Book, Chapter, Verse
1 Matt 13 15 | 15 Maana akili za watu hawa zimepumbaa,
2 Matt 13 15 | masikio yao, wangeelewa kwa akili zao, na kunigeukia, asema
3 Matt 22 37 | kwa ~roho yako yote na kwa akili yako yote.> ~
4 Mark 5 15 | chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.~
5 Mark 6 52 | wameelewa maana ya ile mikate. Akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.~
6 Mark 12 30 | kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako
7 Mark 12 33 | Mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote,
8 Luke 2 47 | maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake ya hekima.~
9 Luke 8 35 | na Yesu, amevaa nguo, ana akili zake, wakaogopa.~
10 Luke 10 27 | kwa nguvu zako zote na kwa akili yako yote. Na, mpende jirani
11 Luke 12 29 | 29 "Basi, msivurugike akili, mkihangaika daima juu ya
12 Luke 15 17 | 17 Alipoanza kupata akili akafikiri: `Mbona kuna wafanyakazi
13 Luke 24 45 | 45 Kisha, akaziangazia akili zao ili wapate kuelewa Maandiko
14 John 12 40 | macho yao, amezipumbaza akili zao; wasione kwa macho yao,
15 John 12 40 | macho yao, wasielewe kwa akili zao; wala wasinigeukie,
16 Acts 28 27 | 27 Maana akili za watu hawa zimepumbaa,
17 Acts 28 27 | masikio yao. Wangeelewa kwa akili zao, na kunigeukia, asema
18 Roma 1 21 | fikira zao zimekuwa batili na akili zao tupu zimejaa giza.~
19 Roma 7 23 | na ile inayokubaliwa na akili yangu. Hiyo inanifanya niwe
20 Roma 7 25 | yangu: mimi binafsi, kwa akili yangu, ninaitumikia sheria
21 Roma 11 25 | uliofichika msije mkajiona wenye akili sana. Ukaidi wa Wayahudi
22 Roma 14 5 | mmoja na afuate msimamo wa akili yake.~
23 1Cor 2 14 | upumbavu mtupu; yanapita akili yake; maana yanaweza tu
24 1Cor 2 16 | Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?"
25 1Cor 2 16 | kumshauri?" Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.~ ~~ ~
26 1Cor 14 14 | ndiyo inayosali, lakini akili yangu hubaki bure.~
27 1Cor 14 15 | yangu, nitasali pia kwa akili yangu; nitaimba kwa roho
28 1Cor 14 15 | yangu, nitaimba pia kwa akili yangu.~
29 2Cor 3 14 | 14 Lakini akili zao zilipumbazwa. Mpaka
30 2Cor 3 15 | isomwapo Sheria ya Mose akili zao huwa zimefunikwa.~
31 2Cor 4 4 | ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi
32 2Cor 5 13 | ya Mungu; na ikiwa tunazo akili zetu timamu, hiyo ni kwa
33 Ephe 2 3 | yaliyoipendeza miili na akili zetu. Kidunia, sisi kama
34 Ephe 4 18 | 18 na akili zao zimo gizani. Wako mbali
35 1Tim 6 5 | kikomo kutoka kwa watu ambao akili zao zimeharibika, na ambao
36 Titus 1 15| wasioamini, maana dhamiri na akili zao zimechafuliwa.~
37 James 3 13| ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aonyeshe
38 1Pet 2 15 | kijinga ya watu wasio na akili kwa matendo mema mnayofanya.~
39 2Pet 2 12 | sawa na wanyama wasio na akili, ambao huzaliwa na baadaye
40 Rev 13 18 | kutumia ujasiri! Mwenye akili anaweza kufafanua maana
41 Rev 17 9 | 9 "Hapa panahitaji akili na hekima! Hivyo vichwa
|