Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mjiepushe 3
mjihadhari 1
mjinga 2
mjini 52
mjione 1
mjipendekeze 1
mjuavyo 4
Frequency    [«  »]
52 kadhalika
52 kuu
52 kwao
52 mjini
52 pili
52 wema
52 zile

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mjini

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 1 | 1 Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu, mkoani Yudea, 2 Matt 2 5 | 5 Nao wakamjibu, "Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. 3 Matt 2 16| Akaamuru watoto wote wa kiume mjini Bethlehemu na kandokando 4 Matt 2 18| 18 "Sauti imesikika mjini Rama, kilio na maombolezo 5 Matt 8 5 | Yesu alipokuwa anaingia mjini Kafarnaumu, ofisa mmoja 6 Matt 8 33| nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. Huko walitoa habari zote 7 Matt 20 29| Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.~ 8 Matt 21 18| 18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona 9 Matt 26 18| Yeye akawajibu, "Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie: ` 10 Matt 28 11| wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani 11 Mark 1 21| 21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika 12 Mark 5 14| wakatangaza jambo hilo mjini na mashambani. Watu wakafika 13 Mark 11 11| 11 Yesu aliingia mjini Yerusalemu akaenda moja 14 Mark 11 19| wanafunzi wake waliondoka mjini.~ 15 Mark 14 13| wake akiwaambia, "Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu 16 Mark 14 16| Wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa 17 Luke 2 4 | pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya. 18 Luke 2 4 | ukoo wa Daudi alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yuda alikozaliwa 19 Luke 3 2 | walikuwa makuhani wakuu mjini Yerusalem. Wakati huo ndipo 20 Luke 8 27| amepagawa na pepo alimjia kutoka mjini. Kwa muda mrefu mtu huyo, 21 Luke 8 34| wakaenda kuwapa watu habari, mjini na mashambani.~ 22 Luke 9 10| akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.~ 23 Luke 19 1 | 1 Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa anapita katika 24 Luke 19 2 | 2 Kulikuwa na mtu mmoja mjini, jina lake Zakayo ambaye 25 Luke 21 21| wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani 26 Luke 21 21| walio mashambani wasirudi mjini.~ 27 Luke 22 10| Sikilizeni! Mtakapokuwa mnakwenda mjini, mtakutana na mwanamume 28 Luke 24 49| kumtuma, lakini ngojeni huku mjini mpaka mtakapopewa ile nguvu 29 John 2 1 | ya tatu kulikuwa na arusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama 30 John 4 8 | wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.)~ 31 John 4 28| mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu,~ 32 John 4 30| 30 Watu wakatoka mjini, wakamwendea Yesu.~ 33 John 4 46| 46 Yesu alifika tena huko mjini Kana, mkoani Galilaya, mahali 34 Acts 1 12| karibu kilomita moja kutoka mjini.~ 35 Acts 1 13| 13 Walipofika mjini waliingia katika chumba 36 Acts 4 27| walivyokutanika papa hapa mjini, kumpinga Yesu Mtumishi 37 Acts 9 6 | Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa 38 Acts 9 8 | kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.~ 39 Acts 9 24| walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.~ 40 Acts 9 36| na mfuasi mmoja mwanamke mjini Yopa aitwaye Tabitha (kwa 41 Acts 11 5 | Siku moja nikiwa nasali mjini Yopa, niliona maono; niliona 42 Acts 12 10| mlango wa chuma wa kuingilia mjini. Huo mlango ukawafungukia 43 Acts 13 14| na safari toka Pisga hadi mjini Antiokia Pisidia. Siku ya 44 Acts 14 20| kumzunguka, aliamka akarudi mjini. Kesho yake, yeye pamoja 45 Acts 17 5 | kikundi na kuzusha fujo mjini kote. Wakaivamia nyumba 46 Acts 17 6 | dunia yote na sasa wako hapa mjini.~ 47 Acts 18 10| atakayejaribu kukudhuru maana hapa mjini pana watu wengi walio upande 48 Acts 21 29| Efeso, akiwa pamoja na Paulo mjini, wakadhani kwamba Paulo 49 Acts 22 3 | Lakini nililelewa papa hapa mjini Yerusalemu chini ya mkufunzi 50 Acts 23 11| Yerusalemu, utafanya vivyo hivyo mjini Roma."~ 51 2Cor 11 26| mataifa mengine; hatari za mjini, hatari za porini, hatari 52 Rev 22 14 | uzima, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License