Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 15| nabii litimie: "Nilimwita Mwanangu kutoka Misri."~
2 Matt 3 17| mbinguni ikasema, "Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye."~ ~~ ~
3 Matt 9 2 | mtu aliyepooza, "Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi zako."~
4 Matt 17 5 | katika hilo wingu: "Huyu ni Mwanangu mpendwa, ninayependezwa
5 Matt 17 15| Mheshimiwa, mwonee huruma mwanangu kwa kuwa ana kifafa, tena
6 Matt 21 28| Akamwambia yule wa kwanza, `Mwanangu, leo nenda ukafanye kazi
7 Matt 21 37| akifikiri: `Watamheshimu mwanangu.`~
8 Mark 1 11| kutoka mbinguni: "Wewe ni Mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe."~
9 Mark 2 5 | akamwambia huyo mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako."~
10 Mark 9 7 | katika hilo wingu, "Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni."~
11 Mark 9 17| akamjibu, "Mwalimu, nimemleta mwanangu kwako, ana pepo aliyemfanya
12 Mark 12 6 | huyo akisema, `Watamheshimu mwanangu.`~
13 Luke 1 76| 76 Nawe mwanangu, utaitwa, nabii wa Mungu
14 Luke 2 48| mama yake, akamwuliza, "Mwanangu, kwa nini umetutenda hivyo?
15 Luke 3 22| kutoka mbinguni: "Wewe ndiwe Mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe."~
16 Luke 9 35| hilo wingu: "Huyu ndiye Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni."~
17 Luke 9 38| Mwalimu! Ninakusihi umwangalie mwanangu - mwanangu wa pekee!~
18 Luke 9 38| Ninakusihi umwangalie mwanangu - mwanangu wa pekee!~
19 Luke 15 24| 24 Kwa sababu huyu mwanangu alikuwa amekufa, kumbe yu
20 Luke 15 31| 31 Baba yake akamjibu: `Mwanangu, wewe uko pamoja nami siku
21 Luke 16 25| Abrahamu akamjibu: `Kumbuka mwanangu, kwamba ulipokea mema yako
22 Luke 20 13| Nitafanya nini? Nitamtuma mwanangu mpenzi; labda watamjali
23 John 4 49| tafadhali twende kabla mwanangu hajafa."~
24 Acts 13 32| zaburi ya pili: `Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba
25 1Tim 1 2 | 2 nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia
26 1Tim 1 18| 18 Mwanangu Timotheo, nakukabidhi amri
27 2Tim 1 2 | 2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia
28 2Tim 2 1 | 1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema
29 Titus 1 4| Ninakuandikia wewe Tito, mwanangu wa kweli katika imani tunayoshiriki.
30 Phil 1 10| ninalo ombi moja kwako kuhusu mwanangu Onesimo, ambaye ni mwanangu
31 Phil 1 10| mwanangu Onesimo, ambaye ni mwanangu katika Kristo kwani nimekuwa
32 Hebr 1 5 | wa malaika wake: "Wewe ni Mwanangu; Mimi leo nimekuwa Baba
33 Hebr 1 5 | Baba yake, naye atakuwa Mwanangu."~
34 Hebr 5 5 | Mungu alimwambia: "Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa baba
35 Hebr 12 5 | anawataja ninyi kuwa wanawe? "Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana,
36 1Pet 5 13| wanawasalimuni. Vilevile mwanangu Marko anawasalimuni.~
37 2Pet 1 17| Mkuu, ikisema: "Huyu ni Mwanangu mpenzi, nimependezwa naye."~
38 Rev 21 7 | Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.~
|