini na kustahimili katika udhalimu wote na mateso 872 2The 2 10 | kila namna kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea. Hao watapotea 873 2The 2 13 | watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.~ 874 2The 2 14 | mpate kupokea sehemu yenu katika utukufu wa Bwana wetu Yesu 875 2The 3 5 | Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika 876 2The 3 5 | katika upendo wa Mungu na katika uvumilivu tunaopewa na Kristo.~ 877 2The 3 11 | isipokuwa tu kujiingiza katika mambo ya watu wengine.~ 878 2The 3 14 | ujumbe tunaowapelekeeni katika barua hii. Ikiwa hivyo, 879 1Tim 1 2 | Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, 880 1Tim 1 4 | ubishi, wala haviwajengi watu katika mpango ujulikanao kwa imani.~ 881 1Tim 1 5 | kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, 882 1Tim 1 11 | Mafundisho hayo hupatikana katika Habari Njema ambayo mimi 883 1Tim 1 14 | akanipa imani na upendo katika kuungana na Kristo Yesu.~ 884 1Tim 1 18 | maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,~ 885 1Tim 2 15 | kupata watoto, kama akidumu katika imani, upendo, utakatifu 886 1Tim 3 1 | mtu akitaka kuwa kiongozi katika kanisa, huyo anatamani kazi 887 1Tim 3 6 | Mtu ambaye hajakomaa bado katika imani asifanywe kuwa kiongozi 888 1Tim 3 6 | asifanywe kuwa kiongozi katika kanisa, asije akajaa majivuno 889 1Tim 3 7 | asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi.~ 890 1Tim 3 8 | 8 Wasaidizi katika kanisa wanapaswa pia kuwa 891 1Tim 3 11 | wenye kiasi na waaminifu katika mambo yote.~ 892 1Tim 3 12 | 12 Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke 893 1Tim 3 13 | bila hofu juu ya imani yao katika Kristo Yesu.~ 894 1Tim 3 15 | mwenendo tunaopaswa kuwa nao katika nyumba ya Mungu, ambayo 895 1Tim 3 16 | ya dini yetu: Alionekana katika umbo la kibinadamu alithibitishwa 896 1Tim 3 16 | akachukuliwa juu mbinguni katika utukufu.~ ~ ~~ ~ 897 1Tim 4 8 | maana yanatuahidia uzima katika maisha ya sasa, na pia hayo 898 1Tim 4 12 | uwe mfano kwa wanaoamini: katika usemi wako, mwenendo wako, 899 1Tim 4 13 | wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani Maandiko 900 1Tim 5 9 | 9 Usimtie katika orodha ya wajane, mjane 901 1Tim 5 13 | kuwasengenya watu, na kujitia katika mambo ya watu wengine, huku 902 1Tim 5 16 | mama Mkristo anao wajane katika jamaa yake, yeye anapaswa 903 1Tim 5 17 | hasa wale wanaofanya bidii katika kuhubiri na kufundisha.~ 904 1Tim 5 21 | wala kumpendelea mtu yeyote katika kila unachotenda.~ 905 1Tim 5 22 | dhambi za wengine; jiweke katika hali safi.~ 906 1Tim 6 9 | wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika 907 1Tim 6 9 | katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya 908 1Tim 6 12 | Piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano la mbio za imani, 909 1Tim 6 16 | peke yake anaishi milele, katika mwanga usioweza kukaribiwa 910 1Tim 6 17 | Waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, 911 1Tim 6 17 | wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; 912 1Tim 6 18 | watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu 913 2Tim 1 1 | niutangaze ule uzima tulioahidiwa katika kuungana na Kristo Yesu, ~ 914 2Tim 1 3 | kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu. ~ 915 2Tim 1 8 | ajili yake. Lakini shiriki katika mateso kwa ajili ya Habari 916 2Tim 1 9 | yake. Alitujalia neema hiyo katika Kristo Yesu kabla mwanzo 917 2Tim 1 13 | niliyokufundisha, na kubaki katika hiyo imani na huo upendo 918 2Tim 1 13 | imani na huo upendo wetu katika kuungana na Kristo Yesu. ~ 919 2Tim 1 18 | 18 Bwana amjalie huruma katika Siku ile! Nawe wajua vizuri 920 2Tim 2 1 | wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika 921 2Tim 2 1 | katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu.