1-500 | 501-865
Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 20 | kumchukua Maria awe mke wako, maana amekuwa mja mzito kwa uwezo
2 Matt 1 23 | naye ataitwa Emanueli" (maana yake, "Mungu yu pamoja nasi").~
3 Matt 2 6 | kati ya viongozi wa Yuda; maana kwako atatokea kiongozi
4 Matt 2 13 | huko mpaka nitakapokwambia, maana Herode anakusudia kumwua
5 Matt 2 18 | wala hataki kutulizwa, maana wote wamefariki."~
6 Matt 2 20 | katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumwua mtoto
7 Matt 3 2 | 2 "Tubuni, maana Ufalme wa mbinguni umekaribia."~
8 Matt 3 15 | Acha tu iwe hivyo kwa sasa, maana kwa namna hii inafaa tuyatekeleze
9 Matt 4 6 | wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: `Mungu atawaamuru
10 Matt 4 17 | kuhubiri akisema, "Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia!"~
11 Matt 5 3 | Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.~
12 Matt 5 4 | 4 Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa.~
13 Matt 5 5 | 5 Heri walio wapole, maana watairithi nchi.~
14 Matt 5 6 | kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.~
15 Matt 5 7 | 7 Heri walio na huruma, maana watahurumiwa.~
16 Matt 5 8 | 8 Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu.~
17 Matt 5 9 | Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa Mungu.~
18 Matt 5 10 | kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao.~
19 Matt 5 12 | Furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni.
20 Matt 5 20 | 20 Ndiyo maana nawaambieni, wema wenu usipozidi
21 Matt 5 34 | kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha Mungu;~
22 Matt 5 35 | 35 wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea
23 Matt 5 35 | miguu; wala kwa Yerusalemu, maana ni mji wa Mfalme mkuu.~
24 Matt 5 36 | usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele
25 Matt 5 45 | yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake
26 Matt 5 46 | wanaowapenda ninyi? Hakuna! Kwa maana hata watoza ushuru hufanya
27 Matt 6 14 | 14 "Maana mkiwasamehe watu makosa
28 Matt 6 21 | 21 Maana pale ilipo hazina yako,
29 Matt 6 24 | kutumikia mabwana wawili. Maana atamchukia mmoja na kumpenda
30 Matt 6 25 | 25 "Ndiyo maana nawaambieni, msiwe na wasiwasi
31 Matt 6 32 | 32 Maana hayo yote yanahangaikiwa
32 Matt 7 2 | 2 kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine,
33 Matt 7 8 | 8 Maana, aombaye hupewa, atafutaye
34 Matt 7 12 | wawatendee ninyi. Hii ndiyo maana ya Sheria ya Mose na mafundisho
35 Matt 7 13 | kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye
36 Matt 8 9 | 9 Maana, hata mimi niliye mtu chini
37 Matt 9 13 | 13 Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: `Nataka
38 Matt 9 16 | mpya katika vazi kuukuu. Maana kiraka hicho kitararua hilo
39 Matt 10 10 | wala viatu, wala fimbo. Maana mfanyakazi anastahili riziki
40 Matt 10 17 | 17 Jihadharini na watu, maana watawapeleka ninyi mahakamani
41 Matt 10 20 | 20 Maana si ninyi mtakaosema, bali
42 Matt 10 35 | 35 Maana nimekuja kuleta mafarakano
43 Matt 11 18 | 18 Kwa maana Yohane alikuja, akafunga
44 Matt 11 21 | Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika
45 Matt 11 23 | Utaporomoshwa mpaka Kuzimu! Maana, kama miujiza iliyofanyika
46 Matt 11 25 | Bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima
47 Matt 11 29 | yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu
48 Matt 11 30 | 30 Maana, nira niwapayo mimi ni laini,
49 Matt 12 7 | 7 Kama tu mngejua maana ya maneno haya: `Nataka
50 Matt 12 8 | 8 Maana Mwana wa Mtu ni Bwana wa
51 Matt 12 34 | mema hali ninyi ni waovu? Maana mtu husema kutokana na yale
52 Matt 12 37 | 37 Maana kwa maneno yako, utakubaliwa
53 Matt 12 41 | hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu
54 Matt 12 42 | atakihukumu kwamba kina hatia. Maana yeye alisafiri kutoka mbali
55 Matt 12 50 | 50 Maana yeyote anayefanya anavyotaka
56 Matt 13 12 | 12 Maana, aliye na kitu atapewa na
57 Matt 13 13 | 13 Ndiyo maana ninasema nao kwa mifano,
58 Matt 13 15 | 15 Maana akili za watu hawa zimepumbaa,
59 Matt 13 16 | Lakini heri yenu ninyi, maana macho yenu yanaona na masikio
60 Matt 13 18 | Basi, ninyi sikilizeni maana ya mfano huo wa mpanzi.~
61 Matt 14 2 | amefufuka kutoka wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya
62 Matt 15 9 | Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni
63 Matt 15 19 | 19 Maana moyoni hutoka mawazo maovu
