Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
tuliyowapeni 1
tuliyoyaona 2
tulizopokea 1
tumaini 42
tumbo 4
tumboni 9
tumeacha 3
Frequency    [«  »]
42 akawa
42 awezaye
42 kwetu
42 tumaini
42 yoyote
41 adui
41 akili

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

tumaini

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 12 21| lake mataifa yatakuwa na tumaini."~ 2 Acts 2 26| Mwili wangu utakaa katika tumaini;~ 3 Acts 16 19| msichana walipoona kwamba tumaini lao la kupata mali limekwisha, 4 Acts 24 15| namtumainia Mungu, na wao wanalo tumaini hilo, kwamba watu, wema 5 Acts 26 7 | wananishtaki kwa sababu ya tumaini hilo!~ 6 Acts 28 20| minyororo hii kwa sababu ya tumaini lile la Israeli."~ 7 Roma 5 2 | tunaishi. Basi, tunajivunia tumaini tulilo nalo la kushiriki 8 Roma 5 4 | uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.~ 9 Roma 5 5 | 5 Tumaini hilo haliwezi kutuhadaa, 10 Roma 8 24| sisi tumekombolewa; lakini tumaini halina maana ikiwa tunakiona 11 Roma 12 12| 12 Tumaini lenu liwaweke daima wenye 12 Roma 15 13| kutokana na imani yenu; tumaini lenu lipate kuongezeka kwa 13 1Cor 13 13| yanadumu haya matatu: imani, tumaini na upendo; lakini lililo 14 2Cor 1 10| kutuokoa; sisi tumemwekea tumaini letu kwamba atatuokoa tena,~ 15 2Cor 3 4 | kusema hayo kwa sababu ya tumaini letu tulilo nalo kwa Mungu 16 2Cor 3 12| 12 Kwa vile hili ndilo tumaini letu, sisi twasema kwa uhodari 17 Gala 5 10| kuungana kwetu na Bwana, nina tumaini kubwa kwamba ninyi hamtakuwa 18 Ephe 1 18| wake, mpate kutambua lile tumaini alilowaitieni na utukufu 19 Ephe 4 4 | na Roho mmoja, kama vile tumaini mliloitiwa na Mungu ni moja.~ 20 Colo 1 5 | mlipata kusikia juu ya lile tumaini linalopatikana kwake. Kwa 21 Colo 1 23| msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata wakati mlipoisikia 22 1The 1 3 | kazi kwa bidii, na jinsi tumaini lenu katika Bwana wetu Yesu 23 1The 2 19| ninyi wenyewe; ninyi ndio tumaini letu na furaha yetu.~ 24 1The 5 8 | la kujikinga kifuani, na tumaini letu la wokovu kama kofia 25 2The 2 16| akatujalia faraja ya milele na tumaini jema,~ 26 2The 3 4 | 4 Naye Bwana anatupatia tumaini kubwa juu yenu, na hatuna 27 1Tim 1 1 | Mwokozi wetu na Yesu Kristo tumaini letu,~ 28 1Tim 4 10| kwa bidii kwani tumemwekea tumaini letu Mungu aliye hai ambaye 29 1Tim 5 5 | kumsaidia, amemwekea Mungu tumaini lake na huendelea kusali 30 1Tim 6 17| sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza 31 Titus 1 2| 2 ambayo msingi wake ni tumaini la kupata uzima wa milele. 32 Hebr 2 13| asema: "Nitamwekea Mungu tumaini langu." Na tena: "Mimi niko 33 Hebr 3 14| tutazingatia kwa uthabiti tumaini tulilokuwa nalo mwanzoni.~ 34 Hebr 6 9 | hii, wapenzi wetu, tunalo tumaini kubwa juu ya hali yenu. 35 Hebr 6 18| moyo wa kushikilia imara tumaini lililowekwa mbele yetu.~ 36 Hebr 6 19| 19 Tunalo tumaini hilo kama nanga ya maisha 37 Hebr 6 19| kama nanga ya maisha yetu. Tumaini hilo ni imara na thabiti, 38 Hebr 7 19| sasa, mahali pake pamewekwa tumaini lililo bora zaidi ambalo 39 Hebr 10 23| 23 Tushikilie imara tumaini lile tunalokiri, maana Mungu 40 1Pet 1 3 | kutoka wafu. Ametujalia tumaini lenye uzima,~ 41 1Pet 1 13| nia, na kukesha. Wekeni tumaini lenu lote katika baraka 42 1Joh 3 3 | Basi, kila mtu aliye na tumaini hili katika Kristo, hujiweka


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License