Book, Chapter, Verse
1 Matt 12 25 | na mji wowote au jamaa yoyote iliyogawanyika makundimakundi
2 Matt 16 4 | lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya Yona."
3 Mark 2 2 | watu wengi sana hata nafasi yoyote ikakosekana mlangoni. Yesu
4 Mark 8 12 | kizazi hiki hakitapewa ishara yoyote!"~
5 Luke 8 17 | kilichofichwa kitafichuliwa na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana
6 Luke 9 4 | 4 Nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa,
7 Luke 10 5 | 5 Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza wasalimuni hivi: `
8 Luke 11 29 | lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ya Yona.~
9 Luke 11 36 | mwanga, bila kuwa na sehemu yoyote yenye giza, mwili huo utang`
10 Luke 12 24 | hawavuni wala hawana ghala yoyote. Hata hivyo, Mungu huwalisha.
11 John 10 41 | Yohane hakufanya ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane
12 John 18 38 | akawaambia, "Mimi sioni hatia yoyote kwake.~
13 John 19 4 | kwamba mimi sikuona hatia yoyote kwake."~
14 John 19 6 | maana mimi sikuona hatia yoyote kwake."~
15 John 19 11 | akamjibu, "Hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa
16 Acts 4 13 | wasio na kisomo wala elimu yoyote, walishangaa juu ya jinsi
17 Acts 5 38 | msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa
18 Acts 8 21 | 21 Huna sehemu yoyote wala haki katika kazi hiyo
19 Acts 15 24 | wamefanya hivyo bila ya idhini yoyote kutoka kwetu.~
20 Acts 18 6 | wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu
21 Acts 20 26 | mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.~
22 Acts 28 21 | Sisi hatujapokea barua yoyote kutoka Yudea, wala hakuna
23 Roma 1 20 | Mungu. Kwa hiyo hawana njia yoyote ya kujitetea!~
24 Roma 4 14 | basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si
25 1Cor 16 10 | angalieni asiwe na hofu yoyote wakati yupo kati yenu, kwani
26 2Cor 6 3 | Kusudi tusiwe na lawama yoyote katika utumishi wetu, hatupendi
27 2Cor 11 9 | sana nisiwe mzigo kwa namna yoyote ile, na nitaendelea kufanya
28 Gala 5 11 | Kristo yasingalileta aibu yoyote.~
29 Ephe 2 12 | wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile
30 1The 5 23 | miili yenu - mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake Bwana
31 2The 2 3 | na mtu yeyote kwa namna yoyote ile. Maana Siku hiyo haitakuja
32 1Tim 3 16 | 16 Hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu wa siri ya dini
33 Titus 2 8 | yako yasiwe na hitilafu yoyote ili adui zako waaibike wasipopata
34 Titus 3 9 | Mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.~
35 James 1 6 | kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. Mtu aliye na mashaka ni
36 James 1 17| habadiliki wala hana alama yoyote ya ugeugeu.~
37 1Joh 3 5 | kwamba kwake hamna dhambi yoyote.~
38 Rev 9 4 | nchi wala majani wala miti yoyote, bali wawaharibu wale tu
39 Rev 14 5 | kuwa waongo; hawana hatia yoyote.~
40 Rev 14 11 | lake, hawatakuwa na nafuu yoyote usiku na mchana."~
41 Rev 18 22 | yako. Hakuna fundi wa namna yoyote ile atakayepatikana tena
42 Rev 22 17 | uzima na apokee bila malipo yoyote.~
|