64 Matt 15 23 | Mwambie aende zake kwa maana anatufuatafuata akipiga
65 Matt 16 2 | ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!`~
66 Matt 16 3 | hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena
67 Matt 16 17 | Simoni mwana wa Yona, kwa maana si binadamu aliyekufunulia
68 Matt 16 25 | 25 Maana, mtu anayetaka kuyaokoa
69 Matt 16 27 | 27 Maana, Mwana wa Mtu atakuja katika
70 Matt 18 20 | 20 Kwa maana popote pale wanapokusanyika
71 Matt 18 23 | 23 Ndiyo maana Ufalme wa mbinguni umefanana
72 Matt 19 12 | 12 Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza
73 Matt 19 14 | kwangu, wala msiwazuie; maana Ufalme wa mbinguni ni wa
74 Matt 19 22 | zake akiwa mwenye huzuni, maana alikuwa na mali nyingi.~
75 Matt 21 26 | tunaogopa umati wa watu maana wote wanakubali kwamba Yohane
76 Matt 21 32 | 32 Maana Yohane alikuja kwenu akawaonyesha
77 Matt 22 16 | humwogopi mtu yeyote, ~maana cheo cha mtu si kitu kwako. ~
78 Matt 22 28 | miongoni mwa wale ndugu saba? Maana Wote saba walimwoa." ~
79 Matt 22 30 | 30 Maana wafu watakapofufuliwa hawataoa
80 Matt 22 43 | Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema: ~ ~
81 Matt 23 3 | Lakini ~msiyaige matendo yao, maana hawatekelezi yale wanayoyahubiri. ~
82 Matt 23 8 | msiitwe kamwe <Mwalimu,> maana mwalimu wenu ni mmoja ~tu,
83 Matt 23 9 | yeyote <Baba> hapa duniani, maana Baba yenu ni ~mmoja tu aliye
84 Matt 23 10 | Wala msiitwe <Viongozi,> maana kiongozi wenu ni mmoja tu,
85 Matt 23 17 | wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: dhahabu au ~Hekalu
86 Matt 23 19 | vipofu! Ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au ~madhabahu
87 Matt 23 34 | 34 Ndiyo maana mimi ninawapelekea ninyi
88 Matt 24 5 | 5 Maana wengi watatokea na kulitumia
89 Matt 24 6 | vita; lakini msifadhaike, maana hayo hayana budi kutokea,
90 Matt 24 15 | patakatifu, (msomaji na atambue maana yake),~
91 Matt 24 21 | 21 Maana wakati huo kutakuwa na dhiki
92 Matt 24 24 | 24 Maana watatokea kina Kristo wa
93 Matt 24 27 | 27 maana, kama vile umeme uangazavyo
94 Matt 24 37 | 37 Kwa maana kama ilivyokuwa nyakati
95 Matt 24 38 | 38 Maana nyakati hizo, kabla ya gharika
96 Matt 24 42 | 42 Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja
97 Matt 24 44 | nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana wa Mtu atakuja saa
98 Matt 25 8 | Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.`~
99 Matt 25 13 | akasema, "Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.~
100 Matt 25 29 | 29 Maana, aliye na kitu atapewa na
101 Matt 25 35 | 35 Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa
102 Matt 25 42 | 42 Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa
103 Matt 26 28 | 28 maana hii ni damu yangu inayothibitisha
104 Matt 26 31 | mtakuwa na mashaka nami, maana Maandiko Matakatifu yasema: `
105 Matt 26 43 | tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa
106 Matt 26 52 | Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga,
107 Matt 26 73 | wewe pia ni mmoja wao, maana msemo wako unakutambulisha."~
108 Matt 27 6 | katika hazina ya Hekalu kwa maana ni fedha za damu."~
109 Matt 27 8 | 8 Ndiyo maana mpaka leo shamba hilo linaitwa
110 Matt 27 18 | 18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta
111 Matt 27 19 | shauri la mtu huyu mwema, maana leo nimeteseka sana katika
112 Matt 27 33 | mahali paitwapo Golgotha, maana yake, "Mahali pa Fuvu la
113 Matt 27 46 | Eli, lema sabakthani?" Maana yake, "Mungu wangu, Mungu
114 Matt 28 6 | 6 Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema.
115 Mark 1 22 | walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama
116 Mark 1 34 | hakuwaruhusu kusema kitu maana walikuwa wanamjua yeye ni
117 Mark 1 38 | jirani nikahubiri huko pia, maana nimekuja kwa sababu hiyo."~
118 Mark 3 17 | ndugu wawili jina Boanerge, maana yake "wanangurumo"),~
119 Mark 3 21 | wakatoka kwenda kumchukua maana walikuwa wanasema kwamba
120 Mark 4 29 | huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika."~
121 Mark 5 9 | Jina langu ni `Jeshi`, maana sisi tu wengi."~
122 Mark 5 28 | 28 Alifanya hivyo, maana alijisemea, "Nikigusa tu
123 Mark 5 41 | akamwambia, "Talitha, kumi," maana yake, "Msichana, nakwambia,
124 Mark 6 14 | alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za Yesu zilienea kila
125 Mark 6 14 | amefufuka kutoka wafu, ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya
