Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 16| waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi
2 Matt 5 19| kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.~
3 Matt 10 25| bwana wake. Ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa Beelzebuli, je
4 Matt 11 11| katika Ufalme wa mbinguni, ni mkubwa kuliko yeye.~
5 Matt 14 14| aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma,
6 Matt 18 4 | mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.~
7 Matt 21 8 | 8 Umati mkubwa wa watu ukatandaza nguo
8 Matt 23 11| 11 Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima
9 Mark 4 1 | akiwa kando ya ziwa. Umati mkubwa wa watu ulimzunguka hata
10 Mark 4 32| pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani.
11 Mark 5 21| wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele
12 Mark 6 34| pwani, Yesu aliona umati mkubwa wa watu, akawahurumia, kwa
13 Mark 8 1 | 1 Wakati huo umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena,
14 Mark 9 14| wanafunzi wengine, waliona umati mkubwa wa watu hapo. Na baadhi
15 Mark 10 46| wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mwombaji
16 Luke 1 10| 10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika
17 Luke 7 28| binadamu wote hakuna aliye mkubwa zaidi kuliko Yohane Mbatizaji.
18 Luke 7 28| katika ufalme wa Mungu ni mkubwa zaidi kuliko yeye."~
19 Luke 7 47| kwa kuwa ameonyesha upendo mkubwa. Mwenye kusamehe kidogo,
20 Luke 9 48| wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."~
21 Luke 15 28| 28 Huyo kijana mkubwa akawaka hasira hata akakataa
22 Luke 22 44| 44 Akiwa katika uchungu mkubwa, alisali kwa bidii zaidi;
23 John 5 14| kwani palikuwa na umati mkubwa wa watu.~
24 John 6 2 | 2 Umati mkubwa wa watu ulimfuata kwa sababu
25 Acts 3 11| wote, wakiwa na mshangao mkubwa wakaanza kukimbilia mahali
26 Acts 12 18| Kulipokucha, ulitokea wasiwasi mkubwa kati ya wale askari kuhusu
27 Acts 15 2 | hili lilisababisha ubishi mkubwa, na baada ya Paulo na Barnaba
28 Acts 18 24| kuongea na mwenye ujuzi mkubwa wa Maandiko Matakatifu.~
29 Acts 22 6 | saa sita mchana, mwangu mkubwa kutoka mbinguni ulitokea
30 Acts 26 13| sita mchana, niliona mwanga mkubwa kuliko wa jua ukiangaza
31 Roma 8 37| haya yote, tumepata ushindi mkubwa kwa msaada wake yeye aliyetupenda.~
32 Colo 4 11| Mungu; nao wamekuwa msaada mkubwa kwangu.~
33 2Tim 3 11| Lustra. Nilivumilia udhalimu mkubwa mno! Lakini Bwana aliniokoa
34 Hebr 12 3 | alivyostahimili upinzani mkubwa kwa watu wenye dhambi. Basi,
35 James 3 5| waweza kuteketeza msitu mkubwa.~
36 James 4 5| amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa."~
37 Rev 6 4 | watu wauane, akapewa upanga mkubwa.~
38 Rev 7 9 | nikatazama, nikaona umati mkubwa wa watu wasiohesabika: watu
39 Rev 8 8 | yake. Na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto ukatupwa baharini.
40 Rev 9 14 | wanne waliofungwa kwenye mto mkubwa `Eufrate!"`~
41 Rev 16 12 | akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake
42 Rev 19 6 | kitu kama sauti ya umati mkubwa wa watu na sauti ya maji
43 Rev 20 1 | ufunguo wa kuzimu na mnyororo mkubwa mkononi mwake.~
44 Rev 21 12 | Ulikuwa na ukuta mrefu na mkubwa, wenye milango kumi na miwili,
|