Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 9 | Mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe watoto wa Abrahamu.~
2 Matt 4 3 | ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate."~
3 Matt 13 5 | Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi.
4 Matt 13 20| mbegu iliyopandwa penye mawe ni mfano wa mtu asikiaye
5 Matt 21 35| wakamwua na mwingine wakampiga mawe.~
6 Matt 23 37| Unawaua manabii na kuwapiga mawe ~wale waliotumwa kwako.
7 Mark 4 5 | Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi.
8 Mark 4 16| mbegu zilizopandwa penye mawe. Mara tu wanapolisikia hilo
9 Mark 5 5 | sauti na kujikatakata kwa mawe.~
10 Mark 9 48| na moto hauzimiki. ic\is Mawe ya kusagia (Marko 9:42)\
11 Mark 13 1 | Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo
12 Luke 3 8 | Mungu anaweza kuyageuza mawe haya yawe watoto wa Abrahamu!~
13 Luke 8 6 | Nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka
14 Luke 8 13| Zile zilizoanguka penye mawe zinaonyesha watu wale ambao
15 Luke 13 34| Unawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara
16 Luke 19 40| wakinyamaza, hakika hayo mawe yatapaza sauti."~
17 Luke 20 6 | watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba
18 Luke 21 5 | jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka
19 John 2 6 | palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza
20 John 8 5 | mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?"~
21 John 8 59| 59 Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu
22 John 10 31| Basi, Wayahudi wakachukua mawe ili wamtupie.~
23 John 10 32| hizo inayowafanya mnipige mawe?"~
24 John 10 33| Wayahudi wakamjibu, "Hatukupigi mawe kwa ajili ya tendo jema,
25 John 11 8 | Wayahudi walipotaka kukuua kwa mawe, nawe unataka kwenda huko
26 John 19 13| mahali paitwapo: "Sakafu ya Mawe" (kwa Kiebrania, Gabatha).~
27 Acts 5 26| kwamba watu wangewapiga mawe.~
28 Acts 7 58| wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka
29 Acts 7 59| 59 Waliendelea kumpiga mawe Stefano, huku akiwa anasali: "
30 Acts 14 5 | vibaya hao mitume na kuwapiga mawe.~
31 Acts 14 19| wajiunge nao, wakampiga mawe Paulo na kumburuta hadi
32 1Cor 3 12| kujenga kwa dhahabu, fedha au mawe ya thamani; anaweza kutumia
33 2Cor 3 7 | kuandikwa juu ya vipande vya mawe. Ingawaje mwisho wake umekuwa
34 2Cor 11 25| viboko mara tatu, nilipigwa mawe mara moja; mara tatu nilivunjikiwa
35 Hebr 11 37| 37 Walipigwa mawe, walipasuliwa vipandevipande,
36 Hebr 12 20| kama ni mnyama, atapigwa mawe."~
37 1Pet 2 5 | 5 Mwendeeni yeye kama mawe hai mkajengeke na kuwa nyumba
38 Rev 8 7 | Mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto, pamoja na damu,
39 Rev 9 20 | za dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti, vitu ambavyo haviwezi
40 Rev 11 19 | ardhi, na mvua kubwa ya mawe.~ ~~ ~
41 Rev 16 21 | 21 Mvua ya mawe makubwa yenye uzito wa kama
42 Rev 16 21 | ya mapigo ya mvua hiyo ya mawe. Naam, pigo la mvua hiyo
43 Rev 16 21 | Naam, pigo la mvua hiyo ya mawe lilikuwa kubwa mno.~ ~~ ~
44 Rev 17 4 | amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. Mkononi
45 Rev 18 12 | kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani
46 Rev 18 16 | na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!~
47 Rev 21 14 | zilikuwa zimejengwa juu ya mawe ya msingi kumi na mawili,
48 Rev 21 14 | kumi na mawili, na juu ya mawe hayo yalikuwa yameandikwa
49 Rev 21 18 | huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu ya thamani, na mji
50 Rev 21 19 | 19 Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa
51 Rev 21 19 | yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza
|