126 Mark 6 20 | Herode alimwogopa Yohane kwa maana alijua kwamba yeye ni mtu
127 Mark 6 48 | wakitaabika kwa kupiga makasia, maana upepo ulikuwa unawapinga.
128 Mark 6 50 | 50 Maana wote walipomwona waliogopa
129 Mark 6 52 | 52 maana hawakuwa bado wameelewa
130 Mark 6 52 | hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. Akili zao
131 Mark 7 3 | 3 Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine
132 Mark 7 7 | Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni
133 Mark 7 10 | 10 Maana Mose aliamuru: `Waheshimu
134 Mark 7 17 | wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.~
135 Mark 7 19 | 19 kwa maana hakimwingii moyoni, ila
136 Mark 7 21 | 21 Kwa maana kutoka ndani, katika moyo
137 Mark 7 27 | Kwanza watoto washibe; kwa maana si vizuri kuchukua chakula
138 Mark 7 34 | kite, akamwambia, "Efatha," maana yake, "Funguka."~
139 Mark 8 3 | na njaa watazimia njiani, maana baadhi yao wametoka mbali."~
140 Mark 8 35 | 35 Maana mtu anayetaka kuyaokoa maisha
141 Mark 9 10 | wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.~
142 Mark 9 34 | Lakini wao wakanyamaza, maana njiani walikuwa wamebishana
143 Mark 9 39 | Yesu akasema, "Msimkataze, maana hakuna mtu anayefanya muujiza
144 Mark 9 40 | 40 Maana, asiyepingana nasi, yuko
145 Mark 9 49 | 49 "Maana kila mmoja atakolezwa kwa
146 Mark 10 14 | kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni kwa ajili
147 Mark 10 22 | zake akiwa na huzuni, kwa maana alikuwa na mali nyingi.~
148 Mark 10 27 | lakini kwa Mungu si hivyo, maana kwa Mungu mambo yote huwezekana."~
149 Mark 10 45 | 45 Maana Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa,
150 Mark 11 32 | Waliogopa umati wa watu maana wote waliamini kwamba Yohane
151 Mark 12 23 | huyo atakuwa mke wa nani? Maana wote saba walikuwa wamemwoa."~
152 Mark 12 25 | 25 Maana wafu watakapofufuka, hawataoa
153 Mark 12 44 | 44 Maana wote walitoa kutokana na
154 Mark 13 6 | 6 Maana wengi watakuja wakilitumia
155 Mark 13 9 | Lakini ninyi jihadharini. Maana watu watawapelekeni mahakamani,
156 Mark 13 11 | semeni chochote mtakachopewa, maana si ninyi mtakaosema, bali
157 Mark 13 14 | pake, (msomaji na atambue maana yake!) Hapo watu walioko
158 Mark 13 19 | 19 Maana wakati huo kutakuwa na dhiki
159 Mark 13 22 | 22 Maana watatokea kina Kristo wa
160 Mark 13 33 | Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika
161 Mark 13 35 | 35 Kesheni, basi, kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi
162 Mark 14 27 | mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: `
163 Mark 14 70 | Hakika wewe ni mmoja wao, maana wewe ni Mgalilaya."~
164 Mark 15 22 | mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, "Mahali pa Fuvu la
165 Mark 15 34 | Eloi, lema sabakthani?" Maana yake, "Mungu wangu, Mungu
166 Mark 16 8 | wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na
167 Mark 16 14 | kutoamini kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa
168 Luke 1 13 | Zakariya, usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa,
169 Luke 1 30 | akamwambia, "Usiogope Maria, kwa maana Mungu amekujalia neema.~
170 Luke 1 37 | 37 Kwa maana hakuna jambo lisilowezekana
171 Luke 1 66 | atakuwa mtu wa namna gani?" Maana, hakika nguvu ya Bwana ilikuwa
172 Luke 2 11 | 11 Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi,
173 Luke 2 30 | 30 Maana kwa macho yangu nimeuona
174 Luke 2 50 | wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia.~
175 Luke 4 6 | hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka
176 Luke 4 10 | 10 kwa maana imeandikwa: `Atawaamuru
177 Luke 4 36 | Hili ni jambo la ajabu, maana kwa uwezo na nguvu anawaamuru
178 Luke 4 41 | wala hakuwaruhusu kusema, maana walimfahamu kwamba yeye
179 Luke 4 43 | katika miji mingine pia, maana nilitumwa kwa ajili hiyo."~
180 Luke 6 19 | wote walitaka kumgusa, kwa maana nguvu ilikuwa inatoka ndani
181 Luke 6 20 | Heri ninyi mlio maskini, maana Ufalme wa Mungu ni wenu.~
182 Luke 6 21 | ninyi mnaosikia njaa sasa, maana baadaye mtashiba. Heri ninyi
183 Luke 6 21 | Heri ninyi mnaolia sasa, maana baadaye mtacheka kwa furaha.~
184 Luke 6 23 | yatakapotokea, furahini na kucheza, maana hakika tuzo lenu ni kubwa
185 Luke 6 23 | lenu ni kubwa mbinguni. Kwa maana wazee wao waliwatendea manabii
186 Luke 6 24 | wenu ninyi mlio matajiri, maana mmekwisha pata faraja yenu.~
