Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
utatuacha 1
utatutoa 1
utauchoma 1
utawala 38
utawapatieni 1
utawapeni 1
utawategemeza 1
Frequency    [«  »]
38 mwanangu
38 sawa
38 tunajua
38 utawala
37 iwe
37 kichwa
37 kipaji

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

utawala

   Book, Chapter, Verse
1 Mark 3 24| 24 Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi 2 Mark 3 24| makundimakundi yanayopigana, utawala huo hauwezi kudumu.~ 3 Mark 3 26| 26 Ikiwa basi, utawala wa Shetani umegawanyika 4 Mark 4 11| mmejaliwa kujua siri ya Utawala wa Mungu, lakini wale walio 5 Mark 4 30| Yesu akasema, "Tuufananishe Utawala wa Mungu na nini? Tuueleze 6 Mark 9 47| Afadhali kuingia katika utawala wa Mungu ukiwa na jicho 7 Mark 13 8 | litapigana na taifa lingine; utawala mmoja utapigana na utawala 8 Mark 13 8 | utawala mmoja utapigana na utawala mwingine; kila mahali kutakuwa 9 Luke 2 1 | kuwataka watu wote chini ya utawala wake wajiandikishe.~ 10 Luke 3 1 | Mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Kaisari Tiberio, Pontio 11 Luke 11 18| Shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? Mnasemaje, 12 Luke 22 53| wenu hasa, ndio wakati wa utawala wa giza."~ 13 Luke 23 7 | kwamba Yesu alikuwa chini ya utawala wa Herode, akampeleka kwa 14 Acts 26 18| katika mwanga; watoke katika utawala wa Shetani, wamgeukie Mungu; 15 Roma 3 9 | mengine wote wako chini ya utawala wa dhambi.~ 16 Roma 14 17| 17 Maana Utawala wa Mungu si shauri la kula 17 1Cor 4 20| 20 Maana Utawala wa Mungu si shauri la maneno 18 1Cor 6 9 | watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! 19 1Cor 6 10| hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu.~ 20 1Cor 15 24| Kristo atamkabidhi Mungu Baba Utawala, baada ya kufutilia mbali 21 1Cor 15 28| vyote vitakapowekwa chini ya Utawala wa Kristo, ndipo naye Mwana 22 1Cor 15 28| aliyeweka vyote chini ya Utawala wake; ili Mungu atawale 23 Gala 3 22| ulimwengu wote upo chini ya utawala wa dhambi; na hivyo, kwa 24 Ephe 5 5 | hataambulia chochote katika Utawala wa Kristo na wa Mungu.~ 25 Colo 1 12| aliyowawekea watu wake katika utawala wa mwanga.~ 26 Colo 4 11| pamoja nami kwa ajili ya Utawala wa Mungu; nao wamekuwa msaada 27 1The 2 12| ambaye aliwaiteni mshiriki Utawala na utukufu wake.~ 28 2The 1 5 | matokeo yake ninyi mtastahili Utawala wake ambao kwa ajili yake 29 2Tim 4 18| kunichukua salama mpaka katika Utawala wake wa mbinguni. Kwake 30 Hebr 1 8 | kumhusu Mwana, Mungu alisema: "Utawala wako ee Mungu, wadumu milele 31 Hebr 12 28| tushukuru kwani tunapokea utawala usiotikisika. Tuwe na shukrani 32 James 2 5| katika imani na kupokea Utawala aliowaahidia wale wanaompenda.~ 33 James 2 8| mnaitimiza ile sheria ya Utawala kama ilivyoandikwa katika 34 2Pet 1 11| kamili ya kuingia katika Utawala wa milele wa Bwana na Mwokozi 35 Rev 1 9 | yanayowapata wale walio wa Utawala wake. Mimi nilikuwa kisiwani 36 Rev 11 15 | mbinguni zikisema, "Sasa utawala juu ya ulimwengu ni wa Bwana 37 Rev 12 10 | Mungu umefika! Nguvu na Utawala wa Mungu wetu umedhihirika. 38 Rev 16 10 | mnyama. Giza likauvamia utawala wake, watu wakauma ndimi


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License