Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
ulikotaka 1
ulikusanyika 1
ulikusudia 1
ulikuwa 45
uliloitiwa 1
ulilokabidhiwa 1
ulilokuwa 1
Frequency    [«  »]
45 kitabu
45 mbona
45 mchana
45 ulikuwa
45 wakaanza
45 wakamjibu
45 wazi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ulikuwa

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 11| Yekonia na ndugu zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa 2 Matt 14 24| inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.~ 3 Matt 26 69| akamwendea, akasema, "Wewe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya."~ 4 Mark 3 32| 32 Umati wa watu ulikuwa umekaa hapo kumzunguka. 5 Mark 6 48| kupiga makasia, maana upepo ulikuwa unawapinga. Karibu na mapambazuko, 6 Mark 11 13| Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. Alipoufikia, 7 Mark 12 12| walifahamu ya kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu. Kwa hiyo walijaribu 8 Mark 12 37| atakuwaje mwanae?" Umati wa watu ulikuwa ukimsikiliza kwa furaha.~ 9 Mark 14 67| akamwambia, "Hata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti."~ 10 Mark 15 26| 26 Na mshtaka wake ulikuwa umeandikwa: "Mfalme wa Wayahudi."~ 11 Mark 15 42| 42 Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa 12 Luke 6 6 | ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.~ 13 Luke 13 11| sababu hiyo, mwili wake ulikuwa umepindika vibaya hata asiweze 14 Luke 20 19| walifahamu kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu, na hivyo walitaka 15 Luke 22 55| 55 Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, 16 John 1 4 | chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu.~ 17 John 6 18| kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.~ 18 John 10 22| ya Kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.~ 19 Acts 4 3 | nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka chini 20 Acts 19 4 | akasema, "Ubatizo wa Yohane ulikuwa wa kuonyesha kwamba watu 21 Acts 27 4 | safari, lakini kwa kuwa upepo ulikuwa unavuma kwa kasi kutujia 22 Acts 27 7 | na Nido. Kwa sababu upepo ulikuwa bado unatupinga, tuliendelea 23 Acts 27 9 | 9 Muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya 24 Roma 4 19| alijua kwamba mwili wake ulikuwa kama umekufa, na pia mkewe, 25 Roma 11 25| sana. Ukaidi wa Wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka watu 26 1Cor 7 21| 21 Je, wewe ulikuwa mtumwa wakati ulipoitwa? 27 1Cor 10 4 | uliowafuata; mwamba huo ulikuwa Kristo mwenyewe.~ 28 2Cor 3 7 | umekuwa kifo, utukufu wake ulikuwa mkuu mno hata wana wa Israeli 29 2Cor 3 7 | ao wake. Tena mng`ao huo ulikuwa wa muda tu. Basi, ikiwa 30 Gala 5 7 | 7 Mwenendo wenu ulikuwa mzuri! Nani, basi aliyewazuia 31 1The 1 5 | hakika kwamba ujumbe huo ulikuwa wa kweli. Mnajua jinsi tulivyoishi 32 1Tim 2 6 | kuwakomboa watu wote. Huo ulikuwa uthibitisho, wakati ufaao 33 2Pet 2 8 | kwa siku nyingi moyo wake ulikuwa katika wasiwasi mkuu aliposikia 34 Rev 4 3 | jekundu. Upinde wa mvua ulikuwa unang`aa kama zumaridi na 35 Rev 10 1 | kichwani mwake. Uso wake ulikuwa kama jua, na miguu yake 36 Rev 21 2 | kutoka kwa Mungu mbinguni. Ulikuwa umetayarishwa vizuri kama 37 Rev 21 11 | wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani 38 Rev 21 12 | 12 Ulikuwa na ukuta mrefu na mkubwa, 39 Rev 21 13 | 13 Kila upande ulikuwa na milango mitatu: upande 40 Rev 21 16 | 16 Mji wenyewe ulikuwa wa mraba, upana na urefu 41 Rev 21 16 | mji huo kwa kijiti chake: ulikuwa na urefu, upana na urefu 42 Rev 21 17 | akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita sitini kwa kipimo cha 43 Rev 21 18 | 18 Ukuta huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu 44 Rev 21 18 | thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu safi, 45 Rev 21 21 | kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja.


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License