187 Luke 6 25 | wenu ninyi mnaoshiba sasa, maana baadaye mtasikia njaa. Ole
188 Luke 6 25 | mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza na kulia.~
189 Luke 6 26 | iwapo watu wote wanawasifu, maana wazee wao waliwafanyia manabii
190 Luke 6 32 | mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda
191 Luke 6 35 | wa Mungu aliye juu. Kwa maana yeye ni mwema kwa wale wasio
192 Luke 6 38 | kusukwasukwa hata kumwagika. Kwa maana kipimo kilekile mnachotumia
193 Luke 6 45 | iliyo moyoni mwake, kwa maana mtu huongea kutokana na
194 Luke 7 5 | 5 maana analipenda taifa letu, na
195 Luke 7 6 | Bwana, usijisumbue zaidi, maana mimi sistahili uingie nyumbani
196 Luke 7 7 | 7 Ndio maana sikujiona nastahili hata
197 Luke 7 33 | 33 Kwa maana Yohane alikuja, yeye alifunga
198 Luke 8 9 | Wanafunzi wake wakamwuliza Yesu maana ya mfano huo.~
199 Luke 8 11 | 11 "Basi, maana ya mfano huu ni hii: mbegu
200 Luke 8 13 | watu hao hawana mizizi maana husadiki kwa kitambo tu,
201 Luke 8 18 | jihadharini jinsi mnavyosikia; maana aliye na kitu ataongezewa,
202 Luke 8 40 | watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.~
203 Luke 8 46 | Kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka."~
204 Luke 8 52 | akawaambia, "Msilie, kwa maana mtoto hajafa, amelala tu!"~
205 Luke 9 12 | na mahali pa kulala, kwa maana hapa tulipo ni nyikani."~
206 Luke 9 24 | 24 Maana, mtu anayetaka kuyaokoa
207 Luke 9 45 | 45 Lakini wao hawakuelewa maana ya usemi huo. Jambo hilo
208 Luke 9 48 | anampokea yule aliyenituma. Maana yule aliye mdogo kuliko
209 Luke 9 56 | kingine. gani mliyo nayo; kwa maana Mwana wa Mtu hakuja kuyaangamiza
210 Luke 10 7 | na kunywa wanavyowapeni, maana mfanyakazi anastahili mshahara
211 Luke 10 13 | Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika
212 Luke 11 4 | 4 Utusamehe dhambi zetu, maana sisi tunawasamehe wote waliotukosea;
213 Luke 11 10 | 10 Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye
214 Luke 11 46 | walimu wa Sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika,
215 Luke 11 48 | na matendo ya wazee wenu; maana wao waliwaua hao manabii,
216 Luke 12 12 | 12 Kwa maana wakati huo Roho Mtakatifu
217 Luke 12 15 | Jihadharini na kila aina ya tamaa; maana uzima wa mtu hautegemei
218 Luke 12 30 | 30 Kwa maana hayo yote ndiyo yanayohangaikiwa
219 Luke 12 32 | Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni
220 Luke 12 40 | kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja saa
221 Luke 12 56 | nini basi, hamwezi kujua maana ya nyakati hizi?~
222 Luke 12 58 | 58 Maana kama mshtaki wako anakupeleka
223 Luke 13 24 | kupitia mlango mwembamba; maana nawaambieni, wengi watajaribu
224 Luke 13 31 | uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua."~
225 Luke 14 11 | 11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa,
226 Luke 14 14 | hao hawana cha kukulipa. Maana Mungu atakupa tuzo lako
227 Luke 14 24 | 24 Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata
228 Luke 14 28 | 28 Kwa maana, ni nani miongoni mwenu
229 Luke 16 2 | matumizi ya mali yangu, kwa maana huwezi kuwa karani tena.`~
230 Luke 16 8 | kuwa alitumia busara. Kwa maana watu wa dunia hii wana busara
231 Luke 16 13 | kuwatumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia mmoja na kumpenda
232 Luke 16 15 | anaijua mioyo yenu. Kwa maana kile kinachoonekana kuwa
233 Luke 16 24 | auburudishe ulimi wangu, maana ninateseka mno katika moto
234 Luke 16 28 | 28 maana ninao ndugu watano, ili
235 Luke 17 24 | 24 Kwa maana kama vile umeme unavyotokea
236 Luke 18 14 | yule mwingine, sivyo. Kwa maana kila anayejikweza atashushwa,
237 Luke 18 16 | kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni kwa ajili
238 Luke 18 32 | 32 Kwa maana atakabidhiwa kwa watu wa
239 Luke 18 34 | hilo; walikuwa wamefichwa maana ya maneno hayo, na hawakutambua
240 Luke 19 4 | aweze kumwona Yesu, kwa maana alikuwa apitie hapo.~
241 Luke 19 5 | akamwambia, "Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani
242 Luke 19 10 | 10 Kwa maana Mwana wa Mtu amekuja kutafuta
243 Luke 19 21 | 21 kwa maana niliogopa kwa sababu wewe
244 Luke 19 43 | 43 Maana siku zaja ambapo adui zako
245 Luke 19 48 | hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza
246 Luke 20 6 | wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba Yohane
247 Luke 20 17 | Maandiko haya Matakatifu yana maana gani basi? `Jiwe walilokataa
