Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 16| walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga
2 Matt 6 23| wako wote utakuwa katika giza. Basi, ikiwa mwanga ulioko
3 Matt 6 23| mwanga ulioko ndani yako ni giza, basi, hilo ni giza la kutisha
4 Matt 6 23| yako ni giza, basi, hilo ni giza la kutisha mno.~
5 Matt 10 27| Ninalowaambieni ninyi katika giza, lisemeni katika mwanga;
6 Matt 24 29| siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza, nyota
7 Matt 27 45| nchi yote ikawa katika giza.~
8 Mark 13 24| dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.~
9 Mark 15 33| mpaka saa tisa kulikuwa giza nchini kote.~
10 Luke 1 79| kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua
11 Luke 11 34| wako pia utakuwa katika giza.~
12 Luke 11 35| ulio ndani yako usije ukawa giza.~
13 Luke 11 36| kuwa na sehemu yoyote yenye giza, mwili huo utang`aa kikamilifu
14 Luke 22 53| ndio wakati wa utawala wa giza."~
15 Luke 23 44| jua likaacha kuangaza, giza likafunika nchi yote mpaka
16 John 1 5 | huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda.~
17 John 3 19| ulimwenguni lakini watu wakapenda giza kuliko mwanga, kwani matendo
18 John 6 17| wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu
19 John 12 35| mngali mnao huo mwanga ili giza lisiwapate; maana atembeaye
20 John 20 1 | Jumapili, kukiwa bado na giza, Maria Magdalene alikwenda
21 Acts 2 20| 20 jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu
22 Acts 13 11| kitu kikawa kama ukungu na giza kwake, akaanza kwenda huku
23 Roma 1 21| na akili zao tupu zimejaa giza.~
24 Roma 11 10| 10 Macho yao yatiwe giza wasiweze kuona. Migongo
25 Roma 13 12| tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha za
26 1Cor 4 5 | Yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonyesha
27 2Cor 4 4 | wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona
28 2Cor 6 14| vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?~
29 Ephe 5 11| katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni.~
30 Ephe 6 12| wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.~
31 Colo 1 13| alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika
32 1The 5 5 | si watu wa usiku, wala wa giza.~
33 Hebr 12 18| kwenye moto uwakao, penye giza, tufani,~
34 2Pet 1 19| inayoangaza mahali penye giza mpaka Siku ile itakapopambazuka
35 2Pet 2 17| waliyowekewa ni mahali pa giza kuu.~
36 1Joh 1 5 | Mungu ni mwanga na hamna giza lolote ndani yake.~
37 1Joh 2 8 | na ndani yenu pia. Maana giza linatoweka, na mwanga wa
38 1Joh 2 11| hajui anakokwenda, maana giza limempofusha.~
39 Jude 1 13| mahali pao milele katika giza kuu.~
40 Rev 9 2 | kubwa. Jua na anga vikatiwa giza kwa moshi huo wa Kuzimu.~
41 Rev 16 10 | makao makuu ya yule mnyama. Giza likauvamia utawala wake,
|