1-500 | 501-1000 | 1001-1086
Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 18 | Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana
2 Matt 1 24 | alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia,
3 Matt 3 16 | akaona Roho wa Mungu akishuka kama njiwa na kutua juu yake.~
4 Matt 4 9 | akamwambia, "Hivi vyote nitakupa kama tu ukipiga magoti na kuniabudu."~
5 Matt 5 29 | 29 Basi, kama jicho lako la kulia linakukosesha,
6 Matt 5 30 | 30 Na kama mkono wako wa kulia unakukosesha,
7 Matt 5 47 | 47 Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu,
8 Matt 5 48 | 48 Basi, muwe wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo
9 Matt 6 2 | usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika
10 Matt 6 5 | 5 "Mnaposali, msifanye kama wanafiki. Wao hupenda kusimama
11 Matt 6 7 | Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao
12 Matt 6 8 | 8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji
13 Matt 6 10 | Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.~
14 Matt 6 12 | 12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.~
15 Matt 6 16 | Mnapofunga, msiwe na huzuni kama wanafiki. Wao hukunja nyuso
16 Matt 6 22 | Jicho ni taa ya mwili. Kama jicho lako ni zima, mwili
17 Matt 6 29 | hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.~
18 Matt 7 11 | 11 Kama basi ninyi, ingawa ni waovu,
19 Matt 7 15 | Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa
20 Matt 7 29 | 29 Hakuwa kama walimu wao wa Sheria, bali
21 Matt 8 10 | katika Israeli aliye na imani kama hii.~
22 Matt 8 13 | Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini." Na mtumishi
23 Matt 9 29 | akasema, "Na iwe kwenu kama mnavyoamini."~
24 Matt 9 33 | wakashangaa na kusema, "Jambo kama hili halijapata kuonekana
25 Matt 9 36 | walikuwa hoi na wenye wasiwasi kama kondoo wasio na mchungaji.~
26 Matt 10 6 | watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.~
27 Matt 10 13 | 13 Kama wenyeji wa nyumba hiyo wakiipokea
28 Matt 10 14 | 14 Kama mtu yeyote atakataa kuwakaribisheni
29 Matt 10 14 | uteni mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao.~
30 Matt 10 16 | Sasa, mimi nawatuma ninyi kama kondoo kati ya mbwa mwitu.
31 Matt 10 16 | mbwa mwitu. Muwe na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa.~
32 Matt 10 16 | busara kama nyoka, na wapole kama njiwa.~
33 Matt 10 25 | Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi
34 Matt 10 25 | mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita
35 Matt 11 14 | 14 Kama mwaweza kukubali basi, Yohane
36 Matt 11 16 | kizazi hiki na kitu gani? Ni kama vijana waliokuwa wamekaa
37 Matt 11 21 | Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwako
38 Matt 11 23 | Utaporomoshwa mpaka Kuzimu! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwako
39 Matt 12 7 | 7 Kama tu mngejua maana ya maneno
40 Matt 12 13 | nao ukawa mzima kabisa kama ule mwingine.~
41 Matt 13 19 | ufalme bila kuuelewa, ni kama zile mbegu zilizoanguka
42 Matt 13 40 | 40 Kama vile magugu yanavyokusanywa
43 Matt 13 43 | Kisha, wale wema watang`ara kama jua katika Ufalme wa Baba
44 Matt 13 43 | Baba yao. Sikieni basi, kama mna masikio!~
45 Matt 15 2 | wetu? Hawanawi mikono yao kama ipasavyo kabla ya kula!"~
46 Matt 15 24 | watu wa Israeli waliopotea kama kondoo."~
47 Matt 15 28 | ni kubwa; basi, ufanyiwe kama unavyotaka." Yule binti
48 Matt 16 24 | akawaambia wanafunzi wake, "Kama mtu yeyote anataka kuwa
49 Matt 17 2 | sura, uso wake ukang`aa kama jua na mavazi yake yakawa
50 Matt 17 2 | mavazi yake yakawa meupe kama nuru.~
51 Matt 17 20 | haba. Nawaambieni kweli, kama tu mkiwa na imani, hata
52 Matt 17 20 | na imani, hata iwe ndogo kama mbegu ya haradali, mtaweza
53 Matt 18 3 | kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe
54 Matt 18 4 | Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye
55 Matt 18 5 | anayemkaribisha mtoto mmoja kama huyu kwa jina langu, ananikaribisha
56 Matt 18 8 | 8 "Kama mkono au mguu wako ukikukosesha,
57 Matt 18 9 | 9 Na kama jicho lako likikukosesha,
58 Matt 18 17 | hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe
59 Matt 18 17 | hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na
60 Matt 18 33 | kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?`~
61 Matt 18 35 | atawafanyieni vivyo hivyo kama kila mmoja wenu hatamsamehe
62 Matt 19 14 | mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa."~
63 Matt 19 19 | na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."~
64 Matt 19 21 | 21 Yesu akamwambia, "Kama unapenda kuwa mkamilifu,
