Book, Chapter, Verse
1 Matt 9 15| hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa
2 Matt 25 24| mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya
3 Matt 25 24| hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.~
4 Matt 25 26| kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya
5 Matt 25 26| sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.~
6 Matt 26 13| Nawaambieni kweli, popote ambapo hii Habari Njema itahubiriwa
7 Mark 2 20| 20 Lakini wakati utafika ambapo bwana harusi ataondolewa
8 Mark 4 15| ni kama wale walio njiani ambapo mbegu zilianguka. Hawa hulisikia
9 Mark 6 11| 11 Mahali popote ambapo watu watakataa kuwakaribisheni
10 Mark 13 14| Haribifu` limesimama mahali ambapo si pake, (msomaji na atambue
11 Mark 14 12| Isiyotiwa Chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa Pasaka huchinjwa,
12 Mark 14 53| wakampeleka Yesu kwa Kuhani Mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee
13 Luke 5 35| 35 Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa
14 Luke 9 51| 51 Wakati ulipokaribia ambapo Yesu angechukuliwa juu mbinguni,
15 Luke 10 1 | katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda.~
16 Luke 13 25| 25 "Wakati utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na
17 Luke 17 22| wanafunzi wake, "Siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo
18 Luke 19 43| 43 Maana siku zaja ambapo adui zako watakuzungushia
19 Luke 21 6 | mnayoyaona - zitakuja siku ambapo hakuna hata jiwe moja litakalosalia
20 Luke 21 20| ya kwamba wakati umefika ambapo mji huo utaharibiwa.~
21 Luke 23 29| Maana, hakika siku zitakuja ambapo watasema: `Heri yao wale
22 John 4 21| Niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba juu ya
23 John 4 23| unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wanaoabudu kweli, watamwabudu
24 John 4 53| kwamba ilikuwa ni saa ileile ambapo Yesu alimwambia: "Mwanao
25 John 5 26| unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wafu wataisikia sauti ya
26 John 5 29| hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini
27 John 7 35| Mtu huyu atakwenda wapi ambapo hatutaweza kumpata? Atakwenda
28 John 9 4 | aliyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.~
29 John 16 2 | yao. Tena, wakati unakuja ambapo kila atakayewaua ninyi atadhani
30 John 16 25| mafumbo. Lakini wakati utakuja ambapo sitasema tena nanyi kwa
31 John 16 32| unakuja, tena umekwisha fika, ambapo ninyi nyote mtatawanyika
32 Acts 3 11| palipoitwa "Ukumbi wa Solomoni," ambapo yule mtu alikuwa bado anaandamana
33 Acts 16 13| mji, tukaenda kando ya mto ambapo tulidhani ya kuwa ni mahali
34 Acts 21 3 | 3 Baada ya kufika mahali ambapo tuliweza kuona Kupro, tulipitia
35 Acts 21 3 | nanga katika mji wa Tiro ambapo ile meli ilikuwa ipakuliwe
36 Acts 21 7 | kutoka Tiro tukafika Tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu,
37 Acts 27 4 | upande wa kisiwa cha Kupro ambapo upepo haukuwa mwingi.~
38 Acts 27 7 | Krete karibu na rasi Salmone ambapo upepo haukuwa mwingi.~
39 Acts 27 41| 41 Lakini walifika mahali ambapo mikondo miwili ya bahari
40 Roma 11 24| mzeituni bustanini mahali ambapo kwa asili si penu. Lakini,
41 Roma 15 20| Habari Njema popote pale ambapo jina la Kristo halijapata
42 1Cor 12 24| 24 ambapo viungo vingine havihitaji
43 1Cor 15 24| hayo, mwisho utafika wakati ambapo Kristo atamkabidhi Mungu
44 Ephe 4 30| thibitisho kwamba siku itakuja ambapo Mungu atawakomboeni.~
45 2Tim 4 3 | 3 Utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mafundisho
46 Hebr 4 12| Hukata kabisa mpaka mahali ambapo moyo na roho hukutana, mpaka
47 Hebr 8 8 | Siku zinakuja, asema Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na
48 Hebr 9 5 | yalitanda juu ya mahali ambapo dhambi huondolewa. Lakini
49 Hebr 9 24| palipojengwa kwa mikono ya watu, ambapo ni mfano tu wa kile kilicho
50 Hebr 12 22| Yerusalemu, mji wa mbinguni, ambapo wamekusanyika malaika elfu
51 2Pet 3 7 | Zimewekwa kwa ajili ya Siku ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa
52 Rev 1 3 | maana wakati umekaribia ambapo mambo haya yatatukia.~
53 Rev 2 22 | Sasa namtupa kitandani ambapo yeye pamoja na wote waliofanya
54 Rev 11 8 | katika barabara za mji mkuu ambapo Bwana wao alisulubiwa; jina
55 Rev 12 6 | amemtayarishia mahali pa usalama ambapo angehifadhiwa kwa muda wa
56 Rev 12 14 | mpaka mahali, pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa
|