Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
kale 25
kali 24
kalkedoni 1
kama 1086
kamba 9
kambi 3
kamili 28
Frequency    [«  »]
1234 lakini
1170 katika
1087 mtu
1086 kama
1007 basi
914 yake
865 maana

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

kama

1-500 | 501-1000 | 1001-1086

     Book, Chapter, Verse
501 Roma 14 8 | kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi 502 Roma 14 11 | Maana Maandiko yanasema: "Kama niishivyo, asema Bwana kila 503 Roma 14 15 | 15 Kama ukimhuzunisha ndugu yako 504 Roma 14 23 | anachokula, anahukumiwa kama akila, kwa sababu msimamo 505 Roma 15 3 | hakujipendelea mwenyewe; ila alikuwa kama yasemavyo Maandiko: "Kashfa 506 Roma 15 7 | ajili ya utukufu wa Mungu kama naye Kristo alivyowakaribisheni.~ 507 Roma 15 9 | kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 508 Roma 15 21 | 21 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 509 Roma 16 2 | Mpokeeni kwa ajili ya Bwana kama iwapasavyo watu wa Mungu. 510 1Cor 1 16 | lakini zaidi ya hawa, sidhani kama nilimbatiza mtu mwingine 511 1Cor 1 31 | 31 Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 512 1Cor 2 9 | 9 Lakini, ni kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 513 1Cor 3 1 | mimi sikuweza kusema nanyi kama watu mlio na huyo Roho. 514 1Cor 3 1 | Nilipaswa kusema nanyi kama watu wa kidunia, kama watoto 515 1Cor 3 1 | nanyi kama watu wa kidunia, kama watoto wachanga katika maisha 516 1Cor 3 4 | haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?~ 517 1Cor 3 10 | aliyonipa Mungu, nimefaulu, kama mwashi stadi mwenye busara, 518 1Cor 3 15 | 15 lakini kama alichojenga kitaunguzwa, 519 1Cor 4 9 | tuwe watu wa mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kuuawa, 520 1Cor 4 13 | Mpaka sasa tumetendewa kama uchafu wa dunia; na kwa 521 1Cor 4 15 | 15 Maana hata kama mnao maelfu ya walezi katika 522 1Cor 5 3 | pamoja nanyi: na hivyo, kama vile nipo hapo, nimekwisha 523 1Cor 5 7 | jipya lisilotiwa chachu kama mnavyopaswa kuwa; maana, 524 1Cor 6 16 | 16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na 525 1Cor 6 16 | huwa mwili mmoja naye - kama ilivyoandikwa: "Nao wawili 526 1Cor 7 1 | mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;~ 527 1Cor 7 5 | Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo 528 1Cor 7 7 | Ningependa watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila 529 1Cor 7 8 | kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.~ 530 1Cor 7 9 | 9 Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia basi, 531 1Cor 7 11 | 11 lakini kama akiachana naye, basi abaki 532 1Cor 7 13 | 13 Na, kama mwanamke Mkristo anaye mume 533 1Cor 7 17 | alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. Hili 534 1Cor 7 18 | 18 Kama mtu aliitwa akiwa ametahiriwa, 535 1Cor 7 18 | kwamba hakutahiriwa; na kama alipoitwa hakuwa ametahiriwa, 536 1Cor 7 20 | Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa.~ 537 1Cor 7 24 | basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.~ 538 1Cor 7 26 | nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.~ 539 1Cor 7 29 | sasa wale waliooa na waishi kama vile hawakuoa;~ 540 1Cor 7 30 | 30 wenye kulia wawe kama hawalii, na wenye kufurahi 541 1Cor 7 30 | na wenye kufurahi wawe kama hawafurahi; wanaonunua wawe 542 1Cor 7 30 | hawafurahi; wanaonunua wawe kama hawana kitu;~ 543 1Cor 7 31 | shughuli na dunia hii wawe kama vile hawana shughuli sana 544 1Cor 7 31 | nayo. Maana ulimwengu huu, kama tuujuavyo, unapita.~ 545 1Cor 7 36 | 36 Kama mtu anaona kwamba hamtendei 546 1Cor 7 36 | mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, 547 1Cor 7 37 | 37 Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa 548 1Cor 7 37 | hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa 549 1Cor 7 40 | mimi, atakuwa na heri zaidi kama akibaki hivyo alivyo. Hayo 550 1Cor 8 2 | kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.~ 551 1Cor 8 5 | 5 Hata kama viko vitu viitwavyo miungu 552 1Cor 8 5 | duniani au mbinguni, na hata kama wako miungu na mabwana wengi,~ 553 1Cor 8 7 | wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa 554 1Cor 8 12 | 12 Kama mkiwakosesha ndugu zenu 555 1Cor 9 2 | 2 Hata kama kwa watu wengine mimi si 556 1Cor 9 5 | Mkristo katika ziara zetu, kama vile wafanyavyo mitume wengine, 557 1Cor 9 16 | nililopewa. Na, ole wangu kama sitaihubiri Habari Njema!