Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
wakiuza 3
wakivua 2
wakivuruga 1
wakiwa 41
wakiwaambia 1
wakiwaambieni 1
wakiwadhulumu 2
Frequency    [«  »]
41 ng
41 sikukuu
41 wakaenda
41 wakiwa
41 yudea
40 isipokuwa
40 sunagogi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

wakiwa

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 13 25| 25 Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja 2 Matt 17 2 | 2 Huko, wakiwa wanamtazama, akageuka sura, 3 Matt 25 31| utukufu wake na malaika wote wakiwa pamoja naye, hapo ataketi 4 Matt 26 67| wakampiga makofi. Wengine wakiwa wanampiga makofi,~ 5 Matt 28 8 | 8 Wakiwa wenye hofu na furaha kubwa, 6 Mark 2 12| 12 Mara, watu wote wakiwa wanamtazama, huyo mtu akainuka, 7 Mark 8 3 | Nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na njaa watazimia njiani, 8 Luke 9 31| 31 ambao walitokea wakiwa wenye utukufu, wakazungumza 9 Luke 24 41| 41 Wakiwa bado katika hali ya kutosadiki 10 Luke 24 41| sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, " 11 Luke 24 52| wakamwabudu, wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa:~ 12 John 18 3 | Mafarisayo, akaja nao bustanini wakiwa na taa, mienge na silaha.~ 13 Acts 1 9 | Baada ya kusema hayo, wote wakiwa wanamtazama, alichukuliwa 14 Acts 3 11| 11 Watu wote, wakiwa na mshangao mkubwa wakaanza 15 Acts 4 13| 13 Hao wazee wa baraza, wakiwa wanajua kwamba Petro na 16 Acts 5 41| ule mkutano wa halmashauri wakiwa wamejaa furaha, kwani walistahili 17 Acts 9 7 | na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia 18 Acts 10 9 | Kesho yake, hao watu watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu 19 Acts 10 27| aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo 20 Acts 16 25| Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza.~ 21 Acts 19 16| wakakimbia kutoka ile nyumba wakiwa uchi na wamejaa majeraha.~ 22 Acts 25 23| katika ukumbi wa mkutano wakiwa wameandamana na wakuu wa 23 Acts 28 28| fd* walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa 24 Roma 2 12| Na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua Sheria watahukumiwa 25 1Cor 14 24| 24 Lakini, wote wakiwa wanautangaza ujumbe wa Mungu, 26 1Cor 15 18| hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na Kristo wamepotea 27 1The 4 14| Yesu wale wote waliofariki wakiwa wanamwamini.~ 28 1The 4 16| mbinguni. Ndipo wale waliokufa wakiwa wanamwamini Kristo watafufuliwa 29 2Tim 1 15| wameniacha, miongoni mwao wakiwa Fugelo na Hermogene. ~ 30 Hebr 11 13| Watu hawa wote walikufa wakiwa na imani. Walikufa kabla 31 Hebr 11 35| walioamini walirudishiwa wafu wao wakiwa wamefufuliwa. Baadhi yao 32 Hebr 11 37| upanga. Walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo 33 Hebr 11 40| wao wangeufikia ukamilifu wakiwa pamoja nasi.~ ~~ ~ 34 Rev 3 4 | wanastahili kutembea pamoja nami wakiwa wamevaa mavazi meupe.~ 35 Rev 7 9 | na mbele ya Mwanakondoo, wakiwa wamevaa mavazi meupe na 36 Rev 11 3 | moja mia mbili na sitini wakiwa wamevaa mavazi ya magunia."~ 37 Rev 11 12 | katika wingu, maadui wao wakiwa wanawatazama.~ 38 Rev 14 13 | ambao tangu sasa wanakufa wakiwa wameungana na Bwana." Naye 39 Rev 15 2 | ya hiyo bahari ya kioo, wakiwa na vinubi walivyopewa na 40 Rev 15 6 | wakatoka humo Hekaluni, wakiwa wamevaa nguo za kitani safi 41 Rev 19 20 | nabii walitupwa wote wawili, wakiwa wazimawazima, ndani ya ziwa


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License