~ 922 2Tim 2 3 | 3 Shiriki katika mateso kama askari mwaminifu 923 2Tim 2 18 | wanatia imani ya watu wengine katika wasiwasi kwa kusema ati 924 2Tim 2 20 | 20 Katika nyumba kubwa kuna mabakuli 925 2Tim 2 26 | zitawarudia tena, wakaponyoka katika mtego wa Ibilisi aliyewanasa 926 2Tim 3 1 | 1 Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa 927 2Tim 3 6 | 6 Baadhi yao huenda katika nyumba za watu na huwateka 928 2Tim 3 10 | mwenendo wangu, makusudi yangu katika maisha, imani yangu, uvumilivu 929 2Tim 3 11 | Lakini Bwana aliniokoa katika mambo hayo yote.~ 930 2Tim 3 12 | kuishi maisha ya kumcha Mungu katika kuungana na Kristo Yesu 931 2Tim 3 14 | 14 Lakini wewe dumu katika ukweli ule uliofundishwa, 932 2Tim 3 16 | uongozi wa Mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, 933 2Tim 4 5 | Wewe, lakini, uwe macho katika kila hali; vumilia mateso, 934 2Tim 4 7 | 7 Nimefanya bidii katika mashindano, nimemaliza safari 935 2Tim 4 11 | maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.~ 936 2Tim 4 17 | wausikie; tena nikaokolewa katika hukumu ya kifo kama kinywani 937 2Tim 4 18 | kunichukua salama mpaka katika Utawala wake wa mbinguni. 938 Titus 1 3 | ulipowadia, akaudhihirisha katika ujumbe wake. Mimi nilikabidhiwa 939 Titus 1 4 | Tito, mwanangu wa kweli katika imani tunayoshiriki. Nakutakia 940 Titus 1 5 | kuwateua wazee wa kanisa katika kila mji. Kumbuka maagizo 941 Titus 2 2 | wataratibu; wanapaswa kuwa timamu katika imani yao, upendo na uvumilivu.~ 942 Titus 2 7 | 7 Katika mambo yote wewe mwenyewe 943 Titus 2 7 | Uwe mnyofu na uwe na uzito katika mafundisho yako.~ 944 Titus 2 9 | wakuu wao na kuwapendeza katika mambo yote. Wasibishane 945 Titus 2 12| adili na ya kumcha Mungu katika ulimwengu huu wa sasa,~ 946 Titus 2 14| yetu ili atukomboe kutoka katika uovu wote na kutufanya watu 947 Titus 3 8 | hamu ya kuutumia wakati wao katika kutenda mema, ambayo ni 948 Titus 3 14| wajifunze kuutumia wakati wao katika kutenda mema ili wasaidie 949 Titus 3 14| kutenda mema ili wasaidie katika mahitaji ya kweli, na maisha 950 Titus 3 15| wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu katika imani. Nawatakieni nyote 951 Phil 1 6 | wa baraka zote tunazopata katika kuungana kwetu na Kristo.~ 952 Phil 1 8 | kabisa, nikiwa ndugu yako katika Kristo, kukuamuru ufanye 953 Phil 1 10 | Onesimo, ambaye ni mwanangu katika Kristo kwani nimekuwa baba 954 Phil 1 16 | kama mtumwa na kama ndugu katika Bwana.~ 955 Phil 1 20 | burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.~ 956 Hebr 2 6 | Tena yasemwa mahali fulani katika Maandiko: "Mtu ni nini ee 957 Hebr 2 12 | matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao."~ 958 Hebr 2 17 | mwaminifu na mwenye huruma katika kumtumikia Mungu, ili dhambi 959 Hebr 3 2 | Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.