Book, Chapter, Verse
1 Matt 26 28| damu yangu inayothibitisha agano,*fn* damu inayomwagwa kwa
2 Mark 14 24| damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa
3 Luke 1 72| wazee wetu, na kukumbuka agano lake takatifu.~
4 Luke 22 20| akisema, "Kikombe hiki ni agano jipya linalothibitishwa
5 Acts 3 25| yenu; na mnashiriki lile agano Mungu alilofanya na babu
6 Acts 7 8 | aliifanya tohara iwe ishara ya agano. Hivyo, Abrahamu alimtahiri
7 Roma 11 27| 27 Hili ndilo agano nitakalofanya nao wakati
8 1Cor 11 25| akasema: "Hiki ni kikombe cha agano jipya linalothibitishwa
9 2Cor 3 6 | aliyetuwezesha kulihudumia Agano Jipya ambalo si agano la
10 2Cor 3 6 | kulihudumia Agano Jipya ambalo si agano la sheria iliyoandikwa,
11 2Cor 3 6 | sheria iliyoandikwa, bali Agano la Roho. Maana sheria iliyoandikwa
12 2Cor 3 14| Mpaka leo hii lisomwapo Agano la Kale, kifuniko hicho
13 Gala 3 17| ni hiki: Mungu alifanya agano lake akalithibitisha; Sheria
14 Gala 3 17| haiwezi kulitangua hilo agano wala kuibatilisha hiyo ahadi.~
15 Ephe 2 12| sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. Mlikuwa bila
16 Hebr 7 22| Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.~
17 Hebr 8 6 | zaidi kuliko yao, kama vile agano alilothibitisha kati ya
18 Hebr 8 7 | 7 Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa
19 Hebr 8 7 | hakungalikuwa na haja ya agano la pili.~
20 Hebr 8 8 | Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli
21 Hebr 8 9 | 9 Agano hili halitakuwa kama lile
22 Hebr 8 9 | Hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali,
23 Hebr 8 10| 10 Na hili ndilo agano nitakalofanya na watu wa
24 Hebr 8 13| 13 Kwa kusema juu ya agano jipya, Mungu alilichakaza
25 Hebr 9 1 | 1 Agano la kwanza lilikuwa na taratibu
26 Hebr 9 4 | kufukizia ubani, na Sanduku la Agano, ambalo lilikuwa limepakwa
27 Hebr 9 4 | vibao viwili vilivyoandikwa agano.~
28 Hebr 9 15| Kristo ndiye aliyeratibisha agano jipya ili wale walioitwa
29 Hebr 9 15| waliyofanya wakati wa lile agano la kale.~
30 Hebr 9 18| 18 Ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila
31 Hebr 9 20| ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na Mungu mlitii."~
32 Hebr 10 16| 16 "Hili ndilo agano nitakalofanya nao, katika
33 Hebr 10 29| Mungu na kuidharau damu ya agano la Mungu iliyomtakasa, mtu
34 Hebr 12 24| Yesu ambaye ameratibisha agano jipya, na ambaye damu yake
35 Hebr 13 20| damu yake iliyothibitisha agano la milele.~
36 Rev 11 19 | likafunguliwa, na Sanduku la Agano lake likaonekana Hekaluni
|