~ 558 1Cor 9 20 | 20 Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili niwapate Wayahudi; 559 1Cor 9 21 | walio nje ya Sheria, naishi kama wao, nje ya Sheria, ili 560 1Cor 9 26 | ndivyo ninavyopigana, na si kama bondia anayetupa ngumi zake 561 1Cor 10 6 | yanatuonya sisi tusitamani ubaya kama wao walivyotamani.~ 562 1Cor 10 7 | 7 Msiwe waabudu sanamu kama baadhi yao walivyokuwa; 563 1Cor 10 7 | baadhi yao walivyokuwa; kama yasemavyo Maandiko: "Watu 564 1Cor 10 8 | 8 Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, 565 1Cor 10 9 | 9 Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, 566 1Cor 10 10 | 10 Wala msinung`unike kama baadhi yao walivyonung`unika, 567 1Cor 10 27 | 27 Kama mtu ambaye si muumini akiwaalikeni 568 1Cor 10 33 | 33 Muwe kama mimi; najaribu kuwapendeza 569 1Cor 11 1 | 1 Niigeni mimi kama ninavyomwiga Kristo.~ 570 1Cor 11 12 | 12 Kama vile mwanamke alivyotokana 571 1Cor 11 16 | 16 Kama mtu anataka kuleta ubishi 572 1Cor 11 31 | 31 Kama tungejichunguza wenyewe 573 1Cor 11 34 | 34 Na kama kuna yeyote aliye na njaa, 574 1Cor 12 11 | kila mtu kipaji tofauti, kama apendavyo mwenyewe.~ 575 1Cor 12 12 | 12 Kama vile mwili ulivyo mmoja 576 1Cor 12 15 | 15 Kama mguu ungejisemea: "Kwa kuwa 577 1Cor 12 16 | 16 Kama sikio lingejisemea: "Kwa 578 1Cor 12 17 | 17 Kama mwili wote ungekuwa jicho, 579 1Cor 12 17 | sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, 580 1Cor 12 18 | 18 Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga 581 1Cor 12 18 | hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.~ 582 1Cor 12 19 | 19 Kama sehemu zote zingekuwa kiungo 583 1Cor 12 26 | 26 Kama kiungo kimoja kinaumia viungo 584 1Cor 13 1 | 1 Hata kama nikinena lugha za watu na 585 1Cor 13 1 | hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa 586 1Cor 13 1 | upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele.~ 587 1Cor 13 2 | kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu.~ 588 1Cor 13 3 | nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai 589 1Cor 13 8 | Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza 590 1Cor 13 8 | hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha 591 1Cor 13 8 | kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.~ 592 1Cor 13 12 | 12 Tunachoona sasa ni kama tu sura hafifu katika kioo, 593 1Cor 13 12 | nitajua yote kikamilifu, kama vile Mungu anavyonijua mimi.~ 594 1Cor 14 5 | lugha ngeni, isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua 595 1Cor 14 6 | 6 Hivyo, ndugu zangu, kama nikija kwenu na kusema nanyi 596 1Cor 14 6 | Haitawafaa chochote, isipokuwa tu kama nitawaelezeni ufunuo wa 597 1Cor 14 7 | uhai vyenye kutoa sauti kama vile filimbi au kinanda. 598 1Cor 14 7 | kuutambua wimbo unaochezwa kama vyombo hivyo havitoi sauti 599 1Cor 14 9 | Hali kadhalika na ninyi, kama ulimi wenu hausemi kitu 600 1Cor 14 16 | shukrani kwa kusema: "Amina," kama haelewi unachosema?~ 601 1Cor 14 20 | 20 Ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. 602 1Cor 14 20 | fikira zenu. Kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga lakini katika 603 1Cor 14 20 | kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.~ 604 1Cor 14 23 | kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au 605 1Cor 14 28 | 28 Lakini kama hakuna awezaye kufafanua, 606 1Cor 14 34 | 34 Kama ilivyo desturi katika makanisa 607 1Cor 14 34 | ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo Sheria.~ 608 1Cor 14 37 | 37 Kama mtu yeyote anadhani kwamba 609 1Cor 15 2 | maneno niliyowahubirieni, na kama kuamini kwenu hakukuwa bure.~ 610 1Cor 15 4 | akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;~ 611 1Cor 15 8 | hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya 612 1Cor 15 10 | neema yake Mungu, nimekuwa kama nilivyo. Na neema yake kwangu 613 1Cor 15 13 | 13 Kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, 614 1Cor 15 14 | 14 na kama Kristo hakufufuka, basi 615 1Cor 15 15 | kumbe yeye hakumfufua - kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.~ 616 1Cor 15 17 | 17 Na kama Kristo hakufufuliwa, basi, 617 1Cor 15 19 | 19 Kama matumaini yetu katika Kristo 618 1Cor 15 21 | 21 Maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani 619 1Cor 15 22 | 22 Kama vile watu wote wanavyokufa 620 1Cor 15 29 | 29 Kama hakuna ufufuo, je watu wale 621 1Cor 15 29 | wanatumainia kupata nini? Kama wafu hawafufuliwi, ya nini 622 1Cor 15 32 | 32 Kama kusudi langu lingalikuwa 623 1Cor 15 32 | kungalinifaa kitu gani? Kama wafu hawafufuki, basi, " 624 1Cor 15 42 | ilivyo kuhusu ufufuo wa wafu. Kama vile mbegu, mwili huzikwa 625 1Cor 15 48 | Wote walio wa dunia wako kama huyo mtu aliyeumbwa kwa 626 1Cor 15 48 | wale walio wa mbinguni wako kama yule aliyetoka mbinguni.