Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
masikio 29
masikioni 2
masikizano 1
maskini 54
maslahi 2
masokoni 1
masomo 2
Frequency    [«  »]
54 askari
54 langu
54 leo
54 maskini
54 wapate
53 hicho
53 mwema

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

maskini

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 3 | 3 "Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa 2 Matt 6 2 | 2 "Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye 3 Matt 6 3 | Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata 4 Matt 11 5 | wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa Habari Njema.~ 5 Matt 19 21| nenda ukauze mali yako uwape maskini hiyo fedha, nawe utakuwa 6 Matt 26 9 | yangaliweza kuuzwa kwa bei kubwa, maskini wakapewa hizo fedha."~ 7 Matt 26 11| 11 Maskini mnao daima pamoja nanyi, 8 Mark 10 21| vitu ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina 9 Mark 12 42| Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo 10 Mark 12 43| nawaambieni, huyu mama mjane maskini ametoa zaidi kuliko wengine 11 Mark 12 44| lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa yote aliyokuwa nayo, 12 Mark 14 5 | denari mia tatu, wakapewa maskini!" Wakamkemea huyo mama.~ 13 Mark 14 7 | 7 Maskini mnao daima pamoja nanyi; 14 Luke 4 18| amenipaka mafuta niwahubirie maskini Habari Njema. Amenituma 15 Luke 6 20| akasema: "Heri ninyi mlio maskini, maana Ufalme wa Mungu ni 16 Luke 7 22| wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa Habari njema.~ 17 Luke 11 41| 41 Toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, 18 Luke 12 33| Uzeni mali yenu mkawape maskini misaada. Jifanyieni mifuko 19 Luke 14 13| unapofanya karamu, waalike maskini, vilema viwete na vipofu,~ 20 Luke 14 21| mji, uwalete hapa ndani maskini, viwete, vipofu na waliolemaa.`~ 21 Luke 16 3 | kwenda kuombaomba kama maskini ni aibu.~ 22 Luke 16 20| 20 Kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake Lazaro, 23 Luke 16 22| 22 "Ikatokea kwamba huyo maskini akafa, malaika wakamchukua, 24 Luke 18 22| kila ulicho nacho, wagawie maskini, na hivyo utakuwa na hazina 25 Luke 19 8 | Sikiliza Bwana! Mimi nitawapa maskini nusu ya mali yangu, na kama 26 Luke 21 4 | lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji 27 John 9 8 | kwamba hapo awali alikuwa maskini mwombaji, wakasema, "Je, 28 John 9 8 | wakasema, "Je, huyu siye yule maskini aliyekuwa akiketi na kuomba?"~ 29 John 12 5 | dinari mia tatu, wakapewa maskini?"~ 30 John 12 6 | alijali chochote juu ya maskini, bali kwa sababu alikuwa 31 John 12 8 | 8 Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini 32 John 13 29| amemwambia akatoe chochote kwa maskini.~ 33 Acts 9 36| akitenda mema na kuwasaidia maskini daima.~ 34 Acts 10 2 | anafanya mengi kusaidia maskini wa Kiyahudi na alikuwa anasali 35 Acts 10 4 | sala na sadaka zako kwa maskini.~ 36 Acts 10 31| yako na sadaka zako kwa maskini vimekubaliwa na Mungu.~ 37 Roma 7 24| 24 Maskini miye! Nani atakayeniokoa 38 Roma 15 26| kuwasaidia watu wa Mungu walio maskini huko Yerusalem.~ 39 1Cor 13 3 | mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili 40 2Cor 6 10| twafurahi daima; ingawa tu maskini hohehahe, lakini twatajirisha 41 2Cor 8 2 | kiasi, ingawaje walikuwa maskini sana.~ 42 2Cor 8 9 | na kila kitu, alijifanya maskini kwa ajili yenu, ili kutokana 43 2Cor 9 9 | hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini, wema wahudumu milele."~ 44 Gala 2 10| kitu kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi 45 Gala 4 9 | tena kurudi kwa wale pepo maskini na dhaifu hata kutaka kuwatumikia 46 Ephe 4 28| cha kumsaidia mtu aliye maskini.~ 47 Hebr 11 37| za mbuzi, walikuwa watu maskini, walioteswa na kudhulumiwa.~ 48 James 1 9| 9 Ndugu aliye maskini anapaswa kufurahi wakati 49 James 2 2| na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.~ 50 James 2 3| pazuri," na kumwambia yule maskini: "Wewe, simama huko," au " 51 James 2 5| amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili 52 James 2 6| Lakini ninyi mnawadharau watu maskini! Je, matajiri si ndio wanaowakandamizeni 53 Rev 3 17 | mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!~ 54 Rev 13 16 | na wakubwa, matajiri na maskini, watu huru na watumwa, watiwe


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License