Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
usawa 2
usemapo 1
usemi 6
ushahidi 36
ushike 2
ushinde 1
ushindi 10
Frequency    [«  »]
36 njiani
36 nyakati
36 nyota
36 ushahidi
36 vazi
36 vizuri
36 waliposikia

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ushahidi

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 15 19| uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.~ 2 Matt 19 18| usizini, usiibe, usitoe ushahidi wa uongo,~ 3 Matt 26 59| na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate 4 Matt 26 60| 60 lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja 5 Mark 10 19| Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Usidanganye; Waheshimu 6 Mark 14 55| na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu wapate 7 Mark 14 56| 56 Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini 8 Mark 14 56| uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.~ 9 Mark 14 57| wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:~ 10 Mark 14 59| 59 Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukupatana.~ 11 Luke 18 20| Usizini; usiue; usiibe; usitoe ushahidi wa uongo; waheshimu baba 12 Luke 22 71| wakasema, "Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia 13 John 1 19| 19 Huu ndio ushahidi Yohane alioutoa wakati viongozi 14 John 1 32| 32 Huu ndio ushahidi Yohane alioutoa: "Nilimwona 15 John 5 32| Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa 16 John 5 33| yuko mwingine ambaye hutoa ushahidi juu yangu, nami najua kwamba 17 John 5 35| Si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema 18 John 5 37| 36 Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu 19 John 8 13| unajishuhudia mwenyewe; kwa hiyo ushahidi wako si halali."~ 20 John 8 14| ninajishuhudia mwenyewe, ushahidi wangu ni wa kweli kwa sababu 21 John 8 17| katika Sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.~ 22 2Cor 13 1 | tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu," 23 1Tim 6 13| ya Yesu Kristo aliyetoa ushahidi na kukiri ukweli mbele ya 24 Hebr 2 4 | Mungu pia aliongeza hapo ushahidi wake kwa kufanya kila namna 25 Hebr 10 15| Naye Roho Mtakatifu anatupa ushahidi wake. Kwanza anasema:~ 26 Hebr 10 28| bila ya huruma kukiwa na ushahidi wa watu wawili au watatu.~ 27 James 5 3| kutu, na kutu hiyo itakuwa ushahidi dhidi yenu, nayo itakula 28 1Joh 5 8 | 8 Roho, maji na damu; na ushahidi wa hawa watatu waafikiana.~ 29 1Joh 5 9 | 9 Ikiwa twaukubali ushahidi wa binadamu, ushahidi wa 30 1Joh 5 9 | twaukubali ushahidi wa binadamu, ushahidi wa Mungu una uzito zaidi; 31 1Joh 5 9 | uzito zaidi; na huu ndio ushahidi alioutoa Mungu mwenyewe 32 1Joh 5 10| Anayemwamini mwana wa Mungu anao ushahidi huo ndani yake; lakini asiyemwamini 33 1Joh 5 10| mwongo, maana hakuamini ushahidi alioutoa Mungu juu ya Mwanae.~ 34 1Joh 5 11| 11 Na, ushahidi wenyewe ndio huu: Mungu 35 3Joh 1 12| unamsifu. Nasi pia tunatoa ushahidi wetu juu yake, nawe wajua 36 Rev 22 20 | 20 Naye anayetoa ushahidi wake juu ya mambo haya asema: "


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License