Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 11 | wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: dhahabu, ubani na manemane.
2 Matt 23 18 | kitu; lakini akiapa ~kwa zawadi iliyowekwa juu ya madhabahu,
3 Matt 23 19 | kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au ~madhabahu ambayo hufanya
4 Matt 23 19 | madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu? ~
5 Mark 7 11 | hicho ni Korbani (yaani ni zawadi kwa Mungu),~
6 John 4 10 | akamjibu, "Kama tu ungalijua zawadi ya Mungu na ni nani anayekwambia: `
7 Acts 1 4 | Yerusalemu, bali ngojeeni ile zawadi aliyoahidi Baba, zawadi
8 Acts 1 4 | zawadi aliyoahidi Baba, zawadi ambayo mlikwisha nisikia
9 Acts 2 33 | akapokea kutoka kwa Baba ile zawadi aliyoahidi yaani Roho Mtakatifu;
10 Acts 2 38 | dhambi zenu na kupokea ile zawadi ya Roho Mtakatifu.~
11 Acts 10 45 | kuwa Mungu aliwamiminia zawadi ya Roho Mtakatifu watu wa
12 Acts 11 17 | watu wa mataifa mengine zawadi ileile aliyotupa sisi tulipomwamini
13 Acts 28 10 | 10 Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza
14 Roma 1 11 | kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.~
15 Roma 3 24 | 24 Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu
16 Roma 4 4 | mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.~
17 Roma 5 15 | amewazidishia wote neema na zawadi zake.~
18 Roma 5 16 | 16 Kuna tofauti baina ya zawadi ya Mungu, na dhambi ya mtu
19 Roma 5 16 | watu wengi, Mungu aliwapa zawadi yake kwa kuwasamehe.~
20 Roma 5 17 | Wote wanaopokea neema na zawadi hiyo ya kukubaliwa kuwa
21 Roma 6 23 | wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa Mungu ni uzima
22 Roma 8 23 | Roho, aliye wa kwanza wa zawadi za Mungu; sisi pia tunalalamika
23 Roma 11 29 | Maana Mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti
24 1Cor 9 24 | mmoja tu anayejinyakulia zawadi?~
25 1Cor 16 3 | mwenu wapeleke barua na zawadi zenu Yerusalemu.~
26 2Cor 8 20 | kuhusu usimamizi wetu juu ya zawadi hii karimu.~
27 2Cor 9 5 | kwenu, wapate kuweka tayari zawadi yenu kubwa mliyoahidi; nayo
28 2Cor 9 5 | ionyeshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa kwa hiari na
29 2Cor 9 11 | kumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi zenu wanazozipokea kwa mikono
30 2Cor 9 15 | Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani!~ ~~ ~
31 Ephe 1 3 | ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.~
32 Ephe 1 18 | alilowaitieni na utukufu mkuu wa zawadi alizowawekea watu wake,~
33 Ephe 2 8 | ya juhudi zenu, bali ni zawadi ya Mungu.~
34 Ephe 4 8 | alichukua mateka; aliwapa watu zawadi."~
35 Ephe 4 11 | 11 Ndiye aliyewapa watu zawadi: wengine aliwajalia wawe
36 2Tim 2 5 | hawezi kushinda na kupata zawadi ya ushindi kama asipozitii
37 Hebr 5 1 | Mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya
38 Hebr 6 4 | wa Mungu, walikwisha onja zawadi ya mbinguni na kushirikishwa
39 Hebr 9 9 | sasa. Linaonyesha kwamba zawadi na dhabihu zinazotolewa
40 James 1 17| Kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni;
41 1Pet 3 7 | pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni Mungu.
42 1Pet 4 10 | kama vile uwakili mwema wa zawadi mbalimbali za Mungu.~
43 2Pet 1 4 | Kwa namna hiyo ametujalia zawadi kuu na za thamani ambazo
44 2Pet 1 4 | ambazo alituahidia, ili kwa zawadi hizo mpate kuziepa kabisa
45 Rev 11 10 | Watafanya sherehe na kupelekeana zawadi maana manabii hawa wawili
|