65 Matt 21 3 | 3 Kama mtu akiwauliza sababu, mwambieni, `
66 Matt 21 6 | wanafunzi walienda wakafanya kama Yesu alivyowaagiza.~
67 Matt 21 21 | akawajibu, "Kweli nawaambieni, kama mkiwa na imani bila kuwa
68 Matt 22 30 | hawataoa wala kuolewa, watakuwa kama ~malaika mbinguni. ~
69 Matt 22 39 | hiyo: <Mpende jirani yako kama unavyojipenda ~wewe mwenyewe.> ~
70 Matt 23 23 | mnaacha mambo muhimu ya Sheria kama vile haki, huruma na imani.
71 Matt 23 27 | Mafarisayo, wanafiki! Mko kama ~makaburi yaliyopakwa chokaa
72 Matt 23 30 | 30 Mwasema: <Kama sisi tungaliishi nyakati
73 Matt 23 37 | kuwakusanya watoto wako ~kwangu, kama vile kuku anavyokusanya
74 Matt 24 8 | 8 Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua
75 Matt 24 14 | itahubiriwa ulimwenguni kote kama ushuhuda kwa mataifa yote.~
76 Matt 24 22 | 22 Kama siku hizo hazingalipunguzwa,
77 Matt 24 27 | 27 maana, kama vile umeme uangazavyo toka
78 Matt 24 37 | 37 Kwa maana kama ilivyokuwa nyakati za Noa,
79 Matt 24 43 | Lakini kumbukeni jambo hili: kama mwenye nyumba angejua siku
80 Matt 24 48 | 48 Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea
81 Matt 25 14 | 14 "Itakuwa kama mtu mmoja aliyetaka kusafiri
82 Matt 25 32 | naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha
83 Matt 26 15 | akawaambia, "Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?"
84 Matt 26 19 | 19 Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa
85 Matt 26 24 | Mwana wa Mtu anakwenda zake kama Maandiko Matakatifu yasemavyo,
86 Matt 26 24 | Ingalikuwa afadhali kwa mtu huyo kama hangalizaliwa."~
87 Matt 26 33 | Petro akamwambia Yesu "Hata kama wote watakuwa na mashaka
88 Matt 26 35 | Petro akamwambia, "Hata kama ni lazima nife pamoja nawe,
89 Matt 26 39 | kifudifudi, akasali: "Baba yangu, kama inawezekana, aacha kikombe*
90 Matt 26 42 | pili akasali: "Baba yangu, kama haiwezekani kikombe*fp*
91 Matt 26 55 | kunikamata kwa mapanga na marungu kama kwamba mimi ni mnyang`anyi?
92 Matt 26 63 | Mungu aliye hai, twambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana
93 Matt 27 10 | nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza."~
94 Matt 27 40 | tatu? Sasa jiokoe mwenyewe. Kama wewe ni Mwana wa Mungu,
95 Matt 27 43 | basi, Mungu na amwokoe kama anamtaka."~
96 Matt 27 49 | Wengine wakasema, "Acha tuone kama Eliya anakuja kumwokoa."~
97 Matt 28 3 | 3 Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa
98 Matt 28 3 | mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.~
99 Matt 28 4 | hofu kubwa, hata wakawa kama wamekufa.~
100 Matt 28 6 | Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. Njoni mkaone
101 Matt 28 14 | 14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo
102 Matt 28 15 | wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari
103 Mark 1 2 | 2 Ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu
104 Mark 1 10 | na Roho akishuka juu yake kama njiwa.~
105 Mark 1 22 | maana hakuwa anafundisha kama walimu wao wa Sheria, bali
106 Mark 1 22 | walimu wao wa Sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.~
107 Mark 1 44 | ajili ya kutakasika kwako kama alivyoamuru Mose, iwe uthibitisho
108 Mark 2 12 | Hatujapata kamwe kuona jambo kama hili."~
109 Mark 2 19 | harusini wanawezaje kufunga kama bwana harusi yupo pamoja
110 Mark 2 21 | kukishonea katika nguo kuukuu. Kama akifanya hivyo, hicho kiraka
111 Mark 2 22 | katika viriba vikuukuu. Kama akifanya hivyo, divai itavipasua
112 Mark 4 15 | 15 Watu wengine ni kama wale walio njiani ambapo
113 Mark 4 16 | 16 Watu wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa
114 Mark 4 18 | 18 Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka
115 Mark 4 20 | 20 Lakini wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa
116 Mark 4 26 | kusema, "Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu
117 Mark 4 31 | 31 Ni kama mbegu ya haradali ambayo
118 Mark 6 11 | uta mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao."~
119 Mark 6 15 | walisema, "Huyu ni nabii kama mmojawapo wa manabii wa
120 Mark 6 34 | akawahurumia, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji.
121 Mark 7 4 | desturi nyingine walizopokea kama vile namna ya kuosha vikombe,
122 Mark 7 11 | Lakini ninyi mwafundisha, `Kama mtu anacho kitu ambacho
123 Mark 8 24 | Ninawaona watu wanaoonekana kama miti inayotembea."~
124 Mark 9 13 | wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake."~
125 Mark 9 26 | akamtoka. Mtoto alionekana kama maiti, hata wengine walisema, "
