Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 2 | 2 wakauliza, "Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi,
2 Matt 2 4 | akawauliza, "Kristo atazaliwa wapi?"~
3 Matt 13 27| lako. Sasa magugu yametoka wapi?`~
4 Matt 13 54| wakasema, "Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?~
5 Matt 13 56| pamoja nasi? Basi amepata wapi haya yote?"~
6 Matt 15 33| Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu
7 Matt 26 17| wakamwuliza, "Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?"~
8 Mark 6 2 | wakasema, "Je, ameyapata wapi mambo haya? Ni hekima gani
9 Mark 8 4 | Hapa nyikani itapatikana wapi mikate ya kuwashibisha watu
10 Mark 14 12| walimwuliza, "Wataka tukuandalie wapi karamu ya Pasaka?"~
11 Mark 14 14| nyumba, `Mwalimu anasema: wapi chumba changu ambamo nitakula
12 Luke 8 25| 25 Kisha akawaambia, "Iko wapi imani yenu?" Lakini wao
13 Luke 13 25| atawajibu: `Sijui mmetoka wapi.`~
14 Luke 13 27| atasema: `Sijui ninyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi
15 Luke 17 17| walitakaswa? Wale tisa wako wapi?~
16 Luke 17 37| 37 Hapo wakamwuliza, "Ni wapi Bwana?" Naye akawaambia, "
17 Luke 20 7 | Hatujui mamlaka hayo yalitoka wapi."~
18 Luke 22 9 | wakamwuliza, "Unataka tuiandae wapi?"~
19 Luke 22 11| Mwalimu anakuuliza, kiko wapi kile chumba ambamo nitakula
20 John 1 38| yaani Mwalimu), unakaa wapi?"~
21 John 4 11| kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?~
22 John 6 5 | alimwambia Filipo, "Tununue wapi mikate ili watu hawa wapate
23 John 7 11| sikukuu hiyo; Wakauliza: "Yuko wapi?"~
24 John 7 35| wao, "Mtu huyu atakwenda wapi ambapo hatutaweza kumpata?
25 John 8 10| akamwuliza huyo mwanamke, "Wako wapi wale watu? Je, hakuna hata
26 John 8 19| wakamwuliza, "Baba yako yuko wapi?" Yesu akawajibu "Ninyi
27 John 9 12| Wakamwuliza, "Yeye yuko wapi?" Naye akawajibu, "Mimi
28 John 9 29| mtu huyu hatujui ametoka wapi!"~
29 John 9 30| kushangaza! Ninyi hamjui ametoka wapi, lakini amenifumbua macho
30 John 11 34| Kisha akawauliza, "Mlimweka wapi?" Wakamwambia, "Bwana, njoo
31 John 13 36| akamwuliza, "Bwana, unakwenda wapi?" Yesu akajibu, "Niendako
32 John 16 5 | anayeniuliza: `Unakwenda wapi?`~
33 John 19 9 | akamwuliza Yesu, "Umetoka wapi wewe?" Lakini Yesu hakumjibu
34 Acts 17 26| kupanga kabla kabisa lini na wapi mataifa hayo yangeishi.~
35 1Cor 1 20| 20 Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu
36 1Cor 1 20| basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu wa Sheria?
37 1Cor 1 20| mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? Mungu ameifanya hekima
38 1Cor 12 17| ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa
39 1Cor 12 19| kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?~
40 1Cor 15 55| Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko
41 1Cor 15 55| Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?"~
42 James 4 1| yote kati yenu yanatoka wapi? Hutoka katika tamaa zenu
43 2Pet 3 4 | kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu
44 Rev 7 13 | ni watu gani? Na wametoka wapi?"~
|