Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
iweze 2
iwezekanavyo 4
j 1
jamaa 44
jambo 207
james 1
jamii 6
Frequency    [«  »]
44 barua
44 divai
44 enyi
44 jamaa
44 kutenda
44 lugha
44 mkubwa

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

jamaa

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 10 25| Ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa Beelzebuli, je hawatawaita 2 Matt 10 25| hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?~ 3 Matt 12 25| kudumu, na mji wowote au jamaa yoyote iliyogawanyika makundimakundi 4 Mark 3 21| 21 Basi, watu wa jamaa yake walipopata habari hiyo 5 Mark 3 25| 25 Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi 6 Mark 3 25| makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.~ 7 Mark 5 19| akamwambia, "Nenda nyumbani kwa jamaa yako, ukawaambie mambo yote 8 Mark 6 4 | isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake."~ 9 Luke 1 36| pia kwamba hata Elisabeti, jamaa yako, naye amepata mimba 10 Luke 1 58| 58 Jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba 11 Luke 2 4 | Galilaya. Kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi alikwenda 12 Luke 2 44| wakaanza kumtafuta miongoni mwa jamaa na marafiki.~ 13 Luke 11 17| hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yeyote inayofarakana huangamia.~ 14 Luke 12 52| 52 Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; 15 Luke 14 12| usiwaalike rafiki zako au jamaa zako au jirani zako walio 16 Luke 21 16| 16 Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti 17 John 4 53| yeye akaamini pamoja na jamaa yake yote.~ 18 John 18 26| watumishi wa Kuhani Mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio 19 Acts 3 25| Kwa njia ya wazawa wako, jamaa zote za dunia zitabarikiwa.`~ 20 Acts 7 13| zake, na Farao akaifahamu jamaa ya Yosefu.~ 21 Acts 7 14| ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini 22 Acts 10 2 | mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; 23 Acts 10 24| alikuwa anawangojea pamoja na jamaa na marafiki aliokuwa amewaalika.~ 24 Acts 11 14| maneno ambayo kwayo wewe na jamaa yako yote mtaokolewa.`~ 25 Acts 16 15| Baada ya huyo mama pamoja na jamaa yake kubatizwa, alitualika 26 Acts 16 31| nawe utaokolewa pamoja na jamaa yako yote."~ 27 Acts 16 32| la Bwana yeye pamoja na jamaa yake.~ 28 Acts 16 33| majeraha yao, kisha yeye na jamaa yake wakabatizwa papo hapo.~ 29 Acts 16 34| akawapa chakula. Yeye na jamaa yake yote wakafanya sherehe 30 Acts 18 8 | alimwamini Bwana yeye pamoja na jamaa yake yote. Wakorintho wengi 31 Roma 16 11| mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga 32 1Cor 1 11| kutoka kwa watu kadhaa wa jamaa ya Kloe, zaonyesha wazi 33 1Cor 1 16| Samahani, nilibatiza pia jamaa ya Stefana; lakini zaidi 34 1Cor 16 15| 15 Ndugu, mnaifahamu jamaa ya Stefana; wao ni watu 35 Ephe 2 19| wa Mungu, na ni watu wa jamaa ya Mungu.~ 36 Ephe 3 15| 15 aliye asili ya jamaa zote duniani na mbinguni.~ 37 1Tim 5 4 | wajibu wao wa kidini kwa jamaa zao wenyewe na hivyo kuwalipa 38 1Tim 5 8 | kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani 39 1Tim 5 16| Mkristo anao wajane katika jamaa yake, yeye anapaswa kuwatunza 40 2Tim 1 16| 16 Bwana aihurumie jamaa ya Onesiforo, kwa sababu 41 2Tim 4 19| Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.~ 42 Hebr 11 7 | aliokolewa yeye pamoja na jamaa yake. Kutokana na hayo ulimwengu 43 Rev 5 9 | katika kila kabila, lugha, jamaa na taifa.~ 44 Rev 7 9 | watu wa kila taifa, ukoo, jamaa na lugha. Nao walikuwa wamesimama


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License