~ 960 Hebr 3 5 | 5 Mose alikuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Bwana kama 961 Hebr 3 6 | uhodari wetu na uthabiti wetu katika kile tunachotumainia.~ 962 Hebr 3 13 | Maadamu hiyo "Leo" inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu 963 Hebr 4 7 | siku kwa maneno ya Daudi katika Maandiko yaliyokwisha tajwa: " 964 Hebr 4 15 | ambaye hawezi kutuunga mkono katika unyonge wetu, ila ni Kuhani 965 Hebr 6 4 | Watu hao walikwisha kuwa katika mwanga wa Mungu, walikwisha 966 Hebr 6 10 | mlioonyesha kwa ajili ya jina lake katika huduma mliyowapa na mnayowapa 967 Hebr 7 10 | bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, 968 Hebr 7 14 | wazi kwamba yeye alizaliwa katika kabila la Yuda ambalo Mose 969 Hebr 7 26 | Mkuu ambaye anatufaa sana katika mahitaji yetu. Yeye ni mtakatifu, 970 Hebr 7 26 | dhambi ndani yake; hayumo katika kundi la wenye dhambi na 971 Hebr 8 1 | 1 Basi, jambo muhimu katika hayo tunayosema ni hili: 972 Hebr 8 2 | hutoa huduma ya Kuhani Mkuu katika Mahali Patakatifu sana, 973 Hebr 8 6 | kwani lina msingi wake katika ahadi za mambo yaliyo bora 974 Hebr 9 6 | makuhani kuingia kila siku katika hema ya nje kutoa huduma 975 Hebr 9 7 | peke yake ndiye anayeingia katika lile hema la pili; naye 976 Hebr 9 11 | Yeye anatoa huduma zake katika hema iliyo bora na kamilifu 977 Hebr 9 19 | amri zote kama ilivyokuwa katika Sheria; kisha akachukua 978 Hebr 10 7 | ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha Sheria."`~ 979 Hebr 10 16 | agano nitakalofanya nao, katika siku zijazo, asema Bwana: 980 Hebr 11 8 | alimtii Mungu alipoitwa aende katika nchi ambayo Mungu angempa 981 Hebr 11 9 | imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na Mungu. 982 Hebr 11 9 | aliyoahidiwa na Mungu. Aliishi huko katika hema kama walivyoishi Isaka 983 Hebr 11 12 | 12 Kwa hiyo, kutoka katika mtu huyo mmoja, Abrahamu, 984 Hebr 11 22 | ya kutoka kwa Waisraeli katika nchi ya Misri, na pia akawaachia 985 Hebr 11 34 | walipata nguvu. Walikuwa hodari katika vita wakashinda majeshi 986 Hebr 11 35 | wapate kufufuliwa na kuingia katika maisha bora zaidi.~ 987 Hebr 11 38 | jangwani na mlimani, wakaishi katika mashimo na mapango ya ardhi.~ 988 Hebr 12 1 | Tupige mbio kwa uvumilivu katika mashindano yaliyowekwa mbele 989 Hebr 12 4 | 4 Maana katika kupambana na dhambi, ninyi 990 Hebr 12 11 | watavuna tuzo la amani kutoka katika maisha adili!~ 991 Hebr 12 13 | 13 Endeleeni kutembea katika njia iliyonyoka, ili kile 992 Hebr 12 22 | 22 Lakini ninyi mmefika katika mlima wa Sioni, kwenye mji 993 Hebr 13 10 | ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi, hawana 994 Hebr 13 11 | Kiyahudi huleta damu ya wanyama katika Mahali Patakatifu na kuitoa 995 Hebr 13 21 | Mungu wa amani awakamilishe katika kila tendo jema ili mtekeleze 996 James 1 7 | mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani 997 James 1 11| hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.~ 998 James 1 12| mtu anayebaki mwaminifu katika majaribu, kwani akisha stahimili 999 James 1 23| anayejiangalia sura yake mwenyewe katika kioo.~ 1000 James 1 25| anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.~


1-500 | 501-1000 | 1001-1170

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License