248 Luke 20 38 | Mungu wa wale walio hai; maana wale aliowaita kwake, wanaishi
249 Luke 20 42 | 42 Maana Daudi mwenyewe anasema katika
250 Luke 21 4 | 4 Kwa maana, wengine wote wametoa sadaka
251 Luke 21 8 | Jihadharini, msije mkadanganyika. Maana wengi watatokea na kulitumia
252 Luke 21 9 | misukosuko, msitishike; maana ni lazima hayo yatokee kwanza,
253 Luke 21 22 | 22 Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu,
254 Luke 21 23 | wanyonyeshao siku hizo! Kwa maana kutakuwa na dhiki kubwa
255 Luke 21 26 | yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.~
256 Luke 21 28 | kuinua vichwa vyenu juu, kwa maana ukombozi wenu umekaribia."~
257 Luke 21 35 | 35 Kwa maana itawajia kama mtego, wote
258 Luke 22 16 | 16 Maana nawaambieni, sitaila tena
259 Luke 22 18 | 18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa
260 Luke 22 27 | 27 Kwa maana, ni nani aliye mkuu: yule
261 Luke 22 37 | 37 Maana nawaambieni, haya maneno
262 Luke 23 15 | hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. Ni dhahiri
263 Luke 23 29 | 29 Maana, hakika siku zitakuja ambapo
264 Luke 23 31 | 31 Kwa maana, kama watu wanautendea mti
265 Luke 23 34 | akasema, "Baba, uwasamehe kwa maana hawajui wanalofanya." Kisha
266 Luke 23 41 | Wewe na mimi tunastahili, maana haya ni malipo ya yale tuliyotenda.
267 Luke 24 29 | wakisema, "Kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia."
268 Luke 24 39 | mwenyewe. Nipapaseni mkanione, maana mzimu hauna mwili na mifupa
269 Luke 24 44 | Halafu akawaambia, "Hii ndiyo maana ya maneno niliyowaambia
270 John 1 15 | ambaye ni mkuu kuliko mimi, maana alikuwako kabla mimi sijazaliwa."`~
271 John 1 17 | 17 Maana Mungu alitoa Sheria kwa
272 John 1 30 | mkuu zaidi kuliko mimi, maana alikuwako kabla mimi sijazaliwa!`~
273 John 1 41 | akamwambia, "Tumemwona Masiha" (maana yake Kristo).~
274 John 1 42 | Yohane. Sasa utaitwa Kefa." (maana yake ni Petro, yaani, "Mwamba.")~
275 John 2 25 | kuambiwa chochote juu ya watu, maana aliyajua barabara mambo
276 John 3 2 | mwalimu uliyetumwa na Mungu, maana hakuna mtu awezaye kufanya
277 John 3 16 | 16 Maana Mungu aliupenda ulimwengu
278 John 3 17 | 17 Maana Mungu hakumtuma Mwanae ulimwenguni
279 John 3 20 | wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu
280 John 3 23 | Ainoni, karibu na Salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi.
281 John 3 34 | husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo
282 John 4 18 | 18 Maana umekuwa na waume watano,
283 John 4 22 | huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa Wayahudi.~
284 John 4 44 | 44 Maana Yesu mwenyewe alisema waziwazi
285 John 4 45 | Wagalilaya wengi walimkaribisha. Maana nao pia walikuwa kwenye
286 John 5 5 | 4 maana mara kwa mara malaika alishuka
287 John 5 14 | hakumjua huyo mtu aliyemponya, maana Yesu alikuwa amekwisha ondoka
288 John 5 20 | anachomwona Baba akikifanya. Maana kile anachofanya Baba, Mwana
289 John 5 29 | Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote
290 John 5 37 | kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa
291 John 5 39 | ujumbe wake haukai ndani yenu maana hamkumwamini yule aliyemtuma.~
292 John 5 47 | mngeniamini na mimi pia; maana Mose aliandika juu yangu.~
293 John 6 33 | 33 Maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye
294 John 6 40 | 40 Maana anachotaka Baba yangu ndicho
295 John 6 46 | 46 Hii haina maana kwamba yupo mtu aliyemwona
296 John 6 55 | 55 Maana mwili wangu ni chakula cha
297 John 6 65 | 65 Kisha akasema, "Ndiyo maana niliwaambieni kwamba hakuna
298 John 6 71 | mwana wa Simoni Iskarioti; maana huyu alikuwa ndiye atakayemsaliti,
299 John 7 8 | siendi kwenye sikukuu hiyo, maana saa yangu ifaayo haijafika."~
300 John 7 34 | Mtanitafuta lakini hamtaniona, maana pale nitakapokuwa ninyi
301 John 7 36 | 36 Ana maana gani anaposema: `Mtanitafuta
302 John 8 24 | 24 Ndiyo maana niliwaambieni mtakufa katika
303 John 8 33 | wa mtu yeyote yule. Una maana gani unaposema: `mtakuwa
304 John 8 42 | yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu
305 John 8 44 | na hali yake ya maumbile, maana yeye ni mwongo na baba wa
306 John 8 45 | nasema ukweli, na ndiyo maana ninyi hamniamini.~
307 John 9 4 | kazi za yule aliyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu
308 John 9 7 | katika bwawa la Siloamu." (maana ya jina hili ni "aliyetumwa").