~ 627 1Cor 15 49 | 49 Kama vile tulivyofanana na yule 628 1Cor 16 1 | ya watu wa Mungu: fanyeni kama nilivyoyaagiza makanisa 629 1Cor 16 4 | 4 Kama itafaa nami niende, basi, 630 1Cor 16 10 | kwani anafanya kazi ya Bwana kama mimi.~ 631 1Cor 16 16 | muufuate uongozi wa watu kama hao, na uongozi wa kila 632 2Cor 1 9 | 9 Naam, tulikuwa kama watu waliohukumiwa kuuawa, 633 2Cor 1 14 | mtaweza kutuonea sisi fahari kama nasi tunavyowaonea ninyi 634 2Cor 1 17 | nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu asiye na msimamo? Je, 635 2Cor 1 22 | kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo 636 2Cor 2 9 | barua yalikuwa kutaka kujua kama mko tayari kutii katika 637 2Cor 2 10 | ninamsamehe. Maana ninaposamehe - kama kweli ninacho cha kusamehe - 638 2Cor 2 14 | tuueneze ukweli wa Kristo kama harufu nzuri, kila mahali.~ 639 2Cor 2 15 | 15 Maana sisi ni kama harufu nzuri ya ubani ambayo 640 2Cor 2 17 | 17 Sisi si kama wengine ambao hufanya biashara 641 2Cor 2 17 | kwa unyofu mbele ya Mungu, kama watu tuliotumwa na Mungu, 642 2Cor 3 1 | kwenu, au kutoka kwenu, kama watu wengine?~ 643 2Cor 3 13 | 13 Sisi hatufanyi kama Mose ambaye alilazimika 644 2Cor 3 18 | hazikufunikwa, twaonyesha kama katika kioo, utukufu wa 645 2Cor 4 3 | 3 Maana, kama Habari Njema tunayohubiri 646 2Cor 4 7 | tulio na hazina hii tuko tu kama vyombo vya udongo, ili ionekane 647 2Cor 4 15 | haya ni kwa faida yenu; ili kama vile neema ya Mungu inavyoenea 648 2Cor 4 16 | hiyo hatufi moyo; na hata kama maumbile yetu ya nje yataoza, 649 2Cor 5 16 | yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima 650 2Cor 6 9 | 9 kama wasiojulikana, kumbe twajulikana 651 2Cor 6 9 | kumbe twajulikana kwa wote, kama waliokufa, lakini mwonavyo, 652 2Cor 6 12 | 12 Kama mnaona kuna kizuizi chochote 653 2Cor 6 13 | 13 Sasa nasema nanyi kama watoto wangu, wekeni mioyo 654 2Cor 6 13 | wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.~ 655 2Cor 6 16 | hekalu la Mungu aliye hai. Kama Mungu mwenyewe alivyosema: " 656 2Cor 7 3 | ya kumhukumu mtu; maana, kama nilivyokwisha sema, ninyi 657 2Cor 7 8 | 8 Maana, hata kama kwa barua ile yangu nimewahuzunisha, 658 2Cor 8 11 | kamilisheni shughuli hiyo; na kama vile mlivyokuwa na hamu 659 2Cor 8 15 | 15 Kama Maandiko yasemavyo: "Aliyekusanya 660 2Cor 9 3 | tayari kabisa na msaada wenu kama nilivyosema.~ 661 2Cor 9 9 | 9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 662 2Cor 10 7 | kwamba sisi pia ni wa Kristo kama yeye alivyo wa Kristo.~ 663 2Cor 10 8 | 8 Hata kama nimezidi katika kujivuna 664 2Cor 10 10 | anapoongea maneno yake ni kama si kitu."~ 665 2Cor 10 17 | 17 Lakini kama yasemavyo Maandiko: "Mwenye 666 2Cor 11 1 | mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga kiasi fulani! 667 2Cor 11 2 | wa Mungu; maana ninyi ni kama bikira safi niliyemposa 668 2Cor 11 3 | 3 Lakini naogopa kwamba, kama vile yule nyoka kwa hila 669 2Cor 11 12 | 12 Nitaendelea kufanya kama ninavyofanya sasa, ili nisiwape 670 2Cor 11 12 | kwamba eti wanafanya kazi kama sisi.~ 671 2Cor 11 16 | asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama mkifikiri hivyo, basi, nichukueni 672 2Cor 11 16 | hivyo, basi, nichukueni kama mpumbavu ili nami nipate 673 2Cor 11 17 | hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu.~ 674 2Cor 11 21 | dhaifu. Iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu 675 2Cor 11 21 | kujivunia kitu - nasema kama mtu mpumbavu - mimi nathubutu 676 2Cor 11 29 | 29 Kama mtu yeyote ni dhaifu, nami 677 2Cor 12 2 | katika mbingu ya tatu. (Sijui kama alikuwa huko kwa mwili au 678 2Cor 12 3 | mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au 679 2Cor 12 6 | 6 Kama ningetaka kujivuna singekuwa 680 2Cor 12 7 | nilipewa maumivu mwilini kama mwiba, mjumbe wa Shetani 681 2Cor 12 11 | 11 Nimekuwa kama mpumbavu, lakini, ninyi 682 2Cor 13 2 | 2 Nilikwisha sema, na kama ilivyokuwa safari ya pili, 683 2Cor 13 4 | 4 Maana hata kama alisulubiwa kwa sababu ya 684 2Cor 13 5 | ninyi wenyewe mpate kujua kama kweli mnayo imani. Jichunguzeni 685 2Cor 13 5 | Kristo Yesu yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi ninyi mmeshindwa.~ 686 2Cor 13 7 | lakini si kusudi tuonekane kama watu waliokwisha faulu, 687 2Cor 13 7 | mpate kutenda mema, hata kama sisi tunaonekana kuwa tumeshindwa.