Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
lamhusu 1
lampendeza 1
lango 2
langu 54
lao 19
laodikea 6
lapenya 1
Frequency    [«  »]
56 waumini
54 42
54 askari
54 langu
54 leo
54 maskini
54 wapate

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

langu

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 10 22| watawachukieni kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka 2 Matt 16 18| huu nitalijenga kanisa langu; wala kifo chenyewe hakitaweza 3 Matt 18 5 | mmoja kama huyu kwa jina langu, ananikaribisha mimi.~ 4 Matt 18 20| wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao."~ 5 Matt 18 29| Unisubiri nami nitalipa deni langu lote.`~ 6 Matt 24 5 | watatokea na kulitumia jina langu wakisema: `Mimi ndiye Kristo,` 7 Matt 24 9 | yatawachukieni kwa ajili ya jina langu.~ 8 Mark 5 9 | nani?" Naye akajibu, "Jina langu ni `Jeshi`, maana sisi tu 9 Mark 9 37| mtoto kama huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea 10 Mark 9 39| anayefanya muujiza kwa jina langu, na papo hapo akaweza kusema 11 Mark 13 6 | watakuja wakilitumia jina langu, wakisema, `Mimi ndiye!` 12 Mark 13 13| ninyi kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka 13 Mark 16 17| wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa pepo na watasema 14 Luke 8 30| nani?" Yeye akajibu, "Jina langu ni `Jeshi"`--kwa sababu 15 Luke 9 48| mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote 16 Luke 18 12| zaka sehemu ya kumi ya pato langu.`~ 17 Luke 21 8 | watatokea na kulitumia jina langu wakisema: `Mimi ndiye`, 18 Luke 21 12| watawala kwa ajili ya jina langu.~ 19 Luke 21 17| watawachukieni kwa sababu ya jina langu.~ 20 John 5 25| nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule aliyenituma, 21 John 14 13| chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe 22 John 14 14| Mkiniomba chochote kwa jina langu, nitawafanyieni.~ 23 John 14 23| akinipenda atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, 24 John 14 24| yangu. Na neno mlilosikia si langu, bali ni lake Baba aliyenituma.~ 25 John 14 26| ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisheni kila kitu 26 John 15 9 | mimi. Kaeni katika pendo langu.~ 27 John 15 10| zangu mtakaa katika pendo langu, kama vile nami nilivyozishika 28 John 15 16| chochote mumwombacho kwa jina langu.~ 29 John 15 20| pia; kama wameshika neno langu, watalishika na lenu pia.~ 30 John 15 21| ninyi kwa sababu ya jina langu, kwani hawamjui yeye aliyenituma.~ 31 John 16 23| mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni.~ 32 John 16 24| hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili 33 John 16 26| Siku hiyo mtaomba kwa jina langu, na siwaambii kwamba nitamwomba 34 Acts 9 15| changu, alitangaze jina langu kwa mataifa na wafalme wao 35 Acts 9 16| kuteswa kwa ajili ya jina langu."~ 36 Acts 26 4 | tangu mwanzo kati ya taifa langu huko Yerusalemu.~ 37 Roma 9 17| wangu ujulikane, na jina langu litangazwe popote duniani."~ 38 Roma 12 19| Kulipiza kisasi ni shauri langu; mimi nitalipiza asema Bwana."~ 39 Roma 15 16| watu wa mataifa. Ni jukumu langu la kikuhani kuihubiri Habari 40 1Cor 1 15| kusema amebatizwa kwa jina langu.~ 41 1Cor 5 12| 12 Je, ni shauri langu kuwahukumu watu walio nje? 42 1Cor 7 17| Mungu. Hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.~ 43 1Cor 15 32| 32 Kama kusudi langu lingalikuwa la kibinadamu 44 Gala 1 14| wananchi wenzangu wa rika langu katika kuizingatia dini 45 2Tim 4 13| Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule 46 Phil 1 21| kwamba utanikubalia ombi langu; tena najua kwamba utafanya 47 Hebr 2 13| Nitamwekea Mungu tumaini langu." Na tena: "Mimi niko hapa 48 Hebr 8 9 | Hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, 49 Rev 2 3 | nyingi kwa ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.~ 50 Rev 2 13 | Lakini bado unashikilia jina langu; hukuikana imani yako kwangu 51 Rev 3 8 | amri zangu, umelitii neno langu wala hukulikana jina langu.~ 52 Rev 3 8 | langu wala hukulikana jina langu.~ 53 Rev 3 10 | kuwa wewe umezingatia agizo langu la kuwa na uvumilivu, nami 54 Rev 3 12 | nitaandika juu yao jina langu jipya.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License