309 John 9 16 | huyu hakutoka kwa Mungu, maana hashiki sheria ya Sabato."
310 John 9 23 | 23 Ndiyo maana wazazi wake walisema: "Yeye
311 John 10 33 | kwa sababu ya kukufuru! Maana wajifanya kuwa Mungu hali
312 John 11 10 | akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake."~
313 John 12 11 | 11 Maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi
314 John 12 18 | umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu
315 John 12 27 | inifikie`? Lakini ndiyo maana nimekuja - ili nipite katika
316 John 12 35 | mwanga ili giza lisiwapate; maana atembeaye gizani hajui aendako.~
317 John 12 47 | hayashiki mimi sitamhukumu; maana sikuja kuhukumu ulimwengu
318 John 13 10 | kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata mwili wote.
319 John 13 11 | ambaye atamsaliti, ndiyo maana alisema: "Ninyi mmetakata,
320 John 14 12 | atafanya hata makuu zaidi, maana nakwenda kwa Baba.~
321 John 14 28 | sababu ninakwenda kwa Baba, maana yeye ni mkuu kuliko mimi.~
322 John 14 30 | nanyi tena mambo mengi, maana mtawala wa ulimwengu huu
323 John 14 31 | nampenda Baba, na ndiyo maana nafanya kila kitu kama Baba
324 John 15 5 | huyo atazaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya
325 John 15 15 | siwaiti tena watumishi, maana mtumishi hajui anachofanya
326 John 16 7 | kwenu mimi niende zangu, maana nisipokwenda Msaidizi hatakuja
327 John 16 13 | atawaongoza kwenye ukweli wote; maana hatasema kwa mamlaka yake
328 John 16 15 | navyo Baba ni vyangu; ndiyo maana nimesema kwamba huyo Roho
329 John 16 17 | wanafunzi wake wakaulizana, "Ana maana gani anapotwambia: `Bado
330 John 16 18 | wakawa wanaulizana, "Ana maana gani anaposema: `Bado kitambo
331 John 16 27 | 27 maana yeye mwenyewe anawapenda
332 John 16 32 | lakini mimi siko peke yangu, maana Baba yu pamoja nami.~
333 John 17 2 | 2 Maana ulimpa Mwanao mamlaka juu
334 John 17 9 | nawaombea hao ulionipa, maana ni wako.~
335 John 19 6 | wenyewe mkamsulubishe, kwa maana mimi sikuona hatia yoyote
336 John 19 20 | wengi waliisoma ilani hiyo, maana mahali hapo aliposulubiwa
337 John 19 31 | msalabani siku ya Sabato, maana siku hiyo ya Sabato ilikuwa
338 John 19 38 | wa Yesu, lakini kwa siri, maana aliwaogopa viongozi wa Wayahudi).
339 John 21 7 | Bwana, akajifunga vazi lake (maana hakuwa amelivaa), akarukia
340 John 21 12 | kumwuliza: "Wewe ni nani?" Maana walijua alikuwa Bwana.~
341 Acts 1 17 | alikuwa mmoja wa kikundi chetu maana alichaguliwa ashiriki huduma
342 Acts 1 19 | lile shamba `Hekeli Dama`, maana yake, `Shamba la Damu.`)~
343 Acts 2 12 | huku wakiulizana, "Hii ina maana gani?"~
344 Acts 2 24 | katika maumivu ya kifo kwa maana haingewezekana kabisa kifo
345 Acts 2 25 | 25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: `
346 Acts 2 34 | 34 Maana Daudi mwenyewe, hakupanda
347 Acts 2 39 | 39 Maana, ahadi ile ilikuwa kwa ajili
348 Acts 3 22 | 22 Kwa maana Mose alisema, `Bwana Mungu
349 Acts 4 2 | 2 Walikasirika sana, maana hao mitume walikuwa wanawahubiria
350 Acts 4 12 | mtu mwingine yeyote, kwa maana duniani pote, binadamu hawakupewa
351 Acts 4 20 | 20 Kwa maana hatuwezi kuacha kusema juu
352 Acts 4 27 | 27 "Maana, kwa hakika, ndivyo Herode,
353 Acts 4 34 | yeyote aliyetindikiwa kitu, maana waliokuwa na mashamba au
354 Acts 4 36 | walimwita jina Barnaba (maana yake, "Mtu mwenye kutia
355 Acts 5 26 | hawakuwakamata kwa kutumia nguvu, maana waliogopa kwamba watu wangewapiga
356 Acts 5 36 | Theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu mia nne wakajiunga
357 Acts 5 38 | hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli
358 Acts 6 14 | 14 Kwa maana tulikwisha msikia akisema
359 Acts 7 33 | akamwambia: `Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali
360 Acts 7 40 | itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata Mose
361 Acts 8 7 | 7 Maana pepo wachafu waliokuwa wamewapagaa
362 Acts 8 16 | 16 maana wakati huo Roho Mtakatifu
363 Acts 8 21 | haki katika kazi hiyo kwa maana moyo wako hauko sawa mbele
364 Acts 8 33 | juu ya kizazi chake, kwa maana maisha yake yameondolewa
365 Acts 9 15 | akamwambia, "Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu,
366 Acts 9 36 | kwa Kigiriki ni Dorka, maana yake, Paa). Huyo mwanamke
367 Acts 10 17 | alipokuwa bado anashangaa juu ya maana ya hilo maono alilokuwa
368 Acts 10 20 | usisite kwenda pamoja nao kwa maana ni mimi niliyewatuma."~