~ 688 Gala 1 8 | 8 Lakini, hata kama mmoja wetu au malaika kutoka 689 Gala 1 9 | sema, na sasa nasema tena: kama mtu yeyote anawahubirieni 690 Gala 1 10 | nataka kuwapendeza watu? Kama ningefanya hivyo, mimi singekuwa 691 Gala 2 6 | wanaosemekana kuwa ni viongozi - kama kweli walikuwa hivyo au 692 Gala 2 6 | katika Habari hii Njema kama niihubirivyo.~ 693 Gala 2 7 | watu wa mataifa mengine kama vile Petro alivyokuwa ametumwa 694 Gala 2 14 | wewe ni Myahudi, unaishi kama watu wa mataifa mengine 695 Gala 2 14 | wa mataifa mengine na si kama Myahudi! Unawezaje, basi 696 Gala 2 14 | wa mataifa mengine kuishi kama Wayahudi?"~ 697 Gala 2 21 | kuikataa neema ya Mungu. Kama mtu huweza kukubaliwa kuwa 698 Gala 3 18 | 18 Maana, kama urithi ya Mungu inategemea 699 Gala 3 21 | Mungu? Hata kidogo! Maana, kama kungalitolewa sheria ambayo 700 Gala 3 24 | Basi, hiyo Sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja 701 Gala 3 27 | mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.~ 702 Gala 4 12 | 12 Ndugu, nawasihi muwe kama mimi, kwa vile hata mimi 703 Gala 4 12 | vile hata mimi nimekuwa kama ninyi. Hamkunitendea ubaya 704 Gala 4 14 | hivyo; lakini mlinipokea kama malaika wa Mungu, kama vile 705 Gala 4 14 | mlinipokea kama malaika wa Mungu, kama vile ningekuwa Kristo Yesu 706 Gala 4 19 | 19 Watoto wangu, kama vile mama mja mzito anavyotaabika 707 Gala 4 23 | mwanamke mtumwa alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa 708 Gala 4 28 | Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka.~ 709 Gala 4 29 | 29 Lakini kama vile siku zile yule mtoto 710 Gala 5 2 | Paulo ninayesema nanyi! Kama mkikubali kutahiriwa, Kristo 711 Gala 5 4 | 4 Kama mnatazamia kukubaliwa kuwa 712 Gala 5 11 | upande wangu, ndugu zangu, kama bado ninahubiri kwamba kutahiriwa 713 Gala 5 11 | basi, bado ninadhulumiwa? Kama ingalikuwa hivyo, mahubiri 714 Gala 5 14 | moja: "Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."~ 715 Gala 5 15 | ikiwa mtaumana na kutafunana kama wanyama, jihadharini msije 716 Gala 5 18 | 18 Kama mkiongozwa na Roho, basi, 717 Gala 5 21 | ulafi na mambo mengine kama hayo. Nawaambieni tena kama 718 Gala 5 21 | kama hayo. Nawaambieni tena kama nilivyokwisha sema: watu 719 Gala 6 1 | 1 Ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, 720 Ephe 1 5 | tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya 721 Ephe 2 3 | hata sisi sote tulikuwa kama wao; tuliishi kufuatana 722 Ephe 2 3 | akili zetu. Kidunia, sisi kama vile pia wao, tulistahili 723 Ephe 4 4 | mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile tumaini mliloitiwa 724 Ephe 4 8 | 8 Kama yasemavyo Maandiko: "Alipopaa 725 Ephe 4 14 | 14 Basi, hatutakuwa tena kama watoto, tukitupwa na kupeperushwa 726 Ephe 4 17 | nawaonyeni: msiishi tena kama watu wasiomjua Mungu, ambao 727 Ephe 4 26 | 26 Kama mkikasirika, msikubali hasira 728 Ephe 4 32 | mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe 729 Ephe 5 2 | Upendo uongoze maisha yenu, kama vile Kristo alivyotupenda, 730 Ephe 5 2 | ajili yetu akajitoa mwenyewe kama dhabihu yenye harufu nzuri 731 Ephe 5 6 | maana, kwa sababu ya mambo kama hayo ghadhabu ya Mungu huwajia 732 Ephe 5 8 | kuungana na Bwana. Ishini kama watoto wa mwanga:~ 733 Ephe 5 15 | jinsi mnavyoishi: Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye 734 Ephe 5 15 | Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima.~ 735 Ephe 5 22 | 22 Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana.~ 736 Ephe 5 23 | anayo mamlaka juu ya mkewe, kama vile Kristo alivyo na mamlaka 737 Ephe 5 24 | 24 Kama vile kanisa linavyomtii 738 Ephe 5 25 | waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, 739 Ephe 5 28 | wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. ((~ 740 Ephe 5 31 | 31 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 741 Ephe 5 33 | mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye 742 Ephe 6 6 | bali tumikieni kwa moyo kama atakavyo Mungu kwa sababu 743 Ephe 6 9 | Kumbukeni kwamba ninyi pia kama vile wao, mnaye Bwana yuleyule 744 Ephe 6 14 | simameni imara! Ukweli uwe kama ukanda kiunoni mwenu, uadilifu 745 Ephe 6 14 | kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani,~ 746 Ephe 6 15 | Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.~ 747 Ephe 6 16 | hayo yote, imani iwe daima kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe 748 Ephe 6 17 | 17 Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na 749 Ephe 6 17 | chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho 750 Ephe 6 20 | hodari katika kuitangaza kama inipasavyo.