Book, Chapter, Verse
1 Matt 13 54| akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika
2 Matt 21 23| Yesu aliingia Hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha,
3 Matt 26 16| na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.~
4 Mark 5 21| ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.~
5 Mark 12 41| karibu na sanduku la hazina. Akawa anatazama jinsi watu wengi
6 Luke 1 22| ameona maono Hekaluni. Lakini akawa anawapa ishara kwa mikono,
7 Luke 1 64| Zakariya vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.~
8 Luke 2 51| pamoja nao hadi Nazareti, akawa anawatii. Mama yake akaweka
9 Luke 3 7 | 7 Basi, Yohane akawa anawaambia watu wengi waliofika
10 Luke 4 15| 15 Naye akawa anawafundisha watu katika
11 Luke 4 31| katika mkoa wa Galilaya, akawa anawafundisha watu siku
12 Luke 4 44| 44 Akawa anahubiri katika masunagogi
13 Luke 5 16| zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.~
14 Luke 9 7 | yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa
15 Luke 9 9 | ninayesikia habari zake?" Akawa na hamu ya kumwona.~
16 Luke 10 31| 31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile,
17 Luke 13 13| mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu.~
18 Luke 19 1 | Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa anapita katika njia za mji
19 Luke 19 47| 47 Yesu akawa anafundisha kila siku Hekaluni.
20 Luke 22 6 | 6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya
21 Luke 22 54| nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.~
22 John 1 14| 14 Naye Neno akawa mwanadamu, akakaa kwetu.
23 John 8 2 | wakamwendea, naye akaketi akawa anawafundisha.~
24 John 8 8 | 8 Kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini.~
25 John 10 23| 23 Naye Yesu akawa anatembea Hekaluni katika
26 John 12 2 | chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa
27 John 19 12| 12 Tangu hapo, Pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia,
28 Acts 5 31| mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi na Mwokozi, ili
29 Acts 6 8 | akampa nguvu nyingi hata akawa anatenda miujiza na maajabu
30 Acts 7 22| yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na
31 Acts 13 12| alipoona hayo, aliongoka akawa muumini; akastaajabia sana
32 Acts 16 18| 18 Akawa anafanya hivyo kwa siku
33 Acts 19 8 | akienda katika sunagogi, akawa na majadiliano ya kuvutia
34 Acts 19 9 | pembeni wale wanafunzi wake, akawa anazungumza nao kila siku
35 Acts 24 27| alichukua nafasi ya Felisi, akawa mkuu wa Mkoa. Kwa kuwa alitaka
36 Acts 28 3 | aliokota mzigo mdogo wa kuni akawa anazitia motoni. Hapo, kwa
37 Acts 28 30| aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika
38 Hebr 2 14| mwili na damu, Yesu mwenyewe akawa kama wao na kushiriki ubinadamu
39 Hebr 5 9 | Na alipofanywa mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele
40 1Joh 3 17| ndugu yake ana shida, lakini akawa na moyo mgumu bila kumwonea
41 1Joh 4 2 | anayekiri kwamba Kristo alikuja, akawa binadamu, mtu huyo anaye
42 2Joh 1 7 | Yesu Kristo amekuja kwetu akawa binadamu. Mtu asemaye hivyo
|