369 Acts 10 26 | akamwambia, "Simama, kwa maana mimi ni binadamu tu."~
370 Acts 10 46 | 46 maana waliwasikia wakiongea kwa
371 Acts 11 8 | mimi nikasema: `La, Bwana; maana chochote kilicho najisi
372 Acts 12 20 | wakamwomba kuwe na amani, kwa maana nchi yao ilitegemea nchi
373 Acts 13 27 | 27 Kwa maana wenyeji wa Yerusalemu na
374 Acts 13 41 | madharau, shangaeni mpotee! Kwa maana kitu ninachofanya sasa,
375 Acts 13 47 | 47 Maana Bwana alituagiza hivi: `
376 Acts 15 21 | 21 Kwa maana kwa muda mrefu maneno ya
377 Acts 16 28 | Usijidhuru mwenyewe kwa maana sisi sote tuko hapa."~
378 Acts 17 20 | Tungependa kujua mambo haya yana maana gani."~
379 Acts 17 25 | anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe ndiye anayewapa
380 Acts 17 31 | 31 Kwa maana amekwisha weka siku ambayo
381 Acts 18 10 | 10 maana mimi niko pamoja nawe. Hakuna
382 Acts 18 10 | atakayejaribu kukudhuru maana hapa mjini pana watu wengi
383 Acts 18 28 | 28 kwa maana aliendelea kwa uhodari kuwashinda
384 Acts 19 27 | Artemi kuwa si kitu cha maana. Hatimaye sifa zake huyo
385 Acts 19 40 | 40 Kwa maana tungaliweza kushtakiwa kwa
386 Acts 20 10 | kusema, "Msiwe na wasiwasi maana kuna uhai bado ndani yake."~
387 Acts 20 13 | Paulo. Ndivyo alivyopanga; maana alitaka kufika huko kwa
388 Acts 20 27 | 27 Kwa maana sikusita hata kidogo kuwatangazieni
389 Acts 21 36 | 36 Kwa maana kundi kubwa la watu walimfuata
390 Acts 22 15 | 15 Kwa maana utamshuhudia kwa watu wote
391 Acts 22 18 | Ondoka Yerusalemu upesi kwa maana watu wa hapa binadamu hawataukubali
392 Acts 23 5 | kama yeye ni Kuhani Mkuu. Maana Maandiko yasema hivi: `Usiseme
393 Acts 23 18 | nimlete kijana huyu kwako kwa maana ana jambo la kukwambia."~
394 Acts 23 21 | Lakini wewe usikubali kwa maana kuna watu zaidi ya arobaini
395 Acts 25 26 | Kaisari juu yake. Ndiyo maana nimemleta hapa mbele yenu
396 Acts 25 27 | 27 Kwa maana nadhani itakuwa kichekesho
397 Acts 26 26 | hayo yanajulikana kwako maana jambo hili halikutendeka
398 Acts 27 23 | 23 Kwa maana jana usiku malaika wa yule
399 Acts 27 25 | waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba
400 Acts 27 34 | ninawasihi mle chakula kwa maana mnakihitaji ili mweze kuendelea
401 Acts 27 34 | mweze kuendelea kuishi. Maana hata unywele mmoja wa vichwa
402 Acts 28 20 | kuonana na kuongea nanyi, maana nimefungwa minyororo hii
403 Acts 28 22 | yaliyo kichwani mwako. Kwa maana tujualo sisi kuhusu hicho
404 Acts 28 27 | 27 Maana akili za watu hawa zimepumbaa,
405 Roma 1 11 | 11 Kwa maana ninatamani sana kuwaoneni
406 Roma 1 15 | 15 Ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri
407 Roma 1 17 | 17 Kwa maana Habari Njema inaonyesha
408 Roma 1 19 | 19 Kwa maana, yote yanayoweza kujulikana
409 Roma 1 19 | juu ya Mungu ni wazi kwao; maana Mungu mwenyewe ameyadhirisha.~
410 Roma 2 1 | haidhuru wewe ni nani. Kwa maana, kwa kuwahukumu wengine,
411 Roma 2 11 | 11 Maana Mungu hambagui mtu yeyote.~
412 Roma 2 15 | zinashuhudia pia jambo hilo, maana fikira zao mara nyingine
413 Roma 2 25 | Kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii Sheria. Lakini
414 Roma 3 9 | wengine? Hata kidogo! Kwa maana nimekwisha bainisha hapo
415 Roma 3 20 | 20 Maana hakuna binadamu yeyote anayekubaliwa
416 Roma 3 28 | 28 Maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu
417 Roma 4 3 | 3 Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: "
418 Roma 4 9 | wale wasiotahiriwa pia. Kwa maana tumekwisha sema: "Abrahamu
419 Roma 4 14 | 14 Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi
420 Roma 4 14 | Sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu
421 Roma 4 22 | 22 Ndiyo maana Mungu alimkubali kuwa mwadilifu.~
422 Roma 5 5 | hilo haliwezi kutuhadaa, maana Mungu amekwisha miminia
423 Roma 5 8 | amethibitisha kwamba anatupenda, maana wakati tulipokuwa bado wenye
424 Roma 5 10 | 10 Maana, tulipokuwa bado adui zake,
425 Roma 5 12 | jumuiya yote ya binadamu, kwa maana wote wametenda dhambi.~
426 Roma 5 15 | si kama dhambi ya Adamu. Maana, ingawa dhambi ya mtu mmoja
427 Roma 5 16 | dhambi ya mtu yule mmoja. Maana, baada ya kosa la mtu mmoja,
428 Roma 6 3 | 3 Maana, mnajua kwamba sisi tuliobatizwa
429 Roma 6 5 | 5 Maana, kama sisi tumeungana naye
430 Roma 6 7 | 7 Kwa maana, mtu aliyekufa, amenasuliwa
431 Roma 6 9 | 9 Maana, tunajua kwamba Kristo amekwisha
432 Roma 6 14 | 14 Maana, dhambi haitawatawala ninyi
