Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
fidia 2
fika 11
fikeni 1
fikira 36
fikiri 1
fikiria 1
fikirieni 1
Frequency    [«  »]
36 afadhali
36 agano
36 dhamiri
36 fikira
36 gerezani
36 ibilisi
36 mheshimiwa

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

fikira

   Book, Chapter, Verse
1 Mark 8 33| Ondoka mbele yangu, Shetani! Fikira zako si za kimungu ila ni 2 Luke 1 17| atawafanya wasiotii wawe na fikira za uadilifu, na hivyo amtayarishie 3 John 8 15| 15 Ninyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi 4 Acts 8 22| naye anaweza kukusamehe fikira kama hizo.~ 5 Acts 28 6 | la kawaida, walibadilisha fikira zao juu yake, wakasema kuwa 6 Acts 28 25| Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda 7 Roma 1 21| hawamshukuru. Badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili 8 Roma 1 28| Mungu amewaacha katika fikira zao potovu, wakafanya yale 9 Roma 2 15| zinashuhudia pia jambo hilo, maana fikira zao mara nyingine huwashtaki, 10 Roma 8 5 | ya mwili, hutawaliwa na fikira za mwili. Lakini wale wanaoishi 11 Roma 8 5 | Mtakatifu, hutawaliwa na fikira za Roho.~ 12 Roma 8 6 | 6 Fikira za mwili huleta kifo; fikira 13 Roma 8 6 | Fikira za mwili huleta kifo; fikira za Roho huleta uzima na 14 Roma 8 7 | Maana, mwenye kutawaliwa na fikira za mwili ni adui wa Mungu; 15 Roma 8 27| ya mioyo ya watu, anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo 16 Roma 12 2 | ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. Hapo ndipo mtakapoweza 17 Roma 12 3 | kuliko mnavyopaswa kuwa. Fikira zenu na ziwe na kiasi kufuatana 18 1Cor 1 10| mafarakano kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.~ 19 1Cor 1 26| hawakuwa wenye hekima hata kwa fikira za binadamu; wengi hawakuwa 20 1Cor 1 28| ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo 21 1Cor 1 28| ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya 22 1Cor 11 19| 19 maana ni lazima fikira tofauti ziweko miongoni 23 1Cor 14 20| msiwe kama watoto katika fikira zenu. Kuhusu uovu muwe kama 24 2Cor 1 17| ninafanya uamuzi wangu kwa fikira za kibinadamu na kwamba 25 2Cor 10 5 | elimu ya Mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii 26 2Cor 11 3 | uongo alimdanganya Hawa, fikira zenu zaweza kupotoshwa, 27 Ephe 4 17| watu wasiomjua Mungu, ambao fikira zao zimekuwa upuuzi mtupu,~ 28 Ephe 4 23| Jirekebisheni upya rohoni na katika fikira zenu.~ 29 Colo 1 21| adui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu.~ 30 Colo 2 18| namna hiyo amepumbazika kwa fikira danganifu za kidunia~ 31 Hebr 3 10| niliwakasirikia watu hao nikasema, `Fikira za watu hawa zimepotoka, 32 Hebr 4 12| Neno hilo huchambua nia na fikira za mioyo ya watu.~ 33 James 2 4| uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?~ 34 1Pet 3 8 | mnapaswa kuwa na moyo mmoja, na fikira moja; mnapaswa kupendana 35 2Pet 3 1 | mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni 36 Rev 2 23 | ninayechunguza mioyo na fikira za watu.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License