~ 751 Colo 1 6 | kuenea ulimwenguni kote kama vile ilivyofanya kwenu ninyi 752 Colo 1 10 | 10 Hapo mtaweza kuishi kama anavyotaka Bwana na kutenda 753 Colo 2 4 | kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.~ 754 Colo 2 7 | imara katika imani yenu kama mlivyofundishwa. Muwe na 755 Colo 2 15 | hadharani kwa kuwaburuta kama mateka katika msafara wa 756 Colo 2 19 | mishipa yake, nao hukua kama atakavyo Mungu.~ 757 Colo 2 20 | nini, basi, kuishi tena kama vile mngekuwa wa ulimwengu 758 Colo 3 13 | mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe ninyi.~ 759 Colo 4 4 | ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna 760 1The 2 4 | 4 Sisi twanena daima kama atakavyo Mungu kwani yeye 761 1The 2 7 | tulikuwa Wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.~ 762 1The 2 11 | tulimtendea kila mmoja wenu kama vile baba anavyowatendea 763 1The 2 13 | mliusikia mkaupokea, si kama vile ujumbe wa binadamu, 764 1The 2 13 | ujumbe wa binadamu, bali kama ujumbe wa Mungu, na kweli 765 1The 2 14 | mlidhulumiwa na wananchi wenzenu kama vile wao walivyodhulumiwa 766 1The 3 4 | tuliwaambieni kwamba tutateswa; na kama mjuavyo ndivyo ilivyotukia.~ 767 1The 3 6 | mna hamu ya kutuona sisi kama nasi tulivyo na hamu ya 768 1The 3 12 | watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda 769 1The 4 5 | 5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine 770 1The 4 11 | kwa mikono yake mwenyewe kama tulivyowaagiza pale awali.~ 771 1The 4 13 | ili msipatwe na huzuni kama watu wengine wasio na matumaini.~ 772 1The 5 2 | kwamba Siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajavyo usiku.~ 773 1The 5 3 | Mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia 774 1The 5 4 | haipaswi kuwajieni ghafla kama vile mwizi.~ 775 1The 5 6 | Basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha 776 1The 5 8 | Tunapaswa kuvaa imani na upendo kama vazi la kujikinga kifuani, 777 1The 5 8 | na tumaini letu la wokovu kama kofia ya chuma.~ 778 1The 5 11 | kusaidiana ninyi kwa ninyi kama mnavyofanya sasa.~ 779 2The 3 1 | na kupokelewa kwa heshima kama vile ulivyo kati yenu.~ 780 2The 3 15 | Lakini msimtendee mtu huyo kama adui, bali mwonyeni kama 781 2The 3 15 | kama adui, bali mwonyeni kama ndugu.~ 782 1Tim 1 3 | Napenda ukae huko Efeso, kama nilivyokuomba nilipokuwa 783 1Tim 1 8 | kwamba Sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.~ 784 1Tim 1 16 | uvumilivu wake wote kwangu mimi, kama mfano kwa wale wote ambao 785 1Tim 2 10 | 10 bali kwa matendo mema kama iwapasavyo wanawake wamchao 786 1Tim 2 15 | ataokolewa kwa kupata watoto, kama akidumu katika imani, upendo, 787 1Tim 3 5 | 5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema 788 1Tim 3 6 | akajaa majivuno na kuhukumiwa kama vile Ibilisi alivyohukumiwa.~ 789 1Tim 3 15 | 15 Lakini kama nikicheleweshwa, basi, barua 790 1Tim 4 2 | ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha 791 1Tim 4 6 | 6 Kama ukiwapa ndugu wote maagizo 792 1Tim 5 1 | Usimkemee mtu mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. 793 1Tim 5 1 | baba yako. Watendee vijana kama ndugu zako,~ 794 1Tim 5 2 | 2 wanawake wazee kama mama yako, na wasichana 795 1Tim 5 2 | mama yako, na wasichana kama dada zako, kwa usafi wote.~ 796 1Tim 5 8 | 8 Lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa 797 1Tim 5 11 | Usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi 798 1Tim 5 13 | 13 Wajane kama hao huanza kupoteza wakati 799 1Tim 5 16 | 16 Lakini kama mama Mkristo anao wajane 800 1Tim 6 8 | 8 Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, 801 2Tim 1 3 | ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; 802 2Tim 1 15 | 15 Kama unavyojua, watu wote mkoani 803 2Tim 2 3 | 3 Shiriki katika mateso kama askari mwaminifu wa Kristo 804 2Tim 2 5 | kupata zawadi ya ushindi kama asipozitii sheria za michezo.~ 805 2Tim 2 8 | aliyekuwa wa ukoo wa Daudi, kama isemavyo Habari Njema ninayoihubiri.~ 806 2Tim 2 9 | na nimefungwa minyororo kama mhalifu. Lakini neno la 807 2Tim 2 15 | kibali kamili mbele ya Mungu kama mfanyakazi ambaye haoni 808 2Tim 2 17 | Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. 809 2Tim 2 21 | 21 Basi, kama mtu atajitakasa kwa kujitenga 810 2Tim 3 5 | 5 Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, 811 2Tim 3 8 | Watu hao huupinga ukweli kama vile Yane na Yambre walivyompinga 812 2Tim 4 17 | nikaokolewa katika hukumu ya kifo kama kinywani mwa simba.