126 Mark 9 37 | 37 "Anayempokea mtoto kama huyu kwa jina langu, ananipokea
127 Mark 10 1 | naye akawafundisha tena kama ilivyokuwa desturi yake.~
128 Mark 10 14 | kwa ajili ya watu walio kama watoto hawa.~
129 Mark 10 15 | asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia katika
130 Mark 10 38 | nitakachokunywa, au kubatizwa kama nitakavyobatizwa?"~
131 Mark 10 39 | mtakinywa kweli, na mtabatizwa kama nitakavyobatizwa.~
132 Mark 11 3 | 3 Kama mtu akiwauliza, `Mbona mnafanya
133 Mark 11 6 | 6 Wanafunzi wakajibu kama Yesu alivyokuwa amewaambia;
134 Mark 11 13 | mengi. Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote.
135 Mark 12 25 | hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.~
136 Mark 12 31 | hii: `Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.`
137 Mark 12 33 | na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe.
138 Mark 13 8 | ardhi na njaa. Mambo haya ni kama tu maumivu ya kwanza ya
139 Mark 13 20 | 20 Kama Bwana asingepunguza siku
140 Mark 13 22 | kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.~
141 Mark 13 34 | 34 Itakuwa kama mtu anayeondoka nyumbani
142 Mark 14 16 | wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia.
143 Mark 14 21 | Mwana wa Mtu anakwenda zake kama Maandiko Matakatifu yanavyosema
144 Mark 14 21 | Ingalikuwa afadhali kwa mtu huyo kama hangalizaliwa!"~
145 Mark 14 29 | 29 Petro akamwambia "Hata kama wote watakuwa na mashaka
146 Mark 14 31 | Petro akasisitiza, "Hata kama ni lazima nife pamoja nawe,
147 Mark 14 35 | kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie
148 Mark 14 36 | kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo
149 Mark 15 8 | Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.~
150 Mark 15 36 | anywe akisema, "Hebu tuone kama Eliya atakuja kumteremsha
151 Mark 15 44 | akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.~
152 Mark 16 7 | Galilaya. Huko mtamwona kama alivyowaambieni."~
153 Luke 1 2 | 2 Waliandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona
154 Luke 1 9 | Zakariya alichaguliwa kwa kura, kama ilivyokuwa desturi, kuingia
155 Luke 1 17 | akiongozwa na nguvu na roho kama Eliya. Atawapatanisha kina
156 Luke 1 35 | wake Mungu Mkuu utakujia kama kivuli; kwa sababu hiyo,
157 Luke 1 38 | mtumishi wa Bwana, nitendewe kama ulivyosema." Kisha yule
158 Luke 1 55 | 55 Kama alivyowaahidia wazee wetu
159 Luke 2 20 | na kuona; yote yalikuwa kama walivyokuwa wameambiwa.~
160 Luke 2 22 | Yosefu na Maria kutakaswa kama walivyotakiwa na Sheria
161 Luke 2 24 | makinda wawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika Sheria
162 Luke 2 27 | mtoto wao ili wamfanyie kama ilivyotakiwa na Sheria,~
163 Luke 2 35 | Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo
164 Luke 2 42 | walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.~
165 Luke 3 17 | 17 Yeye ni kama mtu anayeshika mikononi
166 Luke 3 22 | akamshukia akiwa na umbo kama la njiwa. Sauti ikasikika
167 Luke 4 3 | Ndipo Ibilisi akamwambia, "Kama wewe ni Mwana wa Mungu,
168 Luke 4 7 | vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu."~
169 Luke 4 9 | wa Hekalu, akamwambia, "Kama wewe ni Mwana wa Mungu,~
170 Luke 4 16 | aliingia katika sunagogi, kama ilivyokuwa desturi yake.
171 Luke 5 14 | ajili ya kutakasika kwako kama inavyotakiwa na Sheria ya
172 Luke 5 36 | kukitia katika vazi kuukuu; kama akifanya hivyo, atakuwa
173 Luke 6 7 | wakawa wanangojea waone kama angemponya mtu siku ya Sabato.~
174 Luke 6 31 | 31 Watendeeni wengine kama mnavyotaka wawatendee ninyi.~
175 Luke 6 33 | 33 Tena, kama mkiwatendea mema wale tu
176 Luke 6 34 | 34 Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini
177 Luke 6 36 | 36 Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma.~
178 Luke 6 40 | mwanafunzi akisha hitimu huwa kama mwalimu wake.~
179 Luke 7 32 | 32 Ni kama vijana waliokuwa wamekaa
180 Luke 7 39 | akawaza moyoni mwake, "Kama mtu huyu angekuwa kweli
181 Luke 8 13 | kwa furaha. Hata hivyo, kama zile mbegu, watu hao hawana
182 Luke 9 5 | uteni mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao."~
183 Luke 10 3 | kwamba ninawatuma ninyi kama kondoo wanaokwenda kati
184 Luke 10 6 | 6 Kama akiwako mwenye kupenda amani,
185 Luke 10 8 | 8 Kama mkifika mji fulani na watu
186 Luke 10 13 | Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu
187 Luke 10 18 | jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni.~
188 Luke 10 27 | Na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."~
189 Luke 11 1 | tunakuomba utufundishe kusali kama Yohane mbatizaji alivyowafundisha
