Book, Chapter, Verse
1 Matt 21 42| waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi. Bwana ndiye aliyefanya
2 Matt 22 33| mafundisho ~yake. ~ Amri kuu ~\r ~\is (Marko 12:28-34;
3 Matt 22 36| Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika Sheria ya Mose?" ~
4 Matt 22 38| 38 Hii ndiyo amri kuu ya kwanza. ~
5 Matt 24 21| wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako
6 Matt 24 38| nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa wakila na
7 Mark 12 10| waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.~
8 Mark 12 31| Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi."~
9 Mark 15 43| Armathaya, mjumbe wa Baraza Kuu, aliyeheshimika sana. Yeye
10 Luke 1 79| wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu
11 Luke 2 10| Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu kwa watu wote.~
12 Luke 20 17| waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!`~
13 Luke 23 51| alikuwa mmoja wa Baraza kuu la Wayahudi, hakuwa amekubaliana
14 John 11 47| wakafanya kikao cha Baraza kuu, wakasema, "Tufanye nini?
15 Acts 2 20| kabla ya kutokea ile siku kuu na tukufu ya Bwana.~
16 Acts 4 11| waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.`~
17 Acts 5 18| wakawafunga ndani ya gereza kuu.~
18 Acts 5 21| waliita mkutano wa Baraza kuu, yaani halmashauri yote
19 Acts 6 12| kumleta mbele ya Baraza kuu.~
20 Acts 23 28| Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha
21 Acts 24 20| niliposimama mbele ya Baraza lao kuu,~
22 Roma 11 33| hekima na elimu ya Mungu ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki,
23 1Cor 13 13| na upendo; lakini lililo kuu kupita yote ni upendo.~~ ~
24 2Cor 4 7 | ionekane wazi kwamba nguvu hiyo kuu yatoka kwa Mungu wala si
25 Ephe 1 19| yetu, ni sawa na nguvu ile kuu mno~
26 Ephe 2 20| Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.~
27 Ephe 6 10| kwa msaada wa nguvu yake kuu.~
28 Colo 1 27| kuwajulisha watu wake siri hii kuu na tukufu ambayo ni kwa
29 Colo 1 29| kujitahidi nikiitumia nguvu kuu ya Kristo ifanyayo kazi
30 Hebr 1 4 | jina alilopewa na Mungu ni kuu zaidi kuliko jina lao.~
31 1Pet 1 3 | Kristo! Kwa huruma yake kuu alitufanya tuzaliwe upya
32 1Pet 2 6 | Naweka huko sioni jiwe kuu la msingi, jiwe la thamani
33 1Pet 2 7 | waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi."~
34 2Pet 1 1 | imani ileile ya thamani kuu tuliyojaliwa sisi.~
35 2Pet 1 4 | namna hiyo ametujalia zawadi kuu na za thamani ambazo alituahidia,
36 2Pet 2 5 | kale, bali alileta gharika kuu juu ya nchi ile ya watu
37 2Pet 2 17| waliyowekewa ni mahali pa giza kuu.~
38 2Pet 3 6 | yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.~
39 Jude 1 6 | milele wahukumiwe Siku ile kuu.~
40 Jude 1 13| mahali pao milele katika giza kuu.~
41 Rev 5 12 | 12 wakasema kwa sauti kuu: "Mwanakondoo aliyechinjwa
42 Rev 11 11 | waliowaona wakaingiwa na hofu kuu.~
43 Rev 11 15 | tarumbeta yake. Na sauti kuu zikasikika mbinguni zikisema, "
44 Rev 11 17 | maana umetumia nguvu yako kuu ukaanza kutawala!~
45 Rev 12 9 | 9 Basi, joka hilo kuu likatupwa nje. Joka hilo
46 Rev 12 12 | amewajieni akiwa na ghadhabu kuu, kwa sababu anajua kwamba
47 Rev 16 14 | pamoja kwa ajili ya vita kuu Siku ile ya Mungu Mwenye
48 Rev 16 19 | cha divai ya ghadhabu yake kuu.~
49 Rev 19 15 | kukamulia zabibu za ghadhabu kuu ya Mungu Mwenye Uwezo.~
50 Rev 19 17 | Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.~
51 Rev 21 21 | kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa
52 Rev 22 2 | kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. Kandokando ya mto
|