~ 813 Titus 1 9 | ujumbe ule wa kuaminika kama unavyofundishwa. Ndivyo 814 Titus 1 12| husema uongo daima; ni kama wanyama wabaya, walafi na 815 Titus 1 16| 16 Watu kama hao hujidai kwamba wanamjua 816 Phil 1 12 | namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.~ 817 Phil 1 16 | kwako atakuwa wa maana zaidi kama mtumwa na kama ndugu katika 818 Phil 1 16 | maana zaidi kama mtumwa na kama ndugu katika Bwana.~ 819 Phil 1 17 | kuwa mwenzako, mpokee tena kama vile ungenipokea mimi mwenyewe.~ 820 Phil 1 18 | 18 Kama alikuwa amekukosea kitu, 821 Phil 1 20 | Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.~ 822 Hebr 1 4 | mkuu zaidi kuliko malaika, kama vile jina alilopewa na Mungu 823 Hebr 1 11 | wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.~ 824 Hebr 1 12 | 12 Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa 825 Hebr 1 12 | koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule 826 Hebr 2 2 | au hakuutii aliadhibiwa kama alivyostahili.~ 827 Hebr 2 3 | 3 Basi, sisi tutaokokaje kama hatuujali wokovu mkuu kama 828 Hebr 2 3 | kama hatuujali wokovu mkuu kama huu? Kwanza Bwana mwenyewe 829 Hebr 2 12 | 12 kama asemavyo: "Ee Mungu, nitawatangazia 830 Hebr 2 14 | Basi, kwa vile watoto hao, kama awaitavyo, ni watu wenye 831 Hebr 2 14 | damu, Yesu mwenyewe akawa kama wao na kushiriki ubinadamu 832 Hebr 2 16 | kuwasaidia malaika, bali kama yasemavyo Maandiko; "Anawasaidia 833 Hebr 2 17 | Ndiyo maana ilimbidi awe kama ndugu zake kwa kila namna, 834 Hebr 3 2 | aliyemteua kufanya kazi yake kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu 835 Hebr 3 5 | katika nyumba yote ya Bwana kama mtumishi, na alinena juu 836 Hebr 3 6 | Lakini Kristo ni mwaminifu kama Mwana mwenye mamlaka juu 837 Hebr 3 6 | Mungu. Sisi ni nyumba yake kama tukizingatia uhodari wetu 838 Hebr 3 7 | 7 Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: " 839 Hebr 3 7 | asemavyo Roho Mtakatifu: "Kama mkisikia sauti ya Mungu 840 Hebr 3 8 | msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati 841 Hebr 3 8 | wakati walipomwasi Mungu; kama walivyokuwa siku ile kule 842 Hebr 3 15 | 15 Maandiko yasema hivi: "Kama mkisikia sauti ya Mungu 843 Hebr 3 15 | msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati 844 Hebr 4 2 | Njema imehubiriwa kwetu kama vile ilivyohubiriwa kwa 845 Hebr 4 3 | pumziko hilo aliloahidi Mungu. Kama alivyosema: "Nilikasirika, 846 Hebr 4 7 | Maandiko yaliyokwisha tajwa: "Kama mkisikia sauti ya Mungu 847 Hebr 4 8 | 8 Kama Yoshua angaliwapa watu hao 848 Hebr 4 9 | pumziko kwa watu wa Mungu kama kule kupumzika kwake Mungu 849 Hebr 4 10 | atapumzika baada ya kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika 850 Hebr 4 11 | miongoni mwenu atakayeshindwa, kama walivyofanya wao kwa sababu 851 Hebr 4 15 | Mkuu ambaye alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini 852 Hebr 5 4 | na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni.~ 853 Hebr 6 1 | yale mafundisho ya mwanzo kama vile kuachana na matendo 854 Hebr 6 8 | 8 Lakini kama ardhi hiyo ikiota miti ya 855 Hebr 6 12 | Msiwe wavivu, bali muwe kama wale wanaoamini na wenye 856 Hebr 6 19 | 19 Tunalo tumaini hilo kama nanga ya maisha yetu. Tumaini 857 Hebr 7 10 | amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa 858 Hebr 7 11 | Israeli walipewa Sheria. Sasa, kama huduma ya Walawi ingalikuwa 859 Hebr 7 24 | 24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; 860 Hebr 7 27 | 27 Yeye si kama wale makuhani wakuu wengine; 861 Hebr 8 4 | 4 Kama yeye angekuwa wa hapa duninani, 862 Hebr 8 6 | iliyo bora zaidi kuliko yao, kama vile agano alilothibitisha 863 Hebr 8 7 | 7 Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa 864 Hebr 8 9 | 9 Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu 865 Hebr 9 16 | kawaida wosia hutambuliwa tu kama kifo cha yule aliyeufanya 866 Hebr 9 19 | aliwatangazia watu wote amri zote kama ilivyokuwa katika Sheria; 867 Hebr 9 27 | 27 Basi, kama vile kila mtu hufa mara 868 Hebr 10 2 | 2 Kama hao watu wanaomwabudu Mungu 869 Hebr 10 7 | tayari kufanya mapenzi yako kama ilivyoandikwa juu yangu 870 Hebr 10 13 | adui zake watakapowekwa kama kibao chini ya miguu yake.