190 Luke 11 12 | 12 Na kama akimwomba yai, je, atampa
191 Luke 11 16 | afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka
192 Luke 11 18 | 18 Kama Shetani anajipinga mwenyewe,
193 Luke 11 19 | 19 Kama ninafukuza pepo kwa uwezo
194 Luke 11 34 | 34 Jicho lako ni kama taa ya mwili wako; likiwa
195 Luke 11 36 | 36 Basi, kama mwili wako wote una mwanga,
196 Luke 11 36 | huo utang`aa kikamilifu kama vile taa inavyokuangazia
197 Luke 11 44 | Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika;
198 Luke 12 26 | 26 Basi, kama hamwezi kufanya jambo dogo
199 Luke 12 26 | hamwezi kufanya jambo dogo kama hilo, kwa nini kuwa na wasiwasi
200 Luke 12 27 | hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.~
201 Luke 12 28 | 28 Lakini, kama Mungu hulivika vizuri jani
202 Luke 12 36 | 36 muwe kama watumishi wanaomngojea bwana
203 Luke 12 39 | 39 Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa
204 Luke 12 45 | 45 Lakini, kama mtumishi huyo atafikiri
205 Luke 12 58 | 58 Maana kama mshtaki wako anakupeleka
206 Luke 13 3 | kadhalika, msipotubu, mtaangamia kama wao.~
207 Luke 13 5 | nanyi msipotubu, mtaangamia kama wao."~
208 Luke 13 9 | 9 Kama ukizaa matunda mwaka ujao,
209 Luke 13 15 | ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni ya Sabato?~
210 Luke 13 19 | 19 NI kama mbegu ya haradali aliyotwaa
211 Luke 13 21 | 21 Ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja
212 Luke 13 34 | kuwakusanya watoto wako pamoja kama kuku anavyokusanya vifaranga
213 Luke 14 5 | shimoni, hangemtoa hata kama ni siku ya Sabato?"~
214 Luke 14 8 | 8 "Kama mtu akikualika arusini,
215 Luke 14 12 | akamwambia na yule aliyemwalika, "Kama ukiwaandalia watu karamu
216 Luke 14 22 | Bwana mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado
217 Luke 14 28 | akadirie gharama zake ili ajue kama ana kiasi cha kutosha cha
218 Luke 14 31 | kwanza chini na kufikiri kama ataweza, kwa askari wake
219 Luke 14 32 | 32 Kama anaona hataweza, atawatuma
220 Luke 14 33 | atakayekuwa mwanafunzi wangu kama asipoachilia kila kitu alicho
221 Luke 14 35 | huitupilia mbali. Sikieni basi, kama mna masikio!"~ ~ ~~ ~
222 Luke 15 19 | hata kuitwa mwanao. Nifanye kama mmoja wa wafanyakazi wako.`~
223 Luke 16 3 | siwezi; kwenda kuombaomba kama maskini ni aibu.~
224 Luke 16 11 | 11 Kama basi, ninyi si hamjawa waaminifu
225 Luke 16 12 | 12 Na kama hamjakuwa waaminifu katika
226 Luke 16 30 | Sivyo baba Abrahamu, ila kama mtu atafufuka kutoka wafu
227 Luke 16 31 | Naye Abrahamu akasema: `Kama hawawasikilizi Mose na manabii,
228 Luke 16 31 | manabii, hawatajali hata kama mtu angefufuka kutoka wafu."`~ ~ ~~ ~
229 Luke 17 3 | 3 Jihadharini! Kama ndugu yako akikukosea, mwonye;
230 Luke 17 4 | 4 Na kama akikukosea mara saba kwa
231 Luke 17 6 | 6 Naye Bwana akajibu, "Kama imani yenu ingekuwa ndogo
232 Luke 17 6 | yenu ingekuwa ndogo hata kama chembe ndogo ya haradali,
233 Luke 17 24 | 24 Kwa maana kama vile umeme unavyotokea ghafla
234 Luke 17 26 | 26 Kama ilivyokuwa nyakati za Noa,
235 Luke 17 28 | 28 Itakuwa kama ilivyotokea wakati wa Loti.
236 Luke 17 29 | moto na kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na
237 Luke 18 11 | nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu
238 Luke 18 11 | Nakushukuru kwamba mimi si kama huyu mtoza ushuru.~
239 Luke 18 16 | Mungu ni kwa ajili ya watu kama hawa.~
240 Luke 18 17 | asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika
241 Luke 19 8 | maskini nusu ya mali yangu, na kama nimenyang`anya mtu yeyote
242 Luke 19 31 | 31 Kama mtu akiwauliza, kwa nini
243 Luke 19 32 | wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.~
244 Luke 19 40 | akawajibu, "Nawaambieni, kama hawa wakinyamaza, hakika
245 Luke 20 22 | 22 Basi, twambie kama ni halali, au la, kulipa
246 Luke 20 28 | Mose alituandikia kwamba kama ndugu ya mtu fulani akifa
247 Luke 20 36 | tena, kwa sababu watakuwa kama malaika, na ni watoto wa
248 Luke 20 37 | kinawaka moto, anamtaja Bwana kama Mungu wa Abrahamu, Isaka
249 Luke 20 43 | mpaka niwafanye adui zako kama kiti cha kuwekea miguu yako.`~
250 Luke 21 35 | 35 Kwa maana itawajia kama mtego, wote wanaoishi duniani
251 Luke 22 13 | wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia;
252 Luke 22 22 | wa Mtu anakwenda kuuawa kama ilivyopangwa, lakini ole
253 Luke 22 26 | aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi.~
254 Luke 22 27 | mimi niko hapa kati yenu kama mtumishi.~
255 Luke 22 29 | 29 na, kama vile Baba yangu alivyonikabidhi
