Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 10 | Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.~
2 Matt 6 23 | hilo ni giza la kutisha mno.~
3 Matt 8 28 | hawa walikuwa wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutu
4 Matt 17 23 | Wanafunzi wakahuzunika mno.~
5 Mark 6 31 | kuwa kulikuwa na watu wengi mno walikuwa wanafika hapo na
6 Mark 16 4 | ondolewa. (Nalo lilikuwa kubwa mno.)~
7 Mark 16 8 | kitu, kwa sababu waliogopa mno. [[[~
8 Luke 16 24 | wangu, maana ninateseka mno katika moto huu.`~
9 John 11 47 | huyu anafanya ishara nyingi mno.~
10 John 20 20 | hao wanafunzi wakafurahi mno kumwona Bwana.~
11 Acts 3 10 | wa Hekalu, wakashangaa mno hata wasiweze kuelewa yaliyompata.~
12 Acts 12 14 | sauti ya Petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua
13 Acts 24 5 | kwamba mtu huyu ni wa hatari mno. Yeye huanzisha ghasia kati
14 Roma 7 13 | kikamilifu jinsi ilivyo mbaya mno.~
15 Roma 10 15 | Ni jambo la kupendeza mno kuja kwa wale wanaohubiri
16 Roma 11 33 | na elimu ya Mungu ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki,
17 2Cor 2 4 | kuwaonyesheni kwamba nawapenda mno.~
18 2Cor 2 7 | moyo ili asije akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa.~
19 2Cor 3 7 | utukufu wake ulikuwa mkuu mno hata wana wa Israeli wasiweze
20 2Cor 7 4 | kitulizo kikubwa na kufurahi mno.~
21 2Cor 12 15 | kuwa mimi nawapenda ninyi mno?~
22 Ephe 1 19 | jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno kwa ajili yetu sisi tunaoamini.
23 Ephe 1 19 | ni sawa na nguvu ile kuu mno~
24 1Tim 3 8 | wanyofu; wasiwe wanywaji mno wa divai au wenye tamaa
25 2Tim 3 11 | Nilivumilia udhalimu mkubwa mno! Lakini Bwana aliniokoa
26 Titus 1 16| humkana. Ni watu wa kuchukiza mno na wakaidi, hawafai kwa
27 Hebr 10 31 | hai ni jambo la kutisha mno!~
28 Hebr 12 21 | yote yalionekana ya kutisha mno, hata Mose akasema, "Naogopa
29 1Pet 4 3 | ubinafsi, ulevi, ugomvi, kunywa mno na ya ibada haramu za sanamu.~
30 1Joh 3 1 | jinsi Baba alivyotupenda mno hata tunaitwa watoto wa
31 Jude 1 16 | na kuwasifu watu wengine mno kusudi wafaulu katika mipango
32 Rev 11 10 | wawili walikuwa wamewasumbua mno watu wa dunia.~
33 Rev 15 3 | Uwezo, matendo yako ni makuu mno! Ewe Mfalme wa mataifa,
34 Rev 16 21 | hiyo ya mawe lilikuwa kubwa mno.~ ~~ ~
35 Rev 17 6 | Nilipomwona nilishangaa mno.~
36 Rev 18 2 | wachafu na wa kuchukiza mno.~
37 Rev 18 5 | dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimelundikana mpaka mbinguni,
|