Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
herodiana 1
herufi 2
hesabu 3
heshima 52
hesli 1
hesroni 3
hewa 3
Frequency    [«  »]
53 mwema
53 wakamwuliza
52 heri
52 heshima
52 kadhalika
52 kuu
52 kwao

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

heshima

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 23 6 | 6 Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya 2 Matt 23 6 | katika karamu na viti vya heshima katika ~masunagogi. ~ 3 Matt 23 7 | 7 Hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa 4 Mark 6 4 | akawaambia, "Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, 5 Mark 12 38| na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali 6 Mark 12 38| hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,~ 7 Mark 12 39| 39 na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.~ 8 Luke 11 43| mnapenda kuketi mbele mahali pa heshima katika masunagogi, na kusalimiwa 9 Luke 11 43| masunagogi, na kusalimiwa kwa heshima hadharani.~ 10 Luke 14 7 | wanajichagulia nafasi za heshima, akawaambia mfano:~ 11 Luke 14 8 | arusini, usiketi mahali pa heshima isije ikawa amealikwa mwingine 12 Luke 20 46| Hupenda kusalimiwa na watu kwa heshima masokoni, huketi mahali 13 Luke 20 46| masokoni, huketi mahali pa heshima katika masunagogi na kuchukua 14 Luke 20 46| masunagogi na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.~ 15 John 4 44| waziwazi kwamba, "Nabii hapati heshima katika nchi yake."~ 16 John 12 26| anayenitumikia Baba yangu atampa heshima.~ 17 Acts 25 13| walifika Kaisarea ili kutoa heshima zao kwa Festo.~ 18 Roma 1 21| kuna Mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, wala hawamshukuru. 19 Roma 2 7 | mema, kutafuta utukufu na heshima ya Mungu na kutokufa, watapata 20 Roma 2 10| Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda 21 Roma 9 21| kimoja kwa matumizi ya heshima, na kingine kwa matumizi 22 Roma 12 10| amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.~ 23 Roma 13 7 | kodi, kodi; na astahiliye heshima, heshima.~ 24 Roma 13 7 | na astahiliye heshima, heshima.~ 25 1Cor 11 15| mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu 26 1Cor 12 23| tunavyovifikiria kuwa havistahili heshima kubwa, ndivyo tunavyovitunza 27 1Cor 12 24| mwili katika mpango, akakipa heshima zaidi kiungo kile kilichopungukiwa 28 1Cor 12 24| kiungo kile kilichopungukiwa heshima,~ 29 1Cor 14 40| Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.~ ~~ ~ 30 2Cor 6 8 | 8 Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, kulaumiwa 31 1The 4 4 | na mkewe kwa utakatifu na heshima,~ 32 1The 5 13| 13 Wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu 33 2The 1 10| kutoka kwa watu wake na heshima kutoka kwa wote wanaoamini. 34 2The 3 1 | upesi na kupokelewa kwa heshima kama vile ulivyo kati yenu.~ 35 1Tim 1 17| Mungu pekee - kwake viwe heshima na utukufu milele na milele! 36 1Tim 3 4 | watoto wake wawe watii kwa heshima yote.~ 37 1Tim 6 16| awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina.~ 38 Hebr 2 7 | ukamvika taji ya utukufu na heshima,~ 39 Hebr 2 9 | ametawazwa kwa utukufu na heshima kwa sababu ya kifo alichoteseka.~ 40 Hebr 3 3 | Mjenzi wa nyumba hupata heshima zaidi kuliko hiyo nyumba 41 Hebr 3 3 | kadhalika naye Yesu anastahili heshima kubwa zaidi kuliko Mose.~ 42 Hebr 5 4 | awezaye kujitwalia mwenyewe heshima ya kuwa kuhani mkuu. Kila 43 Hebr 5 5 | Kristo hakujitwalia mwenyewe heshima ya kuwa kuhani mkuu, bali 44 1Pet 1 7 | mtapokea sifa na utukufu na heshima Siku ile Yesu Kristo atakapofunuliwa.~ 45 1Pet 2 18| watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole 46 1Pet 3 7 | na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea 47 1Pet 3 16| fanyeni hivyo kwa upole na heshima. Muwe na dhamiri njema, 48 2Pet 1 17| tulikuwapo wakati alipopewa heshima na kutukuzwa na Mungu Baba, 49 Rev 4 11 | wetu, unastahili utukufu na heshima na nguvu; maana wewe uliumba 50 Rev 5 13 | Mwanakondoo, iwe sifa na heshima na utukufu na enzi milele 51 Rev 7 12 | utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu viwe kwa 52 Rev 13 14 | dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License