256 Luke 22 31 | alitaka kuwapepeta ninyi kama mtu anavyopepeta ngano.~
257 Luke 22 39 | 39 Yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake,
258 Luke 22 42 | 42 "Baba, kama wapenda, ukiondoe kwangu
259 Luke 22 44 | zaidi; na jasho likamtoka, kama matone ya damu, likatiririka
260 Luke 22 59 | 59 Kama saa moja baadaye, mtu mwingine
261 Luke 22 67 | Lakini Yesu akawaambia, "Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki;~
262 Luke 22 68 | 68 na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu.~
263 Luke 23 31 | 31 Kwa maana, kama watu wanautendea mti mbichi
264 Luke 23 35 | sasa na ajiokoe mwenyewe, kama yeye ndiye Kristo, mteule
265 Luke 23 37 | 37 wakisema: "Kama kweli wewe ni Mfalme wa
266 Luke 23 56 | Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.~ ~ ~~ ~
267 Luke 24 11 | waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo
268 Luke 24 39 | mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo."~
269 John 1 25 | Basi, wakamwuliza Yohane, "Kama wewe si Kristo, wala Eliya,
270 John 1 32 | Nilimwona Roho akishuka kama njiwa kutoka mbinguni na
271 John 3 14 | 14 "Kama vile Mose alivyomwinua juu
272 John 4 10 | 10 Yesu akamjibu, "Kama tu ungalijua zawadi ya Mungu
273 John 5 22 | 21 Kama vile Baba huwafufua wafu
274 John 5 24 | watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba.
275 John 5 27 | 26 Kama vile Baba alivyo asili ya
276 John 5 31 | mwenyewe. Mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa
277 John 5 36 | 35 Yohane alikuwa kama taa iliyokuwa ikiwaka na
278 John 5 47 | 46 Kama kweli mngemwamini Mose,
279 John 6 7 | haiwatoshi watu hawa hata kama ila mmoja atapata kipande
280 John 6 9 | vyatosha nini kwa watu wengi kama hawa?"~
281 John 6 31 | walikula mana kule jangwani, kama yasemavyo Maandiko: `Aliwalisha
282 John 6 58 | ulioshuka kutoka mbinguni; si kama mana waliyokula babu zetu,
283 John 7 4 | Mtu hafanyi mambo kwa siri kama anataka kujulikana kwa watu.
284 John 7 17 | anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka
285 John 7 38 | 38 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: `
286 John 7 46 | mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!"~
287 John 8 5 | Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi,
288 John 8 14 | 14 Yesu akawajibu, "Hata kama ninajishuhudia mwenyewe,
289 John 8 19 | mimi wala hamumjui Baba. Kama mngenijua mimi, mngemjua
290 John 8 24 | mtakufa katika dhambi zenu. Kama msipoamini kwamba `Mimi
291 John 8 31 | Wayahudi waliomwamini, "Kama mkiyazingatia mafundisho
292 John 8 36 | 36 Kama mwana akiwapeni uhuru mtakuwa
293 John 8 39 | Abrahamu!" Yesu akawaambia, "Kama ninyi mngekuwa watoto wa
294 John 8 39 | watoto wa Abrahamu, mngefanya kama alivyofanya Abrahamu,~
295 John 8 42 | 42 Yesu akawaambia, "Kama Mungu angekuwa Baba yenu,
296 John 8 55 | simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi. Mimi namjua na ninashika
297 John 9 25 | 25 Yeye akajibu, "Kama ni mwenye dhambi mimi sijui.
298 John 9 33 | 33 Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu,
299 John 9 41 | 41 Yesu akawajibu, "Kama mngekuwa vipofu, hamngekuwa
300 John 10 15 | 15 kama vile Baba anijuavyo, nami
301 John 10 24 | katika mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo, basi,
302 John 10 37 | 37 Kama sifanyi kazi za Baba yangu
303 John 10 38 | ikiwa ninazifanya, hata kama hamniamini, walau ziaminini
304 John 11 21 | akamwambia Yesu, "Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu
305 John 11 25 | Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:~
306 John 11 32 | magoti, akamwabia, "Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu
307 John 12 14 | mmoja akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko:~
308 John 12 24 | ikianguka katika udongo na kufa. Kama ikifa, basi huzaa matunda
309 John 13 15 | mfano, ili nanyi pia mfanye kama nilivyowafanyieni.~
310 John 13 32 | 32 Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa
311 John 13 34 | mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.~
312 John 14 27 | amani yangu. Siwapi ninyi kama vile ulimwengu ufanyavyo.
313 John 14 28 | kisha nitarudi tena kwenu.` Kama mngalinipenda mngalifurahi
314 John 14 31 | maana nafanya kila kitu kama Baba alivyoniamuru. Simameni,
315 John 15 6 | ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata
316 John 15 8 | 8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa matunda mengi na
317 John 15 9 | 9 Mimi nimewapenda ninyi kama vile Baba alivyonipenda
318 John 15 10 | mtakaa katika pendo langu, kama vile nami nilivyozishika
