Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
lenu 14
lenye 4
lenyewe 2
leo 54
leso 1
lete 2
leteni 2
Frequency    [«  »]
54 42
54 askari
54 langu
54 leo
54 maskini
54 wapate
53 hicho

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

leo

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 11 | 11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.~ 2 Matt 6 30 | jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, 3 Matt 11 12 | wa Yohane mbatizaji mpaka leo hii, Ufalme wa mbinguni 4 Matt 11 23 | ungalikuwako mpaka hivi leo.~ 5 Matt 16 3 | 3 Na alfajiri mwasema: `Leo hali ya hewa itakuwa ya 6 Matt 21 28 | yule wa kwanza, `Mwanangu, leo nenda ukafanye kazi katika 7 Matt 24 21 | mwanzo wa ulimwengu mpaka leo, wala haitapata kutokea 8 Matt 26 31 | akawaambia, "Usiku huu wa leo, ninyi nyote mtakuwa na 9 Matt 27 8 | 8 Ndiyo maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba 10 Matt 27 19 | la mtu huyu mwema, maana leo nimeteseka sana katika ndoto 11 Matt 28 15 | imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.~ 12 Mark 11 14 | akauambia mtini, "Tangu leo hata milele mtu yeyote asile 13 Mark 13 19 | alipoumba ulimwengu mpaka leo, wala haitatokea tena.~ 14 Luke 2 11 | 11 Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, 15 Luke 4 21 | mlilosikia likisomwa, limetimia leo."~ 16 Luke 5 26 | wakisema: "Tumeona maajabu leo."~ 17 Luke 12 20 | akamwambia: `Mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. 18 Luke 12 28 | jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, 19 Luke 13 32 | mkamwambie huyo mbweha hivi: `Leo na kesho ninafukuza pepo 20 Luke 13 33 | 33 Hata hivyo, kwa leo, kesho na kesho kutwa, ni 21 Luke 19 5 | Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani 22 Luke 19 9 | 9 Yesu akamwambia, "Leo wokovu umefika katika nyumba 23 Luke 19 42 | akisema: "Laiti ungelijua leo hii yale yaletayo amani! 24 Luke 22 34 | Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu."~ 25 Luke 22 61 | aliyokuwa ameambiwa na Bwana: "Leo kabla jogoo hajawika, utanikana 26 Luke 23 43 | Nakwambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi."~ 27 Luke 24 21 | Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo 28 John 5 11 | wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, "Leo ni Sabato, si halali kubeba 29 Acts 2 29 | liko papa hapa petu mpaka leo.~ 30 Acts 4 9 | 9 Ikiwa mnatuuliza leo juu ya kile kitendo chema 31 Acts 4 10 | huyu anasimama mbele yenu leo, mzima kabisa, kwa nguvu 32 Acts 13 32 | Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.`~ 33 Acts 19 40 | ghasia kutokana na vituko vya leo. Ghasia hii haina msingi 34 Acts 20 26 | 26 Hivyo, leo hii ninawathibitishieni 35 Acts 22 3 | ninyi wenyewe mlivyo hivi leo.~ 36 Acts 23 1 | Ndugu zangu, mpaka hivi leo nimekuwa nikiishi na dhamiri 37 Acts 23 23 | kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.~ 38 Acts 24 21 | mbele yao: `Mnanihukumu leo hii kwa sababu ya kushikilia 39 Acts 26 2 | ninajiona mwenye bahati leo kujitetea mbele yako kuhusu 40 Acts 26 16 | wengine mambo uliyoyaona leo na yale ambayo bado nitakuonyesha.~ 41 Acts 26 22 | na hivyo mpaka siku ya leo nimesimama imara nikitoa 42 Acts 26 29 | tu bali wote wanaonisikia leo wapate kuwa kama nilivyo 43 Roma 11 8 | yao kuwa mizito, na mpaka leo hii hawawezi kuona kwa macho 44 2Cor 3 14 | zao zilipumbazwa. Mpaka leo hii lisomwapo Agano la Kale, 45 2Cor 3 15 | 15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo Sheria ya 46 Hebr 1 5 | Wewe ni Mwanangu; Mimi leo nimekuwa Baba yako." Wala 47 Hebr 3 7 | mkisikia sauti ya Mungu leo,~ 48 Hebr 3 13 | 13 Maadamu hiyo "Leo" inayosemwa katika Maandiko 49 Hebr 3 15 | mkisikia sauti ya Mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa 50 Hebr 4 7 | nyingine ambayo inaitwa "Leo". Miaka mingi baadaye Mungu 51 Hebr 4 7 | mkisikia sauti ya Mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa 52 Hebr 5 5 | Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa baba yako."~ 53 Hebr 13 8 | Kristo ni yuleyule, jana, leo na milele.~ 54 James 4 13| sikilizeni ninyi mnaosema: "Leo au kesho tutakwenda katika


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License