~ 871 Hebr 10 25 | desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya. 872 Hebr 10 25 | tunapaswa kusaidiana kwani, kama mwonavyo, Siku ile ya Bwana 873 Hebr 10 37 | 37 Maana kama yasemavyo Maandiko: "Bado 874 Hebr 11 9 | 9 Kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa 875 Hebr 11 9 | Aliishi huko katika hema kama walivyoishi Isaka na Yakobo, 876 Hebr 11 12 | Abrahamu, ambaye alikuwa kama amekufa, walitokea watu 877 Hebr 11 12 | watu wengi wasiohesabika kama vile nyota za mbinguni na 878 Hebr 11 14 | 14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonyesha wazi kwamba 879 Hebr 11 15 | 15 Kama wangalikuwa wanaifikiria 880 Hebr 11 27 | hakurudi nyuma, kwani alikuwa kama mtu aliyemwona yule Mungu 881 Hebr 12 7 | Mungu huwatendea ninyi kama wanawe. Maana ni mwana gani 882 Hebr 12 8 | 8 Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, ninyi 883 Hebr 12 10 | duniani walituadhibu kwa muda, kama wao wenyewe walivyoona kuwa 884 Hebr 12 14 | atakayemwona Bwana bila ya maisha kama hayo.~ 885 Hebr 12 16 | mwasherati au mtu asiyemcha Mungu kama Esau, aliyeuza haki yake 886 Hebr 12 18 | ambao unaweza kushikika kama walivyofanya watu wa Israeli, 887 Hebr 12 20 | Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe."~ 888 Hebr 12 25 | yeye ambaye anasema nanyi. Kama wale walikataa kumsikiliza 889 Hebr 12 25 | sisi tutawezaje kuokoka kama tukikataa kumsikiliza yule 890 Hebr 13 3 | kana kwamba nanyi mnateseka kama wao.~ 891 Hebr 13 17 | utumishi wao mbele ya Mungu. Kama mkiwatii watafanya kazi 892 Hebr 13 23 | amekwisha funguliwa gerezani. Kama akifika hapa mapema, nitakuja 893 James 1 5 | 5 Lakini kama mmoja wenu ametindikiwa 894 James 1 6 | Mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo 895 James 1 10| Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.~ 896 James 1 13| 13 Kama mtu akijaribiwa, asiseme: " 897 James 1 23| lakini halitekelezi, huyo ni kama mtu anayejiangalia sura 898 James 1 26| 26 Kama mtu akijiona kuwa ni mtu 899 James 2 8 | 8 Kama mnaitimiza ile sheria ya 900 James 2 8 | mnaitimiza ile sheria ya Utawala kama ilivyoandikwa katika Maandiko 901 James 2 8 | Mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda wewe mwenyewe", 902 James 2 12| Basi, semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa 903 James 2 26| 26 Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, 904 James 3 1 | wengi wenu msiwe walimu. Kama mjuavyo, sisi walimu tutapata 905 James 3 2 | 2 Lakini kama mtu hakosi katika usemi 906 James 3 6 | Hali kadhalika ulimi ni kama moto. Umejaa maovu chungu 907 James 4 4 | ni watu msio na uaminifu kama wazinzi. Je, hamjui kwamba 908 James 4 6 | na Mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo Maandiko: "Mungu 909 James 4 11| huilaumu na kuihukumu Sheria. Kama ukiihukumu Sheria, basi, 910 James 4 14| yatakavyokuwa kesho! Ninyi ni kama ukungu unaotokea kwa muda 911 James 5 3 | nayo itakula miili yenu kama vile moto. Ninyi mmejilundikia 912 James 5 12| chochote. Semeni "Ndiyo" kama maana yenu ni ndiyo, na " 913 James 5 12| maana yenu ni ndiyo, na "La" kama maana yenu ni la, na hapo 914 James 5 17| 17 Eliya alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua 915 1Pet 1 1 | mmetawanyika na mnaishi kama wakimbizi huko Ponto, Galatia, 916 1Pet 1 14 | 14 Kama watoto wa Mungu wenye utii, 917 1Pet 1 15 | katika mwenendo wenu wote, kama vile yule aliyewaiteni ni 918 1Pet 1 19 | ya Kristo, ambaye alikuwa kama mwana kondoo asiye na dosari 919 1Pet 1 23 | ninyi mmezaliwa upya, si kama watoto wa baba awezaye kufa, 920 1Pet 1 24 | 24 Kama Maandiko yasemavyo: "Kila 921 1Pet 1 24 | yasemavyo: "Kila binadamu ni kama nyasi, na utukufu wake wote 922 1Pet 1 24 | na utukufu wake wote ni kama maua ya porini. Nyasi hunyauka 923 1Pet 2 2 | 2 Kama vile watoto wachanga wanavyotamani 924 1Pet 2 3 | 3 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 925 1Pet 2 5 | 5 Mwendeeni yeye kama mawe hai mkajengeke na kuwa 926 1Pet 2 5 | kiroho, ambamo mtatumikia kama makuhani watakatifu, kutolea 927 1Pet 2 11 | Wapenzi wangu, nawasihi ninyi kama wageni na wakimbizi hapa 928 1Pet 2 16 | 16 Ishini kama watu huru; lakini msiutumie 929 1Pet 2 16 | kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu.~ 930 1Pet 2 19 | 19 Maana kama mnavumilia maumivu ya mateso 931 1Pet 2 20 | sababu ya makosa yenu? Lakini kama mnavumilia mateso hata ingawa 932 1Pet 2 25 | 25 Ninyi mlikuwa kama kondoo waliokuwa wamepotea; 933 1Pet 3 1 | mamlaka ya waume zenu, ili kama wako waume wowote wasioamini 934 1Pet 3 3 | msitegemee mambo ya njenje, kama vile mitindo ya kusuka nywele, 935 1Pet 3 6 | mmekuwa sasa binti zake kama mkitenda mema bila kuogopa 936 1Pet 3 10 | 10 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 937 1Pet 3 13 | atakayeweza kuwadhuru ninyi kama mkizingatia kutenda mema?~ 938 1Pet 3 14 | 14 Lakini, hata kama itawapasa kuteseka kwa sababu 939 1Pet 3 15 | Lakini mtukuzeni Kristo kama Bwana mioyoni mwenu. Muwe 940 1Pet 3 16 | juu ya mwenendo wenu mwema kama Wakristo, waone aibu.