319 John 15 12 | yangu: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.~
320 John 15 18 | 18 "Kama ulimwengu ukiwachukia ninyi,
321 John 15 19 | 19 Kama mngalikuwa watu wa ulimwengu,
322 John 15 19 | ulimwengu ungaliwapenda ninyi kama watu wake. Lakini kwa vile
323 John 15 20 | watawatesa na ninyi pia; kama wameshika neno langu, watalishika
324 John 15 22 | 22 Kama nisingalikuja na kusema
325 John 15 24 | 24 Kama nisingalifanya kwao mambo
326 John 17 11 | salama ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo mmoja.~
327 John 17 14 | sababu wao si wa ulimwengu kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.~
328 John 17 16 | 16 Wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.~
329 John 17 18 | 18 Kama vile ulivyonituma ulimwenguni,
330 John 17 21 | Naomba wawe ndani yetu kama vile wewe ulivyo ndani yangu
331 John 17 22 | mimi, ili wawe kitu kimoja kama nasi tulivyo mmoja;~
332 John 17 23 | na kwamba unawapenda wao kama unavyonipenda mimi.~
333 John 18 8 | kwamba mimi ndiye. Basi, kama mnanitafuta mimi, waacheni
334 John 18 23 | 23 Yesu akamjibu, "Kama nimesema vibaya, onyesha
335 John 18 30 | 30 Wakamjibu, "Kama huyu hangalikuwa mwovu hatungalimleta
336 John 18 36 | wangu si wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa
337 John 19 11 | mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa na Mungu. Kwa
338 John 20 15 | akamwambia, "Mheshimiwa, kama ni wewe umemwondoa, niambie
339 John 20 21 | akawaambia tena, "Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi,
340 John 21 22 | 22 Yesu akamjibu, "Kama nataka abaki mpaka nitakapokuja,
341 John 21 23 | mwanafunzi huyo hafi, ila, "Kama nataka abaki mpaka nitakapokuja,
342 John 21 25 | aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja
343 Acts 1 21 | mtu mwingine ajiunge nasi kama shahidi wa ufufuo wake Bwana
344 Acts 2 2 | angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikajaza
345 Acts 2 3 | vikatokea vitu vilivyoonekana kama ndimi za moto, vikagawanyika
346 Acts 2 15 | 15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa
347 Acts 2 20 | na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kutokea ile
348 Acts 2 22 | kati yenu kwa njia yake, kama mnavyojua.~
349 Acts 3 16 | iliyomponya kabisa mtu huyu kama mnavyoona nyote.~
350 Acts 3 21 | kurekebishwa vitu vyote, kama Mungu alivyosema kwa njia
351 Acts 3 22 | wenu atawapelekeeni nabii kama mimi kutoka kati yenu ninyi
352 Acts 3 25 | alilofanya na babu zenu, kama alivyomwambia Abrahamu: `
353 Acts 4 19 | wakawajibu, "Amueni ninyi wenyewe kama ni haki mbele ya Mungu kuwatii
354 Acts 5 39 | 39 Lakini kama imeanzishwa na Mungu, siyo
355 Acts 6 15 | wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.~ ~ ~~ ~
356 Acts 7 21 | Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.~
357 Acts 7 28 | 28 Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?`~
358 Acts 7 37 | Mungu atawateulieni nabii kama mimi kutoka katika ndugu
359 Acts 7 42 | akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu
360 Acts 7 44 | kwa Mungu. Lilitengenezwa kama Mungu alivyomwambia Mose
361 Acts 7 48 | zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo:~
362 Acts 7 51 | Mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. Ninyi
363 Acts 7 51 | watu wa mataifa. Ninyi ni kama baba zenu. Siku zote mnampinga
364 Acts 8 22 | anaweza kukusamehe fikira kama hizo.~
365 Acts 8 32 | anasoma ilikuwa hii: "Alikuwa kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa;
366 Acts 8 32 | anayepelekwa kuchinjwa; kimya kama vile mwana kondoo anaponyolewa
367 Acts 9 18 | 18 Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka
368 Acts 10 11 | mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa
369 Acts 10 30 | Siku tatu zilizopita saa kama hii, saa tisa alasiri, nilikuwa
370 Acts 10 47 | wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi wenyewe tulivyompokea.
371 Acts 11 5 | niliona maono; niliona kitu kama shuka kubwa likishushwa
372 Acts 11 15 | Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale
373 Acts 11 17 | 17 Basi, kama Mungu amewapa pia watu wa
374 Acts 12 9 | akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa na huyo
375 Acts 13 8 | Lakini huyo mchawi Elima (kama alivyokuwa anaitwa kwa Kigiriki),
376 Acts 13 11 | Mara kila kitu kikawa kama ukungu na giza kwake, akaanza
377 Acts 13 15 | waliwapelekea ujumbe huu: "Ndugu, kama mnalo jambo la kuwaambia
378 Acts 13 23 | ukoo wake mtu huyu, Mungu, kama alivyoahidi, amewapelekea
