Book, Chapter, Verse
1 Matt 8 18| 18 Yesu alipoona kundi la watu limemzunguka, aliwaamuru
2 Matt 8 32| hao, wakawaingia nguruwe. Kundi lote la nguruwe likaporomoka
3 Matt 24 51| Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa
4 Matt 26 31| mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.`~
5 Mark 5 11| 11 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni
6 Mark 5 13| wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la nguruwe wapatao
7 Mark 15 27| Matakatifu yanayosema, "Aliwekwa kundi moja na waovu."~
8 Luke 2 13| 13 Mara kundi kubwa la jeshi la mbinguni
9 Luke 2 44| Walidhani alikuwa pamoja na kundi la wasafiri, wakaenda mwendo
10 Luke 5 29| kubwa nyumbani mwake; na kundi kubwa la watoza ushuru na
11 Luke 6 17| tambarare. Hapo palikuwa na kundi kubwa la wanafunzi wake
12 Luke 7 11| na wafuasi wake pamoja na kundi kubwa la watu waliandamana
13 Luke 8 4 | 4 Kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika,
14 Luke 8 32| 32 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha
15 Luke 8 40| upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha,
16 Luke 8 43| mwanamke mmoja kati ya lile kundi la watu, ambaye alikuwa
17 Luke 9 37| wakishuka kutoka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana
18 Luke 9 38| Hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "
19 Luke 11 27| mwanamke mmoja katika lile kundi la watu, akasema kwa sauti
20 Luke 12 32| 32 "Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa
21 Luke 19 39| waliokuwako katika lile kundi la watu, wakamwambia Yesu, "
22 Luke 22 37| Maandiko Matakatifu: `Aliwekwa kundi moja na wahalifu,` ni lazima
23 Luke 22 47| Alipokuwa bado anaongea, kundi la watu likaja likiongozwa
24 John 10 16| sauti yangu, na kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.~
25 John 12 12| 12 Kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja
26 John 12 17| 17 Kundi la watu wale waliokuwa pamoja
27 Acts 1 21| wa wale waliokuwa katika kundi letu wakati wote Bwana alipokuwa
28 Acts 2 6 | Waliposikia sauti hiyo, kundi kubwa la watu lilikusanyika.
29 Acts 6 7 | Yerusalemu ikaongezeka zaidi, na kundi kubwa la makuhani wakaipokea
30 Acts 11 24| Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa
31 Acts 11 26| wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. Huko Antiokia,
32 Acts 13 45| Wayahudi walipoliona hilo kundi la watu walijaa wivu, wakapinga
33 Acts 14 14| na kukimbilia katika lile kundi la watu wakisema kwa sauti
34 Acts 16 22| 22 Kundi la watu likajiunga nao,
35 Acts 17 8 | wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.~
36 Acts 20 28| wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka
37 Acts 20 29| hawatakuwa na huruma kwa kundi hilo.~
38 Acts 21 27| Wakachochea hasira kati ya kundi lote la watu, wakamtia nguvuni~
39 Acts 21 32| jemadari, akalikabili lile kundi la watu. Nao walipomwona
40 Acts 21 34| 34 Wengine katika lile kundi la watu walikuwa wanapayuka
41 Acts 21 36| 36 Kwa maana kundi kubwa la watu walimfuata
42 Acts 23 10| wake kuingia kati ya lile kundi, wamtoe Paulo na kumrudisha
43 Acts 24 18| ya kujitakasa. Hakukuwako kundi la watu wala ghasia.~
44 1Cor 15 27| kwamba Mungu haingii katika kundi hilo la vitu, maana yeye
45 Hebr 7 26| ndani yake; hayumo katika kundi la wenye dhambi na ameinuliwa
46 Hebr 12 1 | 1 Sisi tunalo kundi hili kubwa la mashahidi
47 1Pet 5 2 | 2 mlichunge lile kundi la Mungu mlilokabidhiwa,
48 1Pet 5 3 | bali muwe mfano kwa hilo kundi.~
49 Rev 2 9 | Wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake Shetani.~
50 Rev 3 9 | Nitawapeleka kwako watu wa kundi lake Shetani, watu ambao
|