433 Roma 6 21 | ambayo mnayaonea aibu sasa? Maana, matokeo ya mambo haya ni
434 Roma 6 23 | 23 Kwa maana mshahara wa dhambi ni kifo;
435 Roma 7 1 | shaka mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua
436 Roma 7 5 | 5 Maana, tulipokuwa tukiishi kimaumbile
437 Roma 7 7 | nisingalijua dhambi ni kitu gani. Maana, nisingalijua ni nini hasa
438 Roma 7 8 | tamaa mbaya ndani yangu. Maana, bila Sheria dhambi ni kitu
439 Roma 7 11 | 11 Maana, dhambi ilichukua fursa
440 Roma 7 15 | 15 Sielewi nifanyacho, maana kile ninachotaka sikifanyi,
441 Roma 7 18 | ya ubinadamu wangu. Kwa maana, ingawa nataka kufanya jambo
442 Roma 8 2 | 2 Maana, sheria ya Roho iletayo
443 Roma 8 5 | 5 Maana, wale wanaoishi kufuatana
444 Roma 8 7 | 7 Maana, mwenye kutawaliwa na fikira
445 Roma 8 13 | 13 Kwa maana, kama mkiishi kufuatana
446 Roma 8 15 | 15 Kwa maana, Roho mliyempokea si Roho
447 Roma 8 17 | urithi huo pamoja na Kristo; maana, tukiyashiriki mateso yake
448 Roma 8 20 | 20 Kwa maana, viumbe viliwekwa katika
449 Roma 8 21 | 21 maana hivyo viumbe navyo vitaokolewa
450 Roma 8 22 | 22 Kwa maana tunajua kwamba mpaka hivi
451 Roma 8 24 | 24 Maana kwa matumaini hayo sisi
452 Roma 8 24 | tumekombolewa; lakini tumaini halina maana ikiwa tunakiona kile tunachotumainia.
453 Roma 8 24 | tunakiona kile tunachotumainia. Maana ni nani anayetumaini kile
454 Roma 8 26 | anatusaidia katika udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba;
455 Roma 8 29 | 29 Maana hao aliowachagua tangu mwanzo,
456 Roma 8 34 | atakayewahukumu? Hakuna! Maana Kristo ndiye aliyekufa,
457 Roma 8 38 | 38 Maana ninajua hakika kwamba hakuna
458 Roma 9 6 | ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli
459 Roma 9 9 | 9 Maana ahadi yenyewe ni hii: "Nitakujia
460 Roma 9 15 | 15 Maana alimwambia Mose: "Nitamhurumia
461 Roma 9 17 | 17 Maana Maandiko Matakatifu yasema
462 Roma 9 24 | 24 Maana sisi ndio hao aliowaita,
463 Roma 9 25 | 25 Maana ndivyo asemavyo katika kitabu
464 Roma 9 28 | 28 maana, Bwana ataitekeleza upesi
465 Roma 10 2 | 2 Maana naweza kuthibitisha kwa
466 Roma 10 3 | 3 Maana hawakufahamu jinsi Mungu
467 Roma 10 4 | 4 Maana kwa kuja kwake Kristo, Sheria
468 Roma 10 10 | 10 Maana tunaamini kwa moyo na kukubaliwa
469 Roma 10 13 | 13 Maana Maandiko Matakatifu yasema: "
470 Roma 10 16 | hawakuipokea hiyo Habari Njema. Maana Isaya alisema: "Bwana, ni
471 Roma 11 6 | kwa sababu ya matendo yao. Maana, kama uteuzi wake ungetegemea
472 Roma 11 15 | 15 Maana ikiwa kukataliwa kwao kulisababisha
473 Roma 11 21 | 21 Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia
474 Roma 11 23 | imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza
475 Roma 11 29 | 29 Maana Mungu akisha wapa watu zawadi
476 Roma 11 32 | 32 Maana Mungu amewafunga watu wote
477 Roma 11 36 | 36 Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake,
478 Roma 12 19 | mwachieni Mungu jambo hilo; maana Maandiko Matakatifu yasema: "
479 Roma 12 20 | akiwa na kiu, mpe kinywaji. Maana kwa kufanya hivyo utamfanya
480 Roma 13 1 | mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa
481 Roma 13 3 | 3 Maana, watawala hawasababishi
482 Roma 13 4 | 4 maana yeye ni mtumishi wa Mungu
483 Roma 13 4 | basi, huna budi kumwogopa, maana anao kweli uwezo wa kutoa
484 Roma 13 6 | hiyohiyo ninyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia
485 Roma 13 9 | 9 Maana, amri hizi: "Usizini; Usiue;
486 Roma 14 3 | asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu amemkubali.~
487 Roma 14 4 | naam, atasimama imara, maana Bwana anaweza kumsimamisha.~
488 Roma 14 5 | kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu
489 Roma 14 6 | hivyo kwa kumtukuza Bwana maana anamshukuru Mungu. Kadhalika
490 Roma 14 7 | 7 Maana hakuna mtu yeyote miongoni
491 Roma 14 8 | 8 maana tukiishi twaishi kwa ajili
492 Roma 14 9 | 9 Maana Kristo alikufa, akafufuka
493 Roma 14 11 | 11 Maana Maandiko yanasema: "Kama
494 Roma 14 17 | 17 Maana Utawala wa Mungu si shauri
495 Roma 15 3 | 3 Maana Kristo hakujipendelea mwenyewe;
496 Roma 15 4 | 4 Maana yote yalioandikwa yameandikwa
497 Roma 15 8 | 8 Maana, nawaambieni Kristo aliwatumikia
498 Roma 15 26 | 26 Maana makanisa ya Makedonia na
499 Roma 15 27 | hilo ni jukumu lao kwa hao. Maana, ikiwa watu wa mataifa mengine
500 Roma 16 2 | atakaohitaji kutoka kwenu, maana yeye amekuwa mwema sana
1-500 | 501-865 |