379 Acts 13 32 | kumfufua Yesu kutoka wafu. Kama ilivyoandikwa katika zaburi
380 Acts 13 41 | ambacho hamtakiamini hata kama mtu akiwaelezeni."`~
381 Acts 13 51 | yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda Ikonio.~
382 Acts 14 1 | Kule Ikonio, mambo yalikuwa kama yalivyokuwa kule Antiokia;
383 Acts 14 15 | hayo? Sisi pia ni binadamu kama ninyi. Na, tuko hapa kuwahubirieni
384 Acts 15 1 | kuwafundisha wale ndugu wakisema, "Kama hamtatahiriwa kufuatana
385 Acts 15 8 | kuwapa nao Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi.~
386 Acts 15 11 | ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tunaokolewa kwa
387 Acts 15 15 | kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo:~
388 Acts 15 29 | uasherati. Mtakuwa mmefanya vema kama mkiepa kufanya mambo hayo.
389 Acts 16 15 | kubatizwa, alitualika akisema, "Kama kweli mmeona kwamba mimi
390 Acts 17 2 | 2 Paulo alijiunga nao kama ilivyokuwa desturi yake
391 Acts 17 11 | Matakatifu kila siku, ili kuona kama yale waliyosema Paulo na
392 Acts 17 18 | wengine walisema, "Inaonekana kama anahubiri juu ya miungu
393 Acts 17 27 | hayo yapate kumfuata, na kama vile kwa kupapasapapasa,
394 Acts 17 28 | 28 Kama alivyosema mtu mmoja: `Ndani
395 Acts 17 28 | tunajimudu, na tuko!` Ni kama washairi wenu wengine walivyosema: `
396 Acts 17 29 | haifai kumfikiria Mungu kuwa kama dhahabu, fedha au hata jiwe
397 Acts 17 30 | 30 Mungu alifanya kama kwamba haoni nyakati zile
398 Acts 18 3 | mafundi wa kushona mahema kama alivyokuwa yeye, Paulo alikaa
399 Acts 18 14 | Sikilizeni enyi Wayahudi! Kama kweli jambo hili lingekuwa
400 Acts 18 15 | 15 Lakini kama ni shauri la ubishi kuhusu
401 Acts 19 25 | wengine waliokuwa na kazi kama hiyo, akawaambia, "Wananchi,
402 Acts 19 38 | 38 Kama, basi Demetrio na wafanyakazi
403 Acts 19 39 | 39 Kama mna matatizo mengine, yapelekeni
404 Acts 20 16 | kwa sikukuu ya Pentekoste kama ingewezekana.~
405 Acts 21 23 | 23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa
406 Acts 22 3 | kwa moyo wote kwa Mungu kama ninyi wenyewe mlivyo hivi
407 Acts 23 3 | atakupiga kofi wewe uliye kama ukuta uliopakwa chokaa!
408 Acts 23 5 | akajibu, "Ndugu zangu, sikujua kama yeye ni Kuhani Mkuu. Maana
409 Acts 23 27 | huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba
410 Acts 23 31 | askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka
411 Acts 24 6 | Hekalu nasi tukamtia nguvuni. Kama ukimhoji wewe mwenyewe,
412 Acts 24 19 | yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema
413 Acts 25 5 | wakatoe mashtaka yao juu yake kama amefanya chochote kiovu."~
414 Acts 25 10 | ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua vizuri, sikuwatendea
415 Acts 25 11 | kusamehewa adhabu hiyo. Lakini kama hakuna ukweli katika mashtaka
416 Acts 25 18 | hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.~
417 Acts 25 20 | Basi, nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda mahakamani
418 Acts 26 5 | na wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu
419 Acts 26 5 | kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye
420 Acts 26 14 | unanitesa? Unajiumiza bure kama punda anayepiga teke fimbo
421 Acts 26 29 | wanaonisikia leo wapate kuwa kama nilivyo mimi, lakini bila
422 Acts 26 32 | huyu angeweza kufunguliwa kama asingalikuwa amekata rufani
423 Acts 27 21 | Waheshimiwa, ingalikuwa afadhali kama mngalinisikiliza na kuacha
424 Acts 27 21 | kuacha kusafiri kutoka Krete. Kama mngalifanya hivyo tungaliiepuka
425 Acts 27 25 | Mungu kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.~
426 Acts 27 31 | wa jeshi na askari wake, "Kama wanamaji hawa hawabaki ndani
427 Acts 27 39 | wakaamua kutia nanga huko kama ikiwezekana.~
428 Roma 1 13 | mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu
429 Roma 1 17 | tangu mwanzo mpaka mwisho. Kama ilivyoandikwa: "Mwadilifu*
430 Roma 2 1 | 1 Basi, rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi
431 Roma 2 2 | kwa wale wanaofanya mambo kama hayo ni hukumu ya haki.~
432 Roma 2 3 | unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo bali wewe pia unayafanya,
433 Roma 2 24 | 24 Kama vile Maandiko Matakatifu
434 Roma 2 25 | kwako kutakuwa na maana kama ukiitii Sheria. Lakini kama
435 Roma 2 25 | kama ukiitii Sheria. Lakini kama unaivunja Sheria, basi,
436 Roma 2 26 | 26 Kama mtu wa mataifa mengine ambaye
437 Roma 2 27 | watakuhukumu wewe Myahudi kama ukiivunja Sheria, ingawaje
438 Roma 3 4 | kila binadamu ni mwongo. Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
