Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 24| 24 "Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili.
2 Matt 10 28| Afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja
3 Matt 19 12| ajili ya Ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea fundisho hili
4 Matt 19 25| wakamwuliza, "Ni nani basi, awezaye kuokoka?"~
5 Mark 2 7 | Anamkufuru Mungu! Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi isipokuwa
6 Mark 3 27| 27 "Hakuna mtu awezaye kuivamia nyumba ya mtu mwenye
7 Luke 5 21| maneno yake? Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi ila Mungu
8 Luke 7 49| Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?"~
9 Luke 16 13| 13 "Hakuna mtumishi awezaye kuwatumikia mabwana wawili;
10 John 3 2 | Mungu, maana hakuna mtu awezaye kufanya ishara unazozifanya
11 John 6 44| 44 Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, Baba aliyenituma
12 John 6 60| Haya ni mambo magumu! Nani awezaye kuyasikiliza?"~
13 John 6 65| niliwaambieni kwamba hakuna awezaye kuja kwangu asipowezeshwa
14 John 8 46| 46 Nani kati yenu awezaye kuthibitisha kuwa mimi nina
15 John 10 29| kuliko wote, wale hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.~
16 John 14 6 | ukweli na uzima. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa
17 Acts 25 11| waliyotoa watu hawa, hakuna awezaye kunikabidhi kwao. Nakata
18 Roma 8 31| Mungu yuko upande wetu, nani awezaye kutupinga?~
19 Roma 8 35| 35 Ni nani awezaye kututenga na mapendo ya
20 Roma 9 19| anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?"~
21 Roma 11 34| kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?~
22 1Cor 1 15| 15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina
23 1Cor 1 29| 29 Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele
24 1Cor 2 11| 11 Nani awezaye kujua mambo ya ndani ya
25 1Cor 2 16| 16 Maandiko yasema: "Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana?
26 1Cor 2 16| kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?" Lakini sisi
27 1Cor 3 11| 11 Hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine badala
28 1Cor 14 5 | isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua hayo mambo asemayo,
29 1Cor 14 28| 28 Lakini kama hakuna awezaye kufafanua, basi, mwenye
30 2Cor 2 16| hiyo ni uhai. Nani basi, awezaye kushiriki katika kazi ya
31 1Tim 3 4 | 4 anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake,
32 1Tim 3 12| lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake
33 1Tim 6 16| mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima
34 Hebr 5 4 | 4 Hakuna mtu awezaye kujitwalia mwenyewe heshima
35 1Pet 1 23| si kama watoto wa baba awezaye kufa, bali baba asiyekufa
36 2Pet 1 20| kwamba hakuna mtu yeyote awezaye kufafanua mwenyewe unabii
37 1Joh 5 5 | 5 Nani, basi, awezaye kuushinda ulimwengu? Ni
38 Jude 1 24| 24 Kwake yeye awezaye kuwalinda msije mkaanguka,
39 Rev 3 7 | ambaye hufungua na hakuna mtu awezaye kufungua.~
40 Rev 3 8 | mlango ambao hakuna mtu awezaye kuufunga; najua kwamba ingawa
41 Rev 6 17 | ghadhabu yao imefika. Nani awezaye kuikabili?"~ ~~ ~
42 Rev 13 4 | kama huyu mnyama? Ni nani awezaye kupigana naye?"~
|