~ 941 1Pet 3 17 | sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka 942 1Pet 4 6 | katika maisha yao ya kimwili kama anavyohukumiwa kila mmoja, 943 1Pet 4 6 | maisha yao ya kiroho waishi kama aishivyo Mungu.~ 944 1Pet 4 10 | Mungu kwa faida ya wengine, kama vile uwakili mwema wa zawadi 945 1Pet 4 11 | kitu, maneno yake na yawe kama maneno ya Mungu; anayetumika 946 1Pet 4 16 | 16 Lakini kama mtu akiteseka kwa sababu 947 1Pet 4 18 | 18 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: " 948 1Pet 5 2 | kulazimika, bali kwa hiari kama atakavyo Mungu. Fanyeni 949 1Pet 5 8 | Ibilisi, huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta 950 2Pet 1 10 | kudumu katika maisha yenu; kama mkiishi namna hiyo hamtaanguka 951 2Pet 1 14 | kando mwili huu wenye kufa, kama Bwana alivyoniambia waziwazi.~ 952 2Pet 1 19 | hilo; nanyi mwafanya vema kama mkiuzingatia, maana ni kama 953 2Pet 1 19 | kama mkiuzingatia, maana ni kama taa inayoangaza mahali penye 954 2Pet 2 17 | 17 Watu hao ni kama chemchemi zilizokauka, kama 955 2Pet 2 17 | kama chemchemi zilizokauka, kama mawingu yanayopeperushwa 956 2Pet 2 21 | Ingalikuwa afadhali kwao kama wasingalijua kamwe njia 957 2Pet 3 4 | hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!"~ 958 2Pet 3 9 | kutimiza yale aliyoahidi kama watu wengine wanavyofikiri 959 2Pet 3 10 | 10 Siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Siku hiyo, mbingu 960 2Pet 3 15 | anayowapeni mpate kuokolewa, kama Paulo ndugu yetu mpenzi 961 2Pet 3 16 | na msimamo, huyapotosha kama wanavyopotosha sehemu nyingine 962 1Joh 1 7 | tukiishi katika mwanga, kama naye alivyo katika mwanga, 963 1Joh 2 6 | na Mungu, anapaswa kuishi kama alivyoishi Yesu Kristo.~ 964 1Joh 2 19 | ndiyo maana walituacha; Kama wangalikuwa wa kwetu, wangalibaki 965 1Joh 2 24 | mwanzo na ukae mioyoni mwenu. Kama ujumbe huo mliousikia tangu 966 1Joh 2 27 | aliwamiminieni Roho wake. Na kama akiendelea kukaa ndani yenu, 967 1Joh 3 3 | katika Kristo, hujiweka safi kama vile Kristo alivyo safi 968 1Joh 3 7 | matendo maadilifu ni mwadilifu kama vile Kristo alivyo mwadilifu 969 1Joh 3 12 | 12 Tusiwe kama Kaini ambaye, kwa kuongozwa 970 1Joh 3 13 | ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia ninyi.~ 971 1Joh 3 20 | 20 Kwa maana, hata kama dhamiri yetu yatuhukumu, 972 1Joh 3 21 | 21 Wapenzi wangu, kama dhamiri yetu haina lawama 973 1Joh 3 23 | Mwanae Kristo, na kupendana kama alivyotuamuru.~ 974 1Joh 4 1 | bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho 975 1Joh 4 2 | Hii ndiyo njia ya kujua kama mtu anaongozwa na Roho wa 976 1Joh 4 12 | mwona Mungu kamwe; lakini kama tukipendana Mungu anaishi 977 1Joh 4 17 | maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya Kristo.~ 978 2Joh 1 4 | wako wanaishi katika ukweli kama Baba alivyotuamuru.~ 979 2Joh 1 10 | 10 Basi, kama mtu akija kwenu bila kuwaleteeni 980 3Joh 1 2 | nakutakia afya njema ya mwili kama ulivyo nayo rohoni.~ 981 3Joh 1 5 | unapowahudumia ndugu, hata kama ni wageni.~ 982 Jude 1 7 | wenyeji wake walifanya kama wale malaika; walifanya 983 Jude 1 10 | yaleyale wanayoyajua kwa silika kama vile wanyama wanayoyajua 984 Jude 1 11 | uleule wa Baalamu. Wameasi kama Kora alivyoasi na wameangamizwa 985 Jude 1 11 | alivyoasi na wameangamizwa kama yeye alivyoangamizwa.~ 986 Jude 1 12 | yasiyo na adabu, watu hao ni kama madoa machafu katika mikutano 987 Jude 1 12 | wao wenyewe tu, na wako kama mawingu yanayopeperushwa 988 Jude 1 12 | bila ya kuleta mvua. Wao ni kama miti isiyozaa matunda hata 989 Jude 1 13 | 13 Watu hao ni kama mawimbi makali ya bahari, 990 Jude 1 13 | aibu yanaonekana dhahiri kama vile mapovu ya mawimbi. 991 Jude 1 13 | mapovu ya mawimbi. Wao ni kama nyota zinazotangatanga, 992 Rev 1 10 | nyuma yangu sauti kubwa kama sauti ya tarumbeta.~ 993 Rev 1 13 | katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa amevaa 994 Rev 1 14 | Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba safi, kama theluji; 995 Rev 1 14 | nyeupe kama pamba safi, kama theluji; macho yake yalimetameta 996 Rev 1 14 | macho yake yalimetameta kama moto;~ 997 Rev 1 15 | 15 miguu yake iling`aa kama shaba iliyosafishwa katika 998 Rev 1 15 | na sauti yake ilikuwa, kama sauti ya poromoko la maji.~ 999 Rev 1 16 | kuwili. Uso wake uling`aa kama jua kali.~ 1000 Rev 1 17 | nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka


1-500 | 501-1000 | 1001-1086

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License