439 Roma 3 10 | 10 Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
440 Roma 3 13 | 13 Makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa
441 Roma 3 13 | mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka.~
442 Roma 4 2 | 2 Kama Abrahamu alikubaliwa kuwa
443 Roma 4 14 | 14 Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi
444 Roma 4 15 | husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna Sheria, haiwezekani
445 Roma 4 16 | kwa wale waishio kwa imani kama Abrahamu. Yeye ni baba yetu
446 Roma 4 17 | 17 Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
447 Roma 4 18 | amekuwa baba wa mataifa mengi kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
448 Roma 4 18 | Wazao wako watakuwa wengi kama nyota!"~
449 Roma 4 19 | kwamba mwili wake ulikuwa kama umekufa, na pia mkewe, Sara,
450 Roma 5 14 | ambao hawakutenda dhambi kama ile ya Adamu, ya kumwasi
451 Roma 5 15 | tofauti: neema ya Mungu si kama dhambi ya Adamu. Maana,
452 Roma 5 18 | 18 Basi, kama vile kosa la mtu mmoja lilivyoleta
453 Roma 5 19 | 19 Na kama kwa kutotii kwa mtu mmoja
454 Roma 5 21 | 21 Kama vile dhambi ilivyotawala
455 Roma 6 4 | tukazikwa pamoja naye, ili kama vile Kristo alivyofufuliwa
456 Roma 6 5 | 5 Maana, kama sisi tumeungana naye katika
457 Roma 6 5 | tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana
458 Roma 6 5 | kwa kufufuliwa kutoka wafu kama yeye.~
459 Roma 6 11 | mmekufa kuhusu dhambi, lakini kama mnaoishi katika umoja na
460 Roma 6 13 | ninyi wenyewe kwa Mungu kama watu waliofufuliwa kutoka
461 Roma 6 16 | mkijitolea ninyi wenyewe kama watumwa na kumtii fulani,
462 Roma 6 19 | ya udhaifu wenu wenyewe.) Kama vile wakati fulani mlivyojitolea
463 Roma 7 7 | nini hasa kutamani mabaya, kama Sheria isingalikuwa imesema: "
464 Roma 7 20 | 20 Basi, kama ninafanya kinyume cha matakwa
465 Roma 8 10 | 10 Lakini kama Kristo yumo ndani yenu,
466 Roma 8 13 | 13 Kwa maana, kama mkiishi kufuatana na matakwa
467 Roma 8 13 | hakika mtakufa. Lakini, kama kwa njia ya Roho mnayaua
468 Roma 8 18 | huu wa sasa si kitu kamwe kama tukiyafananisha na ule utukufu
469 Roma 8 22 | vyote vinalia kwa maumivu kama ya kujifungua mtoto.~
470 Roma 8 25 | 25 Kama tunakitumaini kile ambacho
471 Roma 8 36 | 36 Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
472 Roma 8 36 | kutwa kucha: tunatendewa kama kondoo wa kuchinjwa."~
473 Roma 9 3 | wangu, walio damu moja nami! Kama ingekuwa kwa faida yao,
474 Roma 9 7 | watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: "
475 Roma 9 13 | 13 Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
476 Roma 9 27 | Israeli anapaaza sauti: "Hata kama watoto wa Israeli ni wengi
477 Roma 9 27 | watoto wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache
478 Roma 9 29 | 29 Ni kama Isaya alivyosema hapo awali: "
479 Roma 9 29 | alivyosema hapo awali: "Kama Bwana Mwenye Nguvu asingalituachia
480 Roma 9 29 | Israeli, tungalikwisha kuwa kama Sodoma, tungalikwisha kuwa
481 Roma 9 33 | 33 kama yesemavyo Maandiko Matakatifu: "
482 Roma 10 9 | 9 Kama ukikiri kwa kinywa chako
483 Roma 10 14 | hawamwamini? Tena, watamwaminije kama hawajapata kusikia habari
484 Roma 10 14 | watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?~
485 Roma 10 15 | 15 Na watu watahubirije kama hawakutumwa? Kama yasemavyo
486 Roma 10 15 | watahubirije kama hawakutumwa? Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: "
487 Roma 10 18 | ujumbe? Naam, waliusikia; kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "
488 Roma 11 6 | sababu ya matendo yao. Maana, kama uteuzi wake ungetegemea
489 Roma 11 8 | 8 kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: "
490 Roma 11 18 | msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna
491 Roma 11 18 | waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni
492 Roma 11 21 | hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani
493 Roma 11 24 | mataifa mengine, kwa asili ni kama tawi la mzeituni mwitu,
494 Roma 11 24 | Lakini, Wayahudi kwa asili ni kama mzeituni bustanini, na itakuwa
495 Roma 11 26 | Israeli litakapookolewa, kama yesemavyo Maandiko Matakatifu: "
496 Roma 11 33 | na njia zake hazieleweki! Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu:~
497 Roma 12 1 | jitoleeni nafsi zenu kwa Mungu kama tambiko iliyo hai, takatifu
498 Roma 12 20 | utamfanya apate aibu kali kama makaa ya moto juu ya kichwa
499 Roma 13 9 | moja: "Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."~
500 Roma 13 13 | Mwenendo wetu uwe wa adabu kama inavyostahili wakati wa